WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 11

  • @JumaMaulidi-mk8vw
    @JumaMaulidi-mk8vw 9 месяцев назад +1

    Mashaallah

  • @MiwagoTz
    @MiwagoTz 9 месяцев назад +1

    HONGERA VIONGOZI KWA KAZI NZURI LIWALE NI NYUMBANI WALIPOTOKA WAZAZI WANGU KWA SASA NIPO DSM,MUNGU AWABARIKI VIONGOZI WOTE,HONGERA RAISI WETU MAMA SAMIA.MiwagoTz

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 9 месяцев назад

    Fanyeni kazi acheni siasa janjajanja

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 9 месяцев назад +2

    Nashukuru imefika mahali wasomi wa Kitanzania wanapata miradi ya kodi zao ,hivyo walipwe stahiki zao kwa wakati na pia wafanye kile ambacho watanzania tunataraji toka kwao

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 9 месяцев назад +2

      Well said

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 9 месяцев назад +1

      Tuwakumbushe pia wahandisi wetu kwamba kodi zetu zinatolewa walipwe wafanye kazi ili wananchi waone matokeo, wapate huduma

    • @jacobletema3681
      @jacobletema3681 9 месяцев назад

      Kwahiyo hiyo Team Work imefanya kazi kwa kwa uwepo wa waziri, asingekuwepo?? Nchi hii mpaka waziri, rais au makonda aje???

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 9 месяцев назад

    Matope mpaka lini weka mawe piga mkeka wa lami na madaraja ya juu nchi ya JK Nyerere hiyo.Tanzania!Duu!