“Haya ndio mazingira yaliyotumika kufanya uhalifu” -POLISI DODOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 159

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 3 года назад

    😄😄😄😄👏🏿👏🏿👏🏿Komanda Mweheshimiwa Mr Mutoro unafanya kazi muzuri sana.Vive la police de Dodoma.RESPECT.

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 лет назад +1

    Asante kwa kazi nzuli inspect

  • @thomasenockgogomoka6056
    @thomasenockgogomoka6056 6 лет назад

    Kamanda wa Polisi Dodoma na Kamanda wa polisi Mwanza nawakubalia SNA kwa kazi zenu nzuri za kupambana na wahalifu.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад +2

    Kamanda unastail upewe tuzo, kazi nzuri sana

  • @abdallahsalum6449
    @abdallahsalum6449 6 лет назад +4

    hongera camanda upo makini.. ima huyo dereva bora umsamehe na kumpa onyo kali MUNGU AKUBARIKI

  • @omarymazingara7510
    @omarymazingara7510 6 лет назад +1

    kamanda nakupenda sana utendaji wako pia uko sawa baba

  • @mtezilusaza5399
    @mtezilusaza5399 6 лет назад

    Kazi nzur kaka

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 лет назад +14

    Nimekupenda kamanda kwa kuwa hata hujawasukuma,ila ishu iliyokushinda kabisa ni ya braza lisu na sijui kwanini aisee

    • @janethjackson5370
      @janethjackson5370 6 лет назад

      Aggy George kiaje?

    • @alfrednziku9075
      @alfrednziku9075 6 лет назад

      Nadhani issue ya Lisu ilitokea kipindi cha Kamanda Maambosasa kabla hajahamishiwa Dar; kama sijakosea!

  • @missarngweshemi9983
    @missarngweshemi9983 6 лет назад

    Hivi vitoto vilivyoshindikanakana kwa wazazi wao na wanakufa sana kila leo. Jamani tujihahidi kurudi kwenye mstari pamoja na kuwa tulizoea sana hizi kata kona pata pesa. Mungu tusaidie watanzania!

  • @gediusgervase2731
    @gediusgervase2731 6 лет назад

    Dah,mtera!!

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 лет назад +1

    awamu ya tano waukweli mungu awe nanyi daima ktk kazi zenu lo! mpaka wamiaka 23 wanajua kuichezesha nchi?

  • @africaglobalsuccess8990
    @africaglobalsuccess8990 6 лет назад +6

    Uyu kamanda Mungu ampe maisha marefu I think anasitaili kuwa IGP

  • @davidmihambo3051
    @davidmihambo3051 6 лет назад

    bravo kamanda hayo ndio mambo ya kufuatilia sasa

  • @winfridalmas2693
    @winfridalmas2693 6 лет назад

    hayo ndiyo mambo yakushulikia safi sana nasio mnaangaika nawana siasa tu mnatukelaga sana mnavyo wanyanyasa

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349
    @wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 лет назад +2

    Asante sana mkuu mwenyezi MUNGU aenderee kuwa nawe kwenye majukumu makubwa kamanda

    • @yohanawere1467
      @yohanawere1467 6 лет назад

      wcb wanatisha kira nikirudia bLoado daaa Omary

  • @gka9147
    @gka9147 6 лет назад +4

    Safi sana KAZI nzuri

  • @halimamohamed5327
    @halimamohamed5327 6 лет назад +1

    the driver is funny 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 года назад +1

    Watapata tabu sana 🤣🤣🤣🙌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️💪

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 лет назад +4

    Daaah ,serekali ya Uncle Magu sio ya mchezo mchezo

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 6 лет назад +6

    Duuuh Dereva Ameniua mbavu Mtera asee

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад

      yaani aiseh! Mimi nimerewind mara kadhaa kusikiliza jibu lake ha haaa

  • @richardkobero6988
    @richardkobero6988 6 лет назад +11

    Hahahaha daaaah huyo dereva majibu yake yamenichekesha sana....Anasema angeenda kuwatupa mtera.😁😁😁😁😁😁😁🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏

    • @nacyluizer3734
      @nacyluizer3734 6 лет назад

      Richard...hahahaahah drva mie unaniua mbvu...chezea ela za njiani

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 6 лет назад

      Richard Kobero Sio kuwatupa bhana! KUWASHUSHA.....mbona mnawapa watu makosa yasio yao? KUWASHUSHA ni kosa...ila halifanani na KUWATUPA!....Richard usibambikie watu makosa bhana, usitake kutuaminisha kuwa wanaokwenda jela wengine hawana hatia!

