BALAA! LEMA AFUNGUKA MAZITO KUTEKWA KWA SOKA | ALIVAA BUNGE | "HAKUNA ALIYE SALAMA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 13

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 2 месяца назад +3

    Mungu akulinde sana

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 2 месяца назад +3

    Watu wa dini hawapo,wanaogopa kufungiwa makanisa,mchungaji ni mbarikiwa yule nimwanaume asiyependa maovu,,mungu akutangulie,

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 2 месяца назад +6

    Lema umetekeleza wajibu wako, Mungu aliyeumba mbingu na nchi.

  • @JohnMakundi-c6w
    @JohnMakundi-c6w 2 месяца назад +2

    Hali ni mbayaa

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +2

    Kazi yenu viongozi wa dini MUNGU anawaona mmetumwa kufanya nini .

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +2

    Mnafanya nini? viongozi wa dini

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 2 месяца назад +2

    They go for low hanging fruits. Natural resources to say the least

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +1

    Viongozi uliowachagua ili watuvushe lakini wamejisahau,wanapendelea familia zao tu,aidha labda uwe mpambe ndio unaweza kuambulia ,ee we MUNGU muumba mbingu na inchi pia umeumba vinavyoonekana na visivyo onekana,vilivyo shindkana kwa mwanadam.

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +1

    Shetani amechachamaa nchini TZ,ee MUNGU wangu tuokoe,tunaonewa.

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +1

    Wachungaji wanaogopa kusema kuhusu usalama wa raia

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu Месяц назад

    Mungu hali hasizii ni swala na mda ubaya huwa ni deni

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo 2 месяца назад +2

    Viongozi wa dini nchini mko wap?