Hapa yalikuwa maisha yangu ya primary school, lakini bado nakumbuka mchango huu wa Patrick! Kwa umri wake wakati huo, wimbo kama huu ulionyesha akili iliyokomaa! Balisidya, RIP, Hukulipwa na Dunia kama ulivyostahili.
uncle asante kutuletea nyimbo hizi,ambazo zinaendana na maisha ya watu,kweli bro pesa ndio zinazosumbua watu,watu huuana,kutafarikiana kupigana nk.wimbo una msg nzuri sana.19.5.16.
Habari, mimi ni msafiri kutoka kaskazini mwa Uhispania niliyegundua wimbo huu wakati nikisafiri kwa pikipiki kupitia Tanzania, ulikuwa wakati wa kipekee sana katika maisha yangu, na tangu wakati huo nausikiliza karibu kila siku. Ningeshukuru sana ikiwa mtu angeweza kuongeza mashairi ya wimbo huo
Katika umri huu naitwa kijana. Nyimbo hizi za magwiji zinaumiza roho yangu. Nyimbo zinafanya ujione kama ulikuwapo miaka hiyo. Huyu mtu niliumia sana wakati alipofariki maiti yake kukaa muda mrefu mochwari kwa sababu ya deni. Ama kweli Balisidya ulimwengu haukukulipa ulichostahili
Power Nguzo for President of URT! Kuna ule wimbo wao nadhani wasema "Oooh, Afrika bado kalala waliomo katika ujinga wa kunyonywa na kunyanyaswa" Nadhani title yake itakuwa "Africa". Huo bwana utanikumbusha zama za mapambano ya kuwasaidia wenzetu Angola, Msumbiji, SA etc.
Huyu alikuwa mwanamuziki msomi wa Tanzania. Alipoanzisha kundi lake la muziki mwaka 1970 alianza kwa kubuni melody yake; hakuwa akiiga beats za Wa-Congo! Hii ni melody ya Kigogo.Kwanini wanamuziki wa Tanzania msipige beat hii ya Blisidia?
Wakati unatoka na kupigwa sana nilkuwa darasa la nne. Siku hizi hakuna miziki kama hii. Ukitaka kujua nguvu ya usomi inavyozaa ubunifu sikiliza melody ya gita la ridhim kuanzia 3.55. Hii melodi ya gita hili haijapigwa tena popote.
Huyu alikuwa mwanamuziki msomi wa Tanzania. Alipoanzisha kundi lake la muziki mwaka 1970 alianza kwa kubuni melody yake; hakuwa akiiga beats za Wa-Congo! Hii ni melody ya Kigogo.Kwanini wanamuziki wa Tanzania msipige beat hii ya Balisidia?
Ooohhh ni kitu gani eeh pesa pekee ndio itusumbuayo RIP Uncle Patrick
Nakumbuka mbali sana ninaposikia nyimbo hizi mungu waleemu awa mamanju wetu waliotangulia mbele za haki
Umenikumbusha mbali,nilikuwa nasoma kidato cha tatu shule ya sekondari uyui Tabora.....Asante sana
Muziki ni maisha ni safari leo nimesikia hii imekumbuka mbali sana enzi hizo maisha ni mazuri sana Asante sana power kwa kutukumbusha
Afro 70 band, Tanzania hii Bwana Kaka Power Nguzo ulikuwa wimbo wazee wangu wakiupiga kila siku, asante kwa kutunza kumbukumbu hizi adimu.
Very good music I was in std 4 in 1971.
kaka nguzo asante kwa tunu hii ya Balisidya, Mwanamziki msoni Tanzania
Hapa yalikuwa maisha yangu ya primary school, lakini bado nakumbuka mchango huu wa Patrick! Kwa umri wake wakati huo, wimbo kama huu ulionyesha akili iliyokomaa! Balisidya, RIP, Hukulipwa na Dunia kama ulivyostahili.
