Aki Dela, I'm just disturbed by all these people wamehangaisha watu then they come kwa mtandao kuomba help. It's not fair at all. How's this fair to the victims? Anyway Thindigua ndio my mum anatoka but kwetu kwa mzee ni kikuyu karibu na kidfamarco. I'm in Seattle, Washington now, thank God. Unafanya kazi poa sana. Endelea hivyo hivyo.❤
Kazi safi bro huyu n neibour yangu apo marurui anaitwa swaree alikua moto wa kuotea mbali aki...mabesty wake wote walipigwa risasi...pia ulifanya wife yake interview mwenye alikua anasema alitolewa mboro inatoshana mkono ouo video ilienda viral.....kwanza wakilewa yhey are dramatic
Ooh yeah jana ndio nilikuja kujua wambui alikuwa bibi yake pia wambui sio mchache wambui wanamuita kiveti. Thanks sana kwa support yako 🙏❤️ God bless you
Ian huyu jamaa alikuwa ana tuharass sana wendani apo 2003 ungemuona ulikuwa una change jia na hakuwa anashikwa na makarao ata am like kweli huyu jamaa ali reform juu wee ningemuona ata kujikojolea ningejikojolea😢😢
There is God of another chance when I watch this cases I have hope everyone can change in God we trust we are all sinners but sinning different we shouldn't judge
"Ambapo mimi nikipatana na polisi chenye amebeba pia mimi nikonayo kwa hivo yeye atoro atoroke" 😂😂😂😂😂😂
Noma sana
Kweli cha maji uenda na maji crime hailipi
😂😂😂AMBAPO POLISI wananiogopa
Heshima ndogo his terms ni motoooo
Si ako na body movement mingi. But he is a good story teller, let us learn to accept them back in our society
Wueeeh! Wacha ni🏃🏃🏃🏃🏃
Noma mzee 😮.
Ngori sana
Mawetete 😂😂..very captivating story
I like your show's
Thanks ❤
Weh ngori sana
Noma msee
Aki Dela, I'm just disturbed by all these people wamehangaisha watu then they come kwa mtandao kuomba help. It's not fair at all. How's this fair to the victims? Anyway Thindigua ndio my mum anatoka but kwetu kwa mzee ni kikuyu karibu na kidfamarco. I'm in Seattle, Washington now, thank God. Unafanya kazi poa sana. Endelea hivyo hivyo.❤
Thanks
So according to you what should they do?
@@Jospato862ata mimi nashangaa na yeye. Ashaskia pesa ilikua ya pombe na umalaya. Heri aombe kuliko kuiba
From your wife channel❤
Much love ❤️
Heshima ndogo ndio gani hio
🙃
Weeeee nyamaza tuskie story eeish
😅😅😅 pole mkuu
Ummbwa utaki atuulizie maswali tujue more
Noma huyu alitulalisha Mimi na customer zangu kwa butchery hapo githurai jamaa hatari sana
Let's us learn to accept and forgive them accept them without judge ,
Huyu jamaa anakaa kuchinja mtu hai 😮 dela hauogopi
He is reformed he has no harm
We should learn to accept them back when reformed coz no one is perfect, let's show the guy the ❤❤❤
Huyu sasa ndiye ndingo sauti yenyewe akiongea usha mpea teje
Uskii msee
Huyu Dingo kabisa!! kila kitu kimekaa kidingo.....sauti, macho, hadi body chemistry
@@mwaka43hujai ona dingo handsome nani utashangaa😂😂😂😂😂
@@mwaka43 bana ata sijui dela alimtoa wapi na ameketi nayeye apo aje kama ameshika simu na camenje mbele yake ... ugopa bana
Kabisa,hata sura ni ya dingo
ujui ku interview uko na kiheherere nkt nyamaza tuskie anasema nn usibonhe sana😂
😅😅😅😅 sawa mkuu
😂😂😂😂 true anaboh na hata sijamaliza kuskiza hii story
Nisha ongea na yy 😂
manzeeeee
Nyinyi ndiyo mnafaa kutulia,ushawai ona interviewer mwenye haulizi maswali hata citizen au NTV?
