hayuko sawa 100% you can play na double pivot with 4-3-3 jemedari anaiweka simple kabisa pivote inayo angalia chini like a triangle hans anacheka cheka tuuuu,' kuna siku aliingiza chaka watu na inverted full back ana mix na overlaps ma host nao wamekaa kindezi hawaelewiii
Hans Rafael ni mbishi na jinsi alivyo vizuri kwenye kuji express ila tactically hayuko vizuri. kusema kweli point zake za mifumo zinakasoro nyingi. kwanza number 6,8 ni defined na role za mchezaji na wala si directly na position. mbili kuna aina tofauti za 433 kuna yenye 6 wawili na 8 mmoja, kuna yenye 8 wawili na 6 mmoja, kununa yenye 6,8,10. na ma kocha wengi wana epuka kutumia hizi majina ya formation kwenye huu mpira wakisasa. point nyingine formation ina elezea position ya wachezaji wakiwa hawana mpira na zone wanazotakiwa ku cover especially wakati wa kukaba. in transition shape inaweza kuonekana lakini wakocha wanawapa uhuru wachezaji kuji position namna ambayo italeta zaidi faida kwa team kutegemea game situation. kuna mengi yakusema, nikipata feedback nzuri nitatengeneza video ya kiswahili juu ya formation na roles za wachezaji
Hans mtupu kabisa Real mad wakati del bisqat walicheza kama anavyosema jemadal Salgado calros heaven w Samuel guty bekam Zidane Raul Di rima Figo kiungo mkabaji ni nani
Jemedari amecheza, amefundisha na ni practical oriented. Hans ni mtu wa nadharia. Kwa waliocheza mpira wanaelewa. Tunahitaji akina Jemedary wengi sana.
@@manjolehamisi8167 sasa uwa anachambua nini zaidi ya kujua uwa ni shabiki wa tim gani?anaponda tim inayofanya vizuri anasifia inayoboronga,ki ufupi unamsifia coze na wewe ni shabiki wa iyo tim anayosifia
Hans anajua lakini alipoulizwa "tunauonaje mfumo kwenye tukio la Kona" aliyumba kidogo Formation Zina structure zinabadilika kwenye Kila tukio Sio lazima ubadili formation
Hans kwenye 4-3-3 hapo upande viungo mimi nimeungana na Jemadari kwenye io 3 ya kati triangle inaweza kuelekea juu na inaweza kuelekea chini inategemea na nini kocha anahitaji kwenye game husika.
wote hamna kitu hao cjui wanasoma nn asa 4:3:3 zipo za aina mbili deffensive na attakking, defensive unacheza na two defensive mildfild one attaking na attaking unacheza na one deffensive mildfild na two defensive mildfild .
@@keystonetv7357 hans ni jau ila sio kwa aliyoyaeleza hapa,huyo jemedari ndomaana kila mwaka anafeli mitihani TFF,much know halafu kichwani ni empty box..mfumo wa timu unakua applied during offensive tu wakat wa kuzuia wanakua na shape nyingine kabsa sasa yeye anasema 4-3-3 inaonekana wakat wa kuzuia🚮 ko yanga wanavozuia maxi anavyorud mpka kwa kibabage au yao ni 4-3-3 gani iyo?
433 zipo za aina Nyingi Sio Tu Hiyo pembe Tatu inyo angalia chini au Angalia Juu Pia kuna 433 iliyo FLAT kabisa Viungo wote wanakaa Kwenye Msitari mmoja so HANS aache Kukalili Aseee Sema Hans anafanya vitu kwa kukaili na sio kwa weredi
Hapo wameshindwa kuelewana tu ila Kwa upande mmoja jemedari yupo sahihi na hans yupo sahihi 4-3-3 inaweza kuwa na viungo wawili wakabaji na mmoja mshambuliaji au viungo wawili washambuliaji na kiungo mmoja mkabaji tofaut ya 4-3-3 na 4-2-3-1 ni kwenye side players kwenye 4-3-3 kuna wingers(LW na RW) while kwenye 4-2-3-1 kuna either Center attacking midfielders wote au kuna kuwa na left midfielder na right midfielder with a CAM kwenye Ile 3
Moja ya tatizo ni kushindana kwenye kipindi Yani ni vyema kila mtu atoe maoni yake watu wasikilize sio kushindana ila wamenikumnusha mbali nimewahi kufanya kipindi na mtu wa aina Yao kila kitu anatanga kupinga maoni ya mwingine uchambuzi ni kutoa maoni tu sio kushindana
Hans yuko right ---- Hicho anachokisema JEMEDARI,kupora mpira na kukimbia nao na kufunga,hiyo ni moment tu,lakini timu lazima iwe na mfumo inapojenga shamnulizi,na kisha lazima iwe na mfumo,inapokuwa imepoteza mpira kwa ajili ya kujilinda -- " Huyo Jemedari akipewa timu,ataishusha daraja "
Mkichukulia Simba na uyanga hamtomuelewa jemedari said sawa tufanye yupo Simba lakini hua anabalance tofauti nahuyo hansi yeye nikusifia tu yanga biala kujali Aya haya hana jemedali yupo sahihi
The 4-2-3-1 is a commonly used formation with a back four, five midfielders, and a center forward. The advantage of this formation lies in its flexibility: it can easily be changed into a 4-4-2 or a 4-3-3. In addition, defensive stability and offensive firepower are balanced well.
