TT Comedian BIRTHDAY PARTY
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- TT Comedian_ birthday party
Kenya's youngest Comedian.
It's about: Comedy Laugh's.
For Bookings/Enquiries: +254 738 712728, comedianttke@gmail.com
FB: / ttcomediankenya
IG: / ttcomedian
Twitter: / comediantt
#TTcomedian #tt #LadhayamtaTv @chikunde254 @ TT Comedian
TT maashallah maashallah mungu akuzidishie akupe kila lakheli yaarabi 💞💞💞💞💞💞💞happy born TT na Mama mdogo 🤓🤓🤓🤓 Katui pole Shosh nimependa sana unavyoelimisha wasichana nawapenda wote sana 💞💞💞💞💞💞💞💞
asante sana nasi pia tunakupenda sana na tunashukuru kwa support unayotupa
🤗🤗🤗🤗Thankyou keep watching
@@ttcomedian
😢 😮😢!₩)))
Shosh nishike kuna mtu atakufa APA😁😁😁😁TT,,may God take you to next levels...
TT tafadhali usimue mwenzako😂😂😂
Aki tt comedian umenifanya my day kukuwa na furaha...🤣🤣🤣
hahahaha sasa niseme nini
🤣🤣🤣🤣shosh nishike kuna mtu atakufa hapa...TT you gonna kill me one day 🤣🤣much love baby boi 💕💕💕
Shosh nishike kuna mtu atakufa hapa😂😂😂😂😂.
Tt the toddler
Rrhfddssàsdfffdsdddd
TT 😆🤣😂 ati utapiga mtu ngumi 👊👊 ohh my goodness shosh asanti kwa kushika TT angepiga mtu vibaya.. ati mizinga roli 3😆🤣😂.... hio team imeweza wazi kazi safiii.......
hehehehe kabisa .
Asante sana
KpbowbLd eñeeowipjeajieoiwkwoih
MashaAllah shosho mungu akupe umri mrefu unafunza mambo yamaana sanaa Alhmduli'llah🙏🙏🙏muko sawa sanaa nawashukru wallah mungu awazidishie🙏🙏🙏na TT mashaAllah mashaAllah katoto kazuri mungu umpe Akili na umri mrefu Ameen🙏🙏 twende kazi...💃
Shukran sana
asante sana nashukuru...kwa support unayotupa..❤️❤️❤️❤️
Asante sana
Asante shoshi kwa ushauri wako. TT leo umekula keki ya Katwin, siku yako usiache kumpa naye keki yako. Arusha mtoto Joash anakupenda sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wazi Arusha
Arusha oyeeeeeee love you sana
"Shosh nishike kuna mtu atakufa hapa"...TT is absolute baller😂😂...Top class💯💯, upcoming best African comedian. More love 😍🥰❣✨🔥🔥🙌
Shukran sana
more appreciations ..zidi ku support bro
😂😂😂
Shosh shika Tt😂🤣
😂😂😂
Much love from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 angalieni hizo subtitle ziende sawa na video maana zaenda tofauti
Tosses
TT comedian my guy Kwa cake 🎂 hapo amecheza kaa Wewe wah! 🙆🙆😂😂😂shoz nishike kuna mtuanakufa hapa kidole ikafuta jina katwini aki ya Nani Leo TT umenivunja mbavu walai 👏👏👏 utaenda mbali Sana talanta poa 👍👍👍👍
Asanti sana
😅🤣🤣🤣🤣TT utatumaliza one day
heheh subiri
Huyu Kijana ni Mtiaji😂😂, "Shosh noshike Kuna Mtu Atakufa Hapa''🤣🤣🤣🤣, LEGENDS!!!
😂😂 asante sana
Siku ya hbd yangu utakula keki yangu😂😂🤣🤣ishafanyika❤️❤️mob love from Boston
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 natokea tz ila mnanibamba sana na team komedy hapo,namkubali sana ,anko mjukuu,katwini ,shoshi pia slay queen ila TT anajitahidi Mungu amtunzee, mama tt yeye mbona haingii huku yupo na mzee wa kofia tu
Shosh nakupenda sana 💚💚💚,,,+966 representing 😌
asante sana
Aiwa
Asante sana
Shosh wetu from Tz
TT,,😂😂Wanibamba kweli,,,creative one....mwambie shosh adeal n wao😰😰😰
heheheh shosh ndio dawa
Sisi waluya cake ni glucose kwetu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
TT Nakupenda bure bro 👊👊👊 mdogo
🤣🤣🤣 TT comedian aka nyorosha 😅😅😅. Very talented
heheheh
TT is excellent kwa kuchochea .He knows nothing can happen to him when shosh is around. You are all very entertaining.