Huyu sini moya wa dando ule alikuwa ana valia masilvers na luku noma but alipotea apo 2007
Aliingia jail hio time
Dela doing good job bro...educate young people crime does not pay
Thanks Monica
Marurui my home town
anasema mzee akaleta heshima ndogo ikabidi wamuondoe risasi shwaa!
Good job for taking care of ur kids
He is a good father
Mungu amewasaidia 🎉
This is a true OG..
Mawetete..mafuta..kwa food top layer
Due to this true nature I'll subscribe to this channel
Much love
mawetete ni sheng ya wajanja
Mawetete mi najua ni matako😂.
@@steve.m224
Give time of introduction suchlike kuzaliwa education and so on bro for flow of the story
Noted bro
huyu hawezi nitisha mimi
😅 wah noma
Wewe unatuletea mawetete mzee
Meaning.., crime doesn't pay
Yeah sure
Kazi safi bro huyu n neibour yangu apo marurui anaitwa swaree alikua moto wa kuotea mbali aki...mabesty wake wote walipigwa risasi...pia ulifanya wife yake interview mwenye alikua anasema alitolewa mboro inatoshana mkono ouo video ilienda viral.....kwanza wakilewa yhey are dramatic
Ooh yeah jana ndio nilikuja kujua wambui alikuwa bibi yake pia wambui sio mchache wambui wanamuita kiveti. Thanks sana kwa support yako 🙏❤️ God bless you
Ati mboro inatoshana na mkono😂😂😂😂😂
Haukuona hio video ndio ya kwanza kwa hii chanel @@pharaohraheemangelofdeath
@evamugus9185….Ehee...ati ninii??
Very dangerous in the community
But he reformed
bro, stop interrupting, let him tell his story!
Noted
Sauti yaketu ina ogopesha
Noma sana
Revenge lazima 😈😈😈
He is reformed he just needs deliverance and support
He already reformed
Ya??
Ian huyu jamaa alikuwa ana tuharass sana wendani apo 2003 ungemuona ulikuwa una change jia na hakuwa anashikwa na makarao ata am like kweli huyu jamaa ali reform juu wee ningemuona ata kujikojolea ningejikojolea😢😢
Wah noma sana
Wah noma 😯
Anakaa kuuatuu
Huyu inakaa alisumbua sana hio mtaa
Huyu Mimi ningejikojoleatu 😢
Mawetete !!! hahahahaha
Alf Dela stop interfering wacha msee ajieleze mwenyewe tulia bana unatuchanganya
Noted 😊
Very true
Huyu buda kuna vil kamemncy. Ako mboka mbaya!
Wewe bana nyamaza tupewe stori. Kiherehere ni ya nini jamaa
Fiti mkuu next time nitakuwa keen
Wakenya wengi ujinga kilo nusu tatu
😂😂😂Kwa nini??
Huyu interviewer alikwenda shule ama shule ilimuenda. Total nonsense of interview
Kijana,relax...wacha kufafanulia narrator,muache aflow the best way he knows hoe to
There is God of another chance when I watch this cases I have hope everyone can change in God we trust we are all sinners but sinning different we shouldn't judge
Sauti tuu it's selling fear 😨
But he's reformed no harm
Interviewer you're not a good listener let the person flow with their story please.Stop interrupting too much
Noted
All from Dandora are always most dangerous ⁉️😅 so who is the ("Danger Most")😂😂😂
Swaree
if you are watching na bado hijasub kindly do it
❣️
mko sure hatarudi kwa hio maneno,
Mazoea yana tabu
He should be arrested immediately.
Atakula chakula ya selekali bule
Huyu interviewer should improve.. Before you start any interview you must have knowledge of what you want to hear from the intervieweee
Noted
Stop interrupting it’s becoming boring
Notec
All the gangsters in Dandora are the most dangerous 😂😂😂
And kayole
Reach our guest via 0718139735 or 0718139735 moya (sware)
reach us via 0111223964
hw much do u give for the gangster interview once a thief always a dingoooo
jumping from one story to another I don't understand your story
DELA learn to listen ama u give us de story it seems u know de story more than he doe's
Poa kamaa
Story za Jaba...get better stories nkt
Its based on a true story ... many people knows sware
nimejam na hii comment, very stupid comment,
Vry true story I know him
worst interviewer ever come across