KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 06 | 💞 Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 836

  • @MwajumaJ4-sg6gk
    @MwajumaJ4-sg6gk Год назад +98

    Hongera sana Tina nimekupnda bure nimshauri mzuri mnooo anaemkubali Tina gonna like tusonge mbele

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri Год назад +91

    Congratulations Tina 🎉🎉wangapi wanamkubali Tina ❤nakupenda sana Tina ww hufichi mtu kitu unampasha akapashika😅😅

  • @manicyriaque1318
    @manicyriaque1318 Год назад +148

    Naomba like kutoka kwa Tina,maana leo ameigiza vizuri sana,kumunyima pesa Mariam,namba anipe like kutoka kwake

    • @PriscaAmbroise-o8p
      @PriscaAmbroise-o8p 11 месяцев назад +1

      🎉🎉

    • @Gerckbush
      @Gerckbush 7 месяцев назад +1

      🎉🎉❤

    • @PrincessMoh-ck4zl
      @PrincessMoh-ck4zl 5 месяцев назад +1

      Safi sana mm siwez pea mtu pesa akampelekea mwanaume wake😢

    • @AllyRashidy-km7sr
      @AllyRashidy-km7sr 27 дней назад

      Ama mwanaume jmn w mwanmk mwezangu chukua funzo ilo mwanaume anaetka kuhongwa chemb y upnd Hana yamenikuta Hy nikimuhonga tn namuhonga ad smart phone nilimnunulia kmb ana mke

    • @AllyRashidy-km7sr
      @AllyRashidy-km7sr 27 дней назад

      Niliamua kumuacha bl kuachwa maan daah

  • @ambrocejohn6833
    @ambrocejohn6833 Год назад +11

    Daaaah nilishaacha kabisa kuangalia mv za kibongo mungu azidi kuwapa maarifa ya kufanya vizuri hongereni sanaaa❤❤❤❤❤❤❤mko vizur mnoo

  • @Aishajafari23
    @Aishajafari23 Год назад +80

    Waoooo TEAM KELVIN kama unaikubali tujuane kwa like apa🎉🎉

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru Год назад +31

    😂😂Nelly.love tina and kelivin kahn nafeel yani mmecheza vizuri sana❤❤ from kenya 🎉❤like ya mtu wa mwisho😂

  • @HildaVicent
    @HildaVicent Год назад +48

    Wakwanza jaman Leo navowapenda Hawa watu Haina kuchelewa hiyo ❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +4

    Dah yn kevin nazidi kukufatilia unajuwa cn kk❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SelinaMangula
    @SelinaMangula Год назад +26

    Dah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ muwe mnaposti kila siku jaman ,ombi langu

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri Год назад +16

    Nawapenda Sana Guy's ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Ongera Sana Kwakazi Nzuli 💐💐💐💐💐🇸🇦🇸🇦 Masikini Kelvin Pole Sana ❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🇧🇮🇧🇮

  • @SaidMohamed-d9k
    @SaidMohamed-d9k Год назад +103

    ❤❤❤❤ wa kwnza nami Leo natka likes bs nawapenda nyote wazamaji w filamu hii

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Год назад +14

    Aisee hii move ni🔥🔥🔥atimae Nelly kaona vidongee🤣🤣🤣🤣 inafundisha 💯

  • @mslaysauti
    @mslaysauti Год назад +28

    Kazi safi wenzangu mnafanya Vizuri sana ❤❤❤❤❤naipenda sana

  • @IbrahimMohammed-px4cp
    @IbrahimMohammed-px4cp Год назад +15

    Kelvin Khan✌️
    Kicheche 👊🏿
    Clam VEVO 👌

  • @yuyumuziki7756
    @yuyumuziki7756 Год назад +23

    Producer kazi nzuri..leo Kila kitu kamili

  • @yvesninezereza
    @yvesninezereza Год назад +5

    hapa naona nilichelewa,mbona hamkunishituwa kwamba mmeleta kamovie katamu kiasi hiki! i like it very much,keep it up,ili tuendelee kupata kaburudani safi❤we lov u

