Mtu ambaye Sitataka Nimsikilize UNAFIKI WAKE Juu ya Lowassa Ni KIKWETE! Wao Ndio Waliokuwa Wakisema HAKUNA BUDGET YA MAZISHI IKULU, Tuone Kama Wao Wataishi Milele!
Asante Ngurumo, kazi zako siku zote ni za kiwango. Sehemu unayosema alikumbia angalia wanaweza kukuua inasema mengi. Ila mimi huwa nashangaa viongozi wanpokuwa kwenye madaraka hawataki kuleta au kupigania mabadiliko ya ki-mfumo, lakini wakiwa nje wanaanza kulalamika. Lowassa alikuwa na ushawishi sana, lakini sikuwahi kusikia ametumia ushawishi wake kutaka tuwe na katiba nzuri inayoendana na wakati tuliyonao.
Ngurumo kazi yako naikubali endelea kueleza na kutupasha yaliyojificha❤❤❤❤ lakini pia mzee wetu apumzike kwa amani, kazi yake ishatangulia mbeze za haki
Hongera SK Media maelezo haya ya Mheshimiwa Edward Lowasa.ni zaidi ya habari, .Mwl Nyerere aliwahi kusema " To be poor is too expensive " hii imejiosha kwa mh. Edward Lowasa ,tumetoteza lulu kwa umasikni wetu, viongozi ,Chama chake walimwogopa sana ,na walifahamu kuwa ni jasiri wa hoja, walimzunguka kwa HOJA za hovyo.! Ni kiongozi kwenye mioyo ya WATANZANIA.
Tanzania imepungukiwa viongozi wenye Uwezo wa kufanya maamuzi magumu na kuyasimamia. Leader those who can take risk for their national. Lkn tunamwamini Mungu atatuinulia viongozi wa aina hiyo kwa Wakati Wake.
Ngurumo, nimejifunza mengi kupitia uchambuzi huu, hakika nakukubali endelea kutujuza maana Bado tunaishi ndani ya vichaka tunavyovipalilia sisi wenyewe!
Punzika kwa AMANI Mh Edward Lowasa. Mungu alikujalia hekima na uvumilivu ktk matumizi ya ulimi wako dhidi ya wachafuzi wako, hujawahi kukurupuka kwa kweli. Haiba hiyo Watu waliona, wanakiri leo Mungu amelisikia hili. Ukae pema peponi kwa mafunzo haya ya matumizi ya ulimi.
Siasa za Tanzania ni za kuwachanganya sana Wananchi.Wapinzani walimponda sana Mzee wetu Lowassa alipokuwa CCM.Alipohamia huko upinzani alitukuzwa sana.Alipoamua kurudi CCM wapinzani wakamponda sana huku wakimkejeri Kwa kumwita ni mzigo.Leo hii ukigeu geu wa maneno umetawala sana juu yake.Inasikitisha sana.
CCM ndio tuliomkosea zaidi Mh. Edward Lowassa, siyo Upinzani. Kumbuka mchango wake mkubwa zaidi maishani aliutoa CCM, ikiwa ni pamoja na kumweka Rais wa Awamu ya 4 madarakani! Upinzani (Chadema) amekaa si zaidi ya miaka 4 tu! Tuwe wakweli, tuache unafki ambao hata yeye hakuupenda.
Ngurumo wewe uko wapi?? Uandishi wako umetukuka unaongea ukweli na kwa ushahidi wapicha nakukubali sana na nakufuatilia sana hongera mwanahabari maarufu sana!!🎉🎉🎉
Mimi John Pombe Magufuli....cijui kuna mtu atavunja record yake, ingawa Lowasa no doubt ni mtu ambaye tunasema alikuwa na kingira au nyota Mvuto. Kwake mtukaneeeee.....lkn mpe dkt Tano nyota yake inarudi.. na 2015 niseme wengi tulikuwa dilemma ..Maana Record ya John Pombe Magufuli tangu akiwa waziri haikuwa na Shaka.
Jamani semeni ukweli tu tusiongopeane alikuwa anagawa pesa na vyeo ambayo hiyo ni rushwa na mtu yoyote ukimpa pesa atakusifu tu Sasa Fanya mazuri isitoe pesa kama utapendwa
Kutukanana kwenye maon ni dhahir kuwa watu ni wadhaif saaaana kwenye chama,watu wanapendezwa na ulaji uliokaribu nao,wanasahau kwamba mbelen watt wak ,wajukuu wataishije?,Nikutukana ty,
>Duuu...balaa!..neno hili la Mwandishi Ansbert Ngurumo ni kali! >Kumbe alionywa na marehemu kuwa mwangalifu ktk kazi yake ya uandishi...kuepuka kuuwawa! >Hii ni ishara na nembo mbaya sana kwa taifa...kwamba kukosoana au kuwa na maoni/mawazo/mtazamo mbadala inakuwa dhambi ya mauti!
