Mtangazaji usihoji gori la pamba kabla ya red kard ya tukio la penalty. Baada ya hapo hoji wapenz wa pamba kuwa ingekuwaje mech kama ingechezwa toka penalty wakiwa pungufu?..
Yaani anavyosema mzee mwenda ni kweli kabisa mchezaji mwenzake akifungisha anampiga enzi hizo walikuwa wanamwita yanga timu ya baba enzi hizo sahau Kambi, Steven nemes, issa athumani, sanifu Lazaro, athumani china ,saidi sued,Kenneth mkapa ,jastin mtekere ,saidi mwamba,Joseph Lazaro,saidi zimbwe
DEREVA WA BAJAJI KUTOKA MAHAKAMA YAMWANZO MBAGARA KIZUIYANI, pamba walicho kifanya uwanjani tumekipenda wametoa tulicho kiitaji, kuelekea mchezo wetu wakimataifa
Nakwaminia mwenda kila siku❤
Mtangazaji usihoji gori la pamba kabla ya red kard ya tukio la penalty. Baada ya hapo hoji wapenz wa pamba kuwa ingekuwaje mech kama ingechezwa toka penalty wakiwa pungufu?..
Hamn Kocha Hapo,,,Huo ni ushabik mandaz
Yaani anavyosema mzee mwenda ni kweli kabisa mchezaji mwenzake akifungisha anampiga enzi hizo walikuwa wanamwita yanga timu ya baba enzi hizo sahau Kambi, Steven nemes, issa athumani, sanifu Lazaro, athumani china ,saidi sued,Kenneth mkapa ,jastin mtekere ,saidi mwamba,Joseph Lazaro,saidi zimbwe
Mwenda amepewa nini leo?
MZEE MWENDA YUKO SAHIHI MAANDAZI NIWEWE UTOPOLO USIKUA NAKIRI KWANZA TOKA LINI UKAWA UTOPOLO UKAWA NAKIRI