  • @-landcoach
    @-landcoach Год назад +6

    Tayali wafanyakazi wetu maboss zenu tumeshaina kazi nzuli mliyoifanya hakika mnaweza mungu awatanguliee ❤❤

    • @FélixMbogambi
      @FélixMbogambi Год назад

      Tina namkubali.we hufichi.mtu unamuwash kihazalani.kitu ukiw hukipend hakuna vya fyooo

  • @WilliamKieng
    @WilliamKieng Год назад +16

    Nimeipenda 🍎🍎🌹🌹hii kazi nzuri sana wakwanza Mimi apa William chibale 💕💕🤩

  • @KhadijaAmiri-n1p
    @KhadijaAmiri-n1p 7 дней назад +1

    Aha nyee wakali a Naga shoo mbovu❤❤❤❤❤❤

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 Год назад +18

    Mariam Kula chuma icho ❤❤❤❤❤iko tamu zaidi ya asali can't wait to see next series ❤❤❤❤

  • @NyenjeMohamed-wm3vf
    @NyenjeMohamed-wm3vf Год назад +4

    daaah aisee muvi kalii sema muendelezo usichelew jaman❤️❤️💚💚💛

  • @NathanielKhan-tz8dd
    @NathanielKhan-tz8dd Год назад +1

    Wow Tina na team Kelvin mmetoa kitu pouw Sanaa pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️

  • @NathaSMART
    @NathaSMART Год назад +4

    Haya mapenzi😂😂😂 much love from BURUNDI 🇧🇮💪 gong likes Guys 😂🔥💥

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 Год назад +17

    Kila mmoja ni wa kwanza ht mm wa kwanza nipeni like zngu

  • @MALCOM_TV602
    @MALCOM_TV602 Год назад +3

    Ombiii langu lifanyiwe kaz yan toen hata 3000 tutaaangalia oya most talented sana wote mnajua kudadek oya part 7 tunaitaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 Год назад +13

    My brother tunahtaj sana kazi yako, zingatia muda

  • @fatmajilo1513
    @fatmajilo1513 Год назад +8

    Kusema kweli hii movie nimeipenda sana afu hicho kiwimbo ❤❤❤❤

  • @Albert23official
    @Albert23official Год назад +14

    Wakwanza naomba like zangu

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt Год назад +2

    Hongeren sana team ya kelvn nawapenda sana tupo pamojaa kila mnapotoa movie zenuu big up

  • @DoreenAngel-vz9mh
    @DoreenAngel-vz9mh Месяц назад +1

    pongezi kwa Tina Leo❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Год назад +5

    Much love from 🇰🇪🇸🇦 km wapenda hii movie please like apa tukisonga n episode ingine itoka haraka maana imefika kitamu walai

  • @gervasdenis7286
    @gervasdenis7286 Год назад +2

    Jamin eeeeh naombeji jina lahakokawimbo kaolnaoimba apo 😋 kanapenyasana kwenye moyo

  • @YOHANAMHOGO
    @YOHANAMHOGO 10 месяцев назад +1

    Wametisha mm cjawai kufwatilia bongo mvie ila apa bombaaa sanaaa

  • @AlimaSalumu-o3f
    @AlimaSalumu-o3f 2 месяца назад +1

    Uyu neli ni muogo jamani mpaka anatishaa kweli kazi tu umario😂😂😂

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 Год назад +3

    Manzee hii nayo mumeweza.... huyo mdamda wa Salon 😂😂😂😂she is the best pia @Kelvin mentor her mhen❤❤❤❤ Anajua kuigiza c kubahatisha

