UCHAMBUZI JUSTIN KESSY | HII YANGA INATOA PUMZI YA MOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 45

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi 5 дней назад +3

    Upo sawa tunapenda kazi yako

  • @BonfaceMuma-q9b
    @BonfaceMuma-q9b 4 дня назад

    Justin Kessy mimi ni mkenya na mchezaji nimecheza Tusker 1998 but nakukubali teach our Kenyan analysists you are I believe the best in the world. You know football bro. Niko Qatar saa hii shuguli za kikazi. I wish nikutilie petroli

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 2 дня назад

    Wewe bro ndio MCHAMBUZI sahihi Ila Sasa wameibuka WACHAMBUZI mapopo hawajulikani wanasimamia kichwa WAla miguu wapo wapo kwa uzushi na chuki. BIG UP BRO

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 5 дней назад +2

    Justin kessy mchambuzi Bora kabisa, unachambua kwa vigezo sana hongera

  • @SaidLukoloma
    @SaidLukoloma 4 дня назад +1

    Wewe ni fire 🔥

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 2 дня назад

    Wewe bro ndio MCHAMBUZI sahihi Ila Sasa wameibuka WACHAMBUZI mapopo hawajulikani wanasimamia kichwa WAla miguu wapo wapo kwa uzushi na chuki. BIG UP BRO WEWE NDIO MCHAMBUZI BORA

  • @KhamisShabani-v1n
    @KhamisShabani-v1n 5 дней назад +1

    Upo sahihi broo 🎉🎉🎉

  • @mtigandibori7244
    @mtigandibori7244 5 дней назад

    Upo vzr broo sema wachambuzi wa kibongo ushabiki mwingi

  • @SerageSaide
    @SerageSaide 5 дней назад +3

    Alikokuwa alikuwa anafundisha Bila kuwa kacheza timu ambayo Mairi🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 2 дня назад

    Uko vzuri broo

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 5 дней назад +7

    Wewe huwa unachambua mpira na team husika kwa wakat husika na sio kama wale mapimbi wanao jitia wachambuzi kumbe ni mashabiki tena maandazi bg up sana kaka hao kenge maji wanao jiita sijui mbuyu sijui frij wakaendelee kugandisha maji hohoho

  • @JohnMpitanjia
    @JohnMpitanjia 4 дня назад

    Justine bonge la mchambuzi, mkweli sana big up kaka...

  • @SIMONLIGONEKO
    @SIMONLIGONEKO 5 дней назад +3

    SEMA ukweli usifiche

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 5 дней назад +1

    Ww ndo mchambuzi wangu bora kessy

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 5 дней назад +1

    Brother keep on analysing football matches

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 5 дней назад

    Uko vizuri kaka

  • @NoahMwaitege
    @NoahMwaitege 4 дня назад

    Mkuu kessy unajua Bloo hakuna kukufikia kwenye uchambuzi na kuelimisha unadata saana

  • @FiliMsambwa
    @FiliMsambwa 4 дня назад

    Jamayangu kinachokuweka kuwa juu yawengine niukweli wako safi sana

  • @MalickMakange
    @MalickMakange 5 дней назад +2

    Huyu ndy mchambuzi Sasa, hachambi Wala kusimanga wtu

  • @Blessedhopefamily
    @Blessedhopefamily 4 дня назад

    fungua tution kwa wachambuzi wawe wanajifua vizuri

  • @janethmoshi3362
    @janethmoshi3362 5 дней назад +1

    Kwa kweli unatufungua vichwa unatuelimisha

  • @FikiriBicorimana
    @FikiriBicorimana 4 дня назад

    Clabu bingwaaaaa????

  • @ShomariAthumani
    @ShomariAthumani 5 дней назад

    Nipo south Africa lakini nakupata Justin kessy ogela sana mpila unaujua

  • @AllyKhamis-xr9cs
    @AllyKhamis-xr9cs 4 дня назад

    Acha ujinga huo mpira wa ulaya hauwez kuufananish na Africa ndugu

  • @JeniphaSamwel-r9j
    @JeniphaSamwel-r9j 4 дня назад

    👍🎉🎉

  • @JaphetStephen-rx6dp
    @JaphetStephen-rx6dp 4 дня назад

    Hivi kuna haja ya kutafuta mchambuzi bora wa habari za michezo kama hii tuzo ipo?.

  • @MrishoAme
    @MrishoAme 5 дней назад +2

    Kaka kessy naomba uwe mwalimu wa kisugu usomeshe uchambuzi mimi nitakuwa mzamini wake

    • @MaryamKhan-zz6dh
      @MaryamKhan-zz6dh 5 дней назад

      😂😂😂kuna wa kufundisha sio kisungu😅😅

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 4 дня назад

    Hakuna lolote kwani Yanga na Kmc wanamausiano gani mboni Yanga walimchukua kocha wao?

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 дней назад

    Yanga wamepiga bomu muchuari😂

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r 4 дня назад

      Hilo bomu na nyie mtakutana nalo

  • @Asia-p5r
    @Asia-p5r 4 дня назад

    Kwan urahisi wa yanga kwa singida upoje? Huyu kocha singida si walishamfukuza?

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 4 дня назад

    Kwa nini wanaume wengi hufuga ukucha mmoja

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 5 дней назад

    UKWELI NDIO HUO ILA WASHABIKI WANAIONA YANGA NI MBOVU BASI WASUBIRI MWISHO WA LIGI WATAJUA YANGA HII NI YA AINA GANI.

  • @bisejulius4100
    @bisejulius4100 5 дней назад

    Hiyo timu ina umaiti gani, acheni utoto nyie kasongo fc

  • @zuberimwatambazi7523
    @zuberimwatambazi7523 5 дней назад

    Mkuu Mimi nakuelewa mno,wewe si mchambuzi maandazi aisee!!

  • @rajabubwakila1977
    @rajabubwakila1977 5 дней назад

    Huyu ndio mchambuzi wangu wa muda wote ebu mwenye namba yake anipe

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 5 дней назад

    Huu ndio mchambuzi naye mpenda

  • @MrishoAme
    @MrishoAme 5 дней назад

    Kaka kessy wewe unajuwa

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 5 дней назад

    Unaumwa kila kitu. Hana leseni? Huko alikokuwa alikuwa anafundisha bila kuwa na leseni stahiki? Madaraja ya leseni unayajua wewe?

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 5 дней назад

    Hivi hili zee kumbe nalo ni senge mtu kacheza na timu ambayo ni maiti

  • @SAVINPONSIAN
    @SAVINPONSIAN 5 дней назад

    Ukwel yanga saiv hatupimwi kwa kucheza na Ken gold mwaka huu kuna shida project zimekwama kabisa sisi sio wa usajil kocha wa leseni isiyoweza kucheza kukaa bench muda wa mechi

    • @rajabubwakila1977
      @rajabubwakila1977 5 дней назад

      Tulia wewe hii timu hata wewe ukipewa ufundishe kwani wachezaji wake wote wanafundishika,kwa hiyo tulia acha munkar