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад +1

      +Moses G. Pendael hapana bhana, ameuliza kama wakemfia kwa gari angefanyaje, amejibu angewashusha mtera, sasa unawashushaje mtera wakati wameshakufa kama sio kuwatupa! au unadhani angewashusha mtera hospital (mochwari) au mtera kituo cha police. hiyo ni kuwatupa live. wewe jamaa usitetee bure aiseh

    • @richardkobero6988
      @richardkobero6988 6 лет назад

      Wilson Kaseha bora umenisaidia ndugu maana hapo tafsiri ndogo tu ya jamaa alichokiongea mtu inamshinda😁😁😁😁

    • @surayammanga8190
      @surayammanga8190 6 лет назад

      Richard Kobero dereva kachanganyikiwa

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 лет назад

    Mtera. Dereva bwana

  • @abuumaker
    @abuumaker 6 лет назад

    Dereva bhana, umeniacha hoi, sa mtera ndo kuna makaburi?
    Lkn vitoto vitamu hata we kamanda mwenyewe ungewabeba.

  • @martincthobias3081
    @martincthobias3081 6 лет назад +4

    Dereva kapata wenge baada kusikia gari linataifishwa na kuwa Mali ya serikali bdo yeye mvua kumnyeshea za kutosha

  • @surayammanga8190
    @surayammanga8190 6 лет назад

    Dereva we noma kuwatupa mtera duu

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 6 лет назад

    Mtera dah

  • @mrishomaneno6546
    @mrishomaneno6546 6 лет назад

    Kwa hayo nakupa hongera kamanda,lakini kwa matukio ya RAIA kupigwa risasi NA polisi hapo ndio bado.RAIA wanahofu kutoa ushirikiano NA polisi wakati wanapigwa risasi

  • @azizanassor9000
    @azizanassor9000 4 года назад

    Duuh eet angewatupa mtera

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 лет назад +2

    Huyu dereva kweli chenga afu kafanana dr tito kimpango hadi anavyomjibu mkuu😁😁😁😁😁

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 6 лет назад +1

    Dudu hii hatari dreva katisha sana wakifa anaenda kuwatupa mtera iringa sio mchezo.

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 лет назад

    Brother yani nawewe ume msaliti ##diamond

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 6 лет назад

    maaskari wa tz mlisomea unaa tu mbona mnakamata vya njiani tu na majumbani mbona nyie wenyewe mnaishi kijambazi tu acha mungu atuaaidie labfa mtakuja kuacha mkipata mbadala wa kuwaongoza na kuwaagiza.

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 6 лет назад

    kwan mtera c sehem ambayo wanaishi watu acheni ujinga....

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 6 лет назад

    Hahahaha huyu jamaa pumbav kweli eti wakifa atawashusha mtera duh noma

  • @salamia__mwangu599
    @salamia__mwangu599 6 лет назад

    hapo safiii

  • @thadeymligo2109
    @thadeymligo2109 6 лет назад

    sa wamenifia lazima niwatupe wann deleva uko sahh

  • @fabiansam8157
    @fabiansam8157 6 лет назад +4

    dereva kaingiwa na hofu sana hata ajui anajibu nni

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 6 лет назад +1

    Mh RPC DODOMA TUNAKUPENDA UMEKUJA KUNYOOSHA MKOA ILA KUNA MAPUNGUFU KWA BAADH YA ASKARI TUNAOGOPA TU KUSEMA SIKU MOJA ITA WANACHI UTUSIKILIZE KERO ZETU KWA BAADHI YA ASKAR WAKO

  • @sundayguy779
    @sundayguy779 6 лет назад

    namuamin kamanda issue ya lissu nayo ipo jikon wahalifu wale watatiwa nguvun tu

  • @deograsiasmsolwa4766
    @deograsiasmsolwa4766 5 лет назад

    Ningeenda kuwashusha mtela kwenye mto

  • @hassankasigwa477
    @hassankasigwa477 6 лет назад +2

    Kweli hamu hii sio ya ujanja ujanja

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 6 лет назад

    Da wazur namtak mmoja apo

  • @alwaysthink0220
    @alwaysthink0220 6 лет назад

    Mimi naitwa Habib agele mwendeshaji WA hayo malori. I just can't believe huyu baba policeman. Vipi dereva apeleke abiria polici alafu Ana mwita (hatari) Ana maanisha nini na Hilo neno alie taja ATI huyu dereva hatari. Cha pili hufwata wawo mabinti Rwanda. Aangaliyeni mna Cho Nena.

