Life in SOUTH AFRICA as a FOREIGNERS Is NOT what you THINK!!! 🇿🇦

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 67

  • @abea4902
    @abea4902 5 месяцев назад +1

    Thanks for the good information,from Ethiopia 🇪🇹

  • @maxgamboltv9940
    @maxgamboltv9940 6 месяцев назад +2

    Man lots of love from MAXGAMBOL TV

  • @tatendamuchemwa9994
    @tatendamuchemwa9994 6 месяцев назад +9

    That’s the reality.SA is dry and even the locals are going overseas for greener pastures.Lets make our African countries great like South Africa.SA can’t give everyone residence permit.

  • @jaypili7837
    @jaypili7837 6 месяцев назад +4

    The most beautiful place in south Africa camps bay it is unique

  • @HammySailor-m1x
    @HammySailor-m1x 4 месяца назад

    Naomba uniunganishe na uyo jamaa wa cape town

    • @humphreyallan3342
      @humphreyallan3342 3 месяца назад

      Huyo anakaa mjanja kulingana na kuongea kwake

  • @HammySailor-m1x
    @HammySailor-m1x 4 месяца назад

    Niunganishe na uyo jamaa mimi nipo port elizabeth napiga mishe za artist designel

  • @harpalgajera2875
    @harpalgajera2875 6 месяцев назад +4

    Cape Town beach ⛱️ so beautiful South Africa Johannesburg Durban beautiful cuntry Patel's family business man South Africa 😊

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 6 месяцев назад +2

    rafiki yangu Malango Travels nakufatilia sana tours zako toka mara ya mwanzo episode ya 1 ile ya tanga zoote za tanga kenya kule mpk huko south nakufatilia sana napenda sana kukufatilia mmi rafiki yako mdau wako tuko pamoja ila naomba ukipata time nenda na pangani na kisha ufike lushoto na mbeya pia tuko pamoja sana

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад

      pamoja sana kiongozi. Asante sana kwa support

    • @mrabdultv8356
      @mrabdultv8356 6 месяцев назад

      @@malangotravels usiwaze mkuu sisi sote ni vijana wa tz lazima tu peane moyo na kuombeana na kufanya kile unachoona kinakufaa hii kazi yako nzuri sana nikikumbuka mwanzo ulipokuwa unaanza kule mbezi makufuli terminal uliposema una dreams ya kutembelea nchi nyingi duniani niliona kama utani but now i"m seeing

    • @mrabdultv8356
      @mrabdultv8356 6 месяцев назад

      congratulations and tight your belt pamoja sana

  • @AmisoMuyohira
    @AmisoMuyohira 6 месяцев назад +2

    Kwelii kabisa. Burundi tanzanii sisi nduguu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AmisoMuyohira
    @AmisoMuyohira 6 месяцев назад +2

    Thue storyyy amo from burundii

  • @Realmakos
    @Realmakos 6 месяцев назад +1

    Eti uyo mtanzania amesema nini kuhusu wakenya..uyu mrundi amesema ukweli..uyo ndo mtu WA maana apo.

  • @jahautospares7655
    @jahautospares7655 6 месяцев назад +2

    Amen 🙏#🇰🇪🇰🇪

  • @zephyrrrrrrrrrrr
    @zephyrrrrrrrrrrr 5 месяцев назад +1

    Hi,, i am a South African moving to Tanzania for an internship.
    They may offer $1000 for monthly stipend and would like to know if it’ll be enough. How can we connect please😭

    • @malangotravels
      @malangotravels  5 месяцев назад +1

      It's enough. welcome

    • @zephyrrrrrrrrrrr
      @zephyrrrrrrrrrrr 5 месяцев назад

      @@malangotravels can i give you my WhatsApp so we can connect? I need to connect to locals,? If you don’t mind.. could use all the help i can get🙏

  • @ababibabzee7758
    @ababibabzee7758 6 месяцев назад +2

    😂😂jamaa anaongea kweli huyo? Maana cape town mtu kukupokea nimtihani.

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад +1

      😀 nami Sina uhakika, lakini anaweza kuwa mshikaji fresh!

