MCHAMBUZI AMBOKILE: SIMBA YA MPANZU UBINGWA WAO , YANGA HAWEZI KUMTOA SIMBA KILELENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 20

  • @PeterSalumu-y8w
    @PeterSalumu-y8w 12 дней назад +2

    Huna baya kaka sema na shida na namba akoo ambokilee

  • @Johnbida7559
    @Johnbida7559 11 дней назад

    Mwandishi n utopolo na ameshindwa kujificha😅😅, all in all ambokile kaongea vzr sana

  • @Isakhiayusuph-jb3yx
    @Isakhiayusuph-jb3yx 11 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @nyalufuomanning5649
    @nyalufuomanning5649 13 дней назад +2

    Bigup wakati mwingne unaongeaga point sana msimu huu simba bingwa

  • @rufadiladebela7089
    @rufadiladebela7089 13 дней назад +1

    Nimshenzi kweri😊😊😊😊😊😊

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l 13 дней назад +2

    Huyu nae akil zakee mungu ndiye anae zijua

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 13 дней назад +1

    Huyu jamaa anaujua mpira na anajua kuongea

  • @PamelaKasoyaga-l3k
    @PamelaKasoyaga-l3k 9 дней назад

    Watangazaji wengine hivi wamesoma kweli? 😮

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 13 дней назад +1

    Ambokile tunakubali Wana simba

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 13 дней назад

    Yaniwewe muandishi muanxishi unabisha nn mbona sikuelewi yanihapo ungekua unamuhoji mwalimuyanga ungekua unamsikiliiza mshamba sana ukitajiwa yanga unaonasawa

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 11 дней назад

    Hizi timu ndogo zitabaki hapo hapo na hata kushuka daraja sababu zimeingia katika mtego wa uchawa , check timu zaidi ya 7 zinamilikiwa na mtu mmoja maajabu ya mpira wetu.

  • @tumaini37
    @tumaini37 13 дней назад +1

    Kucheza na jukwaa ndo nini?

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l 13 дней назад +2

    Ni mchafuz ambae haelewek dakika hii anasema yanga ndiyo timu bora dakika ya pl simba ndo timu bora Tanzania

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 13 дней назад

    Mbona MAXI mwenyewe alisema anamkubali FEI TOTO wakati yanga wapo wachezaji ambao wanaonekana nibora? Hilo niswala la kawaidatu ila wabongo kwasababu kisoka ndobado wanajaribu na nimashabiki wasiojua mpira ndokwamana huwaga wanabwatuka.

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 13 дней назад

    Uy jamaa anahiji san maswl yakijunga yang uy muandish

  • @benitx994
    @benitx994 13 дней назад

    Bora tuonekane washamba Ila dogo tunamfukuza mpumbavu

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn 13 дней назад +1

    Mwandishi tumia taluma yako vizuri acha ujinga

  • @ALLIMUYA
    @ALLIMUYA 12 дней назад

    Ww unamuhoja mchambuzi,anakujibu unang'ang'ania Fala ww yani ushamba na ushabiki.

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 11 дней назад

    Shida huwele weki wewe Mimi simba ila ushambuzi wako wa hovyo kabisa