Asante
TT striker aty shosh nishike kuna mtu anakufa dah 🤣🤣🤣🤣🕷️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 very funny boy
hehehhe ni kweli niki vimba
😂😂😂😂😂
Happy birthday😁😁😁😁😁😁TT kamkora na unapenda shosh 😘 aki
Asante sana
Ati mjomba anajifanya yeye ndio bazuu 😂😂😂 hadi nmefinyia pause hapo nicheke kwanza 🤣🤣🤣🙌🙌
Hahahahaha safi sana
Alhamdhulillah nashkuru leo sijachelewa.... TT my boy
Shukran
Walai TT u will kill me. Watching from Uganda
Wah tt umeweza .....mjukuu na katwin kama si shush mngekipata
Ayani mimi nko hapa tu na TT jamani mbavu zangu..😅😅😅😂😂😂😂hizo ngumi zamtu akufe...taniuwa 😅😅😅😂😂😂😂penda sana....
Asante sana
Wow TT comedian na shosh endelea hivo mko juu sana
Shukran sana
asante sana
huyo TT ako sawa kip it up we like ur comedy.
katwin ywaskia raha na keki ishararuliwa hahaaa TT ww sawa tu👑👑👑🔥🔥🔥
Nakeambia
Yani tt wewe endelea kunikera
Hahahahahahahah tt banaa mzee wa kuharibu
Shosha nishike kunamtu anataka kufa apa Tt love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😁😁
Wow thank you,keep on supporting
🤣🤣🤣🤣 TT " shosh nishike kuna mtu atakufa hapa."aky umefanya nicheke mpka nianguke kwa floor..
Hahahahahaha keep on supporting
😂😂 asante sana
😁😁🙌
😂😂😂😂😂😂😂 Shoshi mshike Tt ataua mtu saa hii....haki nimecheka sana leo....😂😂😂😂😂😂
Asante sana
Yani pia mm nimecheka shosh nishike kuna mtu atakufa apa😃😃😃😃😃
TT will kill me one day.Hebu shosh shika TT Katwin and Mjuuku watapigwa😂😂😂
Hahahahaha nikumoto
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Colo tt ni noma
Hehehehehehehehe
Oh yes! Great lessons.Kudos TT comedian and mjukuu+shosh na katwin.mnaweza watu wangu..all the best ♥️
Shukran sana keep the support
Thank you
since i lost my phone ive missed watching TT ... im glad to come back again...... utanenepa uongeze weupe heheheheh
Azuzi
Hahaha, hadi katwin akatoa dera kwa mara ya kwanza na keki TT ashakula.
Hahahaha noma sana
Imagine mwanamwali katoa dera
@@katwin58 Hahaha, pole Katwin.
