ROASTING (SAID SAID VS ELIUD)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии •

  • @shilagijisandu3101
    @shilagijisandu3101 2 года назад +81

    Duuuh, kweli comedian lazima uwe mbishi,sikutegemea Kama said angekuja na comeback ya hatari hivi🙌🙌🙌

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 2 года назад +62

    Wa mwanza tujuane😂😂😂👏👏👏

  • @finestmtotowababa7249
    @finestmtotowababa7249 2 года назад +47

    Wanyakyusa tujuane in 🔥 🔥🔥🔥 sana

  • @zukhairsaid2194
    @zukhairsaid2194 9 месяцев назад +34

    wanaongalia mwka 2024 march weka like hapa

  • @Stays_Shopping
    @Stays_Shopping 2 года назад +44

    Wote wamefanya vizuri kwakwel 😂😂😂😂

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 2 года назад +41

    Dah wote wameua sema huyu eliud lafuzi yake inazidisha udambu na said serious yake inamfanya awe special

  • @bravocharles7565
    @bravocharles7565 Год назад +21

    Eliud hata asipoongea anachekesha ogopa sana you can not beat this guy

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 7 месяцев назад +7

    Saidi umefanya vzr....na Eliudi pia umefanya vzr 🙌

  • @mtwichetz4514
    @mtwichetz4514 2 года назад +160

    tuliona eliudiii kaua tugonge like hpa

  • @lucianaisrael3841
    @lucianaisrael3841 Год назад +17

    Kiukweli wote wametisha nawapenda mno,big up boys👏👏👏👍👍

  • @charybdis8113
    @charybdis8113 2 года назад +33

    Kazi nzuri. Walau sasa tunaweza sema tuna standup comedians.
    Verdict: sare.

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 2 года назад +19

    🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo nilijua saidi atachemsha kumbe ni mkali sanaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mr_Highlights360
    @Mr_Highlights360 2 года назад +30

    Et bajaji mbili zimebeba mtu mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 года назад +73

    SIJUI KURA ZANGU NIMPE NANI 😂😂😂😂😂😂😂 SIJUI ELIUD SIJUI SAID DAH 😂😂 ALL IN ALL WOTE WAMEKIWASHA

  • @nafixdeclever5135
    @nafixdeclever5135 2 года назад +21

    tuwekeee ndaro vs jolmaster itakuwa mauwaji sana

  • @gottathabiti7546
    @gottathabiti7546 2 года назад +3

    I like so much cheka tu,because inanifanya niwe happy na nawaombea dua waendelee na ubunifu…. Na pia hongera CEO wa cheka tu wallahi….thanks

  • @tumkithemr933
    @tumkithemr933 2 года назад +18

    Eliud kaua ila comeback ya said ndyo imeua kabisaaa dàaaah good said

  • @bouzocartoon3044
    @bouzocartoon3044 2 года назад +23

    eliudi kapatikana leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @geofreylyimo1907
    @geofreylyimo1907 2 года назад +21

    Funny,great and fantastic 😅😅😅😅

  • @dullywa9973
    @dullywa9973 2 года назад +34

    namsubiri 😂😂😂😂😂😂Mwanang Wa ladies and gentlemen

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 года назад +4

    Said said said mpo vizur sema eliud sauti yako nikichekesho duuh eti uumbaji wa mungu umepigwa kitu kizito unamuingiza mungu hahahahaaaa

  • @msokilefrancis5136
    @msokilefrancis5136 2 года назад +24

    Mbeya boy... 💥💥

  • @meshacknyerere8286
    @meshacknyerere8286 2 года назад +3

    Eliudi umetisha sana mwana Theolojia umekuja na neno jipya,
    Stephano alifia mwanza😄😄

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 2 года назад +16

    Eliud kiboko ya nyanda za juu kusini "Ndaghafijo"!

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 года назад +7

    Nmefurahi xana mpaka machozi😂😂😂😂😂😂😂

  • @orestonjalika632
    @orestonjalika632 2 года назад +9

    We can not jugde on this session. Wameupiga sana kwakweli.

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Год назад +9

    Me cna upendeleo lkn mmeuaaaa nakubal kaz😂😂😂

  • @nishimwejames83
    @nishimwejames83 2 года назад +3

    Hapa sasa kwenye uumbaji wa mungu😂😂😂😂😂Eliud nomaaaa

  • @bahatikabungu7788
    @bahatikabungu7788 Год назад +3

    Usukuma ni kama komwe🤣🤣🤣

  • @elizabethenocy4788
    @elizabethenocy4788 2 года назад +5

    😂😂😂jamani hongereni Sana

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc Год назад +2

    Umesahau msukuma wadada wengi wa mbea ni wauza bar..wezi wa wanaume za watu hatar

  • @zinaidastalin7443
    @zinaidastalin7443 8 месяцев назад

    Bajaji kubeba watu wawili😅😅😅 daaaaa tunyenyee tuntuntufyeee

  • @danielkihiyo5491
    @danielkihiyo5491 Год назад +9

    Eliud on 🔥🔥🔥🔥

  • @lovenessmwaitege5324
    @lovenessmwaitege5324 2 года назад +6

    Ila saidi wewe bajaji moja imebeabilia mmoja kweli 😅😅😅😅😅😅

  • @injili618
    @injili618 2 года назад +13

    From Mtwara Elliud you know watcha doin bruh👊👏

  • @emmanueleemazy9023
    @emmanueleemazy9023 2 года назад +50

    MORE LIKES TO ELIUD!!!!!!!

