Congratulations, am so happy to see catholic solo artist coming out and using their talents on the right way without fear and full of Confidence We are used of seeing catholic choirs only evengelizing but with these solo new comers it gives us hope and pride of our religion, congratulations 🎉
Asante sana Miss Antonia na Bwana Kameja kwa uimbaji bora. Hakika ni vizuri kumheshimu mama aliyetuzalia mkombozi wetu Yesu Kristu. Mbarikiwe sana🙏🏻🥰👌🤗
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana Antonia na kameja👏👏👏 Bikira Maria azidi kutuombea na kuwa kielelezo bora sana katika maisha yetu🙏 Jina la Mungu lihimidiwe milele hata milele🙏
Antonia huu nao umeweza kinyama❤❤❤ Waooooo... Napenda vaibu iliyoyoko pamoja Wana Arusha Elite. Keep going dears. Naye Mkuu Kameja Kila anapowakilisha Sauti yake ya kibingu hakosi kufanya makuu. Kakangu unafanya kazi njema zaidi. Keep supporting the growth of upcoming voices na Mungu hataacha kukubariki Kila kuchao🙏🙏🙏
Ukiwa umecheza huu wimbo Mara zaidi ya kubwa Leo gonga like twende
Mungu awabariki 🙏🙏❤❤🔥
Kazi nzuri hongera Sana kwenu💐💐💐
Asantee sana 🙏🙏♥️
Amina
Hongera sana Antonia nafurahi kuona mtoto wa nyumbani kabisa Rulenge unafanya mambo Makubwa Mungu azidi kukubariki
Asantee sana kaka🙏🙏❤
GOOD SONG
Hongera sana 👏
Asante sana kaka🙏🙏♥️
Hongera sana dogo mwenyezi Mungu azidi kukuinua Kwa viwango vingine
Asantee sana Dada🙏♥️♥️
Wimbo mzuri sana dada yangu na unaenda na wakati. Keep going ss
Thanks so much bro🙏🙏♥️❤
Hongera sana zao la rulenge
Kabisa kaka 🔥🔥🔥
Wow hongera kazi nzuri sana rafikiangu. Mungu akuongeze. 🥰🥰🔥🔥
Kazi nzuri mno Antonia🎉🎉🎉❤❤❤
@@RiqsKobia asantee sana kaka angu🙏🙏❤❤😊
Ongela sana mungu abariki kipaji chako.
Sasa
Asantee sana kaka
Hongera sauti nzuri
Asantee 🙏🙏
Kazi safi ❤❤
Asantee Dada🙏🙏❤
Tamu Sana hii🥰🥰💯💯, Mungu azidi kubariki kipaji chako 🤗💯
Amen 🙏
Wimbo mzuri sana kipenzi mungu azidi kukupigania
Amen 🙏🙏❤
Amen asantee 🙏🙏❤
Sifa za mama maria isambae kote. Great piece
Thank you Dada 🙏♥️♥️
Kazi safi 🔥🔥🔥 keep it up girl
Thanks so much
Kazi safiiiiiii zaidi.....🎉🎉
🙏🙏❤❤
Mama Maria tuombee kazi nzuri sana
Thanks 🙏🙏❤
Hongereni sana kwa wimbo mzuri. Mama bikira Maria atuombee daima na mzidi kubalikiwa kwa sauti nzuri hongereni sana.
