Diamond platnumz is very humble down to earth person, he has made so many people achieve their dreams under his label group.. jameni we love you so much here in DR. Congo 🇨🇩 🇹🇿
Pesa sio tatizo jiulize maisha unayoishi he Allah anarizia kwani duniani ni starehe ya muda mfupi tu binaadam tusidanganyike na pesa kwa pesa haileti furaha ya kuendelea tujitahidi kumwabudu Allah mkapa alijikombea mpaka migodi yupo wapi saivi amani ya kweli ni kumjua Allah tu basi
@@januarymagai5508 Mimi Sina rohombaya na kitu cha mtu roho yangu alhamdullilah nashukuru Allah alichonijaalia soma uzuri iyo comment halafu ndo ujaji mm sikumtaja mtu Kwa ubaya nilitoa mfano Kwa mkapa tu Ili iwe kigezo Kwa mtu alokua Hana ufahamu Kama ww
Wewe ni role model wa watu wengi bro! We songa mbele sisi mashabiki wako wa ndani tunakuombea kwa mwenyezi mungu akukuze kiakili na ki roho safi .from Canada 🇨🇦 ❤️❤️🇨🇦
Simba wekeza na kwny mashule bas watoto wetu wasome Wasafi pre, primary & secondary school. Ikiwezekana wekeza na kwenye mabas tuwe tunapanda Wasafi Luxury kwenda mikoani. Hi itafungua fursa nying za ajira kw wasomi waliopo mtaani
Hongera kaka diamondi nakukubali sanaaa hakika Mungu akupe Afya na uzima na umr mrefu siku moja nionane nawewe Eee Mungu Mtunze huyu msanii wetu muepushe na roho za umauti bado tuna mpendaa siku moja nisimame nawewe nikiwa naongea tuu nawewe kwani una roho ya pekeako babaaa nina kuelewa boss nakukubali sanaaa
Dah, hongera Sana diamond, mekuskiliza kwa makini mno inshallah namimi nimepata muamko kwenye biashara yangu ikosiku ntafika mbalii, Simba unabidii Sana ❤️❤️
Uko vizuri.nizidi kukuombea dua uzidi kupata ila usimsahau sana mingu mana ni yeye akupaye na akiamua kuvichukua huvhukua muhimu jitahidi kumkumbuka amayekuruzuku kwa vile siujanja wako na haya tunayapita tu huku tuendako pia tuwe tumeekeza inshallah kukukmbushana muhimu
Big up simba keep on investment go ahead my brother I appreciate your your work you are the fate of Tanzanian never seen before let God bless you keep on flying our flag %%%%%%%%%%
Kila sekunde 1 ikilia kwa unaingiza 6000 achana na huyo aliezidi ubonge kila sekunde anaingiza chuki. Big up sana kaka mungu yuko pamoja na wewe na tunakuombea
kaka iyo ni kiburi ya pesa!naeshimu kazi zako ila iyo sio sawa uswahili huwo punguza broo..acha kazi yako itangaze sabu pombe wengine wanakunywa na wew una drugs zako no one is perfect but courage mi si mu tz ila nakufuatiliya sana..peace
million 200 na Rais wa Tanzania alibwa pesa ngapi huko kwenu hakuna mtu anaweza kulibwa hizo pesa kwa siku na president atalibwa pesa ngapi😳congratulations to him👏🏾❤️
Huyo harmo amzidi kipato mond🤣🤣🤣🤣 broo itakua umelala unaota inapofika kwenye swala la pesa harmo hata afanye nn awezi kufikia alipo mond labda cjui kwa maisha yajayo akaze sana
Ushauri Jaribu kutembelea vijijini Uwasaidie wanyonge kuna watu hawaingiz hata miambili kwasiku nachakula kwao nishida Ukifanya hivo mungu atakupenda zaidi
Diamond platnumz is very humble down to earth person, he has made so many people achieve their dreams under his label group.. jameni we love you so much here in DR. Congo 🇨🇩 🇹🇿
Big Up Kaka Mond, maisha marefu bro Bwana YESU KRISTO akuzidishiye hekima na busara, iyo ndio maombi yangu kwako.