🤣🤣🤣🤣🤣 Shosh shika TT ama mtu atakufa😅....This my best episode.Good work TT
8
Ah c
😋🤫🤫😒😒🤫👩🌾👩🌾👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭👨🏭🧑🔬🧑🔬🧑🔧🧑🔧🧑🔧🧑🔬🧑🔬🧑🔬🧑🔬🧑🔬🧑🔬🧑🔬👩🎨👨🎨
Njjknj
🥲🥲😋😋😋😋😋🥲😋😛😛😋😋😋
TT all the way ❤ 😂 😂 eti shosh nishike kuna mtu atakufa hapa 😂 all the best 🥰
Hahahahaha asante
🤣🤣🤣🤣T.T Anavituko uuwi mwenye keki jamani
TT wewe 😂😂😂🔥🔥,wewe mchochezi sana🔥🔥🔥🤣🤣🤣👌
aiiiii apana sio hiyvo bana naangallia tu
Shosh nishike kuna MTU atakufa hapa enjoying nikiwa hapa 001
Asanti
Thanks for the upload our upcoming star in Kenya TT Comedian stay blessed
asante
Tito
Wow big up mama mdogo and TT I like both of you mko moto mbayaa
Asante sana ,keep it locked
My favorite comedy from Africa.. have some gift 🎁 for this boy on October or November
Great hit my inbox
I can tell u when I’m ready
We love him from Arusha Tz🇹🇿🇹🇿
My favourite comedian locked from saudi Arabia 😆😅😅🤣 apo kwa mzinga TT 😀😃😀😃
Shosh nakupenda mama, heshima mbele za wazazi muhimu, wazazi tuzingatie ili kuepuka visa vya ubakaji
Asante sana,keep on supporting
@@ttcomedian Karibu saana, Insha'Allah I will
Hahahaha TT wajua mjinga sana 😂😂 eti hata nona haongeze weupe mama mdogo hahaha
heheh inaitwa chocha
@@ttcomedian haha bhana
Birthday ya Watu Wawili Ni Ushirika.🤣🤣🤣🤣jameni TT umenimaliza
Hahahahahaha
Nishike kuna mtu atakufa shosh...my boy TT
hehehehe
Wa Tz🇹🇿 2shuke hapa na like za TT
Kabisa manze
Eiii TT Yawa Wew tu nimetiii😂😂😂😂🔥🔥
keep it up🔥🔥
Hahhhhhhh! TT u hv made my day kaka......TT never lose Any war......Abdi from south coast shimoni......hit like ya huyu brother plzzzzzz
Asante sana kwa support yako
Happy birthday katwini, TT nakupenda sana kabisa
Thanks you
hahaha safi
But keki yake imekuwa🇹🇿🇹🇿
This boy is so creative, I love this. Our government should actually look for such young talents to nature
Wow thank you,lets take it to the world
Be coz of God 🙏
...to nurture*
Anajifanya yeye ndio bazuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣....
LOVE FOR THE TT.
NEVER MISS ANY EPISODE.
LIVE WATCHING FROM ETHIOPIA
Shukran sana I say Keep the support
From Lebanon love TT
.nñbhjkjjqvccccç
@@mjukuu254 w
@@mjukuu254 rxssjifrrurzüuhhuiujğku
Uuijiikkkuuuuoopokjolkhov⁰
The back ground of the first time was fire but no way we are here coz of team TT comedian hahah et huu ni ushirika na mm nimeenda TT bana. Duh shosho deal na hiyo MTU more talented TT comedian nishike shosho
hehehe
Hahahaaa TT anataka pigana
Na ni noma "TT mwenyewe ".
Tt &. Bibi too much Love ❤️ 💕💕. Mashaalah 🤲💓
Shukran sana
Hahahahaha TT shoshi nishike kunamtu atakufa hapa TT saluti Sana
asante sana
Big up TT family...love from Garissa county ✌️✌️✌️🔥
Mashallah thanks sana
asante bro weka bahali yake
Ur wlcm bro...mjukuu
Nitaweka weka usijali TT comedian 👑👑king of comedy
TT n mweu sana Shosh nishike😂😂😂😂
TT leo jipeleke kwa OCS umekula cake ya wenyewe,siuko mjaja aky! Anyway you have made my day.
hehheheh asante am happy
Hahahahaaa ajipeleke KWA OCS🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waende na shosh walikula pamoja.
Na miss huyu ocs
Kuna possibility ya kumuona kweli.I fear TT
Shosh: okoteni huu upuzi wote mtoe hapa🤣🤣🤣
TT you have made my day haya basi tupige party ya baby shower na cake ya katwin😂😂Bravo young star keep it up💪💪💪
heheheh kabisa kesho kuna cake ingine ntakuita
Shosh nishike kuna mtu atakufa hapa..... Aki tt..... Hebu nakuja tupige collabo kidogo😂😂😂😂😂
🤣🤣😂🔥🔥🔥🔥tt we nomaaaaaa
Tutafunga kibada hii mwaka bazenga 😂😂😂 let us push you to achieve your goals
TT always make my day na tume Miss zulfa sana sana
Mi pia namiss Zulpha sana ako wapi?
