Dalili za ugonjwa wa "Kichaa cha Mbuzi" unaosababishwa na minyoo korofi na jinsi ya kuzuia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024
  • Wengi hudhani mbuzi amekula majani ya sumu au wamerogwa. Ni shida inayosababishwa na "minyoo" inayoutwa "coenurus cerebralis" kitaalamu. Matibabu yake yanahitaji kufanyika mapema na mtaalamu daktari wa mifugo. Dalili nyingine ni kushindwa kutembea vizuri na kuinamisha kichwa chini. Kondoo, ng'ombe na nguruwe huweza kupata tatizo hili na hata binadamu. Pia mbwa wanaweza kuwa chanzo cha tatizo. Njia za kuzuia ni kuhakikisha wanyama wanapewa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu, kutibu minyoo inapoonekana au kugunduliwa kuimarisha usafi hasa wa maji.
    Kwa maelezo na msaada piga 0686418546

Комментарии • 7

  • @thomsonlogela1359
    @thomsonlogela1359 3 месяца назад +1

    Number zako haigigi niko Kenya

  • @thomsonlogela1359
    @thomsonlogela1359 3 месяца назад +1

    Nitakupat aje tafadhali number zako

  • @adammallya3229
    @adammallya3229 11 месяцев назад +1

    Min wakwangu anasumbuliwa ivyo napataje dawa au inaitwaje ???

  • @davidmvile5716
    @davidmvile5716 9 месяцев назад +1

    Namna gani naweza kutibu au ni dawa gani wanatibiwa nao

    • @nicksonthevet
      @nicksonthevet  9 месяцев назад

      Unipigie simu kawaida 0686418546