Yani kama kuna interview tamu ambazo SNS mmeshawahi kuzifanya na zikawagusa watu wengi tena kwa mapenzi ya dhati kabisa basi hii ya Big Fizzo ni mojawapo. Thank you very much for your support and East Africa we are one so we need to support each other as brothers na kwa kupitia interview hii mtaenda kuona ni kiasi gani mmeigusa mioyo ya wengi na ya waliokuwa na kiu ya kuuona mshikamano kama huu ukifanyika kwa wana East Africa kama ambavyo ninyi SNS mmefanya leo.🇧🇮🇹🇿
Big fizzo ni legend wa EAC Burundian flag We cannot say Burundian music without this gentleman ,we really do appreciate for all he had done to our music May God grant him many years for living and making his dreams true
Bwana eee sisi huku burundi tunawapata tano kwa tano,na kuhusu kiswahili, bwana mbona tunakitwanga kama kawaida,na asante sana kwa kumleta big wetu tunampenda saaana,SNS big up sana
Sky uyo jamaa nimkubwaaa saanaaa Toka nikiwa mdogo nilikua namfatilia adi wa sasa nyimbo zangu pendwa kutoka kwake ni "leave me alone, una chokoza nyuki & ndakumisinzeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥 Big fizzooo🙌✌️
Sasa hebu kuwa ni mkubwa tatizo liko wapi? Ninge shanga kama watanzania hamngekuwa na comments za uhuni. Maneno mengi alafu hakili ndogo. Poleni sana wabembe punguzeni usutwa
Oh yeah, ilikuwa ndoto yangu, kumuona Big Fizzo kwenye Tzt's media...Hakika nafurahi sana...Heshima kwa wadao wa Burundi, Bujumbura, specially, Makamba- Nyanza-lac
Big up Sana kwawatanzania 🇹🇿iyo moja tunakubali kwahiyo sport mnatupa KBS uyo ndo king 👑🇧🇮nawala amna mpinzani wake ninachowaomba kama wandugu muwe mnatusaport kwakimziki waburundi🇧🇮mtakua mnatufanyia kitu kizuri naisis hua tunawakubali saaana kimziki
walah kaka sky leo nimefurah kabisa mimi ni mrundi kutoka kuwait nakufatilia saan ,lakin leo umenifurahish kabis kwaku support mrundi wetu for really Thank you for u support burundi we love u # get another artiste #East africa
Sns Nakubali saana mmefanya kitu kikubwa Embu nende mkamskilize KINGORONGORO Mwana HipHop Bora wa Kiswahili Ambaye Tunamkubali na Anaweza Akatuwakilisha Vema Respect #SNS
Sky mm nilikua nakupenda kwaili Nimegupenda zaidi nipo Hapa kulasini shimu laudongo Najulikana Kama HAKIZIMANA Eric Saluti kumuona hapo sns 🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮☝️❤️✔️
Big fizzo big up sana unajua kujibu maswali ambao umeojia so wewe ni mkubwa na utazidi kua mkuwa pengine watu wanaona ila wanashindwa kusema ukweli big up kwamaana Burundi nzima wewe ndio msani ambae unajulikana sana njee ya Burundi
Fizzo is the first musician in BURUNDI and he's among the best singer in EAC. Tunaweza Ila hatuna promotion ooh my country inauzunisha. Fizzo mzee wa shozbiz hauwushobokey collabo
Huyo mwamba noma mwanangu burund anatikisa halaf sjui kwanini hatuwafatilii nawaki mziki wetu burund unapigwa sana kuliko mziki wao kwer kwahilo tuangalie namna yakulisovu ili nawao tuwasapot kwer mi mwenyew nimemfatilia huyo mwamba big fizzo kwer Yuko poa big up sn big fizzo
I like the legend the most. I wish they all accepted his collabo since Burundi we still need strong collabo even if we gotta have terrible musicians. buja boy OYEEEE.