mfumo mara zote unaonekana wakati wakuzuia muda ule mnaweka mistari ya ulinzi ndo maana nawaambia Hans anachambua mpira ila Jemedari anafundisha mpira ndo maana hamumuelewi Jemedari
Jemedari hawezi kukubali kwasababu anamuona hans dogo na yeye ni father lakini soka haiendi hivo yeye akubali soka na mifumo hbadilika kutokana mechi husika finish big up hans unaonesha ulomavu siyo chinga akimaliza hans anaanza kwa kucheka hii ni dharahu badilika
Eti mfumo unaoneka timu ikiwa haina mpira😅😅😅. Yaani ukiwa kocha utashusha timu daraja.Mfumo wa timu unaonekana wakati timu inaposses na inapokuwa imepoteza mpira full stop.
433...wakabaji wanne viungo wawtatu apo kiungo mmoja wakubaki wawili washambuliaji japo na majukumu tofouti mmoja creator mwengine box to box aidha kuzuia counter ama kujenga counter ...mbele winger wawili na striker mmoja ....cha msingi triangle huangalia chini ama juu kulingana na matukiu
Huyu dogo yuko vizuri sana, ila ni lazima akubali kukua, hata kama una uhakika point yako iko sawa, ni lazima ukubali kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama maoni yao ni tofauti na yakwako, toa nafasi ya maoni ya watu wengine kusikilizwa, na pia ajifunze kukubali kuto kukubaliana, thats how it works. Halafu mwisho wa siku siyo kwamba hizi timu zina endeshwaga na maoni ya hawa wachambuzi wa kwenye media, timu zinaendeshwa na falsafa zao kiufundi walizo jiwekea, pia na tamaduni na desturi zao za nje ya uwanja.
433 inategemea unataka icheze vipi ipo triangle ya unayoangalia juu na inayoangalia chini lakini 433 mama ni ina kiungo mkabaji na Central midfielders wawili inategemea unataka mfumo ucheze vipi. Hata 433 ina box to box
Jemedari kuna point namuelewa kwa sababu sasa hivi pamoja na mifumo unakuta wachezaji wanachukua majukumu tofauti tofauti uwanjani, especially watu wa katikati na wing backs. Mfano, unaweza kuta namba sita anapanda sana lkn akipanda kuna mtu anamreplace, au ukikuta Barça au Spain inacheza kati unaweza usijue mfumo wao kiwepesi kwa sababu ya rotations zao kwa ajili ya kutafuta space. Lkn pia kwenye kushambulia nikichukua mfano wa shabalala; Jamaa wakati mwingine amekuwa akiingia ndani kama namba kumi then chini anabaki kiungo wa kumsaidia kuziba pengo langu au namba kumi na moja apande zaidi aongeze namba na kutanua uwanja zaidi au arudi nyuma kidogo kureplace shabalala. Mimi naamini wakati team haina mpira ndio vyepesi kuzungumzia mfumo. Wakati mwingine huwezi zungumzia mfumo au shape wakati wa counter attack, ni tu namba ya watu itakayoweza kukimbia mbele kwa ufanisi wa kufunga its a win out of the shape. Nafikiri modern football kwa sasa ni zaidi ya hizo shape, ndio maana sasa hivi makocha wengi sasa hivi wanapenda wachezaji ambao ni dynamic na sio static.
