Kama kukaa bila kucheza ingekuwa ndio mafanikio basi Chama alistahili kuwa mchezaji Bora, kwa sababu aliuzwa na amekaa pasipo kucheza mpaka walipomrudisha Tena umakoloni
Ni kweli kabisa Simba inatakiwa turekebishe timu na halafu viongozi wetu wasioni tabu kufanya mamuzi magumu na sio kumuonea mchezaji tabu eti kwa kuwa atachukuliwa na timu nyengine au kwa kuwa kafanya makubwa uyo sio sawa wakiangalia hivyo watakaa na wachezaji mpaka watazeeka miaka 40 Hadi 50
Globar jitahidini kuweka vichwa vya habari vya msingi na vya kweli Kama wale 24 nimesoma vitabu vya ericki shigogo Ni mtu anaye jua Sana lakini nyiee muliosimamia chombo chake hivyo vichwa vya habari havina ukweli
Manula ameongea point sana ila kuhusu mkataba yy mwenyewe anajua kuwa mkataba ni siri hahitaji kutangaza mkataba wako, lakn bado yupo sana simba.
Manula badi yupo sana acheni michecheto Ahmedi Ally si kama Msukule Haji mropokaji.
Manula maeongea point sana Yani unakuta Tim inakaa mwenz haichez sasa kwanini usiwe bingwa
Kama kukaa bila kucheza ingekuwa ndio mafanikio basi Chama alistahili kuwa mchezaji Bora, kwa sababu aliuzwa na amekaa pasipo kucheza mpaka walipomrudisha Tena umakoloni
Kwa hiyo timu zote zilizo kaa mwezi bila kucheza wamekuwa mabingwa?? Hizi ni hoja dhaifu tujifunze kuzipuuza
Ni kweli kabisa Simba inatakiwa turekebishe timu na halafu viongozi wetu wasioni tabu kufanya mamuzi magumu na sio kumuonea mchezaji tabu eti kwa kuwa atachukuliwa na timu nyengine au kwa kuwa kafanya makubwa uyo sio sawa wakiangalia hivyo watakaa na wachezaji mpaka watazeeka miaka 40 Hadi 50
Kwaiyo semaji la caf liongo maana katuaminisha kuwa umeongeza mkataba
Globar jitahidini kuweka vichwa vya habari vya msingi na vya kweli Kama wale 24 nimesoma vitabu vya ericki shigogo Ni mtu anaye jua Sana lakini nyiee muliosimamia chombo chake hivyo vichwa vya habari havina ukweli
Up 9
Huyu kipa ni Bomu tupu
Sio ligi ngum wachezaji wa SIMBA wengi wabovu ukiwemo wewe Manula umetunguliwa m28 na ni mfupi mpishe Kisubi hapo
Jitambue wew bongo hakuna kipa mkali kama huyu mwamba tambua hilo
@@bensonmgaya5693 usipoteze muda kujibu vichaa