  • @Gerckbush
    @Gerckbush 7 месяцев назад +4

    Wapi team 🙏🌹✍️ tina🎉🎉🎉🎉 like zangu

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 месяца назад +1

    Wote mwapenda mwanamee moja kumuhoga juu hasara

  • @emmanuelshashanija-ge3eq
    @emmanuelshashanija-ge3eq Год назад +8

    Toeni movie kamili sasa muachane na hivi vipande nice work

    • @Adelina-mj3ir
      @Adelina-mj3ir 8 месяцев назад

      Mmmmmmh maliam tumia akili

  • @jumajumanne1455
    @jumajumanne1455 Год назад +4

    Mnajua hadi mnakera yn❤❤❤❤

  • @BendosAlbatros-wv6dv
    @BendosAlbatros-wv6dv Год назад +2

    Good job boss yangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Maryamu255
    @Maryamu255 Год назад +8

    Nimesubili kwahamu jaman mungu abariki kazi zenu🤲🤲

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 Год назад +3

    Dah newly kimemuramba na Kevin ashampata anaempenda ❤ongela team donta ❤❤❤

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj Год назад +5

    Congratulations kelvin Kwa KAZI zenu nzuri utapona kelvin ACHA Mariam akule chuma nawapenda bure ❤❤❤❤❤❤kutoka Kenya nakupenda San Tina ❤️❤️❤️

    • @hafsahmassemoh3598
      @hafsahmassemoh3598 Год назад

      Akule chuma ama dose 😂😂😂😂

    • @HappyHappy-uo8hj
      @HappyHappy-uo8hj Год назад

      Kwa Ile hasiraa Niko nayo Kwa kumtesa kelvin amezee dose bila maji Mariam anampenda San mwamba lazima akule chuma hata kama kina wadudu 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад +5

    Tina nigupe ongela dada yangu maua yako 🎉🎉🎉kazi nzuri sana khelvin,lavness taem yako yote ❤❤❤❤❤

  • @SophyaMsagati
    @SophyaMsagati 8 месяцев назад +2

    Hivi huyu jamaaa anawezaje kuomba pisi ela aki😂😂

  • @fundimgiriki6855
    @fundimgiriki6855 Год назад +2

    Walio igiza muv hii wote nawakubali sana wanajua nini tunahitaji watanzani na wapenda muv wote duniani. Stori Kali sana aliandika Stori hii😇

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr Год назад +3

    Tina safi sana, Victoria angekutia changa la macho

  • @HassmityStarling
    @HassmityStarling 8 месяцев назад +1

    Naomba unisaindie na title ya hii wimbo ya kupenda sio kazi kazi kumpata akupendae.tafadhali

  • @ElizabethEliabu
    @ElizabethEliabu 8 месяцев назад +1

    Waooo kimbe kipenzi kelvin nimnyamwezi ndomana amejawa na mahaba jamani god boy

  • @AngambageEupidius
    @AngambageEupidius 10 месяцев назад

    Hii nikali sana nimeikubali kinoma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yaaani nmeielewa. Hawa jamaa ni noma

  • @ZilpaPeter-ng3hx
    @ZilpaPeter-ng3hx Год назад +2

    Tina wewe ni rafk mzur nimekupenda bureee Kelvin na love ❤❤❤

  • @BatenloveTz
    @BatenloveTz Год назад +5

    Baba ubarikiwe kbxaa katika kazi yako 🇧🇮🇧🇮

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u Год назад +3

    Ht ile ya Mfanya kazi wa ndani anae olewa na kelvin mwisho ipo tofauti muendelezo huwa hamuuendelezi vizuri hamuandiki km hii ya kwanza mpk ya mwisho ukidaunlod huelewi zinavyo Kuja vipande tofauti

    • @Dontatv255
      @Dontatv255  Год назад +2

      Atuweki RUclips ili udownload tunaweka ili uangalie humu humu ukidownload sisi atupati hela ndio maana ata miendelezo tunashindwa kuleta kwa wakati 🙌

    • @MamaBright-j3k
      @MamaBright-j3k 5 месяцев назад

      Sawa

    • @fatmatraashidu8522
      @fatmatraashidu8522 5 месяцев назад

      ​@@Dontatv255Poleni Sana Tutajitaahid Sana Kuwasaport

  • @RamadhaniSingano-x5r
    @RamadhaniSingano-x5r Год назад +1

    kaz nzuri naona movies inazidi kubamba zaidi kikubw msikate tamaa tuko pamoja nany