Mimi sijaona point hapo unacho paswa kujua ni kua mfumo hubadilika lazima uwe na mifumo Mili ili kuweza kubalance mechi mifumo wa kwanza ni pale unapo kuwa na mpira upande wako lkn pia ukiwa unashambuliwa lazima ubadili mifumo ili ukusaidie kupunguza au kuzui mashambuli hapo ndio utaona hata wacheza mara nyinnafasi zao hubadili lkn watakapo bahatika kurudisha mpira upande wao wanaendelea na mfumo wao wa kwanza na kila mtu anarudi kwenye nafasi yake
Jemedari unazidiwa na watoto wadogo live hadi unatia aibu....kubali kujifunza ili timu utakayoifundisha ifanye vizuri kama kweli umeshaweza kufauru mitihani maana una rekodi ya kufeli mitihani mara kwa mara
Siyo kweli labda kama unaongelea wakati mechi haijaanza ambapo pia huwa wanaonesha teams na formations zao lakini mpira ukishaanza kwanza ukiwa sio mzoefu ama huna abc za mpira unaweza usitambue formation ya timu iwe wakati wana mpira au hawana mpira lakini kwa wataalamu au watu wenye abc za mpira wana uwezo wa kujua formation ya timu husika kwa kuangalia namna wachezaji wanavyojipanga mara kwa mara kuucheza mpira yaani kumiliki au kushambulia au wanavyojipanga kuutafuta mpira yaani kukaba. Muda mwingi wa mchezo utaona shape ya timu inakuwa vilevile kulingana na formation na huweza kubadirika kulingana na ama matukio uwanjani ama maelekezo ya kocha. Sasa ukiulizwa ni nini kinachozuia formation ya timu isionekane wakati timu inamiliki mpira utajibu nini??? Mpira hauchezwi gizani hata kama ni usiku. Hakuna uchawi hapo labda kama hujui mpira. @@JumbeOjaso
Sidhani km Jemedari ni mchambuzi… anaongea km shabiki tu. Mimi km mtazamaji au shabiki sipati nachokihitaji kwake. Bro ajitahidi kuboresha huduma yake👏
Bahati mby sana alieongea point ndo anaonekana kaongea utumbo me coach na npo uk naendlea na masomo namawazo yangu kwenye jambo lenu. Modern football imebdlisha idea ya mfumo na namna tmu znavyocheza kila kocha ana idea ya namna anayotak wachezaj wachez kweny mfumo flan tuangalie how city play taften game ambzo rodri ajacheza utaelew how they play kweny 433. Nachopinga nikusema 2mid lazm wawe juu na ndo ni attacking izo ni idea za mda now days 433 mid wanafany rotation ya nafas inaamaana sio lazm 2mid wakiwa chni mfumo ndo umebdlika haipo ivo 433 inawez kuwa na triangle za viungo kwa namna zozote
Hii ndio maaana makocha wengi wa Tanzania akiwemo jemedari huwa wanafeli na hawataki kujifunza Kwa kujifungia ndani ya box. Hatutakujakupata makocha wa kufundisha nje kama wanakariri bila kujiongeza kuelewa na kuwa wabunifu.
Mimi Crown 👑 nimewaelewa muda hans ana ubao camera zili zoom hila mda wa babu wakaona hisiwe tabu ndo kwanza media yetu mpya hii husije ukachoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Crow 👑 mmepigaje hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mifumo ni kwenye set up ya timu lakini execution mifumo huwa inabadilika mfano Man City na Liverpool mpira wanacheza 4-3-3 lakini wana execute tofauti. City wanatumia sana little triangles kuwachosha wapinzani na kunakuwa na exchanges ya positions kati ya wachezaji. Liverpool under Klopp front players wana counter press, full backs na wingers wanatanua uwanja overload wide areas na watumia sana crosses, pia force 9 ana-drop deep ku-open up spaces kwa wachezaji wengine.
Jemedari umezidiwa madini. Scouting haisajili na mindset ya mifumo, inasajili kwa namba. Namba1 - 11. Na kila mchezaji anachaguliwa kulingana na ubora wake ktk namba husika. Na mchezaji akimudu zaidi ya namba moja hiyo ni added advantage. Mambo ya mifumo kocha anawaanda kulingana mpinzani husika.
