Diamond Alia kifo cha Msanii costa titch wa South Afrika Alieanguka stejini na kufariki Muda Huu

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 196

  • @muksinismaily-jy1wg
    @muksinismaily-jy1wg Год назад +17

    RIP COSTA TITCH TULIPENDA KAZI ZAKO NAWW PIA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI 😭😭

  • @asiaasia1069
    @asiaasia1069 Год назад +4

    Duh 🙄😭😭😭#costatich wewe ni super ⭐ umetuacha na uchungu sana Mungu akurehemu 🙏😢😭😭😭😭😭

  • @tinatz-bv5zo
    @tinatz-bv5zo Год назад +10

    Pole Sanaa kila safari inamwanzo na mwisho

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 Год назад +8

    Wooooiiiii vile napenda collabo mbosso na Costa!!! Shetani amepita

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Год назад +33

    NI WAKATI WA WASANII WOTE KUMLUDIA MUNGU WANADAMU WOTE DUNIANI TUNAPITA HUWA NASHANGAA SANA KUONA WATU MAARUFU WANAPOJISAHAU NA KUONA UFAHALI WA DUNIA KUWA KAMA KILA KITU TUBUNI YESU KRISTO YUAJA MAWINGUNI.🙏🙏

    • @shabanizena2612
      @shabanizena2612 Год назад +7

      Uneongea vizuri,ila kumaliziya n'a yesu ndio unakeraaa

    • @beatricebendera8944
      @beatricebendera8944 Год назад

      Nikwer mungu amuwek mahari pem pepon amen

    • @rosedawamalika4309
      @rosedawamalika4309 Год назад

      ​@@shabanizena2612 😁😁😁😁🤣🤣🤣 nacheka kama mazur 🙄

    • @samwelimwaim7136
      @samwelimwaim7136 Год назад +1

      Ni kweli ndugu points MUNGU atusaidie wote maana hatujui muda Wala saa popote unapoenda fany Kaz, MUNGU atusimamir

    • @nizzarzaver1046
      @nizzarzaver1046 Год назад +2

      We mkiristo pia waingia motoni wajua ilo mbwa wewe yesu ni nani

  • @godfreynyamshola268
    @godfreynyamshola268 Год назад +8

    RIP hakika vizili havidum mungu ailaze loho yamalehem peponi amin

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Год назад +8

    Tuombe mwisho wema subhanallah

  • @riziwapilialfred9032
    @riziwapilialfred9032 Год назад +6

    Mungu apumzishe mwili wake njia ya ote iyo poleni wana ndugu

  • @sarahmutanu297
    @sarahmutanu297 Год назад +7

    RIP Costa titch nliipenda nyimbo zako sana

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад +4

    Sijui nilieje jamani nampenda sana Costa titch.nini shida siiwe uongo hajafa jamani

  • @isimailiamery-bx8rg
    @isimailiamery-bx8rg Год назад +6

    R.l.P daaaa Mungu awe pamoja na ww tutakuku mbuka sana jinsi tunavyo kupenda Costa

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina Год назад +2

    Oh God bna mapema ak,, RIP Costa😢😢😢😢😢😢😢

  • @Rimmonboygrand
    @Rimmonboygrand Год назад +4

    Rip coast nilipenda wimbo wako na dance zako 🙏🙏🙏🙏

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Год назад +4

    Siwana. Mabodigad mbona. Mungu. Kachukua. Ndomujie. Mungu. Apangiwi

  • @ramadhanisalumu-mo1tx
    @ramadhanisalumu-mo1tx Год назад +2

    R.I.P Costa super star mungu ahilaze Mahali pema peponi

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Год назад +5

    Tumewajua kupitia Diamond dah RIP lkn sion akidondoka mi Naona akiyashek tu

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 Год назад +9

    Oh God R.I.P 😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @m2clipsalwaysinyourpockect256
    @m2clipsalwaysinyourpockect256 Год назад +2

