Acheni kudanganya watu nimefuatilia sana ni kwamba umepata kazi ya kuwa chawa wa hiyo kampuni halafu unasema umeshinda milioni Mia mbili sasa kama umeshinda milioni 200 kwanini bado wewe ni chawa si uache uchawa ukawe boss, acheni kuchezea watu akili eti umetumia million 48 kubeti vip ungepoteza hiyo milioni 48 si ungekuwa chizi zaidi ya ulivyo kuwa chizi kwa uchawa
Yaani hii Wasafi Hadi Raha! Yaani unaenda hapo na adabu,wanachepua utoto wako....ona oscar oscar 😂😂😂😂
Kiba kiba kiba nimekutaja mara tatu Ali wee ni fundi wa mziki mzuri Msanii wangu pendwa kutoka Tanzania yebabaa
Baba levo baba yetu
Baba levo mwehu wangu naomba japo afutatu tu my wangu
😂
i love Jana na Leo show --- Greetings from Kigali , Rwanda
Pesa tamu. Mimi nilishindaga laki sita Casino nilifurahi Sana. Millio 200 ningewehuka
Mmmh ni aibu mwamamke kubeti casino
😂😂😂😂
@@dopehood1476kubet na Kuzini ao kuiba ipi bora
KAMARI NI HARAMU,
Eti na we mwanmke unafurahia pesa za khalamu duh Ogopeni azabu za Allah bc zuluma na qamal ni adui wa mwenyez mungu kaa ujue ilo
Pesa Jeur Kwel Leo Edo Unakuwa Chawa Kwa Baba Levo
Chawa kawa ng'ombe nae kapata machawa wake nchii😅😅😅
wasaf noma sana❤❤❤❤
Mama levo izo umepewa na konde kwajili ya kupoza makonde ya shingo ako mbwa we😂😂😂😂😂
Acha upimbi🐕🐶🐕
Aa leo baba levo kanoga
Kaka nakutumia namba yangu...hata elfu 3 tu
Yan huyu ba levo yupo km dubwiii😂😂😂😂
Acheni kudanganya watu nimefuatilia sana ni kwamba umepata kazi ya kuwa chawa wa hiyo kampuni halafu unasema umeshinda milioni Mia mbili sasa kama umeshinda milioni 200 kwanini bado wewe ni chawa si uache uchawa ukawe boss, acheni kuchezea watu akili eti umetumia million 48 kubeti vip ungepoteza hiyo milioni 48 si ungekuwa chizi zaidi ya ulivyo kuwa chizi kwa uchawa
Uko sahihi iyo ni business watanzania shtuka fanya kazi
Napenda mnavyo ishi kwenye icho kipindi
Kaka mkubwa niachie ata 10,000 tufurahi wote
We oscar siulisema umepewa 20000 sasa mbona naona kumbe umepewa ela nyingi au baba levo alikunyanganya 😅😅😅😅😅😅😅
Haya ni matangazo ya casino
Ebu mwachieni nafasi adela tumwone anavocheza
❤❤❤
Edo anamkanda
😂😂😂😂 Edo Kawa chawa
Baba levo nisaidie at laki Tano t
Wakat anapata hizo hela harmonize alikuwa wap jaman😂
Hata hvyo kamali ni zambi😂
Alafu akiumwa apo utasikia eti wakuchangie
Kama kununue nyumba ya wewe na watoto wako sio kupanga
Tangazo moja huwa lina bei gani nahitaji kufanya kama hivyo
Hiyo ngoma ya lava bite 😂
Waongo nyie
😂😂😂😂
"ninachokipata nagawana na wenzangu"😂👍
MNAFURAHIAAA PESA YA KHARAM EEE ACHENI UVIVU TAFUTENI ELA YA HALALI KWA MUNGU KUZITOOOOO
Buku tu chawa la machawa
Tangazo moja huwa lina bei gani nahitaji kufanya kama hivyo
Tangazo moja huwa lina bei gani nahitaji kufanya kama hivyo
Million 6 kwa dakika 5