KIMENUKA KIGOMA! BODABODA WAANDAMANA, POLISI WAWAPIGA MABOMU YA MACHOZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 44

  • @husseinsauti4054
    @husseinsauti4054 16 дней назад +3

    Sehemu kubwa iliyobaki na kiwanda kikubwa kilicho baki ktk sector ya ajira Afrika mashariki ni bodaboda hivyo kuwaendea kuwaelewesha hawa vijana kunahitajika ueweledi mkubwa sana. na siwakutumia nguvu na faini kubwa. ni wakutumia vikao na elimu ya mara kwa mara na taratibu zenye muendelezo kwa pande zote kwa kuwa hii ndio sector ya ajira iliyo baki kwa kila rika aliye pata changamoto ktk kazi aliyoizoea anakimbilia bodaboda hivyo taasisi zetu zinazoshughulikia masala ya usalama barabarani watumie hekma kubwa ili maisha yaendelee kukiwa shwari.

  • @HavenMaker-d5w
    @HavenMaker-d5w 15 дней назад +1

    Poleni

  • @peterpetermdaku1691
    @peterpetermdaku1691 16 дней назад +2

    Hakuna kukimbia waacheni waje njaa zao tuu🤯😳

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 15 дней назад +1

    Kama sio raia pikipiki mnazipeleka wapi?

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 15 дней назад +1

    msiwachekee. hao polis 👮‍♂️ ni wezi tu. pamoja na. hiyo serekali yenyewe wanahitaji washuhulikiwe na wakichomwa wawilitu wengine watajirekebisha. bona mnakubali kuteswa dawa yao ni ndongo tu wachomeni moto nawao waone kama kuuliwa ni raha

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 15 дней назад +1

    poleni sana. polis 👮 simnaishi nao mtaani nawao. wachomeeni. moto na familiya zao. kwanini wanawatesa. kwanini ?

  • @hermanmahembe1786
    @hermanmahembe1786 15 дней назад +1

    Ameskika moja ya kati ya Mwanakigoma kwamba wakikamatwa wanakwenda kutoa Elf 40 kama lushwa je mnajua bodaboda Kwa siku anaingiza kiasi gani cha pesa hizo boda Boda basi kama ni kelo usiluhusu Boda ziingie nchini

  • @GodgverAbbubakary
    @GodgverAbbubakary 15 дней назад +1

    Kwa nn kamanda mkuu wa polic mkoa unakaa na watu wasio laia huna akili au

  • @PiliIssa-vc3er
    @PiliIssa-vc3er 16 дней назад +2

    RAIS SAMIA SULUHU MAMA ATUSAIDIEEE HALI SO SHWALI WATU WANAZALIKISHWA NA KUONEWA NA JESH LA POLIS

  • @mdauzedangizeict051
    @mdauzedangizeict051 16 дней назад +1

    Kwaiyo apo wanakula rushwa

  • @MariamAnafi-bf9gy
    @MariamAnafi-bf9gy 16 дней назад +1

    Daaa Tanzania nchi yangu

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 16 дней назад +2

    Polisi wananufaika sana na ukamataji wa pikpik maana hela ni nje nje bila risit.Kiufupi wamenogewa.

  • @JohnMbaruku-e1n
    @JohnMbaruku-e1n 16 дней назад +1

    Ana point ya kuongea

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 16 дней назад

      NAHIYO ELFU ALBAINI NDIO INAKUA NIDA AU HUONI UNAVYOJIWEKA ROKAPU WEWE MWENYEWE VUA MKANDA NA KOFIA NENDA NDANI POLISI GANI WEWE

  • @SilajiYusuph
    @SilajiYusuph 15 дней назад

    Poleni sana

  • @RamadhaniIssa-l7d
    @RamadhaniIssa-l7d 9 дней назад

    Wazee na sis situngekabidhiwa bunduki 2 mana wamezidi

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 14 дней назад

    Police wa Tanzania 🇹🇿 wengi wao ni wezi na majambazi hata barabarani magari yanasimamishwa sana badala ya kuziandikia fine wao wanapewa rushwa na kuachia vyombo

  • @elibaricksadock9562
    @elibaricksadock9562 16 дней назад +1

    Duh so poa

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w 16 дней назад

    Wengine sio laia nikina nani uyu afande Kasoma kwel. Kila mtu ni raia. Sema sio raia wa Tz. Mnashindwa kukamata watekaji. Mnakamata boda

  • @RoziDismasi
    @RoziDismasi 16 дней назад

    Nimependa hii

  • @hizamp1827
    @hizamp1827 15 дней назад

    Mkuu wa polisi kigoma anaeatetea vijana wake askali kigoma wanakele sana

  • @fikencharles9993
    @fikencharles9993 16 дней назад +2

    Sasa mkuu wa police ukisema wengi sio raia kazi yako ni nini?je wamepitaje wanafanya nini kwenye nchi yetu kama sio raia??