    Lala salama! Mungu akupoke maulana

  • @hamiduhamdun1858
    @hamiduhamdun1858 Год назад +2

    Mapema sana lakini ndio muda wako umefika pumzika kwa amani

  • @emmanuelsamwel451
    @emmanuelsamwel451 Год назад

    Pole san blaz Mungu Ailaze rohoo yako peponi duuuu! Bac ten

  • @mutesispecious5727
    @mutesispecious5727 Год назад +3

    Rip super star 💫

  • @alfoncemulu2550
    @alfoncemulu2550 Год назад +3

    Rip in peace ✌️ bro ila umewacha foundation nzuri ya kimziki Africa mashariki I will try to make sure av gone far than that

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 Год назад +1

    Eeee Mwenyenzi Mungu tunakuomba utupe mwisho mwema

  • @chancardbright9831
    @chancardbright9831 Год назад +2

    Hatutasahau music yako costa titch last in peace 😢😢

  • @maikohando7440
    @maikohando7440 Год назад +3

    Dah inauma sana ila Nita kukumbuka sana bro 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @abdulikarimu7619
    @abdulikarimu7619 Год назад

    Mungu amlaze mahala pema peponi ss ata tukilia sana hay sandi

  • @richardmuli3907
    @richardmuli3907 Год назад

    How are you fan members of costastiche,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭,ilove costastiche somuch, becoz, he was the best musician, his songs , ilove was superstar, becoz, he was performing with my superstar artist called diamond platnumz as Nassib Abdhull juma, he songs was supper star , ilove the songs somuch, but , god knows our journey from the heaven and earth, ilove the man somuch, R. I. P my brother, we love you, and go well in into another journey, 🍾🍾🍾🍾🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад +6

    Nimeumia jamani .nyimbo zake nazipenda sanaaaa jamani jamani uwiiiiiiii

    • @elikanacharles8141
      @elikanacharles8141 Год назад

      Nini tena jamani mbona hivi lakini kwani tunaenda wapi
      Oooh my Godness

  • @tommykibiki-nj5wz
    @tommykibiki-nj5wz Год назад +3

    Unyeeeeeeee jamaaaaaa

  • @aisharajabu7308
    @aisharajabu7308 Год назад

    Mwenyezi mungu ampatie pumziko jema kijana mwenzetu

  • @chizicomedian264
    @chizicomedian264 Год назад +1

    Janja lamjini mungu amuraze maharishi

  • @mrschamtuwa9682
    @mrschamtuwa9682 Год назад +1

    Jamn huyu kaka nilikuwa nampendaga san mwenzenu 😭😭😭😭RIP

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 Год назад +6

    R.I.P COSTA TITCH.

  • @yveswasso1350
    @yveswasso1350 Год назад +5

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 R. I. P

  • @remydenisomondi1485
    @remydenisomondi1485 Год назад +2

    R. I . P super star it's indeed painful 😢

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 Год назад +3

    Rest in peace isipokua sikuwa namjua 😭

  • @LUCKYBOY254....
    @LUCKYBOY254.... Год назад +1

    Imekua uchungu sana kukupoteza bro 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @user-xj8qc7vu5v
    @user-xj8qc7vu5v Год назад