  • @zawadilutufyo231
    @zawadilutufyo231 2 года назад +16

    Eliudi!!! Hakuna wa kufanana nae!😂

  • @ole_bamuriat3
    @ole_bamuriat3 7 месяцев назад

    Said Said ni kama hauelewi Tanzania mkaazi wa Kenya atatamuka said 😂😂😂

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 2 года назад +11

    Safi SANA...🇹🇿💥💥💥💥💥

  • @BarakaBenard-cd4mh
    @BarakaBenard-cd4mh 8 месяцев назад

    Eliud pole said said amekuweza leoo😂😂😂😂😂

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 Год назад +2

    Huyu dogo muhuni, babaji mbili zinabebaje abilia mmoja!!!

  • @MorryUshindi
    @MorryUshindi 9 месяцев назад +1

    Bwanaaa wee wanambeyaaaaaaaaaaaaaa tumeuaaaa huyoo kapiga ya bajaj tu na tunda maaalumu,,,,,, vingne vyote tumeuaaaa

  • @jamesblackjaguar2084
    @jamesblackjaguar2084 2 года назад +30

    Big talent Eliud

  • @barakakamuga4474
    @barakakamuga4474 2 года назад +2

    Usukuma ni kama komwe🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 2 года назад +6

    Wametisha sana punch after punch

  • @SadiqKumbata-p9u
    @SadiqKumbata-p9u 11 месяцев назад +1

    Eliud umetisha sana kaka😅😅😅

  • @tedsonsalum9171
    @tedsonsalum9171 2 года назад +7

    Mbeya boe💥💥

  • @zawadifodogo1581
    @zawadifodogo1581 2 года назад +8

    Eliudi ni kizibo🤣🤣🤣

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 6 месяцев назад

    Wote mmeweza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @JohnMapunda-u1f
    @JohnMapunda-u1f 10 месяцев назад +1

    Mwanza😢😮😢😮 kula chuma ichooo

  • @barakakamuga4474
    @barakakamuga4474 2 года назад +4

    Eliud hapana kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Tanzania_habari1
    @Tanzania_habari1 2 года назад +9

    Eliud Mpambavu Sana Aiseeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

  • @صفوابنتسعيدباوافد
    @صفوابنتسعيدباوافد Месяц назад

    Anatukana watu huyo sasa kutoa kasiro ndio nini,,,ongelea mkoa,,,,,,eliud oyeeeeee

  • @lonikimwaijande499
    @lonikimwaijande499 2 года назад +4

    Mbeya oyeeeeeeeeeeeeeeeee♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ eliudi umetisha

  • @focusmedia2856
    @focusmedia2856 9 месяцев назад +1

    Comeback ilikuwa hot Sanaa sikutegemeaaa

  • @JasmineKitiku
    @JasmineKitiku 9 месяцев назад +1

    Me hako ka said nakapenda ni ka handsome boy 😁

  • @anyicileandrea6291
    @anyicileandrea6291 2 года назад +28

    Hii content ingependeza sana endapo mmoja anatoa joke moja mwingine anareply na anatoa jokes. Dialogs jokes

    • @mswahili6247
      @mswahili6247 2 года назад +5

      Iwe kitu kingine wajaribu wanaeza haribu radha na flow ya contents inaweza kwenda personal au mmoja kupoteza kabisa materials

    • @lostive4396
      @lostive4396 2 года назад +1

      Itakuwa ubishi Sasa hatutaenjoi

    • @amanidaniford7194
      @amanidaniford7194 Год назад +1

      Sio rahisi

    • @ignassindabaha1813
      @ignassindabaha1813 Год назад +1

      Wala haiwezi kutokea maana zitakuwa pumba

  • @davidezekiel8217
    @davidezekiel8217 2 года назад +20

    Said the great 😆😆😆😆

  • @Graphixdesigner2000
    @Graphixdesigner2000 7 месяцев назад

    Sasa huyu said ndo wakushindanisha na ELIUD mwamba kwel dah 😂😂😂

  • @daudinzunda8739
    @daudinzunda8739 8 месяцев назад

    Big up kwa Eliudiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 года назад +6

