“MAKONDA AMETUMA MESEJI SIKUJIBU” LISSU ASIMULIA MARA YA KWANZA KUKUTANA NA MAKONDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 244

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 3 месяца назад +7

    Lisu una roho nzuri sana mdogo wangu Mungu wa mbinguni aendelee kukulinda

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 месяца назад +2

    Akimaliza mama samia , 2030ni MAKONDAA

  • @rainesmulokozi543
    @rainesmulokozi543 3 месяца назад +7

    Makonda muache bwana yule ni king ajaye

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 3 месяца назад +2

    Mzee lisu usijali mungu,,nimkubwa,,, jua mapito nimagumu lakini jua wakati ulio nao mungu nimwanzo mpya umri ni gharama sana piga atua nyingine, kulia lazima uwe na maumivu,,achana nayo chamsingi maisha naamini utafika mbali namaisha Yako nimarefu ,

  • @LusiaThom
    @LusiaThom 2 месяца назад +1

    Makonda usimjibu lisu Wacha mungu ashu gulike nae uyu baba kunakutu anataka

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 3 месяца назад

    Respect sana mbowe🎉🎉

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 3 месяца назад +18

    Kila anaefanya mazr kwako mbaya ww mjinga t ukipewa nchi utattesa huna lolote ww kuluka kwamahalage niishra yakuiva boya

    • @gabrielmchau8764
      @gabrielmchau8764 3 месяца назад +2

      Kwaiyo unamfunga mtu kinywa na angali wana uhuru wa kusema, muache mtu aseme aonalo maana sisi wote hatuujui ukweli

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 месяца назад +1

      We shoga ww ao uliowapa nchii mbona Wana uwa watu kumawee

    • @paullameck-r5j
      @paullameck-r5j 3 месяца назад

      Msenge sana ww hujielewi

    • @georgemtewele7656
      @georgemtewele7656 3 месяца назад

      Comment below

  • @Anordgration
    @Anordgration 3 месяца назад +8

    Kiukweli huyu jamaa ni mshamba sana tena sana ....!!! Ivi mtu mwenye ugonvi nawe anakusalimiaje....!!! Mshamba sana😮😮😮

  • @DanielNdabila-h7l
    @DanielNdabila-h7l 3 месяца назад +1

    Nakukubal Sana mwamba wangu lisu

  • @Robbymabangoprinting
    @Robbymabangoprinting 3 месяца назад

    Kwalisasi 35 ulipaswa uokoke tu ili uwe ushuhuda Kwa Bwana maana bila Mkono wa Mungu usinge kuwepo achana na mambo ya siasa🤝🏻🤝🏻

  • @LadislausOdilo
    @LadislausOdilo 3 месяца назад +30

    Watu wanaotamani lisu asiwepo ni watu wanaomsapoti samia ikiwa na waana kwamba mnamuona lisu kama kikwazo kwa samia ambapo thi is very true kwamba wakikaa pamoja uchaguzi ukafanyika kati ya lisu na samia ukawa wa haki its very sure kwamba samia hamuwezi lisu ila basi tu kwakuwa mmeshikilia mpini makali ni kwa upinzani ila yana mwisho

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 3 месяца назад +4

      Lissu ana Nini Kweli umefeli😊😊

    • @ZenaUsangi
      @ZenaUsangi 3 месяца назад +4

      IWE ISIWE SAMIA NDIO RAIC WAKO. VYAMA VINGINE NIVYAKINAFIKI

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 3 месяца назад +1

      LadislausOdilo...Chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉...mijitu iko kweny usingiz mzito sn kuamka c leo.

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 3 месяца назад +1

      @@ZenaUsangi mwambie Kuku jike huyo🤣🤣

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 3 месяца назад

      Siyo kwamba Lisu ni mbaya hapana ila kwa sasa anaviashilia vya kuleta ukoloni tena inchini hatukatai mama anapuyanga lakin kwa hili sakata la Juzi mama amejitahidi kuwa himara tusikubali kuleta wazungu hapa watatuharibia tena hao wazungu siyo watu wazuri na mama aache kukopakopa kunatuharibia tuna madini fukuza hao wawekezaji tuchimbe wenyewe et tunalipwa 5% hatujuwi yamezalishwa asilimia ngapi wameuza bei gani wapi lini na thamani gani sisi tupo tu alafu tunaenda kukopakopa na madini tele tunayo gas na vingine vingi