MH LOWASSA NI KATI YA KIONGOZI ALIYEKUA NA UPENDO WA KUTAKA WATANZANIA WAWE NA UELEWA MKUBWA. WAWE NA ELIMU BORA. NAKUMBUKA KAULI MBIU ZAKE ZA UCHAGUZI 2015 ALISEMA, EDUCATION, EDUCATION, EDUCATION. ALITAKA WATANZANIA WAELIMIKE.
Kale pema peponi mimi na rowasa tulichukua kadi siku Moja na rowasa ukumbi wa urafiki tulivyo maliza masomo ya siasa ya ccm na kupewa zawadi ya vitenge viwli Kila mtu siku ya kikabidhowa kadi juyusa kyela
Rong of Africa politician is leadership of family and friends of politian stick on position outcome when the res heavy whaight close and peaple who are coruption always fighting for leadership by full force such politician are Denger in the leadership this is what cost Edouard lowasa get leadership on ccm leadership when lowasa came lnto chadema ccm leadership crush lowasa no win presindencel this is how ccm crush lowasa from ccm to opposition make sure lowasa dasnt get state house by all cost
Kuna waliotubu na mwanadamu mwenye hekima akitambua udhaifu wake hujirudi mbaya ni pale unapoendelea kuona hujakosea waliomsafisha kabla ya kuiaga dunia hawatakuwa na hatia kwa kuwa wamejitambua na kutubu
Umeweka hotuba ya Lowasa alipokuwa chadema ni sawa! Je hotuba za lowasa akiwa ccm chama kilichomlea kisiasa kabla hajaenda chadema kwa lengo tu la kutafuta urais? Je baada ya kurudi nyumbani (ccm) alisema nini? Mbona hapo unapata kigugumizi kuzionyesha hizo video kwa ufupi?
KWANZA SHUKURU YY KACFIWA JIULIZE JE WW UKIONDOKA KTK HII DUNIA NANI ATAKUSIFIA KWA LIPI?JPM ALIWAHI KUSEMA BINADAM TUNA KAWAIDA YA KUMSIFU MTU AKISHAONDOKA DUNIANI,BADALA YA KUMSIFU AKIWA HAI.
@@leahmgunda4154wewe umekuwa specific kwenye eneo la uvumilivu hata mimi nakubali! Lakini kwenye eneo la kuipenda nchi kufa na kupona JPM atakuwa top pale
Bravo mzee wetu Walioba Mungu wa mbinguni akutuze.
Mtu ambaye Sitataka Nimsikilize UNAFIKI WAKE Juu ya Lowassa Ni KIKWETE! Wao Ndio Waliokuwa Wakisema HAKUNA BUDGET YA MAZISHI IKULU, Tuone Kama Wao Wataishi Milele!
Ahsante Sana Mh. Warioba, Ukomavu ni kuvumilia,pia kutafsiri changamoto kwa njia ya MUNGU. Vinginevyo Changamoto zaweza kukuvunjia Heshima yako.
Thanks ngurumo umeandaa vizuri aisee daaah hii imekaa poa SANA. I wish Angekua amekamata NCHI hii kama president ❤
Asante Ngurumo, kazi zako siku zote ni za kiwango. Sehemu unayosema alikumbia angalia wanaweza kukuua inasema mengi. Ila mimi huwa nashangaa viongozi wanpokuwa kwenye madaraka hawataki kuleta au kupigania mabadiliko ya ki-mfumo, lakini wakiwa nje wanaanza kulalamika. Lowassa alikuwa na ushawishi sana, lakini sikuwahi kusikia ametumia ushawishi wake kutaka tuwe na katiba nzuri inayoendana na wakati tuliyonao.
Hadi nimelia. Kumbe kuna mengi hayuyajui juu ya Kiongozi huyu. Neno moja la faraja nimelipata kutoka kwa Prof. Tibaijuka.RIP EDWARD
Ngurumo kazi yako naikubali endelea kueleza na kutupasha yaliyojificha❤❤❤❤ lakini pia mzee wetu apumzike kwa amani, kazi yake ishatangulia mbeze za haki
Umeandaa Tribute nzuri sana kwa huyu Statesman shupavu. Mh Lowassa ni mfano wa kuigwa.