Amen asantee sana 🙏🙏❤❤
Congratulations, am so happy to see catholic solo artist coming out and using their talents on the right way without fear and full of Confidence
We are used of seeing catholic choirs only evengelizing but with these solo new comers it gives us hope and pride of our religion, congratulations 🎉
Thank you so much damaris kindly subscribe and keep waiting for next good news🔥🔥💪❤❤
I love this song very much. This song gives me plenty of joy in my life ❤❤😊😊🎉🎉🎉
@@ritamwadime4288 amen🙏🙏 thanks so much ❤❤🎉
Mama Maria atujarie Amani na furaha ktk maisha yetu yote nakijua vyema dini yetu❤
Amen 🙏🙏♥️
hongera sana kipenzi🙏
Asantee dear 🙏🙏
Asante sana Miss Antonia na Bwana Kameja kwa uimbaji bora. Hakika ni vizuri kumheshimu mama aliyetuzalia mkombozi wetu Yesu Kristu. Mbarikiwe sana🙏🏻🥰👌🤗
Amen my dear balikiwa pia🙏♥️♥️
Hongereniiiiii wimbo mzr waimbaji🎉🎉🎉🎉🎉 maua yenu
Amen asantee sana 🙏🙏
Hongera Antonia ❤
Asante sana
Hongera sana Dada zidi tena sana na mungu akubariki kwa uimbaji wako
Amen sana na Asantee🙏🙏♥️
Nyimbo nzuri 💯💯
Asantee sana kaka
Hongera sana 👏👏. Wimbo nimeipenda sana
Amen🙏🙏🙏👏❤
Hongera Sana Antonia kazi njema Sana.
Asantee sana Dada angu🙏🙏❤
Wooow, Salamu mama Maria , Hongereni sana
Amen 🙏🙏🙏♥️♥️
hongera sana mdogo angu one step ahead
Asantee Dada🙏🙏❤
Barikiwa Sana mdogo wangu bwana yesu akutunze daima
Asantee sana Dada angu
Hongera dada angu wimbo mzuri sana❤❤
Asantee sana 🙏🙏♥️
Hey sis♥️♥️A nice one it is
Thanks so much sis♥️♥️🙏
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana Antonia na kameja👏👏👏
Bikira Maria azidi kutuombea na kuwa kielelezo bora sana katika maisha yetu🙏
Jina la Mungu lihimidiwe milele hata milele🙏
Amen ubalikiwe pia🙏❤❤
Toumbe rosari takatifu Kwa Mungu kupitia mama Maria .our greatest intercessor
Amen 🙏🙏🙏❤❤
Mbarikiwe na mungu ❤❤❤
Amen 🙏🙏❤❤
❤❤❤Good one my dear.Salamu mama maria.🎉
❤
Thanks so much my dear 🙏♥️♥️
Kazi.nzuri.mbarikiwe.sana
Good song nawapenda sanaa💗💗💗💗
Asantee tunakupenda pia❤❤
Tamu sana❤🙏🙏🙏🙏
Asantee sana 🙏🙏
@@antoniavicent2827 karibu sana🤗❤️
Hongera sana Dada kwa hatua nyingine mwenyezi mungu azidi kuiuinua katika kipaji chako🙏🙏🙏❤❤😘
Amen mdogo wangu 🙏🙏♥️♥️
Hongera babygal ❤
Asantee dear 🙏🙏♥️♥️
Halelluy 🙌 🙌 🙌 🙌 Salamu Mama wa mkombozi wetu 🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana kwa wimbo mzuri
Amen asantee sana Dada
Sauti nyororo...Barikiwa
Amen 🙏🙏🙏
Ahooo KAZI nzuri jamani hongera sana Dada Antonia
Asantee sana kaka angu 🙏🙏
Hongera sana mpendwa 🙏🌹
Asantee sana dear
Hongera good job
Thank you🙏🙏♥️🙏
Hii wimbo imeweza zaidi
Asantee sana 🎉🎉❤❤🔥
Safi✔️
🙏🙏❤❤
Hongera sana dada yangu Antonia hakika ni mwezi wa Mama
Amen uzidi kubalikiwa🙏🙏♥️♥️
Hongera dadaangu Mungu akuzidishie
Amen asantee sana 🙏🙏❤❤
@@antoniavicent2827 Naomba tuimbe wotee
@@ScovianAlex karibuu dear
Hongela sana ❤❤❤❤❤
Asantee sana🙏🙏
You do good dadaa👏👏👏
Thanks 🙏🙏🙏
❤❤❤ wow wow too nice
Thank you 🙏🙏♥️♥️
Salamu Mama Maria..... Mama Utuombee. Thanks to Singers
Thank you🙏❤
Listening from muranga.nice song
Thanks 🙏🙏🙏❤❤
Hongera sana mama yetu maria
Amen 🙏🙏♥️♥️
Hongereeni sana wanakwaya mmeimba vizuri sana
Asantee sana
Hongera Sana mdogo wangu kipenzi,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu.
