YANGA WASITHUBUTU KUMUACHA HAJI MANARA/ ATAONDOKA NA MAKOMBE/ AENDE SIMBA AHMED ALLY HATOSHI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 47

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 2 месяца назад +1

    nasibu you are genius man

  • @HamzaChitanda
    @HamzaChitanda 2 месяца назад +1

    Kweli ana kimzizi cha makombe huyo!!!😅😅😅

  • @richardnelson3521
    @richardnelson3521 2 месяца назад +1

    Huna point yoyote mtangazaji jiongeze

  • @tabumayuhana47
    @tabumayuhana47 2 месяца назад

    MANARA NDO KEY YA YANGA KUIFUNGA SIMBA, VINGINEVYO TAREHE-19/10/2024 TUTAPIGWA NA SIMBA VIBAYA!!!

  • @davidkabungo1192
    @davidkabungo1192 2 месяца назад +2

    Haji Manara, hana nafasi na wala hatufai Simba, ndiyo maana alifukuzwa.
    Ahmed Ally amefanya kazi kubwa Simba . Mtafutieni shughuli ya kufanya huko huko Yanga.

  • @AlbertThadeo
    @AlbertThadeo 2 месяца назад +1

    Uko sahihi mtangazaji manara ananyota

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 2 месяца назад +2

    Kweli jamaa nimwehu,semaji la caf niwamoto baraaaa

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 месяца назад +5

    Hao watu mnaohangaikanao sisi hauna muda nao tulishaachananao nyie malimbukeni mnawafanyia polopaganda ili waingie ktk michezo yenu manara mzoefu kwa mchezo huo ndiyo biashara yake

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 2 месяца назад

    We mwehu ahemedi Ali anatosha hajui manala hatumtaki umehongwa nuni

  • @tabumayuhana47
    @tabumayuhana47 2 месяца назад

    KAKA NAKUUNGA MKONO 💯KWA💯 KAMA TUNATAKA KUFANYA KOSA KUBWA BASI TUMWACHE HajisManara AONDOKE YANGA NA HATARI INAZIDI ZAIDI IWAPO ATARUDI SIMBA, NINA HAKIKA SIMBA WATAPUMUA SANA TUKIMWACHA HajisManara!!! UKITAKA KUJUA UMUHIMU WA HajisManara WEWE ONA MASHABIKI WA SIMBA WANAVYOIFURAHIA KAULI ILE YA Hersi YA JANA PALE KWENYE INTERVIEW!!! KIUKWELI PAMOJA NA UKWELI KUWA YANGA SASA TUNA TIMU NZURI INAYOTUPA FURAHA MASHABIKI LAKINI TUSISAHAU UMUHIMU WA MTU HUYU!!! HAKUNA BINAADAMU MKAMILIFU KILA MTU ANAMAPUNGUFU YAKE NAE HajisManara PIA ANAYO YAKWAKE, NAOMBA TUENDELEE KUMKANYA TU MAKOSA YAKE HAYO LAKINI ASIACHWE. JAMBO LINGINE LA KUFIKIRIA NI HILI KWANINI KAULI ILE YA JANA YA RAIS Hersi WATU WENGI WANAOIFURAHIA ZAIDI NI WATU WA SIMBA??? NDIYO TUJUE KUWA HUYO NI TISHIO ZAIDI KWAO NA ANGUKO LAKE LITAKUWA NA MAANA ZAIDI KWAO!!!

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 2 месяца назад

    Yaani Manara ni wa kawaida Sana, wala hatuna shida naye, Ahmed Ally anatosha kabisa amefanya kazi kubwa sana tena katika wakati mgumu Sana, huyo dogo sijui anaishi wakati gani

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 месяца назад

    INJINIA HENSI YUPO SAHIHI SANA. HAPO ANATOSHA ALI KAMWE. AONDOKE TUU AACHIE VIJANA. NA WEWE UNAMTETEA MANARA MWACHE AONDOKE.

  • @VisentHaule-k8f
    @VisentHaule-k8f 2 месяца назад

    We mpumbavu mkubwa manara aende wapi

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 2 месяца назад +1

    Manala ludi Simba, kwanini uishi utumwaniiiii

  • @SalumMwankemwa
    @SalumMwankemwa 2 месяца назад

    Kweli manara akitoka yanga itapoteana sana

  • @LitoDossani
    @LitoDossani 2 месяца назад

    Uyu mtangazaji choko

  • @HappyBabyKittens-wx2mb
    @HappyBabyKittens-wx2mb 2 месяца назад

    Ww msenge kweli hujui lolote unagongwa na manala

  • @asifiwemololo
    @asifiwemololo 2 месяца назад

    Wewe hamna kitu kweli

  • @salimdaraie2196
    @salimdaraie2196 2 месяца назад

    Hatumtaki ni duka

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 2 месяца назад +1

    We Kila jambo linamda wake aondoke tu 😅

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 2 месяца назад

    Kwani sisi hatukusikia hadi mje mtuambie? Acheni uzushi Manara yupo Yanga

  • @kassimmwawado7002
    @kassimmwawado7002 2 месяца назад

    Jeshi la mtu mmoja! Hakuna msemaji yeyote anayeweza kuifanya team ishinde..kwani yeye ndio coach?

