Asante I hope utakuw umesha subscribe channel yangu kama bado fanya ku.subscribe channel yangu na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wakwanza kupata ujumbe nitakapo upload vid zangu🙏
Daaah bloo so good 👍 mungu akupe nini bloo ila ningependa kutoa ushauli unatakiwa uwe unafanya review nyingi zaidi na isitoshe uwe unaonesha sample umechukua sehemu gani itaakaa poa sana bloo nimependa nijifunze kutoka kwako
Hellow natumai mko poa wote!
*kama mtahitaji niifanyie tutorial beat yeyote ambayo nimesha upload teyar kwenye channel yangu dondosha comment yako hapo chini zikifika comment kazaa nitafanya tutorial ya hilo beat Asanteni🙏
Naomb kuulz swal wakat unaremake unapiga kebord au una panga kak
Uwe unashow na plugn unazotumiag mkuu please tutajifunz kitu
@@alextz5877 vyote navifanya
@@alextz5877 👍
Wandoto by ibraah tafadhali
Napenda vile unafunza...very simple but it's ahit🔥🔥🔥🔥...mie natoka kenya
@@YangTee thanks 🙏
Unajua sanaaa
Ahsante
niuundiee beat. hii ni kali
sana mwanetu
u made it prod..tunawaweza walioko juu but hatujapa nafasiii 💪🏽
🤣🤣🤣Kabisaah
Unyamaaa saanaa
Asante bro
Big up. Si rahisi kakangu.
Thanks🙏
Nice one bro
thanks
brother keep moving on you are such a talented man, I am from congo but 5/5 I'll be with you big man. Thanks for your big job.
Thank you very much🙏
Ukovizur
@@stargalinya5135 Ahsante 🙏
kazi nzuri bro
Asante I hope utakuw umesha subscribe channel yangu kama bado fanya ku.subscribe channel yangu na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wakwanza kupata ujumbe nitakapo upload vid zangu🙏
Shukran sana kaka ❤
Ingekua freshi ungeonesha Uko unatumia vst gani
Nashukuru Kaka unanibadilisha sana
@@mlowezitz unakaribishwa🙌🔥
Kweli inatusaidia iyo kaka
Asante
bigup bro
thanks
Nice bro
thanks
Daaah bloo so good 👍 mungu akupe nini bloo ila ningependa kutoa ushauli unatakiwa uwe unafanya review nyingi zaidi na isitoshe uwe unaonesha sample umechukua sehemu gani itaakaa poa sana bloo nimependa nijifunze kutoka kwako
ok..Ahsante kwa ushaur wako
@@Mozeevibes ok thanks
Good job mozze,naeza pata nambako,natoka kenya
whatssap no.+255692794837
Yow ama producer just mda mwingine utuonesh umetumia hizo sounds kwa kutumia plugns gan...
Kaka nakuomba tufanyie video moja namna ya kuchonga sample Raza za singeli
sinaga roho mnaya mtu akikosha nacomment na like na subscribe
👊
Nam nifundishe kutengenbeat mwanzo hd mwisho
Tag iyo plug in ya kuanzia
Mas forca
Ako ka sound kenye kame ka kama lead ya mwimbo Kanaitwa aje
Kinatokea kweny nexus
Mimi Sina Cha kuongea kwako Acha Kwanza nijifunze kupitia uwezo wako MUNGU AKIBARIKI KAKA pia ningependa siku Moja ufundishe ku mix vocal
subscribe my channel and stay tune🙏
i need your inbox bro
my Email: mozeebeat@gmail.com