Mtu akifa amekufa Hata umuombee kiasi gani hasikii wala uwez kubadilisha chochote kama amekufa dhambini huyo ni huko kama amekufa akiwa muaminifu kwa Mungu ni wa upande huo Wafu wote wapo kaburini mpaka siku ya mwisho nao watahukumiwa kulingana na matendo yao tusoma Biblia wafu hawajui neno lolote
Halafu kwa nini hawa wote wamezikwa pamoja,miili haikutambuliwa na ndugu zako?
Kazi ya CCM hiyo na rais wa awamu ya tatu
Ppw
Mtu akifa amekufa
Hata umuombee kiasi gani hasikii wala uwez kubadilisha chochote kama amekufa dhambini huyo ni huko kama amekufa akiwa muaminifu kwa Mungu ni wa upande huo
Wafu wote wapo kaburini mpaka siku ya mwisho nao watahukumiwa kulingana na matendo yao tusoma Biblia wafu hawajui neno lolote
We chizi omba yaskukute
@@MasumbukoBulolelo Yasinikute nini
atuwezi kuacha mwendelee kupotosha neno la Mungu