Nipo Baraka-Fizi DRC.🥰🥰🥰⛏️
DIAMOND PLATNUMZ FOR LIFE 🦁
Diamond Jitihada zako ni kusaidia vijana Respect for you 🙏🙏🙏🙏
Huyu sio msanii nimfanya biashara kuna utofauti yake na wasani wengine 🔥🔥😘😍simba
h
Kweli
Wasanii wengi wafanya biashara we chunguza hadi huko USA msanii ukitegemea show lzm uwe wa kawaida tu
Freemason
@@faisalissac9507 kajiunge na wew kama utaki kufanya kazi
Napenda sana anayejivunia Kwa jasho lake, He is a good mentor,,,
My mentor. Love you Sana Diamond Platnumz 🔥
Pesa sio tatizo jiulize maisha unayoishi he Allah anarizia kwani duniani ni starehe ya muda mfupi tu binaadam tusidanganyike na pesa kwa pesa haileti furaha ya kuendelea tujitahidi kumwabudu Allah mkapa alijikombea mpaka migodi yupo wapi saivi amani ya kweli ni kumjua Allah tu basi
Kabisa kaka
Wewe unaishi maisha yanayompendeza mungu usimnyooshee kidole mtuu mungu apendi ilo
Mwehuuu wewe roho mbaya imekujaa
@@januarymagai5508 Mimi Sina rohombaya na kitu cha mtu roho yangu alhamdullilah nashukuru Allah alichonijaalia soma uzuri iyo comment halafu ndo ujaji mm sikumtaja mtu Kwa ubaya nilitoa mfano Kwa mkapa tu Ili iwe kigezo Kwa mtu alokua Hana ufahamu Kama ww
Kbsa,akhyy.
Wewe ni role model wa watu wengi bro! We songa mbele sisi mashabiki wako wa ndani tunakuombea kwa mwenyezi mungu akukuze kiakili na ki roho safi .from Canada 🇨🇦 ❤️❤️🇨🇦
Uxhamba uwo haaaaa
Aliyerudia kuiangalia hii interview leo tarehe 24/5/2021 agonge 👍 like
Mm hapa
P
Simba wekeza na kwny mashule bas watoto wetu wasome Wasafi pre, primary & secondary school.
Ikiwezekana wekeza na kwenye mabas tuwe tunapanda Wasafi Luxury kwenda mikoani. Hi itafungua fursa nying za ajira kw wasomi waliopo mtaani
fact
Hili wazo zuri sana.. Nami natamani kuwa Mwalim wa WASAFI HIGH SCHOOL
Simba wekeza basi ata kwenye academic team ili wachezaji tunufaike kaka
@@shahamtindo hahaha Inshaallah
@@salomeaugustino5811 shule itakula matuzo kama yote..
MAISHA YAPO KATIKA KUWEKEZA SASA UHUYU NDIYE KIJANA ANAYE IPATIA ESHIMA TASNIA....YA MUSIC
Kabisa dai kiboko saaaaana,ndo maana namupenda anaakili saaaaana,watatukana Ila yy anachapa kazi wao wanabakiya kutukana tu ma panya
Mm na mpenda Diamond Ana roho yakusaidia mungu amzidishia anapo toa pazidi mara 100 💯
Nakubali the big artist from Tz
Hongera kaka diamondi nakukubali sanaaa hakika Mungu akupe Afya na uzima na umr mrefu siku moja nionane nawewe Eee Mungu Mtunze huyu msanii wetu muepushe na roho za umauti bado tuna mpendaa siku moja nisimame nawewe nikiwa naongea tuu nawewe kwani una roho ya pekeako babaaa nina kuelewa boss nakukubali sanaaa
Vraiment courage Diamond Platnumz pour les œuvres déjà faites tu est milliardaire africaine 🇨🇩🇨🇩
Dah, hongera Sana diamond, mekuskiliza kwa makini mno inshallah namimi nimepata muamko kwenye biashara yangu ikosiku ntafika mbalii, Simba unabidii Sana ❤️❤️
Aliesikia kila sekunde naingiza elfu sita anipe like
Ametudanganya kwa hiyo HELA haibalansi na anachoingiza kwa mwezi. Inatakiwa iwe zaidi ya MIL 200.
Na ni kwa endorsement pekee
Kwa mantiki hiyo, ninauwezo wa kumuajiri Mondi kwa sekunde kadhaa. Then tukaachana.
Hhhhhhhhhh
Uko vizuri.nizidi kukuombea dua uzidi kupata ila usimsahau sana mingu mana ni yeye akupaye na akiamua kuvichukua huvhukua muhimu jitahidi kumkumbuka amayekuruzuku kwa vile siujanja wako na haya tunayapita tu huku tuendako pia tuwe tumeekeza inshallah kukukmbushana muhimu
Na inabidi hyo biashara ya mziki aiache,na amrejee mola wake wa kwel.
Hatar......... Sanaa'NAFURAHIAGA SANA INTERVIEW ZA CHIBU....... ZINAFUNDISHA SANA ....... DAAAAH!!!!!! ZINAFUNDISHA SANA!!!!!
Zimekufundisha nn??