❤
Huyu mzee alikuwa na ushawishi mkubwa sana katika hili taifa kuliko wanasiasa wengine wote
Ujumbe mzito sana na wa kukumbukwa asante Ngurumo
Kweli. Mwenyezi Mungu ndiye anapanga watawala katika DUNIA
Hongera SK Media maelezo haya ya Mheshimiwa Edward Lowasa.ni zaidi ya habari, .Mwl Nyerere aliwahi kusema " To be poor is too expensive " hii imejiosha kwa mh. Edward Lowasa ,tumetoteza lulu kwa umasikni wetu, viongozi ,Chama chake walimwogopa sana ,na walifahamu kuwa ni jasiri wa hoja, walimzunguka kwa HOJA za hovyo.! Ni kiongozi kwenye mioyo ya WATANZANIA.
Tanzania imepungukiwa viongozi wenye Uwezo wa kufanya maamuzi magumu na kuyasimamia. Leader those who can take risk for their national. Lkn tunamwamini Mungu atatuinulia viongozi wa aina hiyo kwa Wakati Wake.
Ngurumo this the best presentation of all. Ulivyosumerize yote, wewe ni akili kubwa. Big up
Ansbert Ngurumo...mara nyingine unaonyesha professionalism katika journalism yako! Hongera na asante kwa uchambuzi huu!
Ngurumo, nimejifunza mengi kupitia uchambuzi huu, hakika nakukubali endelea kutujuza maana Bado tunaishi ndani ya vichaka tunavyovipalilia sisi wenyewe!
Ahsante sana Bro. Umemaliza yote, ilivyostahili.
Safi sana
Ulitimiza nia kuwa hutaki kuingia Ikulu kwa kukanyaga damu. Mungu akurehemu kwa yote.
Lowassa mtoto wa mfugaji mwenzangu pumzika kwa mengi kweli wafugaji umetupa mengi ya kujifunza
Punzika kwa AMANI Mh Edward Lowasa. Mungu alikujalia hekima na uvumilivu ktk matumizi ya ulimi wako dhidi ya wachafuzi wako, hujawahi kukurupuka kwa kweli. Haiba hiyo Watu waliona, wanakiri leo Mungu amelisikia hili. Ukae pema peponi kwa mafunzo haya ya matumizi ya ulimi.
Poleni sana familia ya mzee lowassa mungu awatie nguvu kwa kipnd iki kigum kwa kuondokewa na mpendwa wetu
Poleni sana wanafamilia wote. Na tunashukuru sana kwa habari nzuri
.. ndio maana upo nje ya nchi ni katika kulinda uhai
Siasa za Tanzania ni za kuwachanganya sana Wananchi.Wapinzani walimponda sana Mzee wetu Lowassa alipokuwa CCM.Alipohamia huko upinzani alitukuzwa sana.Alipoamua kurudi CCM wapinzani wakamponda sana huku wakimkejeri Kwa kumwita ni mzigo.Leo hii ukigeu geu wa maneno umetawala sana juu yake.Inasikitisha sana.
CCM ndio tuliomkosea zaidi Mh. Edward Lowassa, siyo Upinzani. Kumbuka mchango wake mkubwa zaidi maishani aliutoa CCM, ikiwa ni pamoja na kumweka Rais wa Awamu ya 4 madarakani! Upinzani (Chadema) amekaa si zaidi ya miaka 4 tu! Tuwe wakweli, tuache unafki ambao hata yeye hakuupenda.
Ngurumo wewe uko wapi?? Uandishi wako umetukuka unaongea ukweli na kwa ushahidi wapicha nakukubali sana na nakufuatilia sana hongera mwanahabari maarufu sana!!🎉🎉🎉
RIP Mwamba Mchapakazi maisha yako ni fundisho kwa wengine
HAPANA...HAPANA....STATESMAN.....HAPANA KWA HILO MAMA TIBAIJUKA HATUKUPALIANI NA WEWE!
Gurumo umefanya kazi kubwa sana kutupa hii summary nzuri ya mzee Lowassa....huyu mzee kwakweli alikua STATESMAN kama alivosema mama Tibaijuka
i wish kama mzee huyu angeshika dollar ila nilikuwa sina jinsi but let god bless his family all in all R.I.P my statesman
nmeipenda sana hii uchambuzi wao umekaa vzuri sana
Kazi iliyotukuka asante mwandishi Ansbert.