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 месяца назад

    Mi nilianza kujua mpira kwa ushawishi wa haji manara nahisi tupo wengi naungana na mchambuzi

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 2 месяца назад +1

    Huyu jamaa kichaa kweli kweli,sio kweli sasa hivi mambo yanakwenda kisomi manara jawezi kumfikia Ahmed funga mudomo wewe dogo

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 2 месяца назад +2

    Acha bana wewe haji kwani anacheza namba ngapi

  • @HappyBabyKittens-wx2mb
    @HappyBabyKittens-wx2mb 2 месяца назад

    We bwabwa kweli

  • @abdul111ify
    @abdul111ify 2 месяца назад +1

    Mchambuzii, hebu jitambue basi, Misimu miwili ya adhabu ya Bugati Yanga mbona iliendelea kubemba makombe;

  • @minaniormar5841
    @minaniormar5841 2 месяца назад +1

    WEWE NI MTANGAZAJI KWELI?

  • @richardgeorge5377
    @richardgeorge5377 2 месяца назад +1

    Kama umepewa hela na haji pumbavu

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 2 месяца назад

    Uyu mtangazaji fala

  • @hozajuma2239
    @hozajuma2239 2 месяца назад

    Huyu mchezaji mjinga sana

  • @EvarisNgaiza
    @EvarisNgaiza 2 месяца назад

    Wacha kukariri mwanangu

  • @kassimmwawado7002
    @kassimmwawado7002 2 месяца назад

    Upuuzi mtupu..!

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 месяца назад

    WEWE SEMAJI LA CAF HAFANANI NA MANARA ACHA KUMLINGANISHA NA AHAMED ALLIY. HUO NI UONGO WAKO YANGA WAMEPATA WACHEZAJI BORA C MANARA NDY AMEIFANYAETI TIMU KUWA BORA HUO NI UONGO INJINIA NDY AMEIFANYA KUWA BORA

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 2 месяца назад

    Mchonganishi huyooo haji manala ampeleke kwa mama yake au kama anampenda ampe dada yake mshenzi huyu amwache ahemdi aly wetu ametumwa nini huyu kumgusa ahemedi aliy? Mshenzi sana huyu tena pumbavu tusimuone tena kwenye runinga.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 месяца назад

    Nilikuwa nakusikiliza kumbe hamna kitu, huyu mchambuzi katoka wapi ?? Ubora wa Yanga haukuja kwa ujio wa manara Yanga, bali Manara amekuja akiwa na bahati ya ujio wa Engineer na Gsm,

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 2 месяца назад

    Wacha kuongea ujinga aende kmc aifanye kuwa maarafu km simba na yanga

  • @raymomy8457
    @raymomy8457 2 месяца назад

    Tutajie wachezaji wa nne wakubwa wa yanga

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 2 месяца назад +1

    Ukwel haji anaubor kulkoni ally kamwe

  • @mpindafamily1496
    @mpindafamily1496 2 месяца назад

    wewe usimfananishe manala na Amedi ally.aji manara dalasa tu

  • @Ba63828
    @Ba63828 2 месяца назад

    Unapotosha wewe kijana kwahio miezi 6 itaifanya Simba ibebe ubingwa?😊

  • @mpindafamily1496
    @mpindafamily1496 2 месяца назад

    acha ujinga wewe atumtaki aji manala

  • @DaudMusoma
    @DaudMusoma 2 месяца назад

    Sikakuelewa wewe ni mganga mtabili au mwonaji. Ninyi ndo mnaleta mambo ya ushilikina kwenye mpira

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 месяца назад

    Hata sisi wana simba ,tuliona Ally Kamwe yupo bora sana.

  • @hozajuma2239
    @hozajuma2239 2 месяца назад

    We mchambuzi mpumbavu kabisa

    • @AshaNchira
      @AshaNchira 2 месяца назад

      Huna akili wewe mpeleke hajui manala Kwa mama yako Tena mshenzi Sana weeee mshenzi weeee huna adabu mchafuzi weeee wampira.

    • @KhonjeTijengibweka-sp7nz
      @KhonjeTijengibweka-sp7nz 2 месяца назад

      Manala hatumutaki ally anatutosha