IRENE UWOYA ALIVYOMWAGA MAMILIONI KWA MAMA YAKE MAZAZI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 70

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 года назад +17

    Natamani mama yangu angekuwepo nimfanyie hivi awwwww God bless you Irene

  • @vinaah3437
    @vinaah3437 3 года назад +17

    Mama mtamu jaman nimejikuta nalia kwa furaha an kama mm ndio nmemfanyia hiv mama angu, mama mungu akupumzishe salama😭🙏

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 года назад +15

    Aya sasa mungu atufanyiee wepesi tuweze kuwanunuria ata mandoro mama zetuu😭😭😭😭

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 года назад +2

    Huyu kijana alieimba anaimba vizuri sana Mungu Azidi Kumnyanyua ktk Viwango Vya Juu Kabisa. Hakika Irene umeonyesha ni Jinsi GANI UMEMTUKUZA MUNGU KWA KUKUPA MALI ZOTE ULIZONAZO; NA JINSI UNAVYOMPENDA MWANAO KRISH NA UNAVYOWAHESHIMU WAZAZI WK. WEWE NI MFANO WA KUIGWA NA WASANI WENZIO. UBARIKIWE MNO MAMA KRISH💜💜💜🤎

  • @tumainsawe6960
    @tumainsawe6960 3 года назад +7

    Mama ni mama tuuuu natamani na wangu angekua hai but ndo hivyo

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 3 года назад +4

    GOD IS GOOD ALL THE TIME ALHAMDULILAH....🙏

  • @aubyas8525
    @aubyas8525 3 года назад +1

    Moms are everything 🥺🥺 this is so sweet

  • @isunga1964
    @isunga1964 3 года назад +12

    Mpaka nimelia 😭😭😭😭 R.I.P mama pamoja na kipenzi chako Baba mzazi wa mie mbele yenu nyuma yetu

    • @hadijanjuga8870
      @hadijanjuga8870 3 года назад

      😭😭😭😭😭😭

    • @vanessaenock1337
      @vanessaenock1337 3 года назад

      Mungu akupe amani sms hii akakufariji

    • @isunga1964
      @isunga1964 3 года назад

      @@vanessaenock1337 amina wangu tushapoa mungu ni mwema tunasonga

  • @mwanahamisseif5506
    @mwanahamisseif5506 3 года назад +2

    Daaah sisi tulio zika wazazi wetu ndio tunaumiaa sana hasa tukiona vitu kma ivi endelea kupunzika kwa amani mama angu kipenzi 😭😭😭😭

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 года назад

    Mashallah uwoya kwa ringa kwa mama yako mungu akuwekeye aishi maisha marefu

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 года назад +7

    Hivi huu utaratibu wakumtunza mtu kwa kumtupia pesa tena mamaako ni sahihi kweli au ni kufuru kwanini asihesabu hiyo pesa huku akimpa mkononi ni maoni yangu naona huu utaratibu siyo mzuri anyway Mungu awabariki

    • @zuhuranassoro7149
      @zuhuranassoro7149 3 года назад +1

      Wala si sahihi tena mama nikama umemdharau, alafu akimaliza kumtupia mama aokote mwenyewe haijakaa poa, bora angempa mkononi tena huku akipiga magoti kwa heshima.

  • @saeedalyahmadi1738
    @saeedalyahmadi1738 3 года назад +7

    Hivi hizo hela wanazotoaga hivyo public je kiuhalisia wanawapaga kweli wazaz wao katika siku za kawaida, ikiwa ni ndyo basi abarikiwe sana tofauti na hapo bc mungu huweka dhahir yaliyojificha

    • @vanessaenock1337
      @vanessaenock1337 3 года назад +1

      Sasa uyo kwao kwanza mtonyo upo

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 3 года назад

      @@vanessaenock1337 haijalishi kinachoangaliwa ni je unawajali kama walivyo kujali ulipokuwa mdogo

  • @hansbigi9536
    @hansbigi9536 3 года назад +5

    Wengine mama Zetu Wapo Lkn mapene Ndo Hvo Hakuna,,,,,, so angesema neno Moja Asante,, then Pesa akapeleka Kanisan Au akawapatia Watoto Yakima Na masikin

    • @hansbigi9536
      @hansbigi9536 3 года назад

      Mailing,,, Sana,,,, wabongo Bwana waweza kuta Yupo location.