Ukweli mtupu uliotukumbusha Ansbert. Wanaua!
I Wish Tibaijuka Angekuwa Ndio... "Nani Kama Mama"
Keep on washing, remember BAWATA issue?
She should join the opposition apewe chance agombee Mimi pia nampenda sana Tibaijuka kwakwel
Leo kama Lowasa asingekuwa na wazo la Sekondari za Kata watoto waliojaa hizo Sekondari za Kata wangeebda wapi. R. I.P LOWASA
Ahsante kwa uchambuzi
Kawaida kwa watanzania kusifu baada ya kufa. Leo luwasa kesho sisi
Nimepata kozi nzuri sana kwa tibaijuka nyie,,,, nashauri tibaijuka arudi kulitumikia taifa hili
Eeee Mungu mwenyezi raha ya milele umpe na mwanga wa milele
Prof Tibeijuka nimemuelewa sana
Mimi John Pombe Magufuli....cijui kuna mtu atavunja record yake, ingawa Lowasa no doubt ni mtu ambaye tunasema alikuwa na kingira au nyota Mvuto. Kwake mtukaneeeee.....lkn mpe dkt Tano nyota yake inarudi.. na 2015 niseme wengi tulikuwa dilemma ..Maana Record ya John Pombe Magufuli tangu akiwa waziri haikuwa na Shaka.
Unaandaa vizuri sana programs zako
Ndio uandishi wa habari unaokubalika. Mtu anaongea kwa ufasaha na kwa kujenga mantiki. Siku hizi tuna wengi sana ambao uandishi wao hauridhishi.
Kaka napenda sana uchambuzi wako
Jamani semeni ukweli tu tusiongopeane alikuwa anagawa pesa na vyeo ambayo hiyo ni rushwa na mtu yoyote ukimpa pesa atakusifu tu Sasa Fanya mazuri isitoe pesa kama utapendwa
✌️👊🙏.
Poleni sana sana msiba mkubwa apumzike kwa amani
Kwhy mwak 1995 mzee walioba kulikuwa na sim au vip
Asnt
Bagonza nakuelewa saaaaana
Unaweza kukosa kiti Lkn ukaipata mioyo ya wananchi. Mh. Lowasa alikuwa ndani ya mioyo ya watu.
Je hao watesi wanaitwa Nani ? Wanaishi sayali gani ? Jamani watesi je ninyi NI roho mtaishi milele ? Je hamjui kisasii NI cha mungu
Kutukanana kwenye maon ni dhahir kuwa watu ni wadhaif saaaana kwenye chama,watu wanapendezwa na ulaji uliokaribu nao,wanasahau kwamba mbelen watt wak ,wajukuu wataishije?,Nikutukana ty,
>Duuu...balaa!..neno hili la Mwandishi Ansbert Ngurumo ni kali!
>Kumbe alionywa na marehemu kuwa mwangalifu ktk kazi yake ya uandishi...kuepuka kuuwawa!
>Hii ni ishara na nembo mbaya sana kwa taifa...kwamba kukosoana au kuwa na maoni/mawazo/mtazamo mbadala inakuwa dhambi ya mauti!
Well said
Stay blessed
Ingawa hekima yoyote hata kama ni nzuri kiasi gani ikichanganyika na woga huwa unafiki. Dan.11:32-35.
MH LOWASSA NI KATI YA KIONGOZI ALIYEKUA NA UPENDO WA KUTAKA WATANZANIA WAWE NA UELEWA MKUBWA. WAWE NA ELIMU BORA. NAKUMBUKA KAULI MBIU ZAKE ZA UCHAGUZI 2015 ALISEMA, EDUCATION, EDUCATION, EDUCATION.
ALITAKA WATANZANIA WAELIMIKE.
Kale pema peponi mimi na rowasa tulichukua kadi siku Moja na rowasa ukumbi wa urafiki tulivyo maliza masomo ya siasa ya ccm na kupewa zawadi ya vitenge viwli Kila mtu siku ya kikabidhowa kadi juyusa kyela
Rong of Africa politician is leadership of family and friends of politian stick on position outcome when the res heavy whaight close and peaple who are coruption always fighting for leadership by full force such politician are Denger in the leadership this is what cost Edouard lowasa get leadership on ccm leadership when lowasa came lnto chadema ccm leadership crush lowasa no win presindencel this is how ccm crush lowasa from ccm to opposition make sure lowasa dasnt get state house by all cost
Sii lazima kutumia lugha ngeni. Tuandike kiswahili ili wote tuambulie. Hapa nimetoka mtupu.