    • @ababibabzee7758
      @ababibabzee7758 6 месяцев назад

      Mimi naishi cape town kwa muda mrefu i do have experience with my Tanzanian brothers who living in cape town.

  • @Sarah_M84
    @Sarah_M84 6 месяцев назад +1

    I wish to know what they do for living, because Capetown is very expensive

    • @jaypili7837
      @jaypili7837 6 месяцев назад +2

      Opportunity are everywhere no matter how life is hard and good gives everyone take it or not

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад

      True that @jaypiliworldwide

  • @Chunguzana
    @Chunguzana 6 месяцев назад +1

    Salute baba

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 6 месяцев назад +1

    Akikuachia namba zake bro malango nifanyie mpango nipate mawasiliano yake tafadhali

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад +1

      Kuna wadau wa Cape Town wameshauri watu wasiingie kichwa kichwa, acha nijiridhishe kwanza

    • @ramadhanitokwete8069
      @ramadhanitokwete8069 6 месяцев назад

      @@malangotravels Hizo mambo za kutishana na kukatishana tamaa zipo kwa kila waliopo ughaibuni!
      Tunatambua ugumu wa madili upo kila mahali unapokua mgeni just give us a chance! Tufungulie dunia uwe sehemu ya historia zetu inshaallah

  • @andrewjones4773
    @andrewjones4773 6 месяцев назад +2

    Why don't you use the local buses to get around ?

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp 6 месяцев назад +2

    Na chumba cha 1500 😂😂 na sio kizuli mimi nalipa 3500 na niko pekeangu jamaa ananichekesha

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 6 месяцев назад +1

    Usiwasikilize hawa jamaa ukajichanganya😂😂😂😂

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 6 месяцев назад +2

    Huyu jamaa sio mkweli ,kuweni makini

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад

      Una mfahamu vizuri mdau?

    • @chusitv
      @chusitv 6 месяцев назад

      Kakudanganya Nini Mzee??

  • @blimages2
    @blimages2 6 месяцев назад +1

    Monther city's

  • @yangafaku9525
    @yangafaku9525 6 месяцев назад +2

    I find your caption ridiculous. Given that you've only spoke with few foreigners. I have many friends that are doing very well here. Do you even understand how many permits did this country give to our fellow brothers?

  • @mbongeninkosi3852
    @mbongeninkosi3852 6 месяцев назад +1

    Don’t paint us as bad people, imagine your caption and yet you stay in Cape Town but u discourage others not to come while u live here. South Africans just do not have the resources that’s all. Everyone is welcome legally and be sure to fend for themselves and avoid criminal activities, Simple as that.

  • @hijamnola1502
    @hijamnola1502 6 месяцев назад +1

    R200 sawa na Helf Ngapi ya bongo?? Uyo mburundi amevurugwa uyo

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад

      Anaweza kuwa amepitiwa kidogo hesabu..

    • @hijamnola1502
      @hijamnola1502 6 месяцев назад

      @@malangotravels Itakua ame compare na hela ya kwao

  • @HammySailor-m1x
    @HammySailor-m1x 4 месяца назад

    Nipe namba ya uyo man namba yake ya whatsapp

  • @THE4REIGNER.
    @THE4REIGNER. 6 месяцев назад +2

    Real life stories of SouthAfrica...I highly can relate😢

    • @malangotravels
      @malangotravels  6 месяцев назад +1

      Thanks. Hope everything is fine in PE

    • @THE4REIGNER.
      @THE4REIGNER. 6 месяцев назад

      @@malangotravels Yeah surely...

    • @ferdieortman6614
      @ferdieortman6614 6 месяцев назад +1

      I was also there very tough out there I stayed about 5 years in cape town I have seen lots of young foreigners eating from dustbins that was enough for me to return to Namibia today I have make significant progress in my country today I can proudly say, I farm with sheeps en goats plus owning formal house en a informal house with 12 m /12 m range something I couldn't manage in south africa but also not forget the lessons learn because it's through those endless struggles that I make it in my native country 👍🇳🇦✅

    • @THE4REIGNER.
      @THE4REIGNER. 6 месяцев назад +1

      @@ferdieortman6614 Inspirational. Wanna tell my story one day