Barikiwa mnoooo Mtumishi wa MUNGU Alie hai, nimekuelewa vizuri Sana, mimi tangu nimeokoka nilikua nanyoa ,sasa naanza kuzifuga upya, ila vip kuhusu kuziwekea stiming ni vibaya???
Mtumishi kuna ushuhuda wa mtumishi wa Mungu Rachael mushala kutoka zambia, ambae alipata maono akiwa anaenda kuzimu kwa sababu ya ku blow dry nywele zake kwa hivyo swala la blow dry wamama tulichukuwe kwa uzito.
Mtumishi vyote tu ni machukizo mbele ya MUNGU, hata hiyo air dryer ni Yale Yale tu, Ili mradi inatumia umeme haifai, taulo na jua vinatosha kukausha nywele zetu jamani
Watumishi wa Mungu, mtusaidie hata kwa lotion za kawaida zisizokuwa na chamichals na mafuta ya kupaka, tutumie nini? Maana tulisikia na mafuta ya babyjohson yana kazi chafu za kishetani, na kulikuwepo na sabuni na poda za watoto watu wengi tumetumia, sasa tufanye nini jamani mbona kila kitu kimekataliwa??😢😢😢
asante sana mwalimu tushaurie na mafuta mazuri kwetu
Amen Amen
Amen
Amen mtumishi kwasomo zuri Mungu akubariki na akuinue zaidi.
Ubarikiwe pia
Mungu akubariki sana kwa kutuletea somo nzuri.
Ubarikiwe pia
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen somo zuri sana
Ubarikiwe pia
Barikiwa mnoooo Mtumishi wa MUNGU Alie hai, nimekuelewa vizuri Sana, mimi tangu nimeokoka nilikua nanyoa ,sasa naanza kuzifuga upya, ila vip kuhusu kuziwekea stiming ni vibaya???
Ni vibaya
shalom mtumishi ningeomba na mimi muniunge kwa group iyo ya what'ssp naomba mtumishi niwe na fata neno la MUNGU nahishi ujerumani asante sana
Asante ubarikiwe na Bwana. Na karibu tushiriki ibada pamoja. Waweza kutuma namba yako. Asante
Au waweza kutuandikia kwa
Email: cnd9024433883@yahoo.com
Mtumishi Mimi naona vyote ni ubatili bora tufundishe tu neno ila kunyosha nywele ni dhambi
Kusaidiana hata katika mambo ya Maisha ni vizuri
Neno tunafundishwa kila siku ,lakini haya atukuyajua, na asipo tufundisha ndo ivo tutajikuta tunashika Imani isiyo na matendo
@HappinessMwambapa Ubarikiwe mjakazi
@@Homack-tv Amen Amen, MUNGU azidi kukutunza Sana Mtumishi.
Mtumishi kuna ushuhuda wa mtumishi wa Mungu Rachael mushala kutoka zambia, ambae alipata maono akiwa anaenda kuzimu kwa sababu ya ku blow dry nywele zake kwa hivyo swala la blow dry wamama tulichukuwe kwa uzito.
Amen
Hakuna kitu kama hicho.
@Iantussa Hakuna kitu gani dada
Mtumishi vyote tu ni machukizo mbele ya MUNGU, hata hiyo air dryer ni Yale Yale tu, Ili mradi inatumia umeme haifai, taulo na jua vinatosha kukausha nywele zetu jamani
Ubarikiwe mjakazi kwa maoni yako pia.
Nadhani amesha waambia Kila kitu kwa uazi kwaiyo tusiongeze au kupunguza, fateni mwongozo huo.
Watumishi wa Mungu, mtusaidie hata kwa lotion za kawaida zisizokuwa na chamichals na mafuta ya kupaka, tutumie nini? Maana tulisikia na mafuta ya babyjohson yana kazi chafu za kishetani, na kulikuwepo na sabuni na poda za watoto watu wengi tumetumia, sasa tufanye nini jamani mbona kila kitu kimekataliwa??😢😢😢
Zaidi sana Omba Mungu, soma neno, na Roho Mtakatifu atakuongoza.
Tumia mafuta ya Nazi Mpendwa nimazuri Sana
Ubarikiwe mtumishi sana
Ashukuriwe Mungu