KAMA UNAAMINI HANCY YUPO RIGHT NIPENI LIKE ZANGU 100😂
Hayuko sawa
hayuko sawa 100% you can play na double pivot with 4-3-3 jemedari anaiweka simple kabisa pivote inayo angalia chini like a triangle hans anacheka cheka tuuuu,' kuna siku aliingiza chaka watu na inverted full back ana mix na overlaps ma host nao wamekaa kindezi hawaelewiii
@@noelkaniki4334huelewi wewe hansi rafaeli yuko sawa
@@noelkaniki4334 nikiona hawa ndio wachambuzi hua nasema mimi sijapata nafasi tu
Very poor na mbaya zaidi hajui kuhusu tactics na anajiweka anajua
Nancy ni pundit
Hans Rafael ni mbishi na jinsi alivyo vizuri kwenye kuji express ila tactically hayuko vizuri. kusema kweli point zake za mifumo zinakasoro nyingi. kwanza number 6,8 ni defined na role za mchezaji na wala si directly na position. mbili kuna aina tofauti za 433 kuna yenye 6 wawili na 8 mmoja, kuna yenye 8 wawili na 6 mmoja, kununa yenye 6,8,10. na ma kocha wengi wana epuka kutumia hizi majina ya formation kwenye huu mpira wakisasa. point nyingine formation ina elezea position ya wachezaji wakiwa hawana mpira na zone wanazotakiwa ku cover especially wakati wa kukaba. in transition shape inaweza kuonekana lakini wakocha wanawapa uhuru wachezaji kuji position namna ambayo italeta zaidi faida kwa team kutegemea game situation. kuna mengi yakusema, nikipata feedback nzuri nitatengeneza video ya kiswahili juu ya formation na roles za wachezaji
Umesomeka vyema sana
Hansi ❤️❤️ fundi sana
Sababu wewe ni yanga
Tumewapata wataalam wanaoujuwa mpira! Crown is the best❤❤❤
Vijana wa sasa wanaelewa mambo kwa haraka, na uwezo wao wakupambanua mambo ni mkubwa tofauti na wazee wa zamani!!
Hans mtupu kabisa Real mad wakati del bisqat walicheza kama anavyosema jemadal Salgado calros heaven w Samuel guty bekam Zidane Raul Di rima Figo kiungo mkabaji ni nani
Mkiwa na mpira hamna chep na ndiyo maana mabeki wana panda mbona Hans hajasema yao kaongezeka kwenye kushambulia?
Mimi ninachoona uyu jemedari na hansi wapangiwe mda tofauti akiwepo mmoja mmoja asiwepo
😂😂😂😂😂 nimecheka san
Hapana ,ni vizuri wawepo wawili ili jemadari awe exposed live
Kabisa maana hapo mmoja kwanza anaamini kwa simba na mwingine yanga
Messages nyingi zakupongeza hans husomi. Tunaziona wapenzi wa CROWN
Perfect HANS RAFAEL🎉🎉🎉🎉 Jamaa anajua sana. Hata ambae hajui kabisa mpira akimsiliza Hans anaelewa 100%
Nakuelewa Hans asante,
Jemedari amecheza, amefundisha na ni practical oriented. Hans ni mtu wa nadharia. Kwa waliocheza mpira wanaelewa. Tunahitaji akina Jemedary wengi sana.
kaka unajua boli maana hapo anachoshindwa kuelewa Hans ni kuwa anaongea na kocha wa mpira ambae kaucheza mpira pia
Anachoongea jemedari kimpira yupo sahihi sana
Chinga ni Shabiki wa Mpira Sio Mchambuzi. Hans yupo Vizuri Chinga Hawezi Kukubali Kwa Sababu ya Sifa yake ya kuwa Shabiki na Sio Mchambuzi.
Kumbuka Chinga kacheza Mpira tena kwenye kiwango kikubwa so anajua anachoongea
@@manjolehamisi8167kacheza lkn ni bonge la mchambuzi mpuuzi na mwenye roho mbaya
@@sadathboutique6253 hapo point ni Uchambuzi hayo ya Roho mbaya siyajui broo
@@manjolehamisi8167 sasa uwa anachambua nini zaidi ya kujua uwa ni shabiki wa tim gani?anaponda tim inayofanya vizuri anasifia inayoboronga,ki ufupi unamsifia coze na wewe ni shabiki wa iyo tim anayosifia
@@manjolehamisi8167 Kiwango kikubwa alisaidia timu yake kuchukua kombe gani?
Jemedari kakaaa Tanga wiki mbili kwenye mafunzo ya ukocha lakini anazidiwa kwa mbali Sana na Hans Raphael ambae ni mzuri sana kwenye kuelekeza.
Hans anajua lakini alipoulizwa "tunauonaje mfumo kwenye tukio la Kona" aliyumba kidogo
Formation Zina structure zinabadilika kwenye Kila tukio
Sio lazima ubadili formation
Jemedariiii tupoo na wewe mpka ufukuzwe uko Jk Tanzania 😂😂😂
😂😂😂 kaaah mmemfata mnashinikiza afukuzwa nacheka sana
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Weee jamaa Fala sana 😂😂
😂DAAAH KMMKE
Hans yuko sawa sana
Huyu babu bora angebaki efm, huku crown huyu hans atamtoa nishai😂
Uku amekuja kuumbuka
Astaafu tu jamani 😂😂😂
Uchambuzi wa hans nimeuelewa sana
Tatzo jemedati mbishi balaa huyo mzee
@@ananiamwatebela3159 ao hawampend uyo dogo ... Kila atakachofaya wanatengenez mazingira ionekane anapotosha 🤣🤣🤣
Kwa nn hyo isiwe 4 1 2 3
Kwakua ni yanga mwenzako
Hans achambui Ila anatumia mfumo jinsi Yanga inavyocheza
Hansi anasema ukweli hio ni 4231,hio ingine ni 433 diamond shape...
