Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Magoli Yote | NBC Premier League 25/12/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 55

  • @zachariajaphet9289
    @zachariajaphet9289 11 часов назад +4

    One of the best football comentetor I know keep shinning bro

  • @RahajiMussa-t7u
    @RahajiMussa-t7u 7 часов назад +1

    Yaani Yanga hii itafungiwa maana wamezidi kuweza sana 😂😂😂🎉

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 7 часов назад +1

    Yanga kweli iko vizuri Lakin mudi Kala kweli kala😂😂😂

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 30 минут назад

    Prince Dube hakuguswaa
    Daaaaa😢

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 10 часов назад +1

    Yanga tamuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥💚💚💚🌲🌲

  • @MinaaMohd
    @MinaaMohd 10 часов назад +1

    Mm at yang ishuk vip bdo ninay💛💚💛💚

  • @hassanrashid9436
    @hassanrashid9436 5 часов назад

    😂😂😂😂 kuanzia goli la 2 na kuendelea comedy tupu😂😂😂😂😂

  • @EvanceMagesa-r2k
    @EvanceMagesa-r2k 11 часов назад +3

    Mzizeeee 🔥

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 11 часов назад +7

    Penalty daaaah kweli maisha yanaenda kazi sana kwenye hii ligi ya bongo hata kipofu awezi funika hilo tuta no Penalty incident there just a scam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ElishaEzekia-t1q
      @ElishaEzekia-t1q 11 часов назад +1

      Acha ujinga ww

    • @EvaristJosiah
      @EvaristJosiah 11 часов назад +1

      Yajana kipofu angefunika

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 10 часов назад

      @@EvaristJosiah kama wew ulivyo kipofu ungefunika talks about football weka ushabiki pembeni ile ni penalty ya wapi sasa

    • @MhabeshiMaluja
      @MhabeshiMaluja 9 часов назад +1

      Toa la penalti acha hayo matatu na wewe Jana toa la penalti acha mengine😂😂😂

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 9 часов назад

      @@MhabeshiMaluja mimi sina shida na magoli mengine mm nazungumzia penalty intact mimi siendeshwi na ushabiki kama kuna mahali timu imebebwa huwa nakaweka ushabiki kando naongelea fact

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 9 часов назад +1

    Huyu Ramovic Wa Kukaa Nae Mbali Maana Anamzuka Balaa Anaweza Kupiga Mtu..😂

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 10 часов назад

    Kilwa finest unajua kutangaza ball🙌👏👏👏👏

  • @goodluckmichael3492
    @goodluckmichael3492 4 часа назад +1

    Ilo goli la dube ni off side jmn😮

    • @georgelyombo6063
      @georgelyombo6063 Час назад

      Yap ni offside nadhan linesman hajui vizuri
      Na ile penalt ni mbeleko

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 7 часов назад

    Mudi Kala man of the Mach Sasa nimejua Kwanini Sisi coastal Union tuliachana Na midi😂

  • @AgapeDelo
    @AgapeDelo 10 часов назад

    Mungu ibariki young africans

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 9 часов назад

    Dodoma LAZIMA amuachie mdhamini wake

  • @judithmwakibete3036
    @judithmwakibete3036 10 часов назад

    Hahahaha, you can read what they wrote, you hear the songs they always sing, all in all I can say Yanga always fire fire fire fire! Slowly you can sing GUSA, TWENDE, ACHIA. MERRY CHRISTMAS TO YOU.

  • @johansenbashange2628
    @johansenbashange2628 8 часов назад

    Daaah! Penat ile kweli wajameni?

