Gozi umenikamata pabaya, yaani nimeanza kuangalia part 1 sasa nipo hii ya 5 mfululizo nonstop bila kuchoka. Yaani muvi ya kusikitisha sana😢, usiombe yakutokee kiuhalisia. Ingekuwa ni kweli, ungetakiwa kabisa kumwoa huyo dada aliyekubali kuacha biashara zake na maisha ya familia yake kwa ajili yako, ana upendo wa kweli, mitihani aliyopitia ni mingi na mikubwa sana tena wewe ukiwa ndiyo msababishaji wa yote.
Great job bwana gozi nakupenda sana kaka kutoka kenya ❤❤❤❤❤
Gozi kazi nzr sana❤🎉
Kazi nzuri bro gozi Big up sana
Wow ni nzuri sana kazi safi sana Gozi ❤❤❤🎉🎉🎉
Watu wa mwanza tujuwane ❤
Hatuna budi kumshukuru Mwenyez Mungu kwa kuiyona cku nyingine tena
Pamoja sana gozi na amiry kazi nzuri
Unaweza sana bwana ghosi Kwa kazi nzuri next plz 🎉🎉🎉❤
Congratulations 👏 gozi kazi kama kazi
Gozi uwaukosei kawaida yako❤❤❤
Bobu jinga sana ufukuze ndugu zako kisa mwanalke pole sana😢
Kaka Kaz nzur
Karibu sana Tanzania 🇹🇿
Nimeipenda stor nzur sn❤
Huyu dada anajua , ila apunguze kujitetemesha uongo 😌😌😌 akiacha hivo atapendeza zaidii