Napenda nyimbo hizi ambazo ziliimbwa na waimbaji wakiwa ndani ya roho mtakatifu na wakiwa ndani ya maandiko! Waimbaji wa Leo wanaimba nyimbo za kusifu vitu vya ulimwengu
Hii kwaya hii ni hatari...yaani ukisikiliza unapata msisimko kwa nywele kabisa na moyo unapata amani na kushawishika kutenda yaliyo mema. Hakika Sauti ya Jangwani ni Zawadi kwetu sisi sote. Mbarikiwe watumishi wa Mungu🙏
Rip my lovely angel mom. Methodia mbwambo nitakukumbuka daima umetuachia kumbukumbu yako sauti ya jagwan japo uwa nakosa ujasili yakumaliza kuangalio wimbo wote nabaki kulia tu. Cjui lini nitazoea mama
Huu wimbo unanifanyanga nihisi nikiwa nchi mpya. Mungu awabariki
Hosanna hosanna Alléluia n’a Muana wana DAWUDI Mubarikiwe Kamue Muka ba Mungu Kueli Shalom
Napenda nyimbo hizi ambazo ziliimbwa na waimbaji wakiwa ndani ya roho mtakatifu na wakiwa ndani ya maandiko! Waimbaji wa Leo wanaimba nyimbo za kusifu vitu vya ulimwengu
Mungu awabariki sana maana mliimba nyimbo zenye ujumbe mzito AMEN.
Barikiwa saaana Alleluyah Ameeen ❤❤
May God continue to bless you very much. It is true that the Bible is a book that cannot be compared to anything. Amen, bless the singers
Biblia na Biblia ndiyo dira na njia ya maarifa ya uzima sasa na ule ujao.. 🎉❤🎉
Wimbo wenye wasia,,, barikiweni
naupenda sana huu wimbo mungu atukuzwe kupitia huu wimbo
Aweeeee....sauti ya nne wameuaaaaa🙌🙌🙌🙌 hadi nafeel yaani namm ningekuwa mmoja wao😋😋🙌🙌🙌🙌
Amen
Hii kwaya hii ni hatari...yaani ukisikiliza unapata msisimko kwa nywele kabisa na moyo unapata amani na kushawishika kutenda yaliyo mema. Hakika Sauti ya Jangwani ni Zawadi kwetu sisi sote. Mbarikiwe watumishi wa Mungu🙏
Barikiwa Roho wa Mungu akufunike
Lll😊jn😊😊😊😊
😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😮❤❤😂😂🎉😊😊😢❤@@Sautiyajangwanisdachoir1987
My best choir ever😍 naupenda sana huu wimbo🙏
Amina endelea kubarikiwa
Maarifa kwa wenye roho wamungu ,amen
najihisi kubarikiwa sana ninaposikiliza hii nyimbo
Amina
Biblia ni ramani yetu, mbarikiwe wapendwa, tukazen mwendo.
Nawapenda,Munguawabariki
Nyimbo zenu hasiishi radha' be bressed
Napenda sana kwaya jangwani tena sana
Huu wimbo naupenda siku zote 🙏🙏🙏🙏
Pia mimi...tubarikiwe pamoja
Wimbo huu unanibariki balaa!!@mbarikiwe watumishi#SDA
Hongereni sana waimbaji kwa nyimbo zenu nzuri mihumo ukiwemo kwenye vyombo
Huwa mnanibariki sana watumishi wa Mungu, 🙏 Mbarikiwe sana.
Naipenda sana kwaya yangu ya kanisa n
Rip my lovely angel mom. Methodia mbwambo nitakukumbuka daima umetuachia kumbukumbu yako sauti ya jagwan japo uwa nakosa ujasili yakumaliza kuangalio wimbo wote nabaki kulia tu. Cjui lini nitazoea mama
😭😭😭😭
Tutaonana nae asubuhi njema. Bwana akubariki
Kweli kabisa waimbaji.....mwenyezi mungu awabariki sana
Ahsant Sana mungu awalinde nyote 🙏🙏 🙏
Very True be Blessed all
Amina sana roho mtakatifu
🎉❤🎉
nabarikiwa sn
Great and reminding song God bless you all!!
A tip: watch series at flixzone. Me and my gf have been using them for watching loads of movies during the lockdown.
@Tripp Bruce yea, I have been watching on Flixzone for months myself :D
@Tripp Bruce definitely, I have been using Flixzone for years myself :)
@@arthuraydin8731l'😂
Amen
Amen
Huu wimbo unanifanyanga nihisi nikiwa nchi mpya. Mungu awabariki