Congratulations Cecilia Mungu akakutangulie ukatende kazi yake kwa uaminifu. Baada ya Mungu kuumba mwanadamu kwa mkono wake. Watu wa medical huwa ni mkono wa pili wa Mungu wa kurekebisha pale penye changamoto. Mungu akukinge na watu wanao watumia vibaya kwa manufaa ya shetani.🙏❤💕🏥
Awesome 👌 👏 beautiful voices!!!keep it up,very soothing music 🎶 🎵 ♥️welcome to the world of Nursing profession, very noble and rewarding career I can attest to that!!!!
Waooo... Kazi Safi Sana Cecilia❤❤❤ Kwa Kweli umelitamani Jambo la Muhimu sana la kuwachunga Kondoo wake Mungu wasipotee na kuitenda Kazi yako ya kuwahudumia Wagonjwa kwa uaminifu. Unapohitimu na Degree yako ya Nursing, sisi Kama PeBri's tunakutakia kila la Heri unapojitolea kwa hali na mali kwa kazi ya kuokoa Maisha. Pia Mioyo yetu imajaa Furaha na Shukrani kwa kutuhusisha katika Wimbo huu wa Unyenyekevu. Asante sana. Ni Jambo pia tulilolitamani Sana kila Kuchao. 1. Kumjua, 2. Kumpenda na 3. Kuishi kwake Yesu Milele yote❤🎉❤❤ 🙏 🤲 🕍

Amina Amina. Baraka.nashukuru
Congrats !🎉very beautiful song!the voices are just awesome keep up!
beautiful gal. Continue praising God with that beautiful voice
Awesome 👌 👏 beautiful voices!!!keep it up,very soothing music 🎶 🎵 ♥️welcome to the world of Nursing profession, very noble and rewarding career I can attest to that!!!!
Another great one!! Pongezi my sister, kwa kweli kumjua, kumpenda na kuishi kwa Yesu ndo chanzo cha uhai wetu.
Nice one sauti taku kweli mnazo....@ gatiba kazi safi mno hogera
To know God and to serve him to gain everlasting life....oooooh Cess, the song is awesome
Asante kwa kazi nzuri ya bwana
Keep going🎉🎉🎉
Best of the best, congratulations❤❤
Congratulations 👏 cess nice voice and nice song
Sauti za kupendeza♥️♥️♥️
Hongereni sana ♥️👏👏👏👏
Asante sana Anna.Mungu akubariki
Wow nice sounds, nice song ❤
This lady has a beautiful voice and informative❤❤ you are a star
Beautiful song cess and the team congrats❤❤❤❤
I really love this song❤️. Thank you for refreshing our memories. Well done 👏🏾
Congratulations Cecilia🎊......kumjua, kumpenda na kuishi milele yote💯💯 wimbo mzuri sana
Asante sana.baraka
Congratulations Cécilia nice voici and nice song
Wow! Great song.
What a beautiful song. Hongera Cess🎉🎉🎉
Great job what a blessed voice Cecilia God bless your work.lovely
Asante sana .baraka tele
A very very beautiful song wadau❤❤❤
Napenda sana
Naupenda huu wimbo sana 🙏 kwaresma 🎉🎉🎉
Finally here.. beautiful 🎉❤
keep going mama Gretchen we love you ❤️❤️
Kazi safe gal❤
Sauti nzuri, video nzuri na maneno je? Kumjua, kumpenda nakuishi Naye milele natamani 👌🎊😍
AWESOME!❣
Congratulations dear
Nice lyrics ❤
Nice song I really love it
Beautiful song congratulations sisy❤❤❤🎉🎉
Asante sana.baraka tele
Beautiful. I can see my parish mate Gatiba😅
Congratulations. Nice one
Beautiful song, Cecilia. We thank God for your academic achievements 🎉🎉🎉
Asante nashukuru.baraka
Asante sana .nashukuru
❤❤❤❤ Safi kabisa
Asanteni sana sana .Mungu tu awabariki
Le Song❤️🔥🔥
Beautiful song 🙌🙏
Kazi nzuri
Waooo... Kazi Safi Sana Cecilia❤❤❤ Kwa Kweli umelitamani Jambo la Muhimu sana la kuwachunga Kondoo wake Mungu wasipotee na kuitenda Kazi yako ya kuwahudumia Wagonjwa kwa uaminifu. Unapohitimu na Degree yako ya Nursing, sisi Kama PeBri's tunakutakia kila la Heri unapojitolea kwa hali na mali kwa kazi ya kuokoa Maisha. Pia Mioyo yetu imajaa Furaha na Shukrani kwa kutuhusisha katika Wimbo huu wa Unyenyekevu. Asante sana. Ni Jambo pia tulilolitamani Sana kila Kuchao. 1. Kumjua, 2. Kumpenda na 3. Kuishi kwake Yesu Milele yote❤🎉❤❤ 🙏 🤲 🕍
Asanteni sana, tuendelee kumjua, kumpenda na kumtumikia
Congratulations mum
Hongera sesilia
Asante sana dadangu mkubwa.baraka tele
Mungu.nimwema
Hongera 👏👏👏
Asante sana Jenny.baraka
Kazi safi saaana🔥🔥🔥
❤❤❤
Sauti tamu
Nice song congrats 🎉
Lovely❤
Blessings 🎉
big up madam
Congratulations 🎉
Asante nashukuru
Nzuri sana
Asante sana nashukuru
Kazi nzuri
Asante .baraka tele
Wow!
👌🥰🥰🥰🥰🙏🙏
❤❤❤❤
Congratulations Cecelia
Asante sana nashukuru
🎉❤
Safii
Baraka tele
🎉
❤
✅️
🙏