DK 13 ZA MAAJABU YA KENDRICK LAMAR SHOW YA SUPER BOWL,TRUMP AVUNJA REKODI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 5

  • @mvullamanase
    @mvullamanase 13 часов назад +2

    Jana Nili Hudhuria Hili Tamasha. Ninoma sana Huyu Jamaa Ni Jini.❤

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 9 часов назад +1

    alieandaa hii kitu inaonekana hajui issue za entertainments industry, ana elezea video like anapiga story na mshkaji tu, sio kama kijana kabisa yani, pia ana changanya matukio na picha inayo kuwa displayed mfani issue ya SZA na kendrick ame display picha ya SELENA badala ya SZA, haja elezea tukio la kendrick kumuweka Selena kwenye show yake tena kwenye dis track yake kwa Drake, inshort hii content ilikua ina muhitaji mtu kama JOHN JACKSON MSANUAJI, tena ingewekwa kwenye Whats Popping ingekua poa sana.

  • @blackothman7332
    @blackothman7332 3 часа назад

    Huyu jamaa wanampa promo sana ila nyota hana jaman yani angekua drake ndio anapewa hizo proma mtandaoni kungewaka

    • @newtonemtayoba1550
      @newtonemtayoba1550 2 часа назад +1

      Wewe ndio hujui nyimbo zake usimlinganishe Kendrick na Drake , ke.drick ni moto mwingine ,🔥🔥🔥🔥🔥