Hawa akina mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na mkurugenzi wengi ni wapo juu ya sheria lakini tatizo ni wananchi ni tuna mazingira magumu kudai haki kwao waandishi wa habari wapo mbali na wananchi duni wa kipato hadi uwe na pesa au suparstar ndo umulikwe na camera zao kwa changamoto zako
Awam ya 6 kweli inafanya kazi nzuri, hongera Sana Mama Samia, maana viongozi wanatumia madaraka Yao kunyanyasa raia.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
God did alijiona mungu mtu huku kwetu tabora
Mpaka analipwa kapambana sana
sahihi
Kitumia madalraka vibays
Iyo njaa
Sawa kabisa
Maadili ya viongozi siku hizi ni zero.
Vizuri alipe tu
Nimesingiziwa nimelawiti wanafunzi 22 na kuwekwa ndani bila kosa
Rule of law