Safi sana sns mm nawashukulu sana kuona umemuhoji msani wetu fizzo alafu nimefurai kuona ww ndio umuhoji siku tegemeya ka ww ndo utamuhoji una roho nzuli sana kaka ndomana tunafatiliya sana sns huna zarau ww kaka thx so much from Burundi
Rwanda sio wengi wanajua kiswahili alakini wanaokijua tupo kwa mfano mimi ni mfuatiliaji wa bongo flavor Music@ Konde Music worldwide#Harmonize namba moja
Nampenda sana Big fizzo from Tanzania nipe like
Thanks
Asante kaka
@@divadaqueen6558 pw
Safi saaana sky 👏👏 Burundi wanahitaji support yako saana👏👏 mwanzo mzuri na Big Fizzo...hope wengine watafuatia🔥🔥🔥
#vani Kama #vaniskaka u know what
Sana tuu uko kwenye kazi n'a wewe pia broo
Van iskaka unamchango mkubwa sana kwnye industry yetu Burundi tunakupenda
Van iskaka burundi pia tunaku itaji
van isikaka salama? asante sana kwa spot
Burundi tunafanya Mziki, Mziki ni Mziki tu nakubali✌️✌️👊👊👊👊🔥🔥🔥
Kati yawasani ambao hawana code kichwani ni Mr champagne ndomana nakupenda
Wewe na suport mziki kwasababu uko mtu mzuri huna bif namtu big up
Champagne wewe je utafika lini
Mista champagne musanii mwenye hana bifu respect kwako baba 🍻🎤🇧🇮🎧
Nakubali mister champagne hakika kwa mwendo huu tutafik
Plooo plooo nice pamoja SNS TZ
Sky Mungu akubariki Saaaaana kaka. Fizzo Rwanda tunamjuwa kama mfalm wa Buja flava. 🇧🇮❤️🇷🇼
Asante
Asante sanaaaa❤️
Fizzo kama Fizzo munipe Link zenu watu wa Trip FFF family🔥🔥🔥🔥🔥
Una ishi wapi Italy?
Fizzo wetu 🇧🇮🇧🇮nakubari kwa kusimamiya Mziki wetu eti Bongo Flava waace zao
Landry acha ubaguzi , that's stupidity man
Ata mimi pia namkubali fizzo kutetea inchi yake
Bongo Fleva bado hamuwezi kuifikia
Yani kama kuna interview tamu ambazo SNS mmeshawahi kuzifanya na zikawagusa watu wengi tena kwa mapenzi ya dhati kabisa basi hii ya Big Fizzo ni mojawapo. Thank you very much for your support and East Africa we are one so we need to support each other as brothers na kwa kupitia interview hii mtaenda kuona ni kiasi gani mmeigusa mioyo ya wengi na ya waliokuwa na kiu ya kuuona mshikamano kama huu ukifanyika kwa wana East Africa kama ambavyo ninyi SNS mmefanya leo.🇧🇮🇹🇿
Msani wa Kwanza kutokea BURUNDI anae jibu maswali kiiufaswaha ni Big fizzo
Umeona eeh
Kama sawa🇧🇮🇧🇮💪🏿💪🏿 Mfalme kama Mfalme
Jamani from burundi tujuwane ♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Big fizzo ni legend wa EAC
Burundian flag
We cannot say Burundian music without this gentleman ,we really do appreciate for all he had done to our music
May God grant him many years for living and making his dreams true
Ndiyo big Fizzo ni Shujaa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki !
Bwana eee sisi huku burundi tunawapata tano kwa tano,na kuhusu kiswahili, bwana mbona tunakitwanga kama kawaida,na asante sana kwa kumleta big wetu tunampenda saaana,SNS big up sana
Mimi ni mtanzania na ninaipenda Burundi sana natamani kufika Bujumbura
Karibuni sana
It's been 4 years nikiwafatilia SnS mimi ni Burundi nawafuatilia nikiwa South Africa
From Burundi Buja 🇧🇮 kweli mna bahati sn
Sky mambo vp? Umeona
Comment huku ciniiiiii
Burundi mmetubagua sanaaaa
Tunaumia 🇧🇮 ☝️😂🇹🇿❤️❤️❤️❤️
And thank you for the Simulizi, to give him an interview 🙏🙏🙏
✊🏿
✊🏿
Bwana SNS hapa umetisha kinoma, Le Grand Fizzo !!!
