DEMONIC QUEEN WANTS TO R*P BONVEE WITH FULL FORCE😭💔

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 74

  • @divinahmachuka1859
    @divinahmachuka1859 Месяц назад +1

    Waaaaah Sasa tukimbilie wapi pole bonvee🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @Patrickpatoh-t3x
    @Patrickpatoh-t3x Месяц назад +1

    we bonvee unaogea sana badala y kuomba n ukemee hayo mapepo kabisa ....bona huna imani surely?

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 Месяц назад +1

    Usipo omba mapepo watakudinya

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 Месяц назад +1

    Sasa nduru na maswali yanakusaidia aje badala uombe.

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 24 дня назад

    That child is a destiny child

  • @isabelakerubo3753
    @isabelakerubo3753 Месяц назад +1

    Wewe simama hapo juu hiyo maombi yako ata mtume awezi kuja juu unalalamika badala uite mingu

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭 bonveee bona unawekaga kofia chini

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 24 дня назад

    Pole haki mungu akuzingire na damu ya yesu

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 Месяц назад

    Bonveer unaenda Kwa makao ya mapepo peke yako kwanini yet uko Kwa vita ngumu 😮😮

  • @ShammaShamma-sl5gp
    @ShammaShamma-sl5gp Месяц назад

    Bonveee kofia surly 😢😢😢😢

  • @blessings12178
    @blessings12178 Месяц назад

    Pray mbona useme utafanya nini shika Imani yako

  • @FlavixKibz-d3x
    @FlavixKibz-d3x Месяц назад

    Bonvi wacha tu nicheke ata kuomba akuna🤣

  • @Briana_B-t9j
    @Briana_B-t9j Месяц назад

    Bonveeee , acha kupiga duru Omba... acha uonga

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un Месяц назад

    Watashindwa katika jina la yesu Christ

  • @rosewamanfuhah4251
    @rosewamanfuhah4251 Месяц назад

    Sebo ni Mungu na wewe?
    Prayer is the key.

  • @carolwaithaka2223
    @carolwaithaka2223 Месяц назад

    Bonvee tulikukanya mambo ya hiyo kofia kama unajua unaenda kwa msitu na kutoa better uwache kwa nyumba but haukutusikia

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 24 дня назад

    Wacha kulia na kuonyesha udhaifu omba katka jina la yesu

  • @sellyraps2057
    @sellyraps2057 Месяц назад

    Pliz ambia Solomon akupeleke kwa hule mzee be4 hiyo mimba itolewe na mashetani .Na ujue unapoweka Camera hayo mapepo inajua yenye uko

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 Месяц назад

    Sebo uliambiwa uambie solomo anapajua akupeleke sasa we unapajua mbona husikilizi maagizo ama mi ndo ckuelewa

  • @lenismokeira5056
    @lenismokeira5056 Месяц назад

    Ita ata damu ya Yesu mara mingi unaambiwa chunga kofia hautaki kusikia

  • @LydiagathoniGithinji
    @LydiagathoniGithinji Месяц назад

    Uliabiwa upeleke Sara Kwa mtu Fulani sijui sebo

  • @abdullahalanazi2714
    @abdullahalanazi2714 Месяц назад +1

    Siku ingine mapepo ikikutokea usionyeshe umeogopa kemea kwa jina la Yesu

    • @gakyjaklin450
      @gakyjaklin450 Месяц назад

      Bonvee jifunze kuomba na ile naombi ya mani na fucha siri yako

  • @BkrDjalo
    @BkrDjalo Месяц назад

    Sasa namweye munaendaga kuongeleleya kwa pori Na mapepo inapenda sehemu kama izo ungienda kwakanisa Na ununuwe ile woly water Na kitamba kwa Ule Collins nanikizani ukimunwesha Sara mukiwa Muko munamuombeya Iyo mimba itatoka

  • @PhillarineChepkwemoi
    @PhillarineChepkwemoi Месяц назад

    Wewe bonvee unataka kiboko ya malaika ndio ujue kuomba

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 Месяц назад

    Sasa we solomo anakuja hapo kama mtume kweli hujamwambia akusaidie umekaa kimya tu

  • @abdullahalanazi2714
    @abdullahalanazi2714 Месяц назад

    Jitie imani na umwambie Solomo juu hiyo mimba uliskia ni 2 months anazaa harakisha juu akizaa ni balaa atakua anabakwa akizalishwa

  • @MuliMutiso
    @MuliMutiso Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂jikaze bonvee

  • @CarolyneAdeka-r1b
    @CarolyneAdeka-r1b Месяц назад

    Mungu akutie nguvu

  • @ShammaShamma-sl5gp
    @ShammaShamma-sl5gp Месяц назад

    Instead ya kuomba Ati seboh kemea pepo unaongea mingi

  • @FlavixKibz-d3x
    @FlavixKibz-d3x Месяц назад

    Pray sio eti utafanya nn

  • @isabelakerubo3753
    @isabelakerubo3753 Месяц назад

    Wewe na Sarah huwa amskii badala kuomba ulituma kwa Solomon m ona alipeleka Sarah hos

  • @RutexNalex
    @RutexNalex Месяц назад

    Nimekuonya mara nyingine kuhusu kofia husikii hiyo ndio watacontrol nayo akili yako

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 Месяц назад

    Toka hapo bila pastor

  • @RachaelNeema-g3r
    @RachaelNeema-g3r Месяц назад

    How abaut riaga

  • @FlavixKibz-d3x
    @FlavixKibz-d3x Месяц назад

    So ur telling them eti unaenda kwa sebo...

