Nakuona uko tofauti na sera ya chombo unachofanyia kazi hongera, kuwa makini na kina kitenge na genge lake watakufitini kwa ajili ya kuisemea mema simba.
@@Mpapaidigitalhakuna uchambuzi wanachofanya nikwenda na move ka unaakili timamu Hawa jamaa huwezi waelewa na wanatumia hizi fursa za vijiwe hivi kupitisha na yao Hawa kila baada ya mechi Kuna maoni mapya

🤣🤣🤣
We mshamba
Umekaa kinafki sana😅
Itakuwa hakulipwa posho ya kuiponda Simba
Ukovizuli sana kiuchambuzi❤
Hakika Oscar upo vzr kiuchambuzi wa soka
Nakubari sana brother
❤❤😊
Usanii tu huna uchambuzi wa mpira
😂😂😂 wachambuzi wakiongeaga fact ya ukweli mnawakosoa
@@Mpapaidigitalhakuna uchambuzi wanachofanya nikwenda na move ka unaakili timamu Hawa jamaa huwezi waelewa na wanatumia hizi fursa za vijiwe hivi kupitisha na yao Hawa kila baada ya mechi Kuna maoni mapya
@@FahadAbubakari-y3f sawa