    I love his dancing style

  • @mohammedshaban2398
    @mohammedshaban2398 Год назад +1

    Duh maskini ndo nilianza kumuelewa jaman😭😭😭😭😭

  • @nassorohamza-nc5zc
    @nassorohamza-nc5zc Год назад

    Mwenye zimung hamlaze mahali pema pepon amina

  • @sleimanali
    @sleimanali Год назад

    Mungu atupe mwisho mwma amin

  • @muhammadjamady-zx1jy
    @muhammadjamady-zx1jy Год назад +4

    daaaaa jamaa kafaa na mziki wake daaa sjui atamjibu vip muumba wake

  • @christinakyaruzi3394
    @christinakyaruzi3394 Год назад

    Omay God bless this man I don't believe 🙏 😢 😭 😪 😔

  • @jeanwema1061
    @jeanwema1061 Год назад +2

    😭😭😭😭😭😭🇨🇩😭😭😭😭 inauma

  • @paradisomwagala-jh3ki
    @paradisomwagala-jh3ki Год назад +1

    Yooooo umelala yooo😭😭😭

  • @Rockstardontonny254
    @Rockstardontonny254 Год назад +1

    RIP WE'LL MISS YOU SO MUCH COSTA TICH GONE TO 🔜

  • @jacksonmacha-wb2vg
    @jacksonmacha-wb2vg Год назад

    tutakukumbuka sana mungu kakupenda zaidi

  • @salmasalum5082
    @salmasalum5082 Год назад

    Duuh jaman tumkumbuke mungu muda wote kifo Akna odi

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq Год назад +1

    WABONGO MMEZIDI MTU AKIFA TU HEHEH HIZO R.I.P MBNA MCIMPEE CREDIT BEFORE AKUFE

  • @munirysaidmunirysaidi
    @munirysaidmunirysaidi Год назад

    Daaaah mungu akulazi mahari pemaa

  • @rose-vm8rf
    @rose-vm8rf Год назад

    Bro mwendo umeumaliza

  • @salimsultan-lp2qd
    @salimsultan-lp2qd Год назад +1

    Mungu akusubiriii sanaa kijana 🤝🤝😭

  • @kelvinpaul3556
    @kelvinpaul3556 Год назад +9

    Rest in peace brother

  • @isaysirasi-jt4wh
    @isaysirasi-jt4wh Год назад

    Daah mungu tulinde wakati wa muda ndo unapotea daah inauma sana

  • @sudibaruti-pl1tl
    @sudibaruti-pl1tl Год назад +1

    Kila nafs itaonja umaut R I P Costa titch😭😭

  • @COLLODERAPPER
    @COLLODERAPPER Год назад +1

    Ripcostatitch

  • @salimmomba-dq4hq
    @salimmomba-dq4hq Год назад +2

    Rest in God peace

  • @farajamussa-et5sw
    @farajamussa-et5sw Год назад

    RIP costatitch I love u😭😭😭😭😭

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 Год назад

    Kwa mauti pole ila kwa kazi uliokuwa unafanya jehanamu ina kungoja uliuza nafsi kwa shetani akuna rip apo wamakufariji bure na diamondi asipo mrudia yesu kristo mwokozi wa ULIMWENGU mzima mtakutana pole na kumaliza mwendo vibaya

  • @edwardkasmir-ik4tn
    @edwardkasmir-ik4tn Год назад

    Nmeiona video.ila Mungu wa ajabu jaman...unaona alidondoka akazuiliwa na shekaz wake then baada ya muda mfup kusogea mbele akadondika chni kabsa mazma jaman .Mungu qmlaze mahali pema.

  • @shijamarco2662
    @shijamarco2662 Год назад

    Tatizo wanatumia madawa ya kulevya yanapanda kichwani

  • @hitlermanyonyi-df6pb
    @hitlermanyonyi-df6pb Год назад +2

    DA PUMZIKA KWA AMANI COSTA TITCH 😭😭😭😭😭

  • @wanzokiwanene7931
    @wanzokiwanene7931 Год назад +1

    Inauma sana kumpoteza mwamba kma huyu

  • @noelynjelekela5406
    @noelynjelekela5406 Год назад

    Daaaaa nendaa salama brother

  • @LorryVoice-cy4zs
    @LorryVoice-cy4zs 8 месяцев назад

    Munguamlaze pemapeponi amen

  • @issachege5606
    @issachege5606 Год назад

    Shetani yuko bizy kuwinda wanamuziki wakidunia watu wamrudie yesu sababu kuzimu ni halisi ipo na maelfu yawanadamu waliokufa bila yesu wapo uko,tutubu nakutafuta mungu wakweli Dunia inapita navyote vyake

  • @olivyadaniely827
    @olivyadaniely827 Год назад +1

    😭😭 RESTI IN PEACE

  • @vicksanga
    @vicksanga Год назад

    IV NIKWELI UMEENDA COSTA DUUH

  • @frankiethekiddy9174
    @frankiethekiddy9174 Год назад +1

    R.I.P bro

  • @pvoiceofficialtv7630
    @pvoiceofficialtv7630 Год назад

    Rest in peace costa tich i was ur biggest fan no way cz wte 2natakiwa kuiacha dunia cz cyo ye2

