Atlast you told my story😂😂hii siku Ni Mungu tu🤣alituokolea hadi leo list hatujawai jua ilienda wapi🤣but hiyo 2500 tulilipa ilikua juu ya destruction of propertiesile wasee wanaiba pia vitu za shule to be short the school iko nyamira 😂
THIS IS ONE OF THE BEST NARRATED...NGAI..WATCHING FROM KIGALI RWANDA,FROM RWANDA MAZEE MZUKAAA STORY!!!Dame wangu wants to know the behind story from 14:50 ....
I guess mwenye alikupea hii story alikuwa Friends High School Bokoli ( Bungoma ) juu we had exact story same year vile umeeleza 😅 wasee waliamua kuingia Our sister school Namawanga Girls 😂😂🎥GO GO GO MKURU 📸
I have been a devoted follower of your story since the beginning of my job in 2018. To watch your RUclips channel during my free time at work, I even purchased headphones. Moreover, I have a fascinating story about my life that I would love to share with you, Mkuru, Things in life always happen for a reason.
Aki Mkurugenzi mimi nakuomba tu tafadhali unisaidie na hio theme song yako ya headline hitters niiweke ringtone. Naipendaaaaa❤❤❤na na mepnda story zako manze. Please.
Hii nayo imenikumbusha my last year in high school me and other 9girls venye tulihepa shule tukaruka fence 1 month to kcse hii story imenibamba imenikumbusha mbali aah fun times bana😅😅😅😅😅
Abeli after yhr the Korean story si uturudishe kwa jeshi.........kuna stoy ya vle wasee wetu kule el ade walifanywa mbaya.......si ucheze kama wewe tutashkuru mazee
😂😂😂lakini kusneak is sweet tabia zingine lazima ufanye tu uskie fity😂😂😂make memories while is school otherwise nje nayo maisha ni strict hubembelezwi😂😂😂
juzi nlijigonga kale kadole ka mguu out of nowhere...then it hit me kumbe sikuwa nimesubscribe..subscibed, created other two accounts subscribed again juu ya chenye nlifeel😁..nice one mkuru😂
Mkuru,,,,,mimi ni fun wako ile mbaya!! Simu yangu ilivunjika screen sijakuwa nkiona video zako for a while. Ebu saidia kutengeneza screen ndio niwache kumiss juice yako!!! Hehee
Bush😆😆, this was class of 2020, I was there Carey Francis Hall, we almost got caught jumping out of the windows running away...the match was actually Man U vs Man City
Itafika kweli aki .....nlianza kufollow mkuru when we were only 4k subscribers sai tuko 558k.....wapi likes zangu
Done nipitie pia please 🙏
Same to me
Skia huyu😂 after ku follow iliandika 998😂
Mimi iliandika 334😂
@carolinemutende7731 tuende wapi 😂😂
Mkuru aki ukikosa kulike hii ,,unafaa kupatwa na siafu usiku Kaa umelala
😂😂😂😂
390 videos. Ukiamua kuwatch video zote za Mkuru bila kufanya kitu ingine,bila ata kulala, utakuwa entertained for 8 and a half days.
i was at the virtue of death i had given up after loosing my mom but since I started watching your stories they gave me hope
Ukiona mkuru mahali just know he got juice 😂😂😂salama kutoka malis 🇸🇴
Kumbe tuko wengi😂
I have been waiting for new video and it feels like so many year's 😢 but finally it's here
Mkuru niaje..story ya gaddafi itakuaje
Mukuru kuna hizi stories zenye ulitupeanga part one... Hii 2024 hope part 2 zinakuja❤
Hatujesahau ile ya undercover in Qatar 😃😃
Bado nangoja undercover in Qatar,,,imekaa forever😂
hii bado aja soma repost
Coming soon!
Am waiting for it also@@Mkurugenziii
@@Felixmesa254 buda😂
@@Kevin_acee uko uku pia wewe 😂😂😂
The ending was everything 😂😂
Banaaaaa😂bro is snitching & not snitching, legend 😂💯
Hapo kwa kuganda miguu kwa choo nayo siezi penda because wueeh!! Wacha nibofye 🤣🤣
Ukiwa shule unatamani freedom, kumbe freedom comes at a cost, watu wa form four waende waulize bei ya curtains 😂😂😂
Atlast you told my story😂😂hii siku Ni Mungu tu🤣alituokolea hadi leo list hatujawai jua ilienda wapi🤣but hiyo 2500 tulilipa ilikua juu ya destruction of propertiesile wasee wanaiba pia vitu za shule to be short the school iko nyamira 😂
😂😂😂😂😂
BIG UP
CHANIA HIGH SCHOOL😀😀😀😀
Enyewe Abel mutua is the best story teller in kenya
Mkurugenzi 17 nko ndani ya marema waiting kwa ubaya mkuru
Mimi Niko naendelea kusaka subscribers I promise before hata October ifike tutakua tumefika 1M wadau🙏🙏🙏💗💗💗
A living legend,❤
THIS IS ONE OF THE BEST NARRATED...NGAI..WATCHING FROM KIGALI RWANDA,FROM RWANDA MAZEE MZUKAAA STORY!!!Dame wangu wants to know the behind story from 14:50 ....