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 3 месяца назад +5

    Peleka ushahidi polisi mzeee mitandaoni haisaidii watu wanakuchoka na habari moja kila siku unataka huruma Za watanzania hovyoo 😅😅

    • @ErastoNzibonera
      @ErastoNzibonera 3 месяца назад

      Wewe mknd Nini apeleke police ipi uku ndo kwenyewe kama wewe unasoma ujui nguvu ya speech Baki na darasa la Saba lako km wewe

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 3 месяца назад

      @@ErastoNzibonera mkundu Mimi babako mzazi wewe 🤣

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂nimekuelewa mueshimiwa uposawa nikusamehetu

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 3 месяца назад

    Nikikumbuka mama mtu mwema sana nashindwa kuamini km huyu kigeugeu mzima😮

  • @emanuelwattai5777
    @emanuelwattai5777 3 месяца назад +7

    Kiukweli lisu simkubali kabisa hana point

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 3 месяца назад +2

    We mnafiki ndiyo maaana wamekupa kilema😂😂

    • @EsterNdalu
      @EsterNdalu 2 месяца назад

      Hayajakukuta yakikukuta ndo utaelewa kilema mtu anajitakia ama imetokea tu

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 2 месяца назад

      @@EsterNdalu yaataanza kwaako Kuku jike we

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 3 месяца назад +1

    Mara magufuri Mara makonda kwanza unavyomtaja magu ningekuwa jirani ningekupiga kibao ushindwe kunieleza hapoi😢

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 3 месяца назад +3

    Wewe senge kweli

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 месяца назад +3

    Yaani nyie mtapiga kelele sana lkn Mama ataingia 2025

    • @FadhilyOthman
      @FadhilyOthman 3 месяца назад

      Msenge ww

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 месяца назад

      MashaAllah muislamu unatukana ntakudai yaumulqiama

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 3 месяца назад +4

    Haujakoma kumtukana kaka wa taifa

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 3 месяца назад +5

    Mpuuz ww unazan kuna nan kama makonda

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 3 месяца назад +1

    Kampuni haina tatizo ila mfanyakazi alie husika kwenye kampuni ndio mwenye shida,,kwaio angalia unapotoa angalizo kua wanaotumia tigo hawapo salama ,kwani kabla ya tukio nabaada ya tikio kunarifa yoyote mbaya ilio lipotiwa kuhusu tigo ,kama niswala lakiuchnguzi acha kwanza kutoa tuhuma za moja kwamoja ,maana angalizo nimhimu ,kwajili ya faida yakesho

  • @RoseJoseph-z6y
    @RoseJoseph-z6y 3 месяца назад +4

    Muache makonda wetu unapoongelea mwenzako jitathimini kwanza, makonda ni magufuli wa pili

  • @AlfajuriusDickisons
    @AlfajuriusDickisons 3 месяца назад +2

    Mbona ana jichekesha huyu jamaa kuna usalama kwel

  • @BilatataDamas
    @BilatataDamas 3 месяца назад

    Ndoo haohao Tanzania nchi yangu

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 3 месяца назад +9

    ACHANA NA MAKONDO KWA CHUKI ZAKO JE ANGEKUWA MWANAO UNGEONGEA HAYA?SEMA SERA ZA CHAMA CHAKO YALOPITA ACHANA NAYO.KUTWA MAKONDA,MAKONDA UNAMPENDA AU UNATAKA NN?UNAKISAC INAONYESHA.

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 3 месяца назад +1

      Mwenye chuki na mtu ni yupi kati ya anayetaka kukuua na anayekusema baada ya kunusuruka kifo alichosababisha muuaji?
      Acheni usenge basi

    • @BarakaWiliam-hx9nk
      @BarakaWiliam-hx9nk 3 месяца назад +1

      Wewe Zena kuma kweli

  • @renatusjeremiah
    @renatusjeremiah 3 месяца назад +5

    Nimechoma mb zangu bure kabisa

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 3 месяца назад

      Ulijua kuna mboo sio kwendraa shoga la kisumuma

    • @renatusjeremiah
      @renatusjeremiah 3 месяца назад

      @@MmohamediSaidimama yako kanichosha namtaka mkeo au Dada ako kafiri ww

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 3 месяца назад

    Tatizo la Lissu anashirikiana sana na wazungu. Tunahitaji mzalendo kama makonda

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 3 месяца назад

    Tushindane Kwa hoja sio utafute huruma za watanzania to fulfil your needs

  • @patisondidas6720
    @patisondidas6720 3 месяца назад +2

    Yani me ili silipendagi bas tu na ongea yak kam litoto dah sizan at unawez kuwa rais wew