  • @Aisha-ov1lu
    @Aisha-ov1lu Год назад

    Jamani tusijisahauni dunia twapita tu hii siyetu

  • @ivanmtatifikolo8909
    @ivanmtatifikolo8909 Год назад +3

    😭😭😭

  • @ericngaramia5455
    @ericngaramia5455 Год назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😔

  • @sleimanali
    @sleimanali Год назад

    Kila nafsi Itaonja mauti na uyo mungu wenu mbona kauliwa nimuungu gani achini ujinga mungu no mmoja2

  • @tommykibiki-nj5wz
    @tommykibiki-nj5wz Год назад

    Uniieeeeeeeeeee jaaamaaaaaa umejichanganya kwa mond jamaaaa poleee lkn jamaaa

  • @irankundakennedy9170
    @irankundakennedy9170 Год назад

    Freemasons hivyo ndivyo walivyo, malipo Yao ni kifo cha kushangaza , kanumba mfano mzuri

  • @chandraboyfficiel-sd5li
    @chandraboyfficiel-sd5li Год назад

    Pole Sanaa 😭😭😭

  • @mannuke1686
    @mannuke1686 Год назад

    He is next illuminati haisaidii hustle kikwaida bana

  • @godymaster8727
    @godymaster8727 Год назад

    Daah siamini

  • @adilmohamed1784
    @adilmohamed1784 Год назад

    😂😂😂 Diamond kashaanza kuogopa

  • @alphaojuma3833
    @alphaojuma3833 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭R.I.P

  • @uwezoclaudeiniesta3610
    @uwezoclaudeiniesta3610 Год назад +2

    🇨🇩🇧🇮✌️

  • @omarychubi-hl9on
    @omarychubi-hl9on Год назад

    R.I.P cost tich

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 Год назад +1

    RIP COST TICH

  • @francismuriithi5122
    @francismuriithi5122 Год назад

    Rest in peace bro😭😭

  • @nasrarajabu4260
    @nasrarajabu4260 Год назад

    😭Innallillah wainnallillh rajiuni

  • @philimonbenad1827
    @philimonbenad1827 Год назад

    R.I.P Mr Costa Titch

  • @francethomas8059
    @francethomas8059 Год назад +3

    R,I,P

    • @Aida-qh3jq
      @Aida-qh3jq Год назад

      Inalilah wainalilah rajighun kazi yake mungu haina makosa leo kwake kesho kwangu

    • @mudrickikasigo
      @mudrickikasigo Год назад

      Hatuna namna

  • @fazililbeakaboi-rh7hf
    @fazililbeakaboi-rh7hf Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUGU akurita

  • @agnesmangu-em7bg
    @agnesmangu-em7bg Год назад

    Daaaah umeondok😭😭😭😭

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 Год назад

    Mola atupe hatma njema

  • @mumba458
    @mumba458 Год назад

    Pôle sana kwanjamaa iyo

  • @arekictito52
    @arekictito52 Год назад

    Rlp cost TTich 😭😭😭😭😭😭😭

  • @kyanzadadou4285
    @kyanzadadou4285 Год назад +1

    R i p 😭😭😭

  • @saidihasani-rg6xj
    @saidihasani-rg6xj Год назад +1

    Rest in peace

  • @faidhambonde3094
    @faidhambonde3094 Год назад

    Daaaaaaaa, R.I,P

  • @Okapiledj
    @Okapiledj Год назад

    R.i.p bro

  • @bettynyashimwe-wi5tf
    @bettynyashimwe-wi5tf Год назад

    Kifo nihatari ataukuwewapi sikuyamutu ikifika niranima

  • @jokaladalushi495
    @jokaladalushi495 Год назад

    R.I.P mr coater 😭

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Год назад

    wasenge nyie wapenda Dunia kifo hakina POLE TUJIANDAE KWA MAMBO MEMA WASENGE WAKUBWA NYIE BADO YEYE SASA