Inasaidia zaidi, japo katika video ya elimu ya makosa 6 yakulima, back vocal imekuwa iki intarefere elimu, ambapo kimsiki hakuna umuhimu wa back vocals
Mwalimu nikweli tumefaidika vyakutosha,Ila Kuna dugudugu ,kwa upande wangu kuhusu mchanganyo wafongicid na insecticide. Je,tunaweza kuchanga zote kwapamoja au?na kwavipimo chakiwango Gani kwa pamp?
Nimeelewa sana
Nimejifunza sana na nimekuelewa sana mwalimuu
🙏🙏
Upo vizur Asante
Ubarikiwe sana Kwa elimu nzuli uliyo tupatia
Unaeleweka vyema sana mkuu
Umeeleweka sana broo🎉🎉🎉🎉 bigup
Nashukuru kupata elimu ya viwatilifu umetoa elimu nzuri sana.
Kaka wewe ni zaidi ya mwalimu Asante sana
Big up
Well elaborated ! Umetoa Elimu nzuri Sana....Ubarikiwe!!
Je? Hizo zinazo Ua WADUDU kwa mfumo huwa zinakaa ndani ya mmea kwa muda gani au huwa muda unaandikwa kwenye bidhaa...?
Kwa siku 7 mpaka 14 bidhaa inakua inafaa kwa kuliwa
💪🙏🙏
Nimekuelewa mwl asante
Unaeleweka sana mwalimu
Asante Mwalimu ubarikiwe
Congratulations
Asante mwalimu wangu, by mwanaume Wa shoka,
❤️🙏
Nmependa kaka ntakupigia Asante kakangu
Shukurani saaana mwalimu
Safiii
Shukrani sana, binafsi imenipa kitu.
Nimekuelewa asante sana
Karibu sana
asanteeee
Asante teacher
Nooooooma sana mungu akubaliki
🙏🙏
Nimekuelewa vizuri mwalimu
🙏 karibu sana
Asantee mwalimu
Asante sana umenipa maarifa mazuri nikiwa kama mkulima mchanga
Karibu sana hii chanel inakuhusu sana ili ukue na maarifa sahihi
Uberikiwe ndugu yamgu
🙏🙏
Nimefulahi
🙏🙏
Umetufunua na umetunufaisha kumbe wafanyabiashara tarantula uranga.
Vema
Nzuri sana ,kitabu chenye hatua zote nakipataje?
Hatuna
Najifunza kitu
Wakulima tuliowengi hatuna elimu hiyo kabisa tunahitaji wataalam wa aina Kama yako
Inasaidia zaidi, japo katika video ya elimu ya makosa 6 yakulima, back vocal imekuwa iki intarefere elimu, ambapo kimsiki hakuna umuhimu wa back vocals
Tumeliona Hilo MDAU tunalifanyia kazi kwa video zitakazofata
❤❤❤❤❤minja ❤❤
🙏🙏
Mwalimu nikweli tumefaidika vyakutosha,Ila Kuna dugudugu ,kwa upande wangu kuhusu mchanganyo wafongicid na insecticide. Je,tunaweza kuchanga zote kwapamoja au?na kwavipimo chakiwango Gani kwa pamp?
unachanganya zote kwa pamoja kwa vipimo pendekezwa
Nimeridhika kwa elimu unayotupatia, swali langu ni kwamba ni wakati gani kwa kuzingatia hali ya hewa napaswa kutumia sumu za ukungu
Sumu zote zitumike wakati wa asubuhi kabla ya jua kuwa Kali na jioni sana jua linapopoa
Shukra mwlm
Natakutafuta
@@abdallahkassim7524 karibu sana mkuu
Maelezo mwafaka kabisa.