  • @PhilisKundu
    @PhilisKundu Месяц назад +1

    Kua na Imani jibe moyo

  • @lenismokeira5056
    @lenismokeira5056 Месяц назад

    Sasa shida ulienda kutolea mapepo siri wah guys saidia ndugu yetu

  • @RachaelNeema-g3r
    @RachaelNeema-g3r Месяц назад

    Nilikuambia Jana usikae kwa msitu

  • @JacintaMuasya-ny5rb
    @JacintaMuasya-ny5rb Месяц назад

    Na kuna mtu alicoment uachange kutoa kofia wasifanyie kitu alf bona wakikam uombi napia ujue Sarah walimtoa osi wakamvalisha nguo za red na mtoi akizaliwa watajaza guvu

  • @ShammaShamma-sl5gp
    @ShammaShamma-sl5gp Месяц назад

    Huyu Bonivee ume shindwa kua mbiwa kofia wacha kueka chini hausikii wewe

  • @sellyraps2057
    @sellyraps2057 Месяц назад

    Pliz usiwai sema mipango yako kwa sababu hao pepo wanafunga njia

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 24 дня назад

    Be calling holly ghost fire

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 Месяц назад

    Kwani lazima uende uongee kwa msitu peke yako

  • @Mariam-c6b3o
    @Mariam-c6b3o Месяц назад

    Unapo kuwa pekee jalibu kuwa unakemea kwa jina ra yesu usikimbie mashetani wewe kemea kwa jina ya yesu

  • @jacklinemateli8952
    @jacklinemateli8952 Месяц назад

    Pray pray call the Name of the lord Jesus Christ

  • @blessings12178
    @blessings12178 Месяц назад

    Wacha kukua mnyonge

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ Месяц назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephinemogere8618
    @josephinemogere8618 Месяц назад

    Nawewe si utumie maji matakatifu ya Chumvi na Bililia na ukiwaona wafukushe kwakutacha Jina na la Yesu na Damu ya Yesu na utawamalisa nguvu kabisa.

  • @jacklinerudisi5116
    @jacklinerudisi5116 Месяц назад

    Sasa umekuja kutuelezea story na tunajuwa wewe ukifika huku ni maombi tu Bonvee, omba wacha kuuliza utafanya nini omba mungu yuko na wewe unajipeleka msituni pekee yako kama huna imani kwa nini

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j Месяц назад +3

    Instead of calling blood of Jesus u r calling sebo is sebo God u have powers from God to cast devils when they r there u should say blood of Jesus not sebo

  • @RuthTkk254
    @RuthTkk254 Месяц назад

    Mimba ya Sarah ni Riaga anawesha kutoa hiyo mimba ya mapepo

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour Месяц назад

    Mbona uanatrmbea pekeako

  • @kato-n7e
    @kato-n7e Месяц назад

    PRAY PRAY AMD PRAY

  • @morenmoren6927
    @morenmoren6927 Месяц назад

    Pona unaongea mingi omba bana

  • @isabelakerubo3753
    @isabelakerubo3753 Месяц назад

    Bado amesimama hapo unawangojea wewe inafaa upewe viboko na mtume

  • @sellyraps2057
    @sellyraps2057 Месяц назад

    Inafaa uende na Solomon na Sarsh sio ww pekee yako.Gemea mspepo katika jina la Yesu kristo. Ww umekuwa na pastor unaona vile wanagemea mapepo

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 Месяц назад

    Unaenda aje huko pekee yako bila pastor?

  • @ShammaShamma-sl5gp
    @ShammaShamma-sl5gp Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @اسماءاحمد-غ2ح2ث
    @اسماءاحمد-غ2ح2ث Месяц назад

    Mary m Bony mtoto wako hajanatikana?

  • @RachaelNeema-g3r
    @RachaelNeema-g3r Месяц назад

    Mtu anijibu mbona lazima vidio kwa musitu hawaogopi mashetani

  • @morenmoren6927
    @morenmoren6927 Месяц назад

    Bonvee unajua mwenyewe una imani pona uko pekee yako pila pastor

  • @dorcaswairimu697
    @dorcaswairimu697 Месяц назад

    Badaka ukeeme shetani unauzliza utafanya nn ,hujui kuomba

  • @isabelakerubo3753
    @isabelakerubo3753 Месяц назад

    Sebo NI Nani na ulituma uko but wewe usikii

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Месяц назад

    Nawewe upo nashinda unashindwa kuambia solomoni uliambiwa akupeleke kwanini usimwambie akupeleke unaeda wewe peke ako naukuambiwa ivo unajichanganya wewe Fata maangizo ya mtume mwambie solomoni akufikishe kwa mzee sebo

    • @Imeldaikoha
      @Imeldaikoha Месяц назад +1

      Ataenda bila pesa ya garama nadhani hio ndio imewafunga juu ni congo wanafaa kuenda

    • @HappynessJose
      @HappynessJose Месяц назад

      @Imeldaikoha kumbe me nilijua Nairobi 💔

  • @Mariam-v2i
    @Mariam-v2i Месяц назад

    Wewe hauna imani mbona unatembea peke yako kuwa na imani omba

  • @cateug2450
    @cateug2450 Месяц назад

    May be these is ur'e wife remember how u got ur'e son from her & her story