HE DESERVED BETTER . I HOPE THE PROCEEDS OF THIS IS GOING TOWARDS ELPING HIS FAMILY !!!
Oooooh pesa peke ndio itusumbuayo ooooh
uncle asante kutuletea nyimbo hizi,ambazo zinaendana na maisha ya watu,kweli bro pesa ndio zinazosumbua watu,watu huuana,kutafarikiana kupigana nk.wimbo una msg nzuri sana.19.5.16.
Inanikumbusha mbali sana
Patrick Balisidya, nimekubali
Nguzo endelea kutuletea miziki hii. Old is gold. Uko vizuri nguzo mumgu aendelee kukupa mema
Habari, mimi ni msafiri kutoka kaskazini mwa Uhispania niliyegundua wimbo huu wakati nikisafiri kwa pikipiki kupitia Tanzania, ulikuwa wakati wa kipekee sana katika maisha yangu, na tangu wakati huo nausikiliza karibu kila siku. Ningeshukuru sana ikiwa mtu angeweza kuongeza mashairi ya wimbo huo
Miye pia nimekubali hapa
Wimbo unanikumbusha miaka ya 1970
na ufurahia mziki wa kale. haswa ...harusi...afro sabini.
Marggie Kibiru kweli kabisa music wa kale in dhahabu
Kwakweli Patrick balisidya alikuwa ni mwiba, ukilisikiliza hilo gitaa ni balaa.
Asante kweli msg Kali.
Kweli nimetoka mbali
Inatisha sn ndugu na ndugu huweza hata kuuwana sbb ya kitu kidogo kiitwacho pesa
Katika umri huu naitwa kijana. Nyimbo hizi za magwiji zinaumiza roho yangu. Nyimbo zinafanya ujione kama ulikuwapo miaka hiyo. Huyu mtu niliumia sana wakati alipofariki maiti yake kukaa muda mrefu mochwari kwa sababu ya deni. Ama kweli Balisidya ulimwengu haukukulipa ulichostahili
Power Nguzo for President of URT! Kuna ule wimbo wao nadhani wasema "Oooh, Afrika bado kalala waliomo katika ujinga wa kunyonywa na kunyanyaswa" Nadhani title yake itakuwa "Africa". Huo bwana utanikumbusha zama za mapambano ya kuwasaidia wenzetu Angola, Msumbiji, SA etc.
Tunu kama hizi tuzienz
Zinanikumbusha mbali sana
AH KITU KIDOGO WATU SEMI ZAO R.I.P PATRICK
Upo,wapi,kaka,super,power,nguzo,ramadhani
Huyu alikuwa mwanamuziki msomi wa Tanzania. Alipoanzisha kundi lake la muziki mwaka 1970 alianza kwa kubuni melody yake; hakuwa akiiga beats za Wa-Congo! Hii ni melody ya Kigogo.Kwanini wanamuziki wa Tanzania msipige beat hii ya Blisidia?
NA ITAENDELEA KUTUSUMBUA JAMANI😅😅😅
INAENDELEA KUTUSUMBUA
hatari sana
Wakati unatoka na kupigwa sana nilkuwa darasa la nne. Siku hizi hakuna miziki kama hii. Ukitaka kujua nguvu ya usomi inavyozaa ubunifu sikiliza melody ya gita la ridhim kuanzia 3.55. Hii melodi ya gita hili haijapigwa tena popote.
Huyu alikuwa mwanamuziki msomi wa Tanzania. Alipoanzisha kundi lake la muziki mwaka 1970 alianza kwa kubuni melody yake; hakuwa akiiga beats za Wa-Congo! Hii ni melody ya Kigogo.Kwanini wanamuziki wa Tanzania msipige beat hii ya Balisidia?
Pumzika kwa amani Kamanda wakigogo umeacha alama kubwa ulimwengu huu hakika ipo siku ulimwengu utaazimisha kumbukumbu za maisha yako hapa ulimwenguni