Leta the Korean ferry tragedy next
Yes this is really a sad and awakening story ❤
I can't wait for mkuru to do this
Yeees! I second this
Me to
I support it too hiyo stori ikam teketeke... mkuru fanya mambo
Jyuuce manumetuweka sana tumeingoja sana
Mkuru undercover in Qatar part 2 usisahau manze🔥🔥
Bwana this guy is funny 🤣😁 ujinga amejaza NI kama yangu Tu ....... like father like son
Episodes zako zinangojewa kuliko netflix
Guess what TZ tupo na ka boys group ketu every episode ya mkuruu we sitting together then we focus till the end akuna episode inatupita ❤
Waitiiiiiiiiiiiiiing 😂😂. Ningekuwa na uwezo ningesongesha muda.
I coul make time to travel using the speed of light 😅😂
Aki umewasema wote😂😂😂😂deals za mkamba ni 🔥
Amesema hataki kuwataja😂😂😂😂
Mkurugenzi yaani umemaliza show bila.mm😂oooyaa gatheeee 😅
Mkuu let's do Gaza story.wanateseka ajab.
Yeah, how Israel came to settle where they are and how they were almost brought to Kenya (allegedly).
walahi mkuru ukijua venye naomba usiku na mchana for headline hitters,, just pliz nimeimiss mbaya sana
Mkuru you are the best story teller ever to find. It's so addictive aki.
U doing an mazing job Mkuru,since Tahidi High. We r proud of u as Kenyans wallahi. Tupe story ya Gaddafi aki..
1.Justin Mulwa
2.Eric kipkoech
3.Edward nyangweso
4.Silvanas mutinda
5.Edward Kibagendi
6.Brian mutinda
7.Enos Nyangweso
😂😂😂 Hii list ata nakuwa mtiani zaidi naipelekea princi
The ending gave it all😂
Watu munakeshanga hapa😂 nilidhani Mi ni no 1
Mkuru tunakuaminia but tutafutie kamoja Ka the GAZA clan
Ndio kuingia kiearly bird na mkuruu...mapema ndio best kabla niingie daro😂❤
The way mkuru explains vitisho.... Ni kama amepitia zooote😭😂😂😂✖️
I guess mwenye alikupea hii story alikuwa Friends High School Bokoli ( Bungoma ) juu we had exact story same year vile umeeleza 😅 wasee waliamua kuingia Our sister school Namawanga Girls 😂😂🎥GO GO GO MKURU 📸
Kiulizo tu, mbona shule zenu zote huanza na 'friends school's ?
Me persevering kuskia ukiongelelea my team just for the love of the story nafaa award bana 😂😂achana na Chelsea we mzee
It's the demonstration at the beginning of the video for me.... watu wa subscribe...😂😂❤Baba Mumbus
Ukiona Mkurugenzi mahali just know he's got the juuuuuiceee😂💪❤️
Mkuru kama ni sochoi boys 2019 I was among kuna kitu ilifanyika kama hiyo but ni different kidogo ama mwenye alikuambia hakumalizia
Watching this story after a deadly defeat from Liverpool 😢😢. Anyway nice stoey
🤣🤣🤣🤣
Kidogo ya tano ikuwe kwenye plus 😂😂😂😂. Anyways Chelsea is an advertising company 😂
I like how you employ facial expression, it's a talent bro God bless you
😂😂😂😂😂 ilaa Abel jmniiii🤣🤣🤣🤣eti miguu imefanyaji kwa chooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿one Love aiseee
Imekufa ganzi 😅😅😅😅
@@ritahenry9756 🤣🤣🤣🤣
Mungu Ako na SS watu wa Chelsea even though Cold Palmer aliwekwa Kwa furnace anfield 😭😭😭 woiiiii
I have been a devoted follower of your story since the beginning of my job in 2018. To watch your RUclips channel during my free time at work, I even purchased headphones. Moreover, I have a fascinating story about my life that I would love to share with you, Mkuru, Things in life always happen for a reason.
Please share your story with me at info@mkurugenzi.co.ke
Part ya list kupotea na "you don't know " made the story even better😂
Alaf pia mechi zote 2 kuungua 😂😂
Mkuru leo niko macho
Watching live from Golgotha
Juja tuko locked
Umetuingilia sana watu wa Chelsea 😅😅since nikue na ball my cravings has been watching mkuru 😅😅😅huyu nikama nitamuita mkuru junior 😅😅😅
Aki Mkurugenzi mimi nakuomba tu tafadhali unisaidie na hio theme song yako ya headline hitters niiweke ringtone. Naipendaaaaa❤❤❤na na mepnda story zako manze. Please.