Hicho ni kitu kimoja. Hawana tofauti. Mid wakiwa watatu hawakai kama visikki. Hao watatu wanabadilika kutokana na kkushambuliia au kujilinda
Hans anaiongellea Yanga na si mfumo. Hapo ni 433 ndiyo 4231.
Kuna 433 ambayo ni offensive ambayo ina attacking midfielder na two central midfielders
@@mlugekarol2688point
Kwa bahati mbaya mtaalam Ambangile hawezi kuwa fasi moja na mjinga kama Jemedar
Najuwa angekuwa sambamba na Hans
Hans kwenye 4-3-3 hapo upande viungo mimi nimeungana na Jemadari kwenye io 3 ya kati triangle inaweza kuelekea juu na inaweza kuelekea chini inategemea na nini kocha anahitaji kwenye game husika.
Uchambuzi wa Hans nauelewa sana, maana uchambuzi wake wamaana kabisa
ana google sana na ku krem kama huelewii uwezi juaa na wwe unachotwa tu
Crown Media hapa ni nyumbaniiiiii
hansii uko vzurii sana💯
Hans bado mchanga sana kwenye formation
Hancy yuko vizuri. Nimemuelewa zaidi "mchambuzi" kuliko "mwalimu". Nadhani "mwalimu" akaongeze ujuzi zaidi mahali
wote hamna kitu hao cjui wanasoma nn asa 4:3:3 zipo za aina mbili deffensive na attakking, defensive unacheza na two defensive mildfild one attaking na attaking unacheza na one deffensive mildfild na two defensive mildfild .
upo sahihi sana hansi mbishani sana ananiuz kumshusha jemedar
jemedar yupo sahihi 4231 ipo na 433 holding 433 false 433 attacking
Crown wamechemka kwahuyu mzee jemedari usajir mbovu sana.
hata hakosei kaka yupo sahihi sana sema hans nu mbishani
Huyu jemedari ni usajili mbovu sana hapa crown,much know halafu hajui vingi+uzamani mwingi
Jemedari is the best
Mpira hauchezwi unavyoongwwa ubaoni
Double Pivot ipoje?
huyo hansi ndo jau jau wengi wetu hatujui hzo formation
@@keystonetv7357 hans ni jau ila sio kwa aliyoyaeleza hapa,huyo jemedari ndomaana kila mwaka anafeli mitihani TFF,much know halafu kichwani ni empty box..mfumo wa timu unakua applied during offensive tu wakat wa kuzuia wanakua na shape nyingine kabsa sasa yeye anasema 4-3-3 inaonekana wakat wa kuzuia🚮 ko yanga wanavozuia maxi anavyorud mpka kwa kibabage au yao ni 4-3-3 gani iyo?
Kuna 433 Attacking na 433 defending. Jemedari yuko sahihi.
Yaaani nilichoona hapo kuna Kuonyeshana u mwamba kati ya JEMEDARI na HANS 😂😂😂 na kuna shida hapa kabisaaa mmoja apndoke
Hawa watu wote wanaenda kariakoo lkn njia gani anapita kufika kariakoo utajua mwenyewe
433 zipo za aina Nyingi Sio Tu Hiyo pembe Tatu inyo angalia chini au Angalia Juu Pia kuna 433 iliyo FLAT kabisa Viungo wote wanakaa Kwenye Msitari mmoja so HANS aache Kukalili Aseee
Sema Hans anafanya vitu kwa kukaili na sio kwa weredi
Fellas bring the blackboard on the show.