Amen asantee sana Dada 🙏🙏♥️
Awesomeness 👌 👏
Thank you 🙏🙏♥️
Maria mtakatidu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu
Amen🙏🙏❤❤
Waooo hongera sana dada Antonia kwa kumuimbia mama yetyu Maria, wimbo mzuri 🎉❤🎉😊
Asantee sana Dada angu 🙏🙏♥️♥️
❤❤❤❤❤nzr sana
Asantee sana dear ❤❤❤
Great job dear!
Urakoze cyane sister wanje🙏🙏♥️♥️🔥
Great track.God bless u
Thank you for watching blessed also 🙏🙏♥️♥️♥️
Antonia huu nao umeweza kinyama❤❤❤ Waooooo... Napenda vaibu iliyoyoko pamoja Wana Arusha Elite. Keep going dears. Naye Mkuu Kameja Kila anapowakilisha Sauti yake ya kibingu hakosi kufanya makuu. Kakangu unafanya kazi njema zaidi. Keep supporting the growth of upcoming voices na Mungu hataacha kukubariki Kila kuchao🙏🙏🙏
Ni mkali kinyama😂😂
Asantee kaka Mungu akubaliki pia🙏🙏❤❤
Blessed dear❤❤
Amen dear ♥️♥️
Maisha mema kwenu kanisan katoric lidum daima milele
Amen ubalikiwe pia🙏🙏❤
Congratulations 🎉
Thank you
Though am not hearing the language but am blessed 🙏
Amen thanks God bless you🙏🙏❤
Wow wow wow ❤❤❤❤
🙏🙏♥️♥️♥️🔥
Wonderful ever
Thank you
🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️🥰❤️mbarikiwe Sana
Amen Asantee sana 🙏🙏❤❤
Nice song listening from Nakuru milimani
Thanks friend❤❤❤💪
Good voices,Avery good song for our mother Mary be blessed
Thanks Jack God bless you my dear ♥️♥️🙏
Thanks for nice melody for mother Mary God bless you abundantly for more knowledge
Thanks so much my 🙏❤❤❤
Good job 👏
❤❤❤❤ congratulations 👏👏👏
Thanks dear 🙏♥️♥️
Wimbo mtamu ❤
🙏🙏🙏
Such a great song to our Mother Mary💙💙
Amen be blessed 🙏♥️♥️
Asante sana utme mwema
Je vais aimes depuis la RDC
Congratulations 🥳 thiß is on another level
Amen🙏❤❤❤
Hongera🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Always proud of you people and I'm so proud to be Catholic. be blessed in the struggle
Thanks so much bro♥️♥️🙏🙏
Welcome. Always with you👉🙏♥️
very relevant in this Marian month ,,,, so touching 💓💓💓💓
Thank you 🙏🙏♥️❤
Utengwe😂😂unajua kumbe
Umebarikiwa milele dada
Amen Amen Amen sanaa kaka angu🙏🙏❤❤❤🎉
Amazing song 🎵 ♥️. Keep it up 🎉
Thanks 🙏
It is a masterpiece 🔥
Thank you 🙏🙏🙏
Nice song ❤❤🎉
Thanks
Good job little Angel🎶💞
Thank you so much 🙏🙏
Vous avez notre soutien depuis Rome en Italie. C'est un magnifique chant.❤
🙏♥️♥️♥️♥️
Keep on gyal🎉🎉
Thank you 🙏🙏♥️
Good voices, Avery good song for our mother Mary 🙏🙏🙏
Thanks so much
Congratulations this is soo nice my dear. May Mary Mother of God interceed for us always ❤
Amen my dear thanks so much 🙏🙏❤❤❤
may God keep on blessing you❤
Amen thank you so much sisy🙏❤❤❤
Wow🎉❤
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Drop number