AFARIKI WAKATI AKITOA MIMBA YA MIEZI 6 "TUMEKUTA MTOTO AMBAYE AMEKAMILIKA HAKUONYESHA ANA MIMBA "

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 61

  • @ElizabethFabian-pn8bv
    @ElizabethFabian-pn8bv Месяц назад +2

    Wanaume ndo mnasababisha haya yote mkitupa mimba tu mnatukataaa😭😭😭

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 Месяц назад

    Mungu naomba tupe hekima na busara kwenye haya maisha Dunia Dunia naomba Mungu atulinde wanawake tunapita magumu sana Mungu wa mbinguni tuongoze

  • @EnockNanyaro-lk1zi
    @EnockNanyaro-lk1zi Месяц назад

    Dah kazi kweli kweli Mungu atusaidie

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад

    Wanaume wanawapenda wasichana wakishawapa mimba wanazikataa kulea, yaani wanawapa sana changamoto watoto wetu jamani Elimu utolewe.kwa kweli

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 Месяц назад +8

    Mungu amsamehe makosa yake. Na usiseme kitu kwani hakuna anaejua ukweli . Ukweli anaujua mwenyewe.. . Yawezekana kaanguka

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 Месяц назад

      Kwa hio unampangia mungu? Amsamehe nini?

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic Месяц назад

      Kahuwa mtoto asokuwanahatiya kishahapewemsama kahurshisi acheni ku mchezeya mungu wanafiki iyorohokatowa ahinahaki

  • @MerryRenatus-ck4lz
    @MerryRenatus-ck4lz Месяц назад

    Mungu tusamehe na utupe mwisho mwema

  • @AshuraBingwa
    @AshuraBingwa Месяц назад

    Jamani ww kin

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад +4

    Sidhani kama angeweza kuitunza muda wote huo alafu aamue kuitoa.labda kuna dawa nyingine alikunywa zikamwafect bila kujua.hata dawa za maleri nyingine usipokuwa makini zinaharibu.

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Месяц назад

      InawezekanaWatu kwakuzusha hawajambo miez6mungundyeAnaejuazaid

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Месяц назад +4

    Ungezaa tu jaman upeleke hapo Samaritan wangelea kabisa 😢

  • @HidayaMwakilema
    @HidayaMwakilema Месяц назад +1

    Siwanawake mungu ndiye anajua du inauma sana mungu tusamehe

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 Месяц назад

    Irene mpenzi kama umetoa mimba huendi mbinguni ,una kazi ,ugumu gani wa maisha yamekufanya ufanye hicho

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 Месяц назад +7

    Msiseme hivyo sababu hamkuwepo inawezekana mimba imetoka yenyewe anaejuwa ni Mungu pekee

    • @neemamushi4476
      @neemamushi4476 Месяц назад +1

      Kabisa my dear,hatujui nini kilimpata kazi ya kuhukumu tumwachie Mungu pekee

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 Месяц назад +2

      Hapo ni kweli huyo atakuwa amezaa tu pengine kwa mapirika ya maisha. Kama kutoa angelitoa tokea Changa

    • @ceedanstan6780
      @ceedanstan6780 Месяц назад

      Kabisaaaaaa tutasema sana lakin anajua Mungu tu halikuwa kusud lake hv vtu vnatikeaga tyuu😢😢😢

    • @mwajabually5321
      @mwajabually5321 Месяц назад

      sasa mtoto alifikaje chin ya kochi😊

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe Месяц назад

      ​@@yasminjuma9146 bg point

  • @AshuraBingwa
    @AshuraBingwa Месяц назад

    Wanaume.mungu hata walipa inshall

  • @AshuraBingwa
    @AshuraBingwa Месяц назад

    Hata mim na ujauzito mwanaum kanikata lakn cjathubutu kutowa na bad ndg miez miwil sas huy mam.ang angejikazaa akazaa jamn mim.bado bint.mdgo.mbn.sithubut.kuuwa 😢😢😢😢

  • @MariaMagele
    @MariaMagele Месяц назад

    Duh mtihani kweri

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Месяц назад +1

    Jamani umli huo unatoa mimba tena ya miez sita si mtoto kabisa huyo ulishindwa nin kumzaa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Месяц назад +1