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 лет назад

    Masikini huyo Dereva utakuta ni kipato tu kidogo anacholipwa anaona akikusanya njiani abiria itamuongezea walau kipato kamanda hajasema angeenda kuwatupa mtera amesema kushusha.mpeni onyo tu kisha msameheni na hao mabinti jamani

  • @martinvavatu5167
    @martinvavatu5167 6 лет назад

    Mpeni awe IGP

  • @livionemwangemile2506
    @livionemwangemile2506 6 лет назад

    Saiz bola kuonekana kwenye tv

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 года назад

    vitu vya ajabu sasa hawa siwatoto wadogo sana jamani

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 6 лет назад +5

    Duh!
    Huyo muuza bima feki akatumikie jera tu

  • @jumakibwanakibwana789
    @jumakibwanakibwana789 6 лет назад

    Huyu kamanda sio wa kupita kwenye anga zake

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 6 лет назад +1

    Mh!!! Hata zile maiti zinazotupwa wami huenda ni hawa madereva, jamani tubadiri tabia.

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 6 лет назад

      Uledi Mtumwa hajaanisha hvyo kuwa angeliwatupa mtera jamani, kasema angaliwaacha hapo kwani ndo walipomwambia kuwa wanaewanaenda.

  • @nassirsamir3355
    @nassirsamir3355 6 лет назад

    mpiga picha nakupenda bure

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 лет назад +2

    Chakula cha mamba ngoma mutera hiiiiii haaaaaaa jamani jamani

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 6 лет назад +1

    Aise

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 лет назад

    Hii ndio serikali ya magufuli

  • @alfanseleman3281
    @alfanseleman3281 6 лет назад

    huyo bora Deleva si Deleva bora

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 лет назад

    tulinde kamanda

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 6 лет назад +1

    ata mimi ningeenda kuwatupa maana siwajui kwao

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 6 лет назад

    Asee huu mtihani

  • @muhamedmwamajuja3305
    @muhamedmwamajuja3305 6 лет назад

    Jmn hao mabint

  • @sebabakari5320
    @sebabakari5320 6 лет назад +2

    VP wale waliompiga risasi tundu lisu mbona kimya

  • @emmanueltarimo2131
    @emmanueltarimo2131 6 лет назад

    watapata tabu Sana

  • @diegosenior4116
    @diegosenior4116 6 лет назад +2

    Mtela huyo dereva anashindwA hata kujtetea 😉😉

  • @yasinmakub8845
    @yasinmakub8845 6 лет назад

    😂😂😂😂 dereva kazingua angeenda kuwatupa mtera

  • @Kachelo96
    @Kachelo96 2 месяца назад

    Mama amtafute amor ata ukuu wawilaya jmn uyu mzee

  • @josephjoseph7348
    @josephjoseph7348 6 лет назад

    Nipehuyo mwenye rasta nimuoe

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 6 лет назад

    TATIZO MKIWAKAMATA MNAWAACHIA. WAFUNGWE MIAKA 30 JELA IWE FUNDISHO KWA WENGINE.

  • @AhmedSaid-nd6io
    @AhmedSaid-nd6io 6 лет назад

    Ningewashusha mtela@

  • @ezranelson2619
    @ezranelson2619 6 лет назад

    unajua maana ya muhamiaji wewe huyo msafiri, mhamiaji we unajua wapi anaishi????

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 лет назад +1

    Awamu hii buraza sio ya ujanja ujanja!!! Hahahahaha afande Nimekukubali sana unafaa

  • @mpendahakikwawote3582
    @mpendahakikwawote3582 6 лет назад

    Alafu Ayo tv weka sawa hii habar mbona unaonesha 40feet instead of fuso unatulaghai kwakweli be straight tangaza haki plz vinzur

  • @husseinjamal959
    @husseinjamal959 3 года назад

    Kamanda Moroto anastahili kuwa IGP . Kongole !

  • @rajabomar6236
    @rajabomar6236 6 лет назад +4

    Tukamatie na walio mzingua lisu kamanda

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 6 лет назад

      Rajab Omar msituchanganye akili na lissu akipona atawatafuta mwenyewe walio mpiga, mtu bado yuko kitandani anapiga kelele na kampain kinondon
      Walio mpiga hana nia na yeye ya kuwajua.

