Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Moto wa DPWorld umeanza kuwaka huko!!! Gharama ya kusafirisha container imepanda mara tatu (3 times) ya iliyozoeleka!! Port manager 'nadhani ' ametoa tahadhali kubwa kuhusu mustakabali wa kudorora kwa uchumi wa Tanzania. Waheshimiwa mbali na wanachi kutoridhika na huo mkataba na DPWorld ninyi mmeupitisha. Sasa tuambieni ni ndio basi tena?
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Moto wa DPWorld umeanza kuwaka huko!!! Gharama ya kusafirisha container imepanda mara tatu (3 times) ya iliyozoeleka!!
Port manager 'nadhani ' ametoa tahadhali kubwa kuhusu mustakabali wa kudorora kwa uchumi wa Tanzania. Waheshimiwa mbali na wanachi kutoridhika na huo mkataba na DPWorld ninyi mmeupitisha.
Sasa tuambieni ni ndio basi tena?