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve Год назад +3

    Nawapenda sana nawafata sana

  • @SameheFungo
    @SameheFungo Месяц назад

    Kwa kweli mmeturudisha kuangalia muvi za kibongo maana tuliacha kitambo hongereni sana watoto wangu🎉🎉

  • @chimammymohaa
    @chimammymohaa Год назад +13

    Congratulations t🎉team kelvin much love from kenya❤❤

  • @khuswayikidaghanya6321
    @khuswayikidaghanya6321 Год назад +5

    Daaaaaaah imetoka aiseee

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 10 месяцев назад +1

    Haaa jmn wanaume shikamooni nely kanifunza mengi sanaaa mna dunia yenu wenyewe,,,

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah Год назад +1

    Hongera sana kelivn na kikosi chako, na wakati wote unaambiwa usi n'gan'ganie asie kupenda, maana kapenda mwingine,nahata pia anaeza kua anakuepusha na mengi

  • @cloudsanga
    @cloudsanga Год назад +1

    Mnajuwa kutengeneza stor daah ongeleni sanaaah

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 Год назад +2

    Nelly kwesa mungu mukubwa hapa kunaeda 😢aji musuguko uko hapa wasa tu mungu aside Kelvin naona ukimwi pahali next episode 😢😢😢😢

  • @AhmedyAhmedy-vy1ov
    @AhmedyAhmedy-vy1ov 11 месяцев назад

    Habary brother thanks so much nizuri sana Pat 8 vipi ipo

  • @hopefreddiecker0537
    @hopefreddiecker0537 Год назад +6

    namba one leooo😂😂😂😂

  • @MichaeljohnMashimbe-bx9ok
    @MichaeljohnMashimbe-bx9ok Год назад +2

    Kwa aliyeona jinsi nelly anavyotoa macho kwenye kopo la dawa la arvs twende sawa😮😮😮

  • @udaismwasame
    @udaismwasame Год назад

    Kazi poa sana wanangu..nawapenda sana toka kenya

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 4 месяца назад

    Kazi nzuri sana loveness kwa kumuona kelvin alipopata ajali🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @RobertoMisigiri-lk3ld
    @RobertoMisigiri-lk3ld Год назад +3

    Patamu hapooooo next please jaman kesho ❤❤😂

  • @CosmeDamas-ww6qg
    @CosmeDamas-ww6qg Год назад +4

    Napenda sana kazi yenu l m form Mozambique 🇲🇿

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 Год назад +12

    Number 1from kenya ❤❤❤❤❤

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 Год назад +2

    Haaaah apo mwishoni kabisaaa apo ndo nimeipenda zaidi 😅😅😅 marioo kashapewa ukimwi 😂😂

  • @MarryDaimond
    @MarryDaimond Год назад +1

    Hata wakisema upendo mmmh

  • @vennievenze3194
    @vennievenze3194 Год назад +15

    Dah nelly kimekuramba can't wait to watch next episode drop that thing ...🎉🎉😂❤

  • @JIRANIOFFICIAL
    @JIRANIOFFICIAL Год назад +6

    Mnaeza fanya mtu atamani kugongwa na gari na mwanadada kama huyu ....ama ni mimi sinaga bahati jameni😂😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад

    Mariyamu utajuta majuto ni mujuku mungu alitaka kumlinda Kelvin khan wetu naivyo virusi vyako umepewa n'a neli Kelvin mesha mupata atakaye mupenda lavenesi ❤❤

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 месяца назад +1

    Wadanganywa kamtafutie pesa umpe ujinga pole 😂

  • @SammyGuya
    @SammyGuya Год назад +5

    Napenda hiki kipindi hichi

  • @HijhRuhhg
    @HijhRuhhg Год назад +14

    Better late than never,, great job waiting for the next episode ❤❤

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 месяца назад

    Kwa party ilikuwa mchna,huku nje kagongwa na gari mbona kama ni usku,tena mavazi ya kelvn sio yale alikuwa nayo kwa proposal,kuweni makini,othwz great film,kp it up❤md JOAN 🇰🇪