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 месяца назад +1

    Yaani we lizee na kuchukia sijui kwanini hujafa, tungekua na Amani isyo na mashaka

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 3 месяца назад +7

    Kubwajinga

  • @tester-kf5re
    @tester-kf5re 3 месяца назад +1

    kilichokufanya uchukue pesa za wazungu kitakutokea puani, wanakuendesha kama roboti. bora utangaze kuchangisha uwarudishie pesa zao.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 3 месяца назад +4

    USITAKE UPATE HURUMA KUTOKA KWA WATANZANIA
    ILI TUKUCHANGIE
    TUMESTUKA HUPATI KITU HAPA
    KILA SIKU HABARI NI HIYO HIYO TU
    LETE HABARI NYINGINE

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg 3 месяца назад +5

    Hawa jamaa hawapiganii haki , ukiwaangalia kwa makini utawajua vizuri, hawa ni vibaraka wa mabeberu wasiopenda Uhuru wa MTU mweusi. Hawa ni wanafki

  • @Festoffesto87
    @Festoffesto87 3 месяца назад

    Usimfikirie vibaya inawezekana hata si yeye binafsi namkubali sana napenda hata siku moja aje kuwa rais wa Tanzania 🇹🇿

    • @hkaniugu
      @hkaniugu Месяц назад

      Makonda ata hausiki

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 3 месяца назад +1

    Lisu unacheka kumbe naumivu

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 3 месяца назад +1

    KICHWA CHA HABARI...ni ....MARA YA MWISHO...uandishi wa kikanjanja

  • @RockyPeter-w4d
    @RockyPeter-w4d 3 месяца назад

    Hawa watazeeka bila kuwa viongozi wa hii nchi

  • @laurentndichaye1445
    @laurentndichaye1445 3 месяца назад

    Makonda ni jiwe Achana naye unapoteza muda kumjadili .

  • @MalongoRichard-md5dv
    @MalongoRichard-md5dv 3 месяца назад

    Si kwamba nacomment kishabiki lakiniii lissu hana hoja,,

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 месяца назад +1

    Hata wewe ulikua muuza madawa kumbe loo😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 месяца назад

    Lissu wewe ni mwanume suruali tu.Umbea.Hiyo ndiyo sera yako msenge😮😮

  • @JulyBaynet
    @JulyBaynet 3 месяца назад +3

    Ebu futa kwanza mdomo alafu uendelee kuongea

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 3 месяца назад

    😂😂😂😂 chadema akili zao kunavirusi 😅haya ndio maneno ya maendeleo kweli alfu kuna watu wamekuelewa wote nyie mna maradhi

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 месяца назад +1

    Baada ya maandamano kufeli sasa

  • @nancymcgill5059
    @nancymcgill5059 3 месяца назад +2

    Wewe mzee lisu kweli wewe una uhakika gani kwamba makonda alihusika na wewe kupigwa risasi?? Ukweli ni kwamba wewe unasikiluza manene ya wajinga wenzako kwani wewe una mdomo mkubwa na pia kibaraka mkubwa wa wazungu wacha ujinga na pia wacha kutishia watu na serikali eti ndege za tanzania zikienda london zitakamatwa 😂😂😂 Mavi mbwa wewe get a life no body with the right mind would support your crazy idea. You are just jealous of Mr. Makonda because he doesn't entertain your foolishness thoughts. Dude you are even lucky you are walking you need to thank GOD you are alive. Stop hates be nice you oldie.

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 3 месяца назад +1

    Makonda ni katili ane tumia kivuli cha kujifanya mtu wa mungu kujifunika ila ujambazi wake tunaujua alivamia clouds media na mambo mengi ya kikatili alifanya huyo mtu

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 10 дней назад

    Mzee focus kutuambia utaisaidia nn nchi ukipata nafasi acha kupoteza muda kuzungumzia watu haitokusaidia kitu utaishia kupiga majungu wenzio wanasonga mbele

  • @KesuYeile
    @KesuYeile 3 месяца назад

    Mtutu yoyote anaye mtetea makonda hana akili hata kidogo nasiku ya makonda kuazibiwa itafika TU hata kama sio leo

  • @suzanejacobo6910
    @suzanejacobo6910 3 месяца назад

    Haunaga Cha kuongea, kila wakati unamsema Makonda.