Wonderful Leo juu Tena sana hapo sawa kanyangia apo TT
Asante sana
Thankiu Mr TT.....u r one in a million...oeep on going
TT nakupenda sana from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wapi kiti ya wageni,waaah Tt you are soo brave God be with u
Amen amen
Shosh nishike Kuna mtu atakufa 😂 😂 mob love to you TT comedian🙏
Hahhahahahaha keep it locked
Jamesm
Katwin English figure 🤣🤣🤣mjukuu,shosh the look u give TT aty nishike n u hold him oh my u made my day guys,nimetake pause at work🤣🤣🤣🤣💯
hehehheheh
Bazuu
Waaauuu
@@gideonmutisya8758 l
L
@@gideonmutisya8758 ⁸⁸ii8njjjijjg
wallah nimechekaaa😂😂😂😂TT Anavituko eti Anataka kupigana
Hahahahaha asanti
Mtoto anaweza kuliko wote! Inaonekana wazazi wake kati ya baba au mama ni watanzania😁
Hhahahahahahahhahaha aminia hapa kazi nzuri ipo
Usiwe na wasiwasi keki imefika hahahaaaa nafurahia comedy za TT from Tanga TZ
Wow asante sana
"Shosh deal ni hiyo mutu"....I like TT!
Hahahahahaha
hehehhe
Daah TT wewe ni mwisho kwa kulipa kisasi🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha tutampata tu
hehehehe hii ni town bana
@@ttcomedian Umeonaee 😆😆😆
Tushaa fika twangoja huyu bazuu ❣️❣️❣️❣️
Shukran sana
Bazuu ni nini🇹🇿🇹🇿?
TT mchonganishi🤣🤣🤣🤣 at shoshi nishike kamtu kenyewe sasa kadogoo😀
🤣🤣🤣🤣 Shosh mzuiee Kuna mtu atakufaaa
heheheheh walai shosh anishike
Shush ni shosh tu , sikiza misemo na advise kibao, big up mum.
Thanks
Ain't miss any episode, watching from ethiopia.. big up tt👊👊
Thanks
,, Mbona MI sioni Jina katwin hapa,, hahaha 🤣🤣❤️
New subscriber love this kids videos ❤️❤️
Tt hawezi kufaa uniform ya shule na haendi shule ... please choose uniform ya home na wakati anaenda shule.. anyway congratulations Sana🔥🔥🔥
How can you trust tt to deliver that cake to the owner nairobi ni tt siyo mabuiling show them how to live in nairobi love u tt my cleverest boy ever 🤣🤣🤣🤣🤣
heheheh well said brother
Mjini shule🇹🇿🇹🇿. TT anatoa darasa
Nikaitisha mzinga moja nikunywe😂😂😂Teetee utaja niua😂😂
hehehhe
Huyu grandma apenda TT❤️❤️❤️❤️
sindio aiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 imeni tengenezea siku ahhh big up sana TT
Ati TT anataka kuua mtu 😂😂😂😂😂😂😂don't kill me please
Hahahahahaha asante
Hahahaha babaa aki wanifurahisha,Tt you always make my day with your fellows
Shukran sana
My boy is back in town hahahahahah tt bazenga 🤣🤣🤣🤣🤣💪💪💪💪
yes kabisa pale pale mkoani
Eti Waluo na Wasukuma Cake ni kama glucose 😄😄😄
Eish bwana mjukuu na hii kupepeta yake nayee......he he...Kali sana
.
First of all, I am happy that Shosh is back. She is my favorite. Secondly, Katwin arudi Ushago maisha yake jijini yameshindikana. Kila siku yeye ni fala hawezi toboa maisha ya jiji. Amechanuliwa mara nyingi na TT lakini hachanuki...🤣🤣🤣. Mjukuu tangu upate kazi ya mjengo maisha yako ni “hand to mouth” vile TT alisema. Kweli utaomoka anytime soon, ama ni kitambi itaongezeka?
heheheh ume sema yote sasa mimi niseme nene tena ila ku kimya tu bana
@@ttcomedian 😂
Asante sana
@@shoshtt2327 ❤️
😆😆😆😆😆😆
Yaani TT umeiba birthday cake duh nimecheka. Watching from London