MWANA FA AKIWA JUU KILELENI MWA MLIMA KILIMANJARO, KAONGEA HAYA..!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 99

  • @abdinasirali3460
    @abdinasirali3460 5 лет назад +27

    Iam big fan of kisiwahili language . From USA . All the way watching it . Tanzania is great country and amazing kind people with great people .

  • @joemadinda2000
    @joemadinda2000 5 лет назад +45

    Kama una mkubali mwana FA gonga like

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 5 лет назад +12

    Wangapi wamemuona mrembo wa kwanza tz kufika kileleni😄😄😄

  • @mohammedmkoma9288
    @mohammedmkoma9288 5 лет назад +1

    Ndio muende kumueleza Mr President JPM maana sisi tukiongea tunaonekana wavuta bangi Wagumu wanateseka sana, Na hatulipwi mishahara husika

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 5 лет назад +6

    Sasa mi nachoshangaa huyo Mwarabu fighter anashindwa na miss Tanzania kupanda mlima😄😅😅
    Daaah

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 5 лет назад +2

    Safi Sana...Watanzania wanaamka sasa..Tuvipende vyetu.!

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 5 лет назад +1

    Daaah kweli kufika kileleni hasa haiwi kazi rahisi kama mtu anavyofikiria

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 лет назад

    Hongereni sana wote mliofanikiwa kufika kileleni big up sana.

  • @omarmhmammed216
    @omarmhmammed216 5 лет назад +5

    uyo dada ndio mzur wenu Tanzania ,ivi kweli kabisa wengine hamna kuliko yeye dah hapo hapanaaaaa

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 5 лет назад

      Jua kutofautisha kati ya mzuri na mrembo kuwa mrembo ni zaidi ya uzuri unao ufikilia... Tumia ubongo kupambanua mambo.

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 5 лет назад

      @@Fgldesigns.... Aaah sisumbui ubongo wangu uyo ww,,, uyo hata 50 bora hapati miss world ww

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 5 лет назад

      @@omarmhmammed216 Fatilia maana miss world pia alikuwa mshiriki naangalie alikuwa wa ngapi

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 5 лет назад

      @@omarmhmammed216 Kikubwa ni kwamba uzuri na urembo ni vitu tofauti. Hicho ndo cha msingi...

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 5 лет назад +13

    Mwarabu kazidiwa na miss

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 лет назад +15

    Raha ni kufika kileleni... Yaani kileleni hatufiki wengi

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 5 лет назад +10

    *Eti sio kila mtu anafika kileleni, kwahyo furaha kufika kileleni*

  • @spartajr6604
    @spartajr6604 5 лет назад +3

    Aisee watu hawana mazoezi kaz kujitamba mitandaoni watu hawana mizigo na bado wanadema dema mi nimepanda na mzigo 20-25kgs kazi 23 mpka nimekuja kuwa guide naona kitu cha kawaida

  • @nahumumgwama1177
    @nahumumgwama1177 5 лет назад +12

    Unajua usipofika kileleni inakua shida kidogo

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 лет назад +1

    mumevimba sura kwakweli kahali yaewa dh hongeren sana

  • @innocentemanuel168
    @innocentemanuel168 5 лет назад +6

    Big up mwamba umetoboa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 лет назад +1

    Hongera sana mwana FALSAFA

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 5 лет назад +3

    Hongereni sana

  • @christianmwakajila521
    @christianmwakajila521 5 лет назад +7

    Hahahaha nyie wenyewe tu sauti zina kata moto. Hatuji ng'ooo.

  • @danielabel2358
    @danielabel2358 2 года назад

    Congrats sana mwamba

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 лет назад

    Hongereni
    Hiphop forever

  • @alexkimbia5629
    @alexkimbia5629 5 лет назад +3

    Bonge LA mbavu limeshindwa kifika kileleni dah

  • @flxgreen6346
    @flxgreen6346 5 лет назад

    noma , mwenyewe nlishapanda mpaka mandara hut , si mchezo

  • @nuurinkluge7584
    @nuurinkluge7584 5 лет назад +1

    Kweli ujue jito ethen kwamlima balafu..but sikuingine utawwza fika kwa mlima

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 5 лет назад

    Nyie nanyie mamiss wenu bwana hata demu wangu mzuri

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 5 лет назад

    Hongereni kwa kufika kileleni.

  • @habari3321
    @habari3321 5 лет назад

    Kileleni bwana kuna kelele za raha duuu uliona mrembo akisimulia raha za kileleni kule keleleni

  • @yonalema7442
    @yonalema7442 5 лет назад

    Daah. Huyu Ndie Mrembo WA Kwanza Kufikishwa Kirereni.. Ohh Eti Kufikishwa Kumbe kafika Mwenyewe!! 😂😂

    • @mwanamisiomar443
      @mwanamisiomar443 5 лет назад

      Kajiongeza kafika kileleni😄😄nimekimic kilele icho

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 5 лет назад +3

    Haha mwarabu hakufika kileleni mamae

    • @hajihaji6351
      @hajihaji6351 5 лет назад

      Alifikir kubeba chuma uyo

    • @ojasoojaso9479
      @ojasoojaso9479 5 лет назад +1

      Amefika kibo na hapo ni kileleni sema hakufika uhuru mita 489 tu. Kumb kipo pia ni kilele kimojawapo cha vilele viwili .Big up bro

  • @mohdiddi8203
    @mohdiddi8203 5 лет назад +4

    Muarabu fighter kazidiwa na ebitoke au hahaha

  • @georgeluoga9969
    @georgeluoga9969 5 лет назад

    Aaaaa mwarabu umeshindwa kufika kileleni

  • @جاسمالشريم-ص3ص
    @جاسمالشريم-ص3ص 5 лет назад

    hongerenii..nyotenii

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 5 лет назад

    Bei ya kupanda uo mlima ni kias gan jaman

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 лет назад +2

    baunsa kasanda miss katoboa??