Ma mdogo kutoka planet fm umekuja crown hongera sana
Sema wangemchukua na Salum mapande bna
@@elishacharlesjr3611 hayuko pale sijui yuko wap
Wote wako right sema jemedali ni bright afu hans ni average so lazima hans atumie nguvu kubwa
Hapo wameshindwa kuelewana tu ila Kwa upande mmoja jemedari yupo sahihi na hans yupo sahihi
4-3-3 inaweza kuwa na viungo wawili wakabaji na mmoja mshambuliaji au viungo wawili washambuliaji na kiungo mmoja mkabaji tofaut ya 4-3-3 na 4-2-3-1 ni kwenye side players kwenye 4-3-3 kuna wingers(LW na RW) while kwenye 4-2-3-1 kuna either Center attacking midfielders wote au kuna kuwa na left midfielder na right midfielder with a CAM kwenye Ile 3
Moja ya tatizo ni kushindana kwenye kipindi Yani ni vyema kila mtu atoe maoni yake watu wasikilize sio kushindana ila wamenikumnusha mbali nimewahi kufanya kipindi na mtu wa aina Yao kila kitu anatanga kupinga maoni ya mwingine uchambuzi ni kutoa maoni tu sio kushindana
Ili mmoja atuongopee
Hans yuko right ---- Hicho anachokisema JEMEDARI,kupora mpira na kukimbia nao na kufunga,hiyo ni moment tu,lakini timu lazima iwe na mfumo inapojenga shamnulizi,na kisha lazima iwe na mfumo,inapokuwa imepoteza mpira kwa ajili ya kujilinda -- " Huyo Jemedari akipewa timu,ataishusha daraja "
Nancy yuko vzr sana kwenye uchambuz😅
Mkichukulia Simba na uyanga hamtomuelewa jemedari said sawa tufanye yupo Simba lakini hua anabalance tofauti nahuyo hansi yeye nikusifia tu yanga biala kujali Aya haya hana jemedali yupo sahihi
The 4-2-3-1 is a commonly used formation with a back four, five midfielders, and a center forward. The advantage of this formation lies in its flexibility: it can easily be changed into a 4-4-2 or a 4-3-3. In addition, defensive stability and offensive firepower are balanced well.
Hans amekariri,Jemedari anaelewa kile anaongea ndo maana maswali yake hayajibiki kirahisi.
Babacar alikua anatumika kama cdm lakini kiuhalisia babacar ni box to box
Dogo uko vizuri na unaeleweka vizuri sana
Yaan mmemleta huyu nyau kazi mnayo hapo yaan anataman abaki peke yake studio kila kitu anajua yey😂😂😂😂😂
Ni fire crown media
Hans anachokosea ni kuweka hizo number modern football hakuna mambo ya namba 6 Wala namba 8 mpira cku izi hauna mambo ya namba cjui 10
mfumo mara zote unaonekana wakati wakuzuia muda ule mnaweka mistari ya ulinzi ndo maana nawaambia Hans anachambua mpira ila Jemedari anafundisha mpira ndo maana hamumuelewi Jemedari
Jemedari hawezi kukubali kwasababu anamuona hans dogo na yeye ni father lakini soka haiendi hivo yeye akubali soka na mifumo hbadilika kutokana mechi husika finish big up hans unaonesha ulomavu siyo chinga akimaliza hans anaanza kwa kucheka hii ni dharahu badilika
Hance Yuko sahihi
Hans nakuona kwa sasa wewe ni bora kuliko wachambuzi wote uchwara
Jemedari hajui ahaaaaa Hansi nimekuelewaaaaaaaa❤❤❤❤
Uchambuzi waa jemedali mi sijekuelewa, mi nimeiona jemedali anakusanya kusanya kete, Kama mtu aliyefungwa supa drafti
jemedari yuko sahihi kuna attacking , holding kwenye 4-3-3 lazma itofautiane namna ya matumizi
Eti mfumo unaoneka timu ikiwa haina mpira😅😅😅. Yaani ukiwa kocha utashusha timu daraja.Mfumo wa timu unaonekana wakati timu inaposses na inapokuwa imepoteza mpira full stop.
433...wakabaji wanne viungo wawtatu apo kiungo mmoja wakubaki wawili washambuliaji japo na majukumu tofouti mmoja creator mwengine box to box aidha kuzuia counter ama kujenga counter ...mbele winger wawili na striker mmoja ....cha msingi triangle huangalia chini ama juu kulingana na matukiu
Yaap ❤
Hans❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Noma sana naona wasaf ime hamia humu unyama sana
Chuki tuache kwa jemedari, yuko sahihi, ila simaanishi hans ni mbaya
True
Huyu dogo yuko vizuri sana, ila ni lazima akubali kukua, hata kama una uhakika point yako iko sawa, ni lazima ukubali kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama maoni yao ni tofauti na yakwako, toa nafasi ya maoni ya watu wengine kusikilizwa, na pia ajifunze kukubali kuto kukubaliana, thats how it works.
Halafu mwisho wa siku siyo kwamba hizi timu zina endeshwaga na maoni ya hawa wachambuzi wa kwenye media, timu zinaendeshwa na falsafa zao kiufundi walizo jiwekea, pia na tamaduni na desturi zao za nje ya uwanja.
Hancy Yuko vizuri kwenye mmuchaambuzi
Hansi yuko vizuri sana kwenye uchambuzi , huyo Jemedali hapana kwa kweli sijui anachambua nini.