Lowasa ana mvuto sio Tazama mazishi yake tu halafu yafananishe na JPM nenda mtaani kaulize watu wanaomkumbuka JPM na Lowasa
RIP Baba
Wanafiki wanamsikiliza mzee Waryoba!
Mnafiki na1 ni Kikwete anatamani familia yake na ndugu zake na marafiki tu ndio washike nafasi za juu
Great words from your great comment hon.@imonnaivasha,
Congrats
Kuna waliotubu na mwanadamu mwenye hekima akitambua udhaifu wake hujirudi mbaya ni pale unapoendelea kuona hujakosea waliomsafisha kabla ya kuiaga dunia hawatakuwa na hatia kwa kuwa wamejitambua na kutubu
Dada Ngurumo hajambo shemeji huko?
Umeweka hotuba ya Lowasa alipokuwa chadema ni sawa! Je hotuba za lowasa akiwa ccm chama kilichomlea kisiasa kabla hajaenda chadema kwa lengo tu la kutafuta urais? Je baada ya kurudi nyumbani (ccm) alisema nini? Mbona hapo unapata kigugumizi kuzionyesha hizo video kwa ufupi?
1:26 Sokoine je alikuwa hana mvuto
Is After hero die the legacy is born
really
Nywele zake nyeupe ni Ishara ya Hekima yake iliyotukuka.
Sasa kinakushangaza nini hapo wakati alikuwa analinda ugali wake
Asante sana
Wauaji nyie
"Waliombeza sasa wanamtukuza"😂
Hekima ni zaidi ya FEDHA
❤❤❤🎉🎉
Hakuna mwanasiasa alimzidi maalim seif sharif hamad
Zanzibar, yes!
😂
@@AnsbertNgurumo kote
Tuwe tunasema haya kabla mtu hajafa haya mnayosema haisaidii
Tumeyasema mengi kabla sasa na baadaye. Mengine bado. Kuna kanuni?
Acheni ujinga mlomwita fisadi mpaka alipoingia kwenu acheni usenge
Rest in peace comrade
Kipi kilomridisha ccm
Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ipi nafasi ya Maalim Seif? Hakika viongozi wanaondoka.
Hamjawai kumsifia akiwa haiii. Hata haipendezi. Ninyie ndio mloo muita fisadi. Akifa kiongozi yeyote mnasifiagaaaa tuu
KWANZA SHUKURU YY KACFIWA JIULIZE JE WW UKIONDOKA KTK HII DUNIA NANI ATAKUSIFIA KWA LIPI?JPM ALIWAHI KUSEMA BINADAM TUNA KAWAIDA YA KUMSIFU MTU AKISHAONDOKA DUNIANI,BADALA YA KUMSIFU AKIWA HAI.
Utakuwa umepoteza kumbukumbu. Jifunze kutulia kabla hujajibu.
Sasa hawa CHADEMA mbona hawatukumbushi wakati wakimuita ...................
😢
Wewe unachangua watu wakuwasifia mbona JPM mbaka leo unasema mabaya tu acha unafiki ngurumo sikukubali ata siku moja
Asante. Kumbe nawe kuna watu huwakubali? Ni haki yako. Ubarikiwe!
Wewe unayemmisi JPM unastahili kusikiliza uchambuzi huu hapa. Bonyeza:ruclips.net/video/QXBsnsae9Zg/видео.htmlsi=3rfcw2uj_sS_6iLg
Lowaa alikuwa fisadi
Una uhakika?
Atoe facts
Unaumwa wewe, atakuwa na mvuto kama jpm
Zaidi kwa kigezo cha uvumilivu. Huyu ni mvumilivu aisee ni maua yake aende nayo.
@@leahmgunda4154wewe umekuwa specific kwenye eneo la uvumilivu hata mimi nakubali! Lakini kwenye eneo la kuipenda nchi kufa na kupona JPM atakuwa top pale
Wewe ndo unaumwa, jpm si aliibukia tu kwenye urais baada ya muvurugano ndani ya chama
Matusi aliyotukanwa huyu mzee kweli ni mvumilivu! Sidhani kama anebaki wa kumuiga mtu huyu