  • @sciencearusha5951
    @sciencearusha5951 6 лет назад +1

    Kweli dili awamu hii mwisho

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 лет назад

    Atapata tabu sana yunusi

  • @ahsantemahundi919
    @ahsantemahundi919 6 лет назад +2

    Duuu mtera tena kweli deteva anavuta cha mbeya.

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 лет назад

    Uyo Wa bima nkumzingua tu aina jinsi

  • @tamalalee2169
    @tamalalee2169 6 лет назад

    Hahahaaa loi eti mtera

  • @alimakaba6170
    @alimakaba6170 6 лет назад +2

    Ahah labda jamaa anaishi metera!

  • @abdallahhsalim3712
    @abdallahhsalim3712 6 лет назад +1

    Hahahha hao waschana wacheka kimpngo kwa majibu ya dereva🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AhmedSaid-nd6io
    @AhmedSaid-nd6io 6 лет назад

    Mtela ndio kwao😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HASASON
    @HASASON 6 лет назад

    Kamata kila mtu

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 6 лет назад +4

    huyu comendar mkuu wa dodoma ni mtu busara sana.na ana imani ya uutu wa binadamu.na yupo katika ubora wa kazi.

  • @erastomazela8962
    @erastomazela8962 6 лет назад

    Duu!! kuwashusha mtera, dereva network imeshakata hapo

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 6 лет назад

    hahahahahahah eti ningeenda kuwashusha Mtera

  • @SalumAAbeid
    @SalumAAbeid 6 лет назад

    mbixe kama kawa

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 лет назад

    Sasa ukawatupe mtera ndio kwao jamani hahaha

  • @madpusher2036
    @madpusher2036 3 года назад

    Kuwashusha mtera 😂😂😂😂😂😂

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 6 лет назад

    Wametumwa na kagame waje kufanya uhalifu tanzania

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 6 лет назад

    Jmn washamba mtawajua fata kusiliza hbar na siyo uso wa mtu

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 6 лет назад

    Hahahahaaaa😩😝😝😝😝😭😭 eti ningeenda kuwashusha mteraa jajajaja..

  • @allymsofe5889
    @allymsofe5889 6 лет назад

    mzee too msamha 2u kwa howee wa2u

  • @tatunaally1510
    @tatunaally1510 6 лет назад

    😂😂😂😂😂mtela hiyo veepi jamani

  • @shembaker5405
    @shembaker5405 6 лет назад

    ikisha hayo mapato ya serikali yanakwenda wapi au yanawalipa vccm wakishirikiana na usalama wa taifa, kufanyia ukhalifu, kuwateka watu, kuua, na kuwadhalilisha wapinzani. Watanzania hawana Imani na pesa yao kuwalipa serikali kwasababu wanajua pesa yao ya kulipa kodi inatumika kwa ukandamizaji

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 6 лет назад

    huyu kamanda nampenda sana

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 лет назад

    Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @musashair5272
    @musashair5272 6 лет назад

    Nc

  • @issaissa8047
    @issaissa8047 6 лет назад +3

    dereva mwenzetu umetushangaza kuwawatupa mtera?

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 6 лет назад

      Issa Issa Sikiliza 7:10....KUWASHUSHA....SIO KUWATUPA

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад

      +Moses G. Pendael ni kuwatupa, maana tayari wameshakufa na na hajauwi wanakoenda kwa hivo wala sio kuwashusha ni kuwatupa

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад

      +Moses G. Pendael ni kuwatupa, maana tayari wameshakufa na na hajauwi wanakoenda kwa hivo wala sio kuwashusha ni kuwatupa

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад

      +Moses G. Pendael ni kuwatupa, maana tayari wameshakufa na na hajauwi wanakoenda kwa hivo wala sio kuwashusha ni kuwatupa

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 лет назад

      +Moses G. Pendael ni kuwatupa, maana tayari wameshakufa na na hajauwi wanakoenda kwa hivo wala sio kuwashusha ni kuwatupa

  • @hotarhappy7923
    @hotarhappy7923 6 лет назад

    Haahaahaa toa uso tukuone muuza bima fek

  • @masudiitembele5414
    @masudiitembele5414 6 лет назад +3

    mimi nilijuaa kua unanilete Abari ya tundu lissu waalifu waliovamia mchana na kufyatua risasi mchana peupe,,,sasa unaniletea abari ya ajabu ayaaaaaa bwana mungu anakuoneni nyinyi

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 лет назад +2

    Dereva jamani 😂😂😂