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 3 месяца назад +1

    Kwahiyo makonda kumbe sasaiv anajikomba kwetu tu Ili tumtetee duu yani anatafuta huruma yetu wanannch

  • @mangobase
    @mangobase Месяц назад

    Hivi wewe ni mwanasheria gani unalalamika sana wakati unaweza mshitaki.. Yaani mpaka unaboa😢

  • @Gyver8636
    @Gyver8636 3 месяца назад +9

    Magudira na makonda hawawez yeye apige kelele tu
    Kwanza na support ushoga na wakili wake fatma karume

  • @gastonpeter4265
    @gastonpeter4265 2 месяца назад

    Mnafki wa Taifa😏

  • @SaimoAbusei
    @SaimoAbusei 3 месяца назад

    Fatuma alina sera.

  • @renatusrutashobya639
    @renatusrutashobya639 3 месяца назад +12

    Uwezi shindana nakweli makonda nikiongozi nzuri sana. Bibilia inasema mti nzuri utautambuwa kwa matunda yake uwezi mlinganisha makonda na wewe ktk swala la kuwatumikia watanzania nawewe wewe nimepiga kelele , Tanzania inakatiba yake atuwendeshwi na wamagaribi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад +1

      Acha uchawa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад +1

      Ww ni mjinga kabisa.Hakuna mwanasiasa bora hapa Tanzania kama Tundu Lissu.Lissu kaisaidia nchi kwa mambo mengi.Huyo makonda wako kaisaidia nini nchi sana sana anachangia kuiangamiza nchi kwa kuunga mkono katiba ya zamani inaifisidi nchi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад +2

      Tundu Lissu angekuwa rais nchi ingekuwa na mifumo bora sana na imara na inayotenda haki.Mmepewa elimu mbovu inayowafanya muendelee kuwa wajinga na mbinguni hamuendi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад

      Makonda ni kiongozi mzuri kwa wajinga kama ww usiojitambua.Zuma pamoja na kuwa kiongozi mzuri lakini alishtakiwa na kugungwa gerezani.Tutengeneze mifumo imara itakayowajibisha viongozi wetu wanapofanya makosa.Magufuli alijiona Mungu mtu kwa kuumiza,kutesa na kuua wengine leo hii yeye yuko wapi ,kakutana na ghadhabu ya Mungu.Yeye kachukua nchi baada ya kushirikiana na vyama vya upinzani kujenga na kutengeneza nchi yenye mifumo bora na imara na yenye uwajibikaji na yenye kutenda Haki yeye akavunja katiba na sheria za nchi kwa kuiba na kupora uchaguzi kitu ambacho ni uhaini.Kafa kaacha nchi imebaki vile vile na mifumo mibovu na dhaifu inayowafanya mafisadi,wabadhirifu na wala rushwa kuendelea kuitafuna nchi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад

      Kufungwa ,badala

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 3 месяца назад +2

    We tundulisu mlopokaji tu..kila mtu kwako mbaya mwehu wewe.

  • @torresally1913
    @torresally1913 3 месяца назад

    Nyie haja yenu nchi muitie kwenye machfuko ila hii nchi nyie hampewi kabic yani

  • @rehemarehemanassoro973
    @rehemarehemanassoro973 3 месяца назад +1

    Wachache sn tunaemwelewa huyu mtu.

  • @LangaelPhilemon
    @LangaelPhilemon 2 месяца назад

    Uyu mtu saiv ata simuelewi saiv ana point kabsa ya kusaidia watanzania

  • @allyhassan6794
    @allyhassan6794 3 месяца назад +1

    Hiiii jinga hata sielew me nasikia tu Eeeee Eeeeee ndo nn? Hata haeleweki anacheka nn mbwa yeye

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 3 месяца назад

    Kwa ujinga huu hamtakuja kupata dora kila siku unyumbu tu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 месяца назад

    Mbwatukaji tumekuchokaaaaa

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 месяца назад +4

    Apo ulipoingia kwa makonda ni pabaya achana na makonda ulikuwa kibaraka wa mabeberu wewe

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 3 месяца назад

      Hata Sasa bado nikibaraka

    • @Hasnamkame
      @Hasnamkame Месяц назад

      Nyie hayo ya kibaraka hayawahusu Lisu anapigania haki yake

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 Месяц назад

    Yaani sasa hiyo ndio Sera yako saa zoote Makonda Makonda baadhi tumechoka lete Sera jamani haikusaidii

