kipre JR wakawaida tu. simba ilipo kwa sasa wala haihitaji saini ya Junior, kama Algeria kwa timu ile anakaa benchi simba anachukua nafasi ya nani? any way mpira una mambo mengi. Simba inahitaji mshambuliaji katili kidogo pale mbele, nafasi ya viungo haina tatizo kubwa. aidha simba inahitaji saini zenye tija zaidi
Kramo ndio bora zaiiiiiid
Manula mwacheni aende zake. Alikifanyia Simba kitu kibaya sana. Mkimuacha pia atawaharibia
Aubin kramo
Ni bora tumchukue KRAMO maana ni mchezaji mzuri
Mwl na RAIS tunaomba Kram arudi ndio Bora zaidi
Cramo tuliofia tu majerah yake yalio chukua mda mrefu kupona naniwetu bado yupo mioyoni mwetu japo akucheza ila kinacho niuma nikwamba taarifa zako zinakuaga za uwongo
USHAURI WANGU WACHUKULIWE WOTE.
Kramo maana kwanza uko anacheza lakini kipe achezi

Kramo