    Jamani leo nimeishiwa nguvu...nikiwaza huyo mtoto wa darasa la nne aliyeachwa.😭💔

  • @ZainabuMtonga
    @ZainabuMtonga Месяц назад

    Pole yake

  • @kidoesther
    @kidoesther Месяц назад +3

    Wanawake tuna roho ngumu sana,😢ila huyu kaka alosema abortion kwa kiswahili,Mungu anamuona😂😂😂

    • @mwanas2
      @mwanas2 Месяц назад

      😅😅yani mi yenyewe kanimaliza kwa lugha ya kiswahili abortion.😮

    • @rachelsimon2876
      @rachelsimon2876 Месяц назад

      Hatari sana

  • @Esendi56
    @Esendi56 Месяц назад

    Mimba zote si sw kuna ndamu ingine inaweza kukumaliza

  • @MagrethMwajombe
    @MagrethMwajombe Месяц назад

    Dah mm naogopa kwakweli Mungu tusaidie

  • @pendo8082
    @pendo8082 Месяц назад

    Mungu tusamehe

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe Месяц назад

    😭😭😭😭😭

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @tumainilema8325
    @tumainilema8325 Месяц назад

    Daaaah aiseee kwann akuzaa t uwiiii

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga Месяц назад

    Hajatoa mimba za saivi ni changamoto huend ni mimba tu imetok siri zote azijuae mng. Lbd hajatoa

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 Месяц назад

    Mtihani mimba yakutoka inamitihani bora uzae uwouchungu wake hee mara unakata. Roho

  • @lusajomwankusye602
    @lusajomwankusye602 Месяц назад +1

    Hilo nisomo kwa wanna wake wengine

  • @rachelsimon2876
    @rachelsimon2876 Месяц назад

    Sidhan kama katoa mimba asingeitunza mpaka miez sita

  • @anglejackson-mo9ug
    @anglejackson-mo9ug Месяц назад

    Yani uyu mama alikumsiri achato

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Месяц назад

    Hy acha akajibu kwa allah si alitaka kumuuwa mwenzake

  • @SalmadaMsungi
    @SalmadaMsungi Месяц назад +1

    Moja kwa moja moton😢

    • @ummuwawili
      @ummuwawili Месяц назад

      Muogofe mwenyeezi Mungu usiingilie Kazi yake ...Allah anajua zaidi

    • @rahabnkya8276
      @rahabnkya8276 Месяц назад

      Aaah, mimba mbona shida typhoid, kutoa au LA, shida tu haapo.

    • @NaomiMollel-v5r
      @NaomiMollel-v5r Месяц назад

      Usihukumuu

  • @RehemaMocha
    @RehemaMocha Месяц назад

    MUNGU msamehe mazambi yake atujuii.ilikuaje ila yeye na Allah

  • @Esendi56
    @Esendi56 Месяц назад

    Mimba heri uzae bc

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Месяц назад

    Wakati analiwa hakujua kuna mimba? Mtu ana watoto watatu hajui sku za ujauzito ajichunge? Kayataka mwenyewe! Kwani mwanamke unawezaje kubeba mimba na mwanaume hajakuoa?

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Месяц назад

    Duu

  • @anglejackson-mo9ug
    @anglejackson-mo9ug Месяц назад

    Alikuwa yupo sawa mchana kutwa

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Месяц назад

      yaani Toka Ina wiki asitoe atoe anakaribia kujifungua kwel

  • @jesckamolel5693
    @jesckamolel5693 Месяц назад

    Tusimuhukum bas huwenda mimmba imeharibika jmn

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 Месяц назад

    Duu, si angezaa tu anipe mimi

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy Месяц назад

      Kwan we unahitaj mtt au umecoment tu kwasb una mda wa kufanya ivo

    • @ruthdavie1175
      @ruthdavie1175 Месяц назад

      ​@@RoseMichael-oz7cyKama unaye nipee

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 Месяц назад

    Mnauhakika ametoa mimba?

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Месяц назад

    Wanaume mnazingua sana

  • @evaemil856
    @evaemil856 Месяц назад

    Wafanye DNA Ya kichangaa itajulikana baba wa mtoto