    • @DenisMarwa-q8b
      @DenisMarwa-q8b 16 дней назад

      Walowezi afuuu police sio immigration

    • @JohnMbaruku-e1n
      @JohnMbaruku-e1n 16 дней назад

      @@fikencharles9993 inatakiwa aache police aende awe migration

  • @RanadhanjumaOmmar
    @RanadhanjumaOmmar 16 дней назад

    polis kweli wamekua waonevu sana.😢😢

  • @ALLY-w6d
    @ALLY-w6d 15 дней назад

    Yani ...uyo police yani hajui ata kuongea pwenty yani

  • @KatibuRajabu
    @KatibuRajabu 16 дней назад

    Acha zalau wewe kamanda watu wanamaisha magumu sana ata wewe inaonesha ulisoma kwatabu sana muombe mungu maisha magumu sana lushwa zimezidi mbonda wanajeshi awana luswa maisha yao safi nyinyi polis ndio amuwezi kuishi bila lushwa

  • @SalumAlly-em2ji
    @SalumAlly-em2ji 16 дней назад

    Hata we kamanda unavoingea tu sio raia wa nchi hiii pumbafuuu

  • @FredAchi-i2k
    @FredAchi-i2k 16 дней назад

    iyo iwe kila mkoa

  • @ndimizarohomtakatifurichar9802
    @ndimizarohomtakatifurichar9802 16 дней назад

    Suala hili la bodaboda polisi inabidi watumie hekima sana lasivyo wataleta balaa

  • @josephat66
    @josephat66 16 дней назад

    Jmn dk 2 unasubiri huu ni ujinga kwa dunia ya sasa

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 16 дней назад

    Waendesha bodaboda wengi ni wasomi wahuni ni rai ya wengi....

  • @CalistiNicetas
    @CalistiNicetas 16 дней назад

    Wewe ni muongo. Mla rushwa

  • @totodmukama
    @totodmukama 16 дней назад

    Uyo police ni mwehu

    • @JohnMbaruku-e1n
      @JohnMbaruku-e1n 16 дней назад

      @@totodmukama hii nchi ata utii vp sheria ila ukienda police mfuko lazima utoboke

  • @EdyJoseph-g2k
    @EdyJoseph-g2k 16 дней назад

    Makuma ho Kuma la mama yao

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 16 дней назад

    Ovyo

  • @SalumAlly-em2ji
    @SalumAlly-em2ji 16 дней назад +1

    Kamanda ambae sio raia kamata achukuliwe hatua na mamlaka husika ,,,,Lililipo hapa sio uraia lahashaaa '''Unyanyasaji umekithiri afu ninyi police jeur ,ubabe,unyanyasaji milionao ni kwaajili ya mishahara mnayopokea mnaona haitoshi .Kama haitoshi napo acha kazi uone ilivongumu kuishi uraiani

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 16 дней назад

    Bodaboda ni kero kwa watumiaji wa barabara wengine, wana vunja sheria zote za barabara zote, hawajali wapita njia kwa miguu, wananyanyasa waenda kwa miguu sana tena SAAANA, Bodaboda ni ovyo sana...ni kero SAAANA....

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 16 дней назад

    Kwani ni Mama SAMIA kawaambia wakafunge Barabara? Bodaboda wengi ni Warundi hao ndio sababu hawana leseni hivyo Tandika viboko Warudi Kwao Burundi.

    • @hekimahomedecor
      @hekimahomedecor 16 дней назад

      acha ubangu wewe sisi wote ni kitu kimoja wazungu wanatubaguwa na sisi tunaanza kubaguana tena mungu apendi hivyo muongope mungu kigoma ni nchii nyingine ndo tanganyika uliza vizuri

    • @HALFANIJUMA-j8t
      @HALFANIJUMA-j8t 16 дней назад

      Kuma mama yako

    • @PauloMiage-m1x
      @PauloMiage-m1x 15 дней назад

      Mjinga wew kwan utafutaji una mipaka??? We hujielewi wew unafikir watanzania wote wanafanyia kazi Tanzania??? Acha hizo wakisema kila mtu arudi kwao hata babu zako huenda hawakua watanzania acheni ufala