433 inategemea unataka icheze vipi ipo triangle ya unayoangalia juu na inayoangalia chini lakini 433 mama ni ina kiungo mkabaji na Central midfielders wawili inategemea unataka mfumo ucheze vipi. Hata 433 ina box to box
Jemedari kuna point namuelewa kwa sababu sasa hivi pamoja na mifumo unakuta wachezaji wanachukua majukumu tofauti tofauti uwanjani, especially watu wa katikati na wing backs. Mfano, unaweza kuta namba sita anapanda sana lkn akipanda kuna mtu anamreplace, au ukikuta Barça au Spain inacheza kati unaweza usijue mfumo wao kiwepesi kwa sababu ya rotations zao kwa ajili ya kutafuta space. Lkn pia kwenye kushambulia nikichukua mfano wa shabalala; Jamaa wakati mwingine amekuwa akiingia ndani kama namba kumi then chini anabaki kiungo wa kumsaidia kuziba pengo langu au namba kumi na moja apande zaidi aongeze namba na kutanua uwanja zaidi au arudi nyuma kidogo kureplace shabalala. Mimi naamini wakati team haina mpira ndio vyepesi kuzungumzia mfumo.
Wakati mwingine huwezi zungumzia mfumo au shape wakati wa counter attack, ni tu namba ya watu itakayoweza kukimbia mbele kwa ufanisi wa kufunga its a win out of the shape. Nafikiri modern football kwa sasa ni zaidi ya hizo shape, ndio maana sasa hivi makocha wengi sasa hivi wanapenda wachezaji ambao ni dynamic na sio static.
Upo sawa
Mimi sijaona point hapo unacho paswa kujua ni kua mfumo hubadilika lazima uwe na mifumo Mili ili kuweza kubalance mechi mifumo wa kwanza ni pale unapo kuwa na mpira upande wako lkn pia ukiwa unashambuliwa lazima ubadili mifumo ili ukusaidie kupunguza au kuzui mashambuli hapo ndio utaona hata wacheza mara nyinnafasi zao hubadili lkn watakapo bahatika kurudisha mpira upande wao wanaendelea na mfumo wao wa kwanza na kila mtu anarudi kwenye nafasi yake
Huyu jemedari kalazimishwa leo kuchambua mpira na sio timu alipo kuwepo kule alikua anachambua timu ... Hakubali kushindwa huyo ....😅
Jemedari unazidiwa na watoto wadogo live hadi unatia aibu....kubali kujifunza ili timu utakayoifundisha ifanye vizuri kama kweli umeshaweza kufauru mitihani maana una rekodi ya kufeli mitihani mara kwa mara
😂😂😂😂
Siyo kweli Jemedari yuko sahihi Hans anachanganya vitu viwili tofauti.
Mfumo huonekana wakati timuhaina mpira
Siyo kweli labda kama unaongelea wakati mechi haijaanza ambapo pia huwa wanaonesha teams na formations zao lakini mpira ukishaanza kwanza ukiwa sio mzoefu ama huna abc za mpira unaweza usitambue formation ya timu iwe wakati wana mpira au hawana mpira lakini kwa wataalamu au watu wenye abc za mpira wana uwezo wa kujua formation ya timu husika kwa kuangalia namna wachezaji wanavyojipanga mara kwa mara kuucheza mpira yaani kumiliki au kushambulia au wanavyojipanga kuutafuta mpira yaani kukaba. Muda mwingi wa mchezo utaona shape ya timu inakuwa vilevile kulingana na formation na huweza kubadirika kulingana na ama matukio uwanjani ama maelekezo ya kocha. Sasa ukiulizwa ni nini kinachozuia formation ya timu isionekane wakati timu inamiliki mpira utajibu nini??? Mpira hauchezwi gizani hata kama ni usiku. Hakuna uchawi hapo labda kama hujui mpira. @@JumbeOjaso
Hapo hamna kocha😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Sidhani km Jemedari ni mchambuzi… anaongea km shabiki tu. Mimi km mtazamaji au shabiki sipati nachokihitaji kwake. Bro ajitahidi kuboresha huduma yake👏
Ni kweli mkuu
Kazumari hata lugha ya mpira in professional hana hata yaa kama anafanya fasihi simulizi
Ukimtoa ambangile anayefuatia ni Hans lafael mwombek 🔥🔥
Jemedar ulizoea kuwadanganta walee umekamatika
Kwel kabisa
Kazi kweli kweli
Noma sana ❤❤❤
Hyu babu kashazoea vile viti vya kahawa kule efm😂😂😂😮 hata mike hawezi set vizuri 😂😂😂😂😂😂
Hance ukiongeza ujuzi utakuwa bonge la kocha big up
Yaani hapo Tatizo ni Moja…. DOGO KAMEZA FORMATION KAMA ZILIVYO NA KAKUTANA NA KAKA KISHOKA AMBAYE ANAAMINI ANAISHI YEYE NI ROLE MODEL WA SOCCER NCHINI
Hans ni balaaa😂😂😂❤❤
Has ur right yng bro 🎉🎉🎉🎉🎉
Crown walichokosea ni kumleta jemedar
Bahati mby sana alieongea point ndo anaonekana kaongea utumbo me coach na npo uk naendlea na masomo namawazo yangu kwenye jambo lenu.