Hii nayo imenikumbusha my last year in high school me and other 9girls venye tulihepa shule tukaruka fence 1 month to kcse hii story imenibamba imenikumbusha mbali aah fun times bana😅😅😅😅😅
tuko ndani kabisaa km uongo ya RUTO..
😂😂 7:24 😂😂😂😂uyu mtu🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
8:00 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂gaddemmit 😮
Nangoja hapa kirinyaga 👍👍
Mkuruu si tafadhaliiiiiiiii,,,,, plzzz tulete stori ya malcom x ,,,shabaz during black revolution 1965
Mkurugenzi nimengoja sana karibu nikuje nairobi ni ulize rada lakini fiti ujani angusha
sijui mbna inasound familiar kwa thoughts
Abeli after yhr the Korean story si uturudishe kwa jeshi.........kuna stoy ya vle wasee wetu kule el ade walifanywa mbaya.......si ucheze kama wewe tutashkuru mazee
Sorry guys for being late to watch this episode I regret I wish I could have been the first one 😂😂❤️❤️more love mkuruu
Mkurugenzi this story ilinikumbusha my highschool life.
Siku moja ntakupigia story ya kuruka fence kuendea choma😂😂😂💯
Na ya kwenda girls skool Iko nereby😅😅😅😅
This proves that good things happen to bad boys.
😂😂😂lakini kusneak is sweet tabia zingine lazima ufanye tu uskie fity😂😂😂make memories while is school otherwise nje nayo maisha ni strict hubembelezwi😂😂😂
Reminds me of my days back in Nyang'oma Boys High School, used to sneak to watch Man United games na hatukuwaishikwa. Better Days, I can relate😅
First time watching live video wapi likes zangu wakurugengenzi 😂
Have just arrived 😂😂😂 ... Leo nimeamka late makosa ni yangu
Mkuru utaleta live Nyeri mwaka gani😭
Just love this guy for free
Na Leo nimecheka especially hapo kwa princi kupoteza list
Can't explain the excitement... seeing mkuru has uploaded another video😊😊😊
juzi nlijigonga kale kadole ka mguu out of nowhere...then it hit me kumbe sikuwa nimesubscribe..subscibed, created other two accounts subscribed again juu ya chenye nlifeel😁..nice one mkuru😂
Ata nimefanya subscription ju pia mi ni mkuru kivyangu🏋️
Principal Kilimrambaaa😂🤌🏾.
This was so personal Mkuru😂💔.
People have to subscribe 😂😂 to avoid the risk😂😂. Finally here comes the story 🎉🎉
Mkuru,,,,,mimi ni fun wako ile mbaya!! Simu yangu ilivunjika screen sijakuwa nkiona video zako for a while. Ebu saidia kutengeneza screen ndio niwache kumiss juice yako!!! Hehee
Ati 56minites ago, na mimi ndio huyu hapa. Ah, Mkuru, tunakushukuru!!!!!
Woooooiiiiiiiiii!nyangweso,Eric na hao wengine mshatajwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mm na bestie locked huku ndani mbaya
Kama Kawa Niko ndani wakurugenzi pamoja mbele#tuned in.
Favourite minosode 2024❤walicrawl kama wasee wa millitary😂😂
Kuna story ile ya ule jamaa alikua anatumika kuleak information za kenya kwa alshabab and we've been waiting for part 2 manze haikuji😢
you want to stand but your body cannot stand it anymore
We were told if our lives were forwarded to 10 years after school then rewinded back, we would rethink our decisions, ni kweli
Loving everery episode 🙋🙋🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊👊
The best storyteller ever. You are changing lives Abel Mutua ❤
Chepalungu tuko locked in 😊😅
Mkuruu Mnyama
When I in highschool disco Matanga was the call of the day
Wataje, kuwa snich hata mara moja kwa mwaka
I know they were wrong but I was really vouching for them. Am glad hawakupatwa!! 😂😂😂😂😂
I can relate,used to sneak to watch Manchester United,never caught 😂😂😂good old days
acha za ovyo tuko idle angusha hiyo kitu
Bush😆😆, this was class of 2020, I was there Carey Francis Hall, we almost got caught jumping out of the windows running away...the match was actually Man U vs Man City
Yenyewe mkuruu ni mzee😂😂, Bana I haven't related to the kuganda mguu ukiwa choo yet😂😂😂😂
Next washo wanarisk kukatwa na wembe iko kwa bag tym umeigiza mkono kwa bag the feeling 😢
Addicted to you mkuru🥳🥳💞nayo nayoooooo❤❤