Sky uyo jamaa nimkubwaaa saanaaa
Toka nikiwa mdogo nilikua namfatilia adi wa sasa nyimbo zangu pendwa kutoka kwake ni "leave me alone, una chokoza nyuki & ndakumisinzeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥 Big fizzooo🙌✌️
Sasa hebu kuwa ni mkubwa tatizo liko wapi? Ninge shanga kama watanzania hamngekuwa na comments za uhuni. Maneno mengi alafu hakili ndogo. Poleni sana wabembe punguzeni usutwa
nabuzukuru bazokwibuka mutama ( na wa toto wa watoto wetu wata kukumbuka mzee) wewe una love kabisa
Big fizzo unaniangushaa unakata kama sio ww mfalme wa music in Burundi 🇧🇮ww number moja mpaka kumi hakuna wazaidi yakoo
Wewe acha uwongo King ni 1 tuuu
#Sky umetukosha moyo kwakweli
All Burundian are proud of #sns
#Bigfizzo is our legend in🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Big Fizzo mtu wetu Sanaa 🇧🇮🇧🇮tunamkubari saana
Bid fizzo mtuwetusana hakunamtuyoyoteule Burundi ataweza mshinda big fizzo courage wangu 💪💪💪❤️❤️🌹🌹🌹💕💕✌️👌👌
From Burundi abari zenu👌🇫🇷
SalaamA kalibu BUJUMBURA
ruclips.net/video/8bs_9VGV_0k/видео.html
Safi
@@mwandishimussa6319 asante
@@yeboclassic9058 🥀
Leo SnS mmenifurahisha sana kwa fursa ya Kijana wetu Mugani Desire .Iyo ni fursa kubwa kbisa kuweza kujulikana sana kwa Tz
Bontu bwoy 🇧🇮🇧🇮✔️farious mm
Nimekuona sns na Mr sky ❤️👊☝️🇹🇿🇧🇮✔️
Tunawashukuru sana kabisa kumpokea studio zenu tz kabisa
Exclusive kabisa na mtoto wa Home, big up sana Fizzo wiwacu
Na hilo neno Burundi 🇧🇮 wapo wajuzi na kihindi tunaimba DADA ines 💪
Thank you for support I was Superstar from Burundi #esns #bantu boy 🇧🇮💪
@papasimbaDécor from bwiza live in Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹
Ukija Burundi 🇧🇮 unakutana na konzi ya king Kong 🤴 nikiwa tz dj fanny ndio kanifanya nikamjua fizzo
Namkubali xn fizzo napia ninamfuatilia xn japo me nimtanzania ila jamaaaa daaaaaaah
Legendary tunakubali kazi zako Fizzo 🇧🇮x🇯🇲
Tunaishi sana na nyimbo za kaka yetu hapa 🇺🇸. Big up, FIZZO and SNS!
Greatest of All time #BantuBwoy
@Bigfizzo dereva wa muziki wa Burundi for life
Mr yassin mimi ni shabiki wa damu wa Bantu bwoy from Rwanda @mushyaarodi instagram
Eba weye haukosekani kwenye utamu tunakutania apa tena
@@aphroovevo tunakbalii bro
Fizz we mwanaume kwel na kuku bali sana ume tuchana wa bongo
the real king of music of buja in the house!!!