  • @GetrudaIsaya
    @GetrudaIsaya 5 месяцев назад

    Bila kusahau loveness kaigiz vzur sana panda sana loveness💖💖

  • @beatricemgaya8268
    @beatricemgaya8268 Год назад +1

    Nell kimekuramba hlo kopo limeanguka nla dawa za vvu😂😂😂😂😂😂

  • @saidshaaban-qh7lw
    @saidshaaban-qh7lw 9 месяцев назад

    Kaka up vizur kusema na kwel ww unategemewa san tanzania kk sio powa movies zak zot zp saw

  • @IsakaMwozya
    @IsakaMwozya Год назад +1

    Kaka hongela Sana upo vizur ila nyimbo nimeielewa Sana ameimba Nani kaka

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa Месяц назад

    Hongera sana Tina Leo umempa ushauri mwenzio,jukua maua yako mapema🎉❤️

  • @JustinaWilliamgervaz-rh6wh
    @JustinaWilliamgervaz-rh6wh Год назад +1

    Lovenes you so nice ❤❤❤ bila kusahau Kevin na Tina I love you guys keep going

  • @LilyNashela
    @LilyNashela 4 месяца назад

    Ila mm napenda Kelvin n loveness sn wakiwa pamoja❤❤❤❤

  • @KelvinKhalifa-ih7pn
    @KelvinKhalifa-ih7pn Год назад +2

    Nakubali KK kevin

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 Месяц назад

    ❤❤nyie mwajua kwamba kelvin Khan ni handsome

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 2 месяца назад

    Mwanaume tapeli hii ndo mitindo yake wanaume wengi wamekuwa madike dume badala yakujisimamia kama wanaume wao wamesimama kianakike kuudumiwa na wanawake hongera sana kelvyn

  • @FélixMbogambi
    @FélixMbogambi Год назад +3

    Mue munaletea kila siku jamani.nawapenda xana❤❤🎉🎉

  • @hopefreddiecker0537
    @hopefreddiecker0537 Год назад +4

    Nelly kula chuma hicho. .... ARV... 😅😅😅

  • @Allymasoud-j8p
    @Allymasoud-j8p 10 месяцев назад

    Nampenda san love ❤️ 😍 💖 ❣️

  • @MusaKasereka-yq1xm
    @MusaKasereka-yq1xm 2 месяца назад

    Nly mshenzi sana kabisa pessa ya kodi paka aombe kwa binti

  • @IdrissaMuhamud-ym8nl
    @IdrissaMuhamud-ym8nl Год назад

    Kweli movie nzuri ila kipande cha7 sikoni vipi bado ila kwayote hongereni washrik wote❤❤❤❤❤

  • @mikegitongaThuranira
    @mikegitongaThuranira 6 месяцев назад

    Haki wewe kelvin move zako uninice sana half uyo mganga hanatusumbuwa kukuja kwa move

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 3 месяца назад

    Tinà nmèkupenda ulivyomshshua marimucoz àlinikèra sana alivyomkataa kev

  • @Margaret-k4l
    @Margaret-k4l 4 месяца назад +1

    Wewe khan mhandsome

  • @HoorHhhgfdfgb
    @HoorHhhgfdfgb Год назад

    nampendaaaa tinaaa ❤❤magaiidii boraaaa🥰🥰🥰 naombenii like jamanii

  • @JanethObwa
    @JanethObwa 5 месяцев назад

    Maria haja tulia kila move yey ni namba moja kwa umalaya si haja tulia kev aachan nae tu huy Maria atafut maisha mungu atampa mwingine ❤

  • @RayaSalum-k2c
    @RayaSalum-k2c 10 дней назад

    Hongera kwa movie nzuri❤🎉