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 5 лет назад +1

    Mwana FA mpaka kanenepa uso

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 5 лет назад +1

    Hao waliofika kileleni wamefanikiwa kupiga bao?

  • @frankassey5971
    @frankassey5971 5 лет назад

    Yaan mwarabu fighter anashibdwa na miss 😂😂

  • @erickpallangyo1325
    @erickpallangyo1325 5 лет назад +2

    me nilishafika maratatu bro kwakupitia machame

  • @nuurinkluge7584
    @nuurinkluge7584 5 лет назад +2

    Ohoo your very strong 💗💗🙏👍

  • @sportevents220
    @sportevents220 5 лет назад

    Hongera fa

  • @sanimoclassic1917
    @sanimoclassic1917 5 лет назад +4

    Mbona hapa kawa mweusi sanaa😂😂😂

  • @aminafesali5817
    @aminafesali5817 5 лет назад +5

    Mwarabu umewafelisha ma bodguard winzio 😂😂😁😁😁😁umenichekesha fiter

  • @shebyhassan2633
    @shebyhassan2633 5 лет назад +1

    Mashalobal yameshindw kwend huk

  • @tahy5470
    @tahy5470 5 лет назад

    Pia mimi nishawai kufika but sikumbuki ilikuwa lini 😂

  • @hancboi6603
    @hancboi6603 5 лет назад +5

    Huyu mwarabu fighter sasa ayo mazoezi yako yanasaidia nini ?

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 лет назад

      Kwanza Umeshawahi kupanda Huo mlima..?

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 5 лет назад

      @@africanhappyadventure6951 Wanayasikia tuu kwa watu ingebidi wapande ili ndo waje kujifananisha... Tunapenda kuwanyooshea watu vidole bila kujua changamoto alizopitia

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 5 лет назад +3

    Ebitoke ni kajinga kweli kalikuwa na mbwembwe kibao kumbe hakakufika

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 5 лет назад +1

      luge Donation tv,alikuwa amedhamiria lakini hali ya hewa haikuwa rafiki alianza kuumwa!kwa hiyo angeendelea tu na ugonjwa hapo alipofikia wengine wameshindwa!tumtie moyo!

  • @nahumumgwama1177
    @nahumumgwama1177 5 лет назад +4

    Kufika kileleni ni laaa sana

    • @princesschicute79
      @princesschicute79 5 лет назад

      Nahumu Mgwama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona toka comment yako ya juu umekazana kweli kileleni raha😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 лет назад

      @@princesschicute79 tumieni kiswahili vzr

  • @mrholela7906
    @mrholela7906 5 лет назад

    Mwarabu kumbe mla chipsi .....

  • @edwardisack1890
    @edwardisack1890 5 лет назад

    hivi miss hiyo kichwani nikofia au?

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 5 лет назад +1

      mie nahisi kama chupi wallahi kaivaa kichwani

  • @opiyoomollo5333
    @opiyoomollo5333 5 лет назад

    Vilele vingi kufika nilaaaaa cmpaka mlima

  • @georgeluoga9969
    @georgeluoga9969 5 лет назад

    Way ushindwe

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 5 лет назад

    oyoo

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 5 лет назад

    sio sir mnakera kisa ni wasanii wapenda mlima kilimanjaro ndio kila mahali habari ndio hiyo hiyo mlima kilimanjaro ulikuwepo kabla ya wakoloni

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 5 лет назад

    Huyo miss tz vepe mbn mbovu mbovu hvyo nikimtowa demwangu anmpoteza

  • @ahmednoor1412
    @ahmednoor1412 5 лет назад

    Mwarabu fighter nae msanii??

  • @jamesminja3273
    @jamesminja3273 5 лет назад +3

    sasa picha ya raisi ya kazi gani

  • @maidahassani1377
    @maidahassani1377 5 лет назад +3

    Hivi unalipa pesa ndo upande au ni bure

    • @puregamers4215
      @puregamers4215 5 лет назад

      Ukiwa na jamaa ako mbona anakufikisha kileleni bila ata pesa

    • @zawadikondo5014
      @zawadikondo5014 5 лет назад

      Sabri Jamal hahahahaha

    • @aishajuma712
      @aishajuma712 5 лет назад

      @@puregamers4215duuuh na mim nitamwambia jamaa

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад

      Sabri Jamal daaaaah

    • @maidahassani1377
      @maidahassani1377 5 лет назад

      @@puregamers4215 ww acha masihala bwana mi nipo serious ujue

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 лет назад +1

    amevaa kofia au nin hyo mbona km chup flan iv😀😀😀

  • @alexkimbia5629
    @alexkimbia5629 5 лет назад +1

    Bonge LA mbavu limeshindwa kifika kileleni dah