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 3 месяца назад

    Nyinyi ote mnasema makonda awezii mchafua mbwaa na amujii tambui makonda angekua m2 wa maana asinge tolewa madalakani na magufulii sasa subilieni anavyoo enda jela wingeleza uko maboya nyiiii

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 месяца назад +10

    Lisu huo ndiyo ubinadamu kisasi hakisaidii kitu. Makonda ni mtu moja mzuri tu wala yeye hawezi kukurupuka aje akupige risasi hivi hivi lazma utakuwa na mtu nyuma yako. Kikubwa kusameheana tu

    • @wigilyacncheyojr461
      @wigilyacncheyojr461 3 месяца назад +3

      kwan kwa luge mtahaba we hukujua kama makonda alifanya umafia umesahau

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 месяца назад

      @@wigilyacncheyojr461 mimi sijui

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 3 месяца назад

      Ovyooo sn

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 3 месяца назад +1

      Acha ujinga hiv jiweke wewe ni lisu unywe icho kikombe chake mtu alikua mzima leo ni kilema wa maisha mungu tu ndo aliyemnusulu kama tuuma anazotoa ni za kweli waliouska malipo hapa hapa

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 месяца назад +1

      @@JohnsonBagambi ww mwenyewe mjinga

  • @MalongoRichard-md5dv
    @MalongoRichard-md5dv 3 месяца назад

    We ukija kuwa raisi naweza tamani nihame nchi

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy 3 месяца назад +6

    Da! wameamua kumtumia
    Nae amekubali kutumika
    Sijui kalipwa bei gani! Magufuri makonda mara niliona vijana wawili! Siasa bwana?

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj 3 месяца назад

    Mbona dar wanampenda makonda wao mimi unaamini ni chuki ndiyo unaendeleza kuichafua ccm

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 2 месяца назад

    Makonda inajulikana wazi ni mwiba kwa wapinzani hivyo ni lazima wawe na hofu naye kisiasa !

  • @SalumSuleiman-z3b
    @SalumSuleiman-z3b 2 месяца назад

    Hata wewe ukipewa serikali huna utakachokifanya hayo ni maneno tu muache mama yetu aongoze nchi na wtendaji wake

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 месяца назад

    Kumbe unapanda ndege wakati ss hata mlo wa siku ni shida

  • @shikuhata
    @shikuhata 3 месяца назад

    Makonda atasumbua sana vichwa vya wapinzani maana anapiga mule mule

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Месяц назад

    Nampenda lisu jamani ila makonda pia simchukii ila mtu hata afanye wema kiasi gani jwa watu kama alikuumiza utajua tu ni mnafiki pia huwezi kusaidia watu pia ukaumiza watu wewe huyohuyo

  • @janethferous
    @janethferous 3 месяца назад

    Unamuogopa maana unajua uwezo wake

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 3 месяца назад

    Kila mzuri kwako ni mbaya mzr kwako ni yupi?

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 2 месяца назад

    Na kuhusu uraisi ilo sahau babu, cause hauna fact hata kidongo

  • @YohanaMussa-y5h
    @YohanaMussa-y5h 3 месяца назад

    Anayosema Lissu ni ukweli mtupu kabisa ninyi tulieni tuu.Pameanza kuchangamka sasa!

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 месяца назад +17

    Naww kwa Nini ulikua unashilikiana Na mabebelu wanaiba madini yetu halafu unajifanya mwema hata kama mimi Ningekua rais sijui kingetokea Nini

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад +4

      Je Hawa ccm wanaoiba tuwaiteje?

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 3 месяца назад +3

      Na huwezi kuwa raisi ndezi kama wewe

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 3 месяца назад

      Lisu sio mwema kwa taifa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад +1

      @@alphoncewilliam4325 kwahiyo wewe unaona wasiojulikana ndo wema kwataifa?

