AMBANGILE AMSIFIA AHOUA KWA UBORA WAKE : NI MZURI WA KUTAMBUA NAFASI ZILIZO WAZI / NI UWEZO BINAFSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 20

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 дня назад +2

    AMBANGILE YOU'RE VERY LIGHT

  • @Bilifilmz
    @Bilifilmz 5 дней назад +3

    Namhurumie yule midevu wa anaumia sana

  • @alimkama9504
    @alimkama9504 5 дней назад +4

    Ambangile you deserve my brother wewe ndio mchambuzi ulioamua kuuweka ushabiki kando na kusimamia kwenye weledi sio hao wengine oooh simba ana asilimia 4 tu ya kuchukua ubingwa as if alishaona mpaka mechi ambazo hazijachezwa

    • @MshamSaid-ot6bc
      @MshamSaid-ot6bc 4 дня назад

      Kuna uyo bwege midevu muangalie anataman akimbie studio 🎙️

  • @RichardCharles-w9k
    @RichardCharles-w9k 5 дней назад +2

    ⚽⚽⚽ exactly

  • @melkiadgangai5271
    @melkiadgangai5271 3 дня назад

    George Ambangile. Kutaja tu jina imetosha

  • @nengaboy-q8v
    @nengaboy-q8v 5 дней назад +1

    Kaka sio bahazi ya mashabiki tu mpaka bahazi ya wachambuzi wa mchongo

  • @lilsmo255
    @lilsmo255 3 дня назад

    Hakuna shabiki wa simba mwenye akili timamu ataacha kumkubali mchezaji kama Ahoua MVP

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 5 дней назад +2

    ❤❤❤❤

  • @geofreywessty5760
    @geofreywessty5760 5 дней назад +1

    huyu ndo mchambuzi pekeee tanzania wengine wote waende shuleeee

  • @JacksonJoram-k3g
    @JacksonJoram-k3g 4 дня назад

    Wewe ndo unaujua

  • @mkamimtatiro3449
    @mkamimtatiro3449 4 дня назад

    Sema wachambizi sio mashabiki

  • @NestorKivamba
    @NestorKivamba 5 дней назад +1

    Haelewek huyo

  • @AmanMarco
    @AmanMarco 5 дней назад +1

    Pamaja sana

  • @DinaNkone
    @DinaNkone 4 дня назад

    Ona uyo mwarabu wa pembeni anVyoumia simpendag mm uyo

  • @JaphariOmary
    @JaphariOmary 3 дня назад

    Kaka ambangile wewe unajua waambie wachambulizi wezako waache ushabiki wachambue mpiraa pokea maua yako

  • @MathiasDudu-p5p
    @MathiasDudu-p5p 5 дней назад

    Wachambz wakbongo hAwaju mpl

    • @WillbardMaige
      @WillbardMaige 5 дней назад +1

      Kachambue weww

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 5 дней назад

      Wewe ndo hujui mpila😅😅

    • @dancingclips8207
      @dancingclips8207 5 дней назад

      Ndio maana wasafi wameamua kukuajiri wewe na wanakulipa mshahara mkubwa kuliko mchambuzi yeyote Tanzania badala ya Ambangile