Hapo kwenye muendelezo ndipo penye changamoto kubwa kwa walio wengi. Kuna anaeweza kuendeleza ila ubora unatofautiana. Leo bora, kesho bora kidogo na kesho kutwa unatafuta ubora ulipo. Asante Joel
1.Speciality- to be known for what you do, that's what's create brand and important network. 2. Consistency value delivery. 3. Solution provider 4. Trust
Dear Joel Nanauka. I wonder so much your skills and creativity that you have. Always I learn something from you that '' in order for somebody to reach a goal his or her must live the purpose for someone to be born " May God Bless you Man of Integrity.
Mimi nataka kujitaidi niache udalali mana nimekua mtu wakupandisha bei pia nikijua nikiulizwa jambo na nibu la kweli nikijua litamkera basi uwa nadanganya ili tu nisimkere lkn ayo yote nimeona sio mazuri hata mbele ya Mungu wangu 😢
Asante mtumishi wa Mungu kuna mambo mengi najifunza Mungu akutunze zaidi
Joel wewe ni zaidi .. haya mafundisho nimejijua leo kumbe niko mahali sahihi kwa ninacho kifanya .. Asante sana
Shukrani Sasa kaka Joel. Be blessed 🙏🏽🙏🏽 hakika najifunza mengi mnoo🙏🏽
Nimejifunza hasa namna ya kuwakamata watu mhim ile point ya 3❤❤❤❤
Hapo kwenye muendelezo ndipo penye changamoto kubwa kwa walio wengi. Kuna anaeweza kuendeleza ila ubora unatofautiana. Leo bora, kesho bora kidogo na kesho kutwa unatafuta ubora ulipo. Asante Joel
😊😊p
😊😊p
P
😊😊😊😊😊.p😊
😊😊l😊m
Mungu akulinde Joel kazi zako nzur
No kweli kaka joeli nanauka 🎉🎉
Speciality, Consistent Value Dilivery, Solution Provider, Build Trust. Thank you, we're going to try this. May God Help us
1.Speciality- to be known for what you do, that's what's create brand and important network.
2. Consistency value delivery.
3. Solution provider
4. Trust
Asantee saana mr joel
Tamaa ndo inamfanya mtu awe na mambo mengi sanaa
Mungu akulinde Joel nizawadi
Nataka kuanza kutumia zote na amini nitaweza kuzitumia
Yes I get it napenda kutoa ushaur kwa watu na kutoa solution ktk
Kitu fulani hasa ktk makampun je nifanye nn il niwe bora zaid
asante sana mwalimu wangu
Asante sana kwa kutufungwa vichwa broo Joel
Dear Joel Nanauka.
I wonder so much your skills and creativity that you have.
Always I learn something from you that '' in order for somebody to reach a goal his or her must live the purpose for someone to be born "
May God Bless you Man of Integrity.
Mimi nataka kujitaidi niache udalali mana nimekua mtu wakupandisha bei pia nikijua nikiulizwa jambo na nibu la kweli nikijua litamkera basi uwa nadanganya ili tu nisimkere lkn ayo yote nimeona sio mazuri hata mbele ya Mungu wangu 😢
Upo sahihi kaka endelea kutoa elimu na mungu akulinde
Asante sana kaka, nazidi kujifunza vitu vingi sana.
Asante sana kaka joel najifunza sana kupitia wewe Mungu akutunze kwaajili ya taifa letu🙏
Hiyo ya mwisho imekaa poa sana
Wa kwanza mm
Hongera sana👏🏼👏🏼👏🏼
Good advise
Asante mtumishi wa mungu nawezaje kupata vitabu vyako mbalimbali vya kusoma kwaajili ya kujifunza na kuongeza maarifa zaidi???
Pongezi nyingi kwako kaka
Asante kaka ubarikiwe
Trust, nimeiyelewa Sana katika mambo yote ulioyaeleza inawezekana ikabebwa na jina moja tu; TRUST!! Thank you brother 9:44
TRust Iki kintu nimuhimu sana hii ndiyo narenda kunyitumia
Nashukuru sana kwani ninajifunza menghi kupitia kwako
Awesome thank 🎉
Ahsante Kwa somo
Ahsante sana Kwa ujumbe huu mzuri sana
trust ndo mpango mzima
sifa kubwa mbili za kumuajiri mtu uaminifu na nguvu( afya ya mwili na akili pamoja na maarifa )
Thank
Asante sanaaa
Hey, I'm MUGISHO, Following you from DR Congo/Bukavu.
Karibu Mugisho, nafurahi kusikia hivyo
Vp kuhusu mimi ambae ni mwanafunzi
Thank you brother.
Nahitaji kua solution provider...
Asante
Barikiwa Sana 9:44
Mm natak nianze kutumua trust
Shukrani sana
Alhamdulillah
👏
Ya kwanza
Yusufu si mtu ni Mtume
Mimi nitajitahidi kusimama kwenye kufanya kitu kwa muendelezo
Hiyo ya mwisho imaniingia kabisa, hadi nawaza hizi ahadi za wanasiasa ni 0% kabisa
100% ni ukweli mtupu
✅✅✅✅✅🇹🇿🔥🔥🔥🔥