  • @PiethaMachenchewa
    @PiethaMachenchewa 6 часов назад

    Sindano zimehusika kbsa

  • @joackimsodah8662
    @joackimsodah8662 12 часов назад +1

    Gusa achia twende kwaoo

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 8 часов назад

    Watoto wa Mudy wanavyoumia wamesahau wao ndo wanaongoza kwa kutafutiwa Pennarty

  • @georgelyombo6063
    @georgelyombo6063 Час назад

    Penalty ya mbeleko,
    Goli la nne ni offside

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 11 часов назад +1

    Hamna penalty 😂😂😂

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 10 часов назад

    Hata mtangazaji amesema hakuguswa baada ya kuona picha za marudio ..refa hana var ataona wapi hasa kwa hy arajiga asingefunika mkwaju wa penat km asingeona mguso. Hy Sio kayoko bhana.👀😳

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 10 часов назад

    😮simba inawauma nn nyie jana mlikuwa mnapiga kelele leo vipi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 10 часов назад

    Kipa wa dodoma alibet do!!!

  • @khamismshamu1864
    @khamismshamu1864 9 часов назад

    Yanga kwa kununua mechi wapo vizuri ndomana michuono ya CAF wanaishia kugawa utamu tu

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 7 часов назад

      Amini kwambaaa 😂

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 6 часов назад

      Kanunue na wew mechi au pesa huna .kama hun a bas gawa utamu upate pesa kenge wew yanga bingwa mara 100000000000

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 11 часов назад +2

    GOLI LA DUBE NI OFFSIDE
    MAAN KABAKI YEY NA BEKI MMJA TU AMBAYE ANA ACT KAMA KIPA

    • @faidamisalaba5759
      @faidamisalaba5759 8 часов назад

      Nyie Ndo hamjui kuangalia kabisa

    • @faidamisalaba5759
      @faidamisalaba5759 8 часов назад

      Ana act kama kila Kwani yeye ni kipa 😂😂😂😂😂😂😂 kanye kuleeeeee

    • @l.h.l2254
      @l.h.l2254 6 часов назад

      Ni kweli. Maana mshika kibendera siku zote husimama na mtu wa mwisho na ikitokea ukawa mbele yake na ukanufaika na mpira basi huinua kibendera kuashiri ulizidi ( ulikua nje ya eneo la kucheza mprira) ukiangalia na yeye pia alisimama usawa wa beki aliyejirani na Dube . Yawezekana hakuona vyema nani yupo mbele ya mwenzake zaidi. Lakini ikiwa Dube alikua mbele ya yule beki pale jirani ake basi ilipaswa awe Offside.

    • @georgelyombo6063
      @georgelyombo6063 Час назад

      Yah ni offside ila watu wengi hawajui kutafsiri hiyo principle

  • @markmbise2431
    @markmbise2431 9 часов назад

    Prince Dube hajaguswa refa kafunika penalty na kadi ya njano😢 what a shame in football. Goli la nne hakuna walinz wawili wakati Dube anapokea mpira sheria ya offside imebakwa😢

  • @NgomboAggy
    @NgomboAggy 9 часов назад

    Tunaanza kukuerewa kocha na umekura sikuu kibabe yani

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 11 часов назад

    Watangazaji wa Mpira ...msichambue Mpira huku mnatangaza......acha wachambuzi wakachambue wao ...acha kusema Sio penati hakuguswaa acha

  • @KaijagejustinKaijagejustin
    @KaijagejustinKaijagejustin 10 часов назад

    Wana Simba penalt imewauma sana madakoyenu Sasa 💩

  • @maryrosemaryrose-s5f
    @maryrosemaryrose-s5f 10 часов назад +1

    Sasa simba anakeleka nn hapo

  • @UwesuMkiji
    @UwesuMkiji 7 часов назад

    Kazi yako mtangazaji ni kutangaza mpira na sio kuhukumu au kutoa maamuzi mbona mechi nyengine mwaamuzi anaamua tofauti na huongei chochote

  • @JonathanJohn-b1y
    @JonathanJohn-b1y 11 часов назад +1

    No matter what you do anything but yanga is not fire

  • @judithmwakibete3036
    @judithmwakibete3036 10 часов назад

    Hahahaha, you can read what they wrote, you hear the songs they always sing, all in all I can say Yanga always fire fire fire fire! Slowly you can sing GUSA, TWENDE, ACHIA. MERRY CHRISTMAS TO YOU.