MAQAAMAT DARSA NO.1 // SAUTI BAYYAT NA NGAZI ZAKE KUTOKA KWA DR. MUHAMMAD MUHIYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 56

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 3 месяца назад

    Masha ALLAH shukran sheikh

  • @jamshedaltiwani6481
    @jamshedaltiwani6481 Год назад

    A aleykum warahmatullah wabarakaatuh
    Alhabib sheikh Muhammad muhiya, ww ni mwalimu wangu wa kwanza katika fani hii! Pale masjid istiqaama ilala 2010 kama unakumbukumbj uliwahi kutupata kwenye darasa letu lile!!
    Mashallah Kwa hakika ulitufunua vichwa !! Nikudokeze jambo!! Wakati unaletwa kwetu na ust saleh Omar ...na ulipoanza kuzungumza tukawa tunajiuliza Kwa uzito wa sauti ya uzungumzaji wako😆 ,
    VP utaweza kughani!!??
    Mashallah Allah akupe kheri na barka

  • @nambaleian-gf6dp
    @nambaleian-gf6dp Год назад +1

    Naomba tafadhali ujua vipi qarar na jawabu katika Quran tukufu

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Год назад

    ماشاءالله تبارك الله

  • @saidyitury9813
    @saidyitury9813 2 года назад +1

    Shukran mwamba

  • @muftyomar5789
    @muftyomar5789 2 года назад +1

    ما شاء الله دكتور حياك الله

  • @muhhamadahmed12
    @muhhamadahmed12 2 года назад +1

    ماشاء الله ، شكرًا يا أستاذ 👑

  • @saidismail3024
    @saidismail3024 5 месяцев назад

    Shukran shiekh

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 Год назад

    Mwalimu mm nataka nilete wanangu wawili nipe muongozo shekh nakukubali sana shekh

  • @AthumaniSalimu-pv1ge
    @AthumaniSalimu-pv1ge 11 месяцев назад

    Jazak khayra

  • @saleemdede8800
    @saleemdede8800 2 года назад

    Mashaalah kaz nzur doctor muhiya inshaalah allah azid kkupa nguv jamb hil lizid kuw endelevu

  • @abohusien4831
    @abohusien4831 2 года назад

    Dr.Muhiya 👍🏼👍🏼👍🏼

  • @alhadadiadam8921
    @alhadadiadam8921 2 года назад

    ماشاء الله تبارك الرحمن فيك. شكرا ايا دكتور

  • @nyumbaniwawi9643
    @nyumbaniwawi9643 2 года назад

    Ahsante maalimm nimejifunza kitu ktk darsa yaleo ningelipendalea darsahiii isiwe sikumoja

  • @hassankisuke5356
    @hassankisuke5356 2 года назад

    Jazakallahu Khayran

  • @mohamedishemtuhu8305
    @mohamedishemtuhu8305 2 года назад

    Asantee bamkweee

  • @officialibnumustwafa
    @officialibnumustwafa Год назад

    Maashaallah mwamba tuko pamoja

  • @usaelharlan2715
    @usaelharlan2715 2 года назад

    Doctor muhiya 👍🏼✅

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 10 месяцев назад

    Allah akuongozee na akulinde shekh

  • @baha7845
    @baha7845 2 года назад

    Sukran ya doctor 💯

  • @yussifabduallah5310
    @yussifabduallah5310 2 года назад

    Sukran muaalim

  • @khamischega2418
    @khamischega2418 2 года назад

    Nakubali mwamba bless you Allah

  • @AthumaniJongo-j8t
    @AthumaniJongo-j8t 10 месяцев назад

    جميل

  • @jumannekambi232
    @jumannekambi232 2 года назад

    Maşallah çok güzel ya..

