INAUMA KARIAKOO UGOMVI MZITO MADUKA YAFUNGWA MGOGORO WA KIFAMILIA WAFANYASHARA WAFUNGUKA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 апр 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 25

  • @annamussa185
    @annamussa185 Месяц назад +1

    Dada uwe makini watakumaliza hao ndugu zako

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny Месяц назад

    Mtihani mkubwa huu,haki ni Bora kutijenga nyumba ya familia

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt Месяц назад

    Huyo ndugu mkubwa ashikwe na achukuliwe hatuwa kali manake hapo anaumiza watu wengi wakiwemo ndugu zake na wafanya biashara anawatia hasara kubwa

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 Месяц назад

    Ccm itatumaliza Jamaani

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 Месяц назад

    Fisadi huyo ni papa kabisa amzarau waziri kweli

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    Hao kaka xako ni mbwakoko,jaw nn wactafute vya kwao?? Miji2 mixima inataka vya urithi tena kwa kumdhulumu ndugu we gine,yanawexa yakawa .......co bure.

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Месяц назад

    Duuu aisee pole sana ila wazili atalimaliza atakuja kwa mala nyingine watamjua vizuli

    • @lilmojr7
      @lilmojr7 Месяц назад

      Safari waziri akija hao kaka woye watupwe jela na huyo waliomuuzia maana wanadharau amri ya waziri wakati wote walikuwa hapo mbele ya waziri leo wanageuka!!???

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Месяц назад

    Ninyi wafanyabiashara tafuteni wakili haraka mfungulieni huyo aliyefunga maduka kesi ya madai. Awalipe kodi na mapato mliyopoteza.

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Месяц назад

    Mrudishieni pesa zake, kesi iishe, ndugu zenu wamepokea pesa.. rudisheni pesa zake

  • @basilkyando5471
    @basilkyando5471 Месяц назад

    Wewe Acha ujinga hillo bango linasama kamwane nyamika

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Месяц назад

    Wapangaji wa hayo maduka napenda kuwapa ushauri BURE kama ifuatavyo:
    1. Kama mna mikataba ya upangaji, basi kisheria mwenye nyumba (bila kujali ni nani), HANA mamlaka ya kufungia duka bila kwanza kutoa notisi ya angalau siku 30. Kinyume na hapo ni kuvunja sheria na mnaweza kumshati Mahakamani.
    2. Kama tayari mmelipa kodi ya pango basi mwenye nyumba HANA mamlaka ya kubugudhi mpangaji mpaka kodi yote iliyolipwa imalizike. Sheria zipo hivyo.
    Hivyo mnaweza kwenda Mahakamani ili kumlazimisha huyo aliyefunga maduka yenu aweze kufungua kwa amri ya Mahakama.

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we Месяц назад

    Kunakitu nyuma ya nyamika mbona anajiamini sana? Waziri ikikupendeza kwa nyamika fanya kama ulivyofanya kwa yule mgonjwa wa miguu weka pingu peleka popote

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 Месяц назад

    Kumbe kuna watu wapo juu ya serikali

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Месяц назад

    Dada anaglai nduguzako watakuua mana wanaona we ndo mwiba

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад

    hiyo sio mali ya serikali mzeee

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Месяц назад

    😊😅😅

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 Месяц назад

    Ukiacha mali shida usipoacha mali ni shida😂😂😂 tufanyaje sasa tutafute mali au

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 Месяц назад

      Jibu tutafute mali na tuache ushahidi kama aliyouwacha baba yao na hawa itafikia dada atashinda kwa asilimia 100 dunia ina watu waaina nyingi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Warudishienimpesa zao wanunuzi

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 Месяц назад

    Simvunje tu

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 Месяц назад

    unacho kitafuta nyamika utakipata sio muda mlefu

    • @haruniaisha5905
      @haruniaisha5905 Месяц назад

      Ko unataka apoteze bilioni kumi na moja aiache tu

  • @user-ef6tl6fy1g
    @user-ef6tl6fy1g Месяц назад

    Rais hayupo mkamfata

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 Месяц назад

    Ivi selekali nyamika anawasumbua jamani selekali gani mtu mmoja anasumbua watu wazili uko kimya jamani nyamika Nani mbona anazalau viongozi wetu wa selekali mtanzania kweli uyu