    Mbeya🤣🤣🤣🤣🥰🥰

  • @Hassanimatimbwa-s8o
    @Hassanimatimbwa-s8o Год назад +1

    Wote wameuwa ila said ....🎉

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 года назад +9

    Side katisha 😂😂😂

  • @dullywa9973
    @dullywa9973 2 года назад +5

    wamefany vizuri 🤣🤣🤣

  • @typbhjk786
    @typbhjk786 2 года назад +13

    Said 😅😅😅🔥🔥🔥🔥

  • @dorismunkondya2522
    @dorismunkondya2522 2 года назад +1

    Bajaji mbili mtu mmoja hiyo nimekataa 😀😀😀😀😀😀

  • @dorcusnsajigwa7499
    @dorcusnsajigwa7499 8 месяцев назад +1

    Wanyaki tujuane❤❤

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂 we said wewe😂😂😂

  • @kisagadady7952
    @kisagadady7952 2 года назад +18

    SAID SAID👑👑👑

  • @FernandoafonsoChinduli
    @FernandoafonsoChinduli 10 месяцев назад +1

    Mimi wa msumbiji ila kipaji change mpira ila sijui jinsi ya kufanha

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 2 года назад +12

    Good creativity

  • @MsanjalaAlex
    @MsanjalaAlex 8 месяцев назад

    Ongela zenu jmn mmeuwa 😂😂😂

  • @rikamedia2581
    @rikamedia2581 2 года назад +16

    WIN ⏳ WIN💥

  • @MelickKuboja
    @MelickKuboja 9 месяцев назад

    Et wasukuma n kama komwe😂😂 eliud ana visa bhna

  • @andrewngasamabere2719
    @andrewngasamabere2719 2 года назад +8

    Dangerous battle

  • @EmmanuelRaphael-vl6lh
    @EmmanuelRaphael-vl6lh 5 месяцев назад

    We jamaa noma xana

  • @maxidanielmovies
    @maxidanielmovies 2 года назад +16

    Eliudiii is on fireeeee

  • @lucianaisrael3841
    @lucianaisrael3841 Год назад +1

    Ila Eliud kakaangu unanivunja mbavu kila nikiangalia clip zako🤣🤣🤣🤣

  • @thomasnjebele6522
    @thomasnjebele6522 2 года назад +1

    Hapo kwenye Bajaj mbili mtu mmoja ndo umeua kabisa Mr.Said

  • @burilohomestudio6783
    @burilohomestudio6783 2 года назад +3

    aaaaaaaaaaaaaaaaah hahahahahahha dogo wa mwanza anaongea uongo huyu

  • @MagrethKabisi
    @MagrethKabisi 8 месяцев назад

    Mnauwa nyie,we Eliud acha kutupasua mbavu zetu

  • @mcnyota
    @mcnyota 9 месяцев назад

    Wote wako sawa😂😂😂😂

  • @Yopeboe
    @Yopeboe 9 месяцев назад +1

    Eliud kauwa sana❤❤ gonga like hapa kam unaona kaua

  • @kelvinjonathan648
    @kelvinjonathan648 2 года назад +2

    Mmetisha sana wanangu

  • @janesmbuzi3935
    @janesmbuzi3935 2 года назад +2

    Eliudi made my night kwakweli nimecheka

  • @jamesverdian2445
    @jamesverdian2445 2 года назад +2

    Hizo batle nimezipenda sana wote ni wakali

  • @dishonibusima6042
    @dishonibusima6042 8 месяцев назад

    Nomaa San et jamaa anawez kbs

  • @RamadhanZuberi-ic5cy
    @RamadhanZuberi-ic5cy 5 месяцев назад

    Ngoj nimgojee mwamba said naeeeh

  • @idanchoga7601
    @idanchoga7601 2 года назад +8

    Hii iendelee good creativity

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 2 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 hatariii..mpo vzr!

  • @hashimahashimu7366
    @hashimahashimu7366 Год назад

    Ongea kiswahili ww mpuuz tu we n muhaya kenge izo tabia waachie wadada

  • @happybaraka4354
    @happybaraka4354 2 года назад +1

    🤣🤣😂😂 mmetisha sana🙌🙌

  • @JosephKizito-ut4qq
    @JosephKizito-ut4qq 4 месяца назад

    Naomba battle ya eliud na leornado

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 года назад +3

    khaaa usukuma ni kama Komwe 😀😃😃😃

  • @mafiagenius-i4m
    @mafiagenius-i4m 9 месяцев назад

    Eliud umetisha🎉🎉

  • @bongofeedss
    @bongofeedss 7 месяцев назад

    Eliud Samweli wa nzovwe Moravian college of infrastructure

  • @stellatwaah3242
    @stellatwaah3242 7 месяцев назад

    Anganile mauwa yake🌹🌹🌹🌹🖐🏻

  • @tumainlucas7953
    @tumainlucas7953 7 месяцев назад

    Ila hii nchi 😅😅😅😅

  • @nyandatesther6045
    @nyandatesther6045 7 месяцев назад

    Ati watu mashughuli😂

  • @YothamLingtone
    @YothamLingtone 7 месяцев назад

    Wote wakali😅😅😅