Safari ya imani - Triumph generation (official video)
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Triumphgeneration +255767762763 Song: safari ya imani
Songwriter: Eduwin kabuche
Audio : Malaika
Video : Ltv it: Sabatoyetu tv 0764407967 #Safariyaimani #Triumphgeneration
UTUKUFU WA MUNGU uwafunike
Tugonge like tunao utazama wimbo huu 2024 wenye kutia nguvu ya kiroho na kimwili.
Hallelujah huu wimbo nabarikiwa nao sana.
Nimebarikiwa na wimbo
Nimekuwa nikiutafuta wimbo huu. Asanteni sana
Amina... ubarikiwe.
Asante kwa ujumbe mzuri
Pongezi sana kuweka nyimbo zenu kwa RUclips. Nabariwa pia wengi watabarikiwa.Amani ya Bwana iwe nanyi daima dawamu mnapomwimbia.
Amina
Mbarikiwe sana
Nimefurahi sana kuupata huu wimbo 🥰🥰
Amina
Sanaaaa mimi pia
This reminds me my primary school, Kaigat.
Hongereni sana kwa huduma nzuri mbarikiwe sana.Huu wimbo nimetafuta sana video yake hatimaye nimeipata.
Amina mtu wa MUNGU... barikiwa.
Kazi Nzuri kiongozi Erick kibuchi Triumph Generation Tz
Amina sifa na UTUKUFU ni kwa BWANA MUNGU wetu... Jina ni "Edwin Kabuche"
Naomba muweke na ule wa kaza mwendo
Tutaweka zote
Amina mbarikiwe kwa nyimbo nzuri
Amina, dumu kutuombea.
My favorite song
Nice
Amen be blessed more
My best choir 💕 your songs ad another album
Amen...we will, may GOD BLESS YOU
Who's here again
Wimbo Mzuri sana, unabariki Sana
Amina, Amina na Amina
Bariliwa sana yani nilipost audio kila day nilikua nasumbuliwa kuhusu video inapendeza sasa kuwa na channel yenu jaman izi nyimbo zinatubariki sana
Amina... Ubarikiwe
Mungu azidi kuwabariki.
Amina, Amina, Amina 🙏🙏🙏
Asanteni sana Triumph Generations. Wimbo huu nimeutafuta sana
Amina... Barikiwa mtu wa MUNGU
Amina
Am back again
Amen 🙏🙏
Thanks, be blessed.
24