The legend of Burundian music 🎶 #big fizzo # 🙌🙌🙌👐# 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮# He deserves it
Oh yeah, ilikuwa ndoto yangu, kumuona Big Fizzo kwenye Tzt's media...Hakika nafurahi sana...Heshima kwa wadao wa Burundi, Bujumbura, specially, Makamba- Nyanza-lac
East Africa Icon 🦅🦅@bigfizzo 🏟️🏟️🇧🇮🇧🇮
Mambo mazuri sana big fizzo i'll support you🇧🇮🇧🇮
Big up Sana kwawatanzania 🇹🇿iyo moja tunakubali kwahiyo sport mnatupa KBS uyo ndo king 👑🇧🇮nawala amna mpinzani wake ninachowaomba kama wandugu muwe mnatusaport kwakimziki waburundi🇧🇮mtakua mnatufanyia kitu kizuri naisis hua tunawakubali saaana kimziki
Jamaaa kaongeaaa point leooo kiasii wakina platnamz wasisahauu kwenda hukooo
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🔥🔥🔥 SnS m barikiwe sana kwa kumsapoti msani wetu Big Fizzo
big up saana kwa big fizzo, big fizzo sio mchoyo anawaombea na wengine wasani opportunities
Fizzo sa idiya Ines ki music please
walah kaka sky leo nimefurah kabisa mimi ni mrundi kutoka kuwait nakufatilia saan ,lakin leo umenifurahish kabis kwaku support mrundi wetu for really Thank you for u support burundi we love u # get another artiste #East africa
LOVE FROM BURUNDI THANKS FOR SPRT
Mugani desire
Gikundiro konzi ya King Kong ✔️❤️☝️🇧🇮👊🎤
Big fizzo ndo désirée? Mimi kitambo bujumbura. @papasimbaDécor from Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹
Of course Big fizzo ndo MUGANI DESIRE MZEE BABA
Desire uyuu
@@amolam97 ndiyo nimesha kusoma, sisi na wao ndo tumekuwa wachezaji waku odeon palace
Big Fizzo mwenyewe!
The living legend!
The best singer...
The best rapper....
The best of EAC...
Asante sana SimuliziNaSauti kumleta Big Fizzo😍
Kanza niseme shukrani kwa Sky pamoja na team yote ya SNS kwa kutuletea kipindi kizuri na Mr Igikaju mtoto wa nyumbani.nami nawapata 5/5 from Zambia
From 🇧🇮 Saudia Alhamdulillah
Big fizzo hana roho mbaya kawatakia wasani wote wasapotiwe BURUNDI Rwanda namkubali san general Fizzo
Sns Nakubali saana mmefanya kitu kikubwa Embu nende mkamskilize KINGORONGORO Mwana HipHop Bora wa Kiswahili Ambaye Tunamkubali na Anaweza Akatuwakilisha Vema Respect #SNS
Kbx
Now I am happy to see that you are hosting the king himself from Burundi 🇧🇮
Sky mm nilikua nakupenda kwaili
Nimegupenda zaidi nipo
Hapa kulasini shimu laudongo
Najulikana Kama HAKIZIMANA Eric
Saluti kumuona hapo sns
🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮☝️❤️✔️
Thx sns kwakumup nafasi hiyo king wa buja flava
🇧🇮🇧🇮 i really appreciate for this king of Buja flaver 🤝
umenifulihisha sanaaa kabisa endelea kupiga hatua
Daaah kiukweli nimefurahi saaana kuona BIG FIZZO on SnS's interview daah mkali sana huyo jamaa the really King of EastAfrica asante sana SnS love you
Oooh my God thank you again tumefurahi sisi watu 🇧🇮 kabisa
Nakubali sns fizzo oyeeeee king from buja
Big fizzo big up sana unajua kujibu maswali ambao umeojia so wewe ni mkubwa na utazidi kua mkuwa pengine watu wanaona ila wanashindwa kusema ukweli big up kwamaana Burundi nzima wewe ndio msani ambae unajulikana sana njee ya Burundi
Big fizzo the best in Burundi 🇧🇮 Bujumbura🇧🇮👊🏿 Burundi 4 UK 🇬🇧 tuna kubali Big Fizzo🇧🇮👊🏿 GOD bless Burundi and all Africa🇧🇮🇨🇩🇹🇿👊🏿
Thank you sky for yr support.God bless you🙏🇧🇮🇷🇼🇺🇬🇹🇿 and Kenya.One love
Asante SNS, Uyo ndo best raper, best singer, best artist kinara,
Fizzo is the first musician in BURUNDI and he's among the best singer in EAC.
Tunaweza Ila hatuna promotion ooh my country inauzunisha.