    • @richardsawe7875
      @richardsawe7875 3 месяца назад

      ​@@alphoncewilliam4325 wew mwenyew siyo mwem

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 3 месяца назад +2

    Makonda kajivalisha ngozi ya kondoo anajua kucheza na akili za watu kumbukeni nyie mnao msifia mnakumbula dar alivyowaliza wahindi wale matajiri, na alivyorudisha na Samia mnajua kaharibu nini? Dar mpaka kapelekwa arusha ? Alikuwa kaingilia nyumba na sehemu za Mali za watu Sasa watu wakampigia aliyemtuwa vipi? Jamaal mbona atufanyia hivi na sisi ndio wawekezaji mama akaamua amtoe dar

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 месяца назад

      Inaweza kuwa kweli ila hata hao Wahindi nao wapo kibao wenye ngozi za kondoo kumbe wanatuibia tu, Yani kifupi dunia imechafukwa. P Diddy ni mfano tosha wa rangi mbili 😢

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад

      @@TM.SullusiNA MAPALOKO 😢😢😢😢😢

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 месяца назад

      @@OmmyJames-xn7ji Nikisema watu ujue hata hao sijui mapaloko , mashehe ,sijui waganga, wachungaji etc. Takwimu zipo, matukio yapo, baadhi yao ni ngoz za kondoo.

    • @nsusabudda2951
      @nsusabudda2951 3 месяца назад

      Pole sana.... bado ujawajua wana siasa....

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 2 месяца назад

    Anakosea kusema mshenzi

  • @salcle9702
    @salcle9702 3 месяца назад +1

    Hata jambazi likizeeka linatubu na kuwa mtu mwema ila asili haipotei.wote tunapita pambanieni ugali wa watoto zenu

  • @Ahmed-w4b1v
    @Ahmed-w4b1v 3 месяца назад +1

    😅😅😅😅 hebu like apa kwawanaocheka na mlinzi

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 3 месяца назад

    Aisee Kuna mijitu ya hovyo Sasa hapo Kuna ubaya gan

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 3 месяца назад

    Yani Lisu hana hekima hata kidogo maana anashulika na penye hamna sasa hiyo ndo sera ambayo unatarajia uwe Rais Halafu unamwita mtu muuaji Wewe ni Mahakama? au unaleta tuhuma Mwanasheria asiuejitambua kabisa huyu

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 3 месяца назад +2

    Wewe,wewe,wewe,wewe,fungal mdomo nishakushtukia mwehu wewe

  • @thamani5842
    @thamani5842 3 месяца назад +5

    Huyu nae

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 3 месяца назад

    K puuzi holiday roporopo

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 месяца назад

    Mnao mtetetea makonda mnamjua vizuri?

  • @DALALIKINYOZI
    @DALALIKINYOZI 3 месяца назад

    Anataft huruma ya watz coz huwez simulia Kila siku Hadith ile ile SI kuvuruga akil za watu wamuamini anaonekana bad ana kisasi ukimpa nchi huyu ataua watu huyu badala ya kuweka maslahi ya watz analeta Hadith za hak na ukwa

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 месяца назад

    Shida sio ccm shida n mgonbea, ccm wapo watu wamaana kabx kama ndugai ,mpina wasimeme 2025 ,Samia hamna kitu na chadema nayo hamna kitu la siivyp ccm ingingangania Samia awe mgombea 2025 kishinda hatashida kama kawaida ya michezo yao ila watambue tu wananchi hatumtaki hata kumsikia huyo bibi😢

  • @user-xk3xg8yr7c
    @user-xk3xg8yr7c 3 месяца назад +2

    Wa kwanza

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 3 месяца назад +2

    Hivi hamshtuki tundulisu kila mtu ni mbaya kwake .dah wewe.tundulisu nakuambia jirekebishe hyo mdomo huo.mdomo huo.

    • @Hasnamkame
      @Hasnamkame Месяц назад

      Muacheni tundulisu kila mtu anahaki ya ya kuongea amna anaejua ukweli ulivyo

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 месяца назад

    Kuusu makonda uo ni upuuzi akili yako ya kuchafua watu na wazungu wako tunaijua

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад

    Ukweli mpaka nyumba+magari ,walinyaga'nywa,awamu y Tano,na ndoo wanaisifu mpaka leo, Asante,kw hilo, Lissu njaghamba,itriuoghofaaa,toboa,toboa,waz wazi,ohh awm y 5 haya majumba,y wt+ma gari y chukuliwa tukisema kweli oh uchochez,,

  • @jacksonmwalimu5181
    @jacksonmwalimu5181 3 месяца назад +11

    Huyu jamaa n jeur sijawah ona😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад +3

      Lisu ni mpole na mstaarabu sana kama unamjua vizuri na hanamajivuno.Ila ni strong person

  • @kcrktv8255
    @kcrktv8255 3 месяца назад

    Alikua wap mda wotee

  • @EliasiSabuni
    @EliasiSabuni 3 месяца назад

    Tundu unagusa watu ambao siyo saiz yako ,, kalale tu