@@makaboy3203 kama ujinga mbona unaangalia 😂 watu mnateseka hatari ndo ishakuwa hivyo
Ata mimi zimenifundisha kitu uwekezaji uwekezaji
@@salamakombo3257 Sana yaanii hua anaongea point sana
Hayo yote ni ubatili hauna YESU brother pole sana..maisha unayoishi yana mwisho badilika diamond nakuonea huruma sana
Bali arudi kwa Mungu wa Yesu na mitume wote,na hio ndio njia ya sawa,arudi amuabudu ALLAAH ambae ndio mola wa mitume wote.
This Guy is wise man... He is an inspiration. Kudos Simba
He is very lucky vuka border and come across something called KRA otherwise good job hardwork pays greetings from Kenya
KRA MAMBO YOTE
But am I thought there is TRA🙉🙉🤣
You forgot the animal called CRB. hehehe
Keep inspiring the youth my GEE DIAMOND PLATINUMZ
Simba ni One Tu 🦁🦁🦁🦁🦁👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😂😂Chibu one fire 🔥 ebhu nipeni like kama unamkubali diamond👑
Nguma nithelaa mantha mbesa kasee usuvie wìya baadae
Wakamba wapi like
Hishala mungu akupe maisha marefu
Big up simba keep on investment go ahead my brother I appreciate your your work you are the fate of Tanzanian never seen before let God bless you keep on flying our flag %%%%%%%%%%
It's after hard work Broo🔥
Money is a reward after work💪🏽
Naombeni like kama unamkubali simba jmn
Mwamba anapiga kazi sana na kaajili watu kibao maisha yanaenda mwake
Kila sekunde 1 ikilia kwa unaingiza 6000 achana na huyo aliezidi ubonge kila sekunde anaingiza chuki. Big up sana kaka mungu yuko pamoja na wewe na tunakuombea
Wewe huwezi kuchangia bila kutukana watu??
Kweli baba waambie wasanii wana vaa nguo mbili wimbo mmoja
duuuh...hiyo pesa ni nyingi sana.ukichanganya na biashara na shows ata nakosa kuelewa kwa mwezi anapata ngapi
Yaan 😂😂😂🔥😭💔🇹🇿
IB
Acha kujtamba nd man unatkanwa. Mediocre afu mshamb walikuwa sahh kuktngiia
Woow the best artist handsome and very good saund to so much song to afrika I like from indo
""Una simu yangu apo,,,niletee simu yangu"" Duuuh nimeipenda hii kibosi zaidi
😂😂😂😂
Haaaaaa
lukamba akakimbiaaaaaa 😂😂😂
Tunakupenda Chibu....My icon
kaka iyo ni kiburi ya pesa!naeshimu kazi zako ila iyo sio sawa uswahili huwo punguza broo..acha kazi yako itangaze sabu pombe wengine wanakunywa na wew una drugs zako no one is perfect but courage mi si mu tz ila nakufuatiliya sana..peace
Usolijua niusiku wagiza kumbe ana makaz makubwa yakipato nawatu mwasema pesa nijuu ako freemason kwel tujifunze kwawalioshinda akojuu uyu jmaaaa
Hujuwi dunia na watu au siri zilizo fichika tafakar
Na ww jiunge
@@rukacbedbongotztv6439 stupid
Kila sekunde, ukiskia gwee! 😂😂😂
million 200 na Rais wa Tanzania alibwa pesa ngapi huko kwenu hakuna mtu anaweza kulibwa hizo pesa kwa siku na president atalibwa pesa ngapi😳congratulations to him👏🏾❤️
Kajifunze kuandika ndo urudi
Beautiful 🦁🔥🔥🔥🔥🔥
Wew ndio msanii Tanzania wa kwanz yani wwe african mzima nakukubali san brother nakuomb nipe saport hata niimbe na wew
Diamond assist me too🇰🇪
Talk that talk simba we see you
Olá boa tarde Miriam
Noma hiii 🔥🔥🔥🔥
Safi sana Mondi
naamini na naomba Mungu siku moja na mimi niwe kama wewe.
Kwenye psquare 👍👍
Tsh 6,000/sekunde.
Kwa mantiki hiyo, ninauwezo wa kumuajiri Mondi kwa sekunde kadhaa. Then tukaachana.