Fizzo mzee wa shozbiz hauwushobokey collabo
Huyo mwamba noma mwanangu burund anatikisa halaf sjui kwanini hatuwafatilii nawaki mziki wetu burund unapigwa sana kuliko mziki wao kwer kwahilo tuangalie namna yakulisovu ili nawao tuwasapot kwer mi mwenyew nimemfatilia huyo mwamba big fizzo kwer Yuko poa big up sn big fizzo
Kumbe wew unajitambua ila wengine wamejaa ubaguzi yaani wanatubagua sana
kwanza niwashukuru sana ndugu zangu mmeongerea mambo muhimu sana undugu usiishie maneno ira tusaididiane kusogezana mbere muche respect kwa nianjema
🤝
Leaving legend
#double album
#playburundians musics
Legendary fizzo bahati mbaya inchi yak mziki uko chini angekuwa mutanzania angekuwa king wa.africa
Big fizzo kiswahili kimekaaa. Turagukunda cane abhatanzania Imana iguhezagile.muhanzi big fizzo ndakwemela cane kuva Tanzania bhanyita mugdanny
Proud of you MUGANI DESIRE our star🇧🇮🇧🇮🇧🇮💕❣️terimbere mutsamaaaaa
Nice interview big fizzo and sns kwa pamoja sana
Daah nimechelewa ila Shukran kwa Sky na simulizi na sauti kwa ujumla.
Jamaa yuko makin kujibu maswalli!! Big up bro🔥💪
The king of buja flaver into Tanzania Kazi Kazi Mzee naamini Chombo kitam Na Jux Juma kinakuja Salut the king of buja flaver
Kupitia Link izi nimegundua mwana iko sawa sana JAMA NOMAA
Yeah Big Fizzo ni msani mkubwa. Anafanya mziki wa ki professionnal
The really monster bantu bwoy
Big up my super star
King Kama big fizo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 good interview 🔥🔥🔥🔥
King big fizzo myamwezi saaana
King of kings Big Fizzo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
well said breddah✊🤟
Nakubali yudah kwani wwe hunaga ubaguzi na we nimsema kweli
Nakukubali.huna.ubaguzi
Respect Big Fizzo umejaribu kuteteya muziki wa Burundi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Bg fizzo chombo cha Burundi 🇧🇮 macho yako kwako, tutazidi support 🇧🇮💥💪 wengi wa taamini buja kama buja safi sana bg fizzo. From 🇰🇪💪🔥🔥
Legend ume tuwakilisha vyema god azibatiki kazi zako ili utufikishe mbali zaidi bless you end bless sns 🇧🇮x🇹🇿x🇫🇷
I like the legend the most. I wish they all accepted his collabo since Burundi we still need strong collabo even if we gotta have terrible musicians.
buja boy OYEEEE.
Wooow nimefurahi sana kumuona.one of my favorite artist from 🇧🇮akiwa ndani ya mjengo SNS
Komer muta
Big Fizzo number one 💪💪
Nimefurahi sana sky jitaidi kufatilia wasani wa🇧🇮🇧🇮 na wanajua sana kama fizzo ni king kabisa tunamukubali kinoma🙏🙏
Burundian king big fizzo love u brother
Safi sana sns mm nawashukulu sana kuona umemuhoji msani wetu fizzo alafu nimefurai kuona ww ndio umuhoji siku tegemeya ka ww ndo utamuhoji una roho nzuli sana kaka ndomana tunafatiliya sana sns huna zarau ww kaka thx so much from Burundi
Mada nzuri ya kupeana support za kiutamaduni(culture)
BIG FIZZO Nakubali bro🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤ wallah warundi uaga tunaonea kua hatuongei swahili tunaongea vizuri sana
Kiswahili cha Burundi ni nzuri sana
Rwanda sio wengi wanajua kiswahili alakini wanaokijua tupo kwa mfano mimi ni mfuatiliaji wa bongo flavor Music@ Konde Music worldwide#Harmonize namba moja
Big fizo
Number one in Burundi
Rwanda kiswahili hamjui
@@abouseleynzisabira5875 kinyarwanda rhuga tamu
Nimezaliwa Ufaransa lakini ninajifunza kiswahili. Kwa hiyo, Warwanda wanaweza kujifunza kiswahili pia
Kumbe mimi nikipenda kitu ua sikoseyi SNS ✌💥💥💥
Daaaa ongela sana king big fizzoo tunakupenda sana
Nampenda sn big fizo nimsani mkubwa bijei,tuwe sote pamoja.