Hiyo ya kumfukuza mama na mtoto msizingizie Mungu hiyo ni tabia mbaya yaan umfukuze mtu eti kwa vile mke hamtaki hayupo Mungu wa hivyo ni roho mbaya sana.
Kuhusu mwanamke nivema na yeye aende na wakati Kama wakati unamwacha eti nimnganganie tu ni sawa unilazimishe Motorola ya kidole wakati Sasa tunapanguza cm summat phone
Hallelujah hallelujah praise almighty Jesus Christ amen
Amen amen servant of God I catch you well
Ni mengi mno amenitendea
Amen my daddy ❤️❤️❣️❣️
Hiyo ya kumfukuza mama na mtoto msizingizie Mungu hiyo ni tabia mbaya yaan umfukuze mtu eti kwa vile mke hamtaki hayupo Mungu wa hivyo ni roho mbaya sana.
Jiwe likitupwa kwamwenzio usiling'ang'anie kuwa likupige ww
Elewa somo kwanza
Mungu atusaidie
Aminaa daddy barikiwa ssna
Ameen dad
Nilichoelewa kuhusu Sara na mjakazi siku zote wanawake wanachoangalia ni mali kwamba hapend mtoto ake aridhi na mtoto wa mwingine .
Najifungamanisha nikapokee emn
Kuhusu mwanamke nivema na yeye aende na wakati Kama wakati unamwacha eti nimnganganie tu ni sawa unilazimishe Motorola ya kidole wakati Sasa tunapanguza cm summat phone
Amen