😂😂😂😂chiz
Duuuuuh, kila sec, jaman 6,000/=
Kaaaaah xa cc tunafanya nn dunian axeeeeh
Sisi ndo maboss wake
Izo unamuingizia ww unaesema shabiki ake😀😀😀
😁😁😁😁
😂😂
Hahah dah ss tupotupo n viumbe ambavyo havieleweki. 😂😂😂😂😂
Dah eti sekunde ngweeeee 💪🏻💪🏻🔥🔥🙏😀😀simbaaaaa wakuache tu broo
Simba akisema amesema😎😎😍😍😍😍
U deserve it bro keep it and big up 👑
Big up bro u ar the best of all time
Pesa hz jamani ztatupeleka pabaya Ogopa Sanaa Umasikini ila kuwa Makini
Good work simba....bt uko n TZ come Kenya ....utajua hujui wajanja wengi tu....Nairobi Kenya.
True you inspire me....... We must invest
That's the results of hard working simba wewe ni tajiri na wote dunia nzima inatambua hilo
Safi sana kama umelipa kodi
Maisha ni ya Mungu ,tujikaze tusikate tamaa nisha elewa kbx.
Simba mungu azidikukujalia uzidi kuwika dunia izizime kwako
Mungu akutunze
You are my best friend broo
Ngapiii davidooo ananunuaaa lakii 5
Much respect appreciate keep it up
Leo ndio nmeamin kwamba kumbe ndio maana baazi ya wasanii wanatafuta bifu kilazima ili wapate kuongerewa na wao ongera sana bro simba
Salute mr boss
Hi bro d0n talk like d0 things u way n thahk God,,,, just saying n be blessed n happy u have 💖💖💖💖🌹💕
Just be blessed n let them talk .. don’t let them know u ways 👋💕🙏
We unaakiri kila mtu analife style yake acha ushamba unataka kila mtu aishiii kama wew unavyota
ALIESKIA DIAMOND KASEMA CORONA IPO TANZANIA NAOMBA LIKE
Nakubal uko vizuri kwa Level iliyofikia ila usiishie hapo Brother " Mtaftaji hachoki " P1 sana ulipotupo
Wacha uitwe Simba....🔥🔥🔥
Davidooo bro is king
Dangote ❤️❤️❤️❤️❤️💪
Simba kama simba kujisifia lazima💥💥
I appreciate you brother
i like you diomond you are my rollmodel
Diamond PLATNUMZ..... KWELI wewe Ni Simba na hakuna atakae kuja kukupindua KATIKA kiwanda Cha mziki
Iyo cli ya mungu kama mungu kamleta uyu anaweza kumleta mwingine pia ata wewe unaweza kuwa kama uyu yamungu mengi
@@mrcaroucyempendaatashikaje4875 Ni kweli lakini ila atakua ametu motivate Sana.......
Nakubali baba lao
Kaka SAMATTA AONI NDAN LEO nimekubal MAANA KUNA WAJINGA UWA NAWAAMBIA KUW SAMATA BADO KWA CLUB ALIYO BADO AWEZ KUMFIKIA BROH diamond platinumz
Bado amfikiii
Kwan nyie si ndo mlikua mnasema SIMBA hamuwezi Kiba. Sasa hivi mmemgeukia SAMATA 🤣🤣🤣🤣🤣
God bless you
Namhurumia huyo kaka isiwe ameuza roho yake ili awe na mali, sifa na mafanikio...dini imeweka wazi, maisha ya dunia ni ya muda tuu.
Shida wewe mshirikina Sana...usiwe namawazo potofu
@@MaldyMaldwex Mimi ni mchamungu na namuamini katika malengo yangu yote maishani...Namtegemea Mungu siku zote...na sitobadili msimamo huo..
Simbaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Oya mzee baba huku usumani wasafia FM niadje chibu
Nakubar xana
Duuh Noma saana brow
Unaweza
Huo ni ushamba diamond platnum punguz sifa mbn akin hamoniz hawajisifu Na wamekuzid kwa kipato washabiki wa kondeboi wek like yk chin
Huyo harmo amzidi kipato mond🤣🤣🤣🤣 broo itakua umelala unaota inapofika kwenye swala la pesa harmo hata afanye nn awezi kufikia alipo mond labda cjui kwa maisha yajayo akaze sana
Wasafi shida yenu mnapenda kuongesea masifuri unakuta unalipwa 10000 Wewe unaogesa siro sako 1000000
Piga kazi kaka. Hakuna namna mkuu
Chibu
I will become like you and more
So brilliant
Ushauri Jaribu kutembelea vijijini
Uwasaidie wanyonge kuna watu hawaingiz hata miambili kwasiku nachakula kwao nishida
Ukifanya hivo mungu atakupenda zaidi
Hard work pays 👍👍
Ukisikia ngweeeeee😂😂😂😂😂👊
Diamond safiiiiiii
Kasim Kadogo tu lakini tunaambiwa 5M na Ushenzi😂, Dunia Bwana
😂😂
😁😁😁
Huo ni Ushamba😊
Big up mondi