  • @mysarahlongra5812
    @mysarahlongra5812 3 года назад

    Hadi raha duh mungu ampe mama yako maisha maref nataman nam ningekua na mama

  • @ibrahimadia2290
    @ibrahimadia2290 3 года назад

    Queen uwoya

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 3 года назад +3

    Wow

  • @gracesamwel1338
    @gracesamwel1338 3 года назад

    Umetengenezwa hii pole mama kwa kupelekeshwa....mama katulia Hana hta furaha....

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 3 года назад

    Yani mm mwenye kama anazarzhu ibyo bitu byakumpa pesa hivo ,na wala hazitizame ata kuzishtukiya. Yanimama kama vile alikuwa hapendi kufika kwa uyo upuuzi ,héla yenyewe kama anahizarahu

  • @تةامممن
    @تةامممن 3 года назад

    Na mim ningerikuwa na mama yangu ningemufanyia sapraizi kama hiyo sas amesha tanguria mbere yahaki r I p I furaha 😭😭😭😭

  • @hadijaabdul8765
    @hadijaabdul8765 3 года назад +5

    Hapa anaomba samahani alivyokatazwa kuolewa na dogo janja 😄😂😂😂

  • @charitymusyoka2128
    @charitymusyoka2128 3 года назад

    Am cutting onions 😢😢

  • @aminakuboja2962
    @aminakuboja2962 3 года назад

    No one like mother

  • @angeltusumwike2161
    @angeltusumwike2161 3 года назад

    Kumbuka ndio unalinda izo ela au neneee

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 3 года назад

    Mama katulia

  • @africanqueen956
    @africanqueen956 3 года назад

    Kumbuka hatulii

  • @mwanamvuakalugula8848
    @mwanamvuakalugula8848 2 года назад

    Babaako mzazi Yuko wapi dada

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 3 года назад

    Ayo ni mambo ya dini ama dunia 😳😳😳

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад +2

    Mc kihelehele Dr kumbuka yupo🤣🤣

  • @carolinetanui2382
    @carolinetanui2382 3 года назад +2

    Jina la mwimbaji

  • @dajuriyticha5643
    @dajuriyticha5643 3 года назад

    Alivyomuhug nimelia jamani kua na mamaa rahaa

  • @husseinkashushu3395
    @husseinkashushu3395 3 года назад

    Kwani huyu si Ali slimu hyu karudi kwenye diniyake 🥺

  • @GUARDCLEVERTV
    @GUARDCLEVERTV 3 года назад +1

    Hizo ni dharau huwezi kumtupia mamaako pesa km hivyo .bora umkabidhi tu na kumuambia kiasi kilichopo

  • @Dimoso887
    @Dimoso887 3 года назад

    Congratulation

  • @amirihassan4974
    @amirihassan4974 3 года назад +1

    Mazazi

  • @aminaathuma3193
    @aminaathuma3193 3 года назад

    Mama unampa hela hadharan za nn sasa

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 3 года назад +5

    Mama han furaha mbona

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 года назад +1

      Kurushiwa hela vile Kama ombaomba unafukri atafurahi bora angempa mc akazihesabu na kumkabizi

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 3 года назад +1

      Mama kwake ni furaha sikiliza wimbo unaendana nakutunza,anakumbuka mengi yeye ajawai kumfanyia hivyo mama yake

    • @pricelessmaurah9584
      @pricelessmaurah9584 3 года назад

      Long live our mamas....kwa waliotutangulia they will always be our angels♥️

  • @eliudkatimbo9879
    @eliudkatimbo9879 3 года назад

    Huyu muimbaji anaitwa Nani...na hii nyimbo inaitwaje