  • @swalehbinaliy9413
    @swalehbinaliy9413 2 года назад

    Duh mashallah doktor

  • @ibrahimammar7800
    @ibrahimammar7800 2 года назад +1

    Mashallah mashallah habbeeb

  • @sharifsaid7632
    @sharifsaid7632 2 года назад +1

    Maashaallah

  • @saidismail3024
    @saidismail3024 5 месяцев назад

    Naomba lesson nyengine ya maqat Kama vile sika na kadhalika

  • @saidothman2521
    @saidothman2521 2 года назад

    Alhamdulilah allah akuthibitishe miongoni mwa watukufu waliotangulia ila nahc usitumie mike mkononi wambie watu wako wa sauti waboreshe zaid inshaallah tupo nyuma yako

  • @RamadhaniMuhsini
    @RamadhaniMuhsini Год назад

    Maashaallaah ila mi py nataman kujua maqaamaat sjui itakuaj

  • @wonderyasin3379
    @wonderyasin3379 2 года назад

    Ahsante maalim Mimi ni mwanafunzi wako

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 2 года назад

    ما شاء الله

  • @AllyMwono-eq6hl
    @AllyMwono-eq6hl 7 месяцев назад

    asalam alykum habb mimi naitwa ally muhammad au mwono shauq nina omba nihudhurie darsa live au unisomeshe kwanamna yeyote au uniunga nishe na mwanafunz wako yeyote atae nsomesh mimi ni mwimbij apa chuoni kwetu lakin saut sii riziki nakutaraj sana

  • @buba11bobo64
    @buba11bobo64 2 года назад

    Mbona uendelei shekh

  • @khamiskichuya3583
    @khamiskichuya3583 2 года назад

    Unaliza mwamba ma sha Allah 😭😭

  • @mohamedishemtuhu8305
    @mohamedishemtuhu8305 2 года назад

    Asant sana bamkwee

  • @peacelion9009
    @peacelion9009 2 года назад

    Mashallah

  • @ArafatIsmaily-bz8dp
    @ArafatIsmaily-bz8dp 11 месяцев назад

    Shekhe Asalam-Alleykum saut ya chin unaanza kusoma nusu aya au aya moja chin aya nyinginɛ juu?? Naomba uniraarfu shekh

  • @kamaludeenal-sufi-of9ec
    @kamaludeenal-sufi-of9ec Год назад

    Ustadhi kwa hisani Yako tuletee ya sika please

  • @shafii_abdallah_mwalile
    @shafii_abdallah_mwalile Год назад +1

    Habar yako kak unapatikana wapi naomba unitumie namba zako tuwasiliane

  • @salumally663
    @salumally663 2 года назад +1

    Al akh darsa nzuri ila kwa nasaha jaribu uwatungie mtiririko hata kwa lugha ya kiswahili. watoto watakama vizuri hata kwa kiswahili..

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 2 года назад +1

    Habibi Mashallah alhamdulillah nimepata kitu kikubwa kwako wewe leo ♌

  • @nyumbaniwawi9643
    @nyumbaniwawi9643 2 года назад

    Vp doctor mbona hatukuona somojengine jmaaapili hii

  • @YusuphRamadhan-c1w
    @YusuphRamadhan-c1w 7 месяцев назад

    Vp bado ipo?

  • @saleemdede8800
    @saleemdede8800 2 года назад

    Doctor me naswali juu ya hiz ngaz za bayat je n lazma ukisoma zitimie ngaz zot saba??mfano katka surt fatha uliyotolea mfan hazijatimia ngaz zot saba ila ukawa umeshafka kweny jawab swali lang je inafaa kuzidi au kupingua kw hiz ngaz saba mpka kuifikia jawab??

    • @fahmyamour
      @fahmyamour 2 года назад

      Hili swal nilitaman lijib namm ninufaike

  • @mailacamillius
    @mailacamillius 6 месяцев назад

    Doktoor

  • @RahmaUssi
    @RahmaUssi Год назад

    Shekh asalam alaikum mm nataka no yako nije nije kujifunza kwanza

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 2 года назад +1

    Inshallah mwamba huna mbaya wewe

  • @abrazakahmed5290
    @abrazakahmed5290 2 года назад

    Sheikh naomba namba yako please

  • @fahmyamour
    @fahmyamour 2 года назад

    Mwalim ntaka namm nije hapo nishiriki darasa hilo nipo hapa nuru yaqin

  • @nasreenzulfikar8560
    @nasreenzulfikar8560 Год назад

    MashaAllah..share ur Instagram page plz

  • @abuuirtifaahaamid3310
    @abuuirtifaahaamid3310 Год назад

    Maasaallah

  • @AbdallahJuma-sk1ep
    @AbdallahJuma-sk1ep 5 месяцев назад

    Maashaallah