Modern football imebdlisha idea ya mfumo na namna tmu znavyocheza kila kocha ana idea ya namna anayotak wachezaj wachez kweny mfumo flan tuangalie how city play taften game ambzo rodri ajacheza utaelew how they play kweny 433.
Nachopinga nikusema 2mid lazm wawe juu na ndo ni attacking izo ni idea za mda now days 433 mid wanafany rotation ya nafas inaamaana sio lazm 2mid wakiwa chni mfumo ndo umebdlika haipo ivo 433 inawez kuwa na triangle za viungo kwa namna zozote
Hii ndio maaana makocha wengi wa Tanzania akiwemo jemedari huwa wanafeli na hawataki kujifunza Kwa kujifungia ndani ya box. Hatutakujakupata makocha wa kufundisha nje kama wanakariri bila kujiongeza kuelewa na kuwa wabunifu.
Wawekewe touch screens kwa meza hawa, ndo wahanze kupanga hizo formation zao 😂
Hans yupo sahihi, ila Jemedari anajifanya kujua kumbe ni mbwembwe tu
Hans ndio kanyoosha ww jemedari hadi mimi nakushinda uchambuzi 4.3.3 ni kiungo mkabaji mmoja na viungo wa shambuliaji wawili acha ukenge 😂
Tatizo mmakonde mjanja ataki kukubali kushindwa kisa kocha
😂😂😂 we unajua ukweli ulivyooo
Lakini kitaalamu anaonekana anajua kabisa kwa anavyojieleza
@@petermwacha9909 ana tengeneza mazingira. Ili Uone hivyo ...
Radio crown ina vyombo vipya safi sauti ipo sawa kabisa
Crown Tv
Hans anajuwa sana, huyo mwingine ni kituko tu 😂😂
Uchambuzi wa Hans umenyooka zaidi ya huyu mshabiki wa kolo fc🎉🎉🎉
Mbna akiongea jemidari amuoneshi ubAO ILA JEMEDARI NMEMUELEWA
Mimi Crown 👑 nimewaelewa muda hans ana ubao camera zili zoom hila mda wa babu wakaona hisiwe tabu ndo kwanza media yetu mpya hii husije ukachoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Crow 👑 mmepigaje hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jemedari hamnaa kituu unachujuwaa unatakaa kudanganayaa watuuu
Hansshida yakou unakautopolo nani yako 😂😂hutaki kusikiliza ila wewe usikilizwe!! 😊😊
ukiwa unacheza ps utaelewa kwa nn jemedar na hans wanashindwa kuelewana. iyo 433 ina option ya defence ,attack
wakati jemedali anajiunga tu hapo crown tuliwaambia kua huyo sio mchambuzi mwenye kujielewa hamkutaka kutuelewa😁😂
Mbona mnatuchanganya kama hamna uhakika muende darasani kwnz
Mifumo ni kwenye set up ya timu lakini execution mifumo huwa inabadilika mfano Man City na Liverpool mpira wanacheza 4-3-3 lakini wana execute tofauti. City wanatumia sana little triangles kuwachosha wapinzani na kunakuwa na exchanges ya positions kati ya wachezaji. Liverpool under Klopp front players wana counter press, full backs na wingers wanatanua uwanja overload wide areas na watumia sana crosses, pia force 9 ana-drop deep ku-open up spaces kwa wachezaji wengine.
Nimeangalia Comments kuna usimba na uyanga Simba kwa jemedari Yanga kwa Hans kwahiyo mjadala Always hauwezi kufika mwisho
Jemedari umezidiwa madini. Scouting haisajili na mindset ya mifumo, inasajili kwa namba. Namba1 - 11. Na kila mchezaji anachaguliwa kulingana na ubora wake ktk namba husika. Na mchezaji akimudu zaidi ya namba moja hiyo ni added advantage. Mambo ya mifumo kocha anawaanda kulingana mpinzani husika.
Dogo yuko vizuri katika uchambuzi.✌️