JEMEDARI SAID ATOA SIRI ALICHOKIONA KWA YANGA/ "TUNAZIOGOPA TIMU CHACHE BONGO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 31

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 месяца назад +6

    Pole sana Bin Kazumari Yanga SC is next level

  • @DIVINEPROMISE-c1n
    @DIVINEPROMISE-c1n 2 месяца назад +3

    Nimatumaini yangu JKT safari hii itamaliza nafasi ya nne kwasababu hua unajifanya unajua sana mpira Jemesari

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 2 месяца назад +9

    Huyu Ujuaji mwingi halafu Mbele Kiza.
    Sijawahi kumuelewaga huyu mtu

  • @Loftyattorneys
    @Loftyattorneys 2 месяца назад +3

    Jemedari kwanini wasikupe team brother uwe coach tu😂😂😂maana unaweza sana kuwa coach kuliko mchambuzi😂😂😂

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂atatia aibu😂😂😂😂😂

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 2 месяца назад +5

    😅wee huogopi

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 2 месяца назад +8

    Kwa hyo Kwa lugha rahisi Jemedari unamaanisha kocha wenu mnamuingilia sana kwenye maamuzi.. inakuwaje ukawaambie hivyo wachezaji wkt kocha yupo?

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 2 месяца назад +2

    Huyu jamaa ni wahovyo sana hataki kuikubali yanga😅😅😅😅
    Mtalazimishwa tu kusema YANGA NI BORA😂😂😂😂😂😂

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 месяца назад

      Kwani kasema yanga sio bora

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 2 месяца назад

      Yuko mwezini huyo msamehe bure.​@@MgazaMhina

  • @erickmzaula3830
    @erickmzaula3830 2 месяца назад +2

    Msimu w korosho ,kwenu ndo huu kilo 3800/. Naenda kaokote korosho , kazumali uchambuzi waachie wengine😅😅

  • @wilbartmugheri8258
    @wilbartmugheri8258 2 месяца назад +2

    Aiseee kweliiiii banaaaa "Zanzibar Marathon," msisahau kunywa "Juisi ya Mhogo," huko 🇿🇦.

  • @christinataimu
    @christinataimu 2 месяца назад +2

    Na wewe kanunue ya Namungo au wahonge marefa wakubebe

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 месяца назад +1

    Yanga wanaroho mbaya

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 2 месяца назад +1

    Hawa ndio machawa wanaoharibu mpira wa bongo

  • @gabrielzacharia3636
    @gabrielzacharia3636 2 месяца назад +3

    Bin Kazumari Leo umefurahisha sana kwani hatinaye umekubari ubora wa YANGA

  • @stephanothadeo7579
    @stephanothadeo7579 2 месяца назад +5

    Kwahiyo ukaenda kuwaogopesha wachezaji😅😅😅

  • @bminawandu
    @bminawandu 2 месяца назад

    Jemedari kauza mechi sio Kwa uwezo ule wanao onyesha JKT kasikika kichaa mmoja kutoka Kwa wazee makolo

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 месяца назад +11

    Shida ya wachambuzi WA bongo ndo Mnao haribu mpila. SASA ulijua wewe ukiingia kwenye benchi laufundi ndo yanga wange fungwa. Ama ndoto za mchana

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 2 месяца назад +3

      Dah Wewe Sio Mtu Wa Mpira Nin Huyu Ni Mchambuzi Na Ni C.E.O Wa JKT Kaka Kama Ulitambui Hilo Kwaiyo Kuingia chumbani Ni Kawaida Huyo Ndio Boss

    • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
      @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 месяца назад +1

      @@officiallnobystar ivi unajua maana ya c.e.o. huyo kenge asie jua mpila lini kama bos WA jkt?

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 месяца назад

      ⁠@@EmmanuelNyinyigwa-m1owewe ndio hujui huyo ni C.E.O wa jkt

    • @Mfacts_OnlineTv
      @Mfacts_OnlineTv 2 месяца назад

      Acha kutukana watu wakati hujui kitu​@@EmmanuelNyinyigwa-m1o

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 2 месяца назад +2

      @@EmmanuelNyinyigwa-m1o Unabishana Ama Unataka Uelekeze Ulizia Jemedari Ni Nani Pale JKT Sio Unabishana Tu Wakati Ujui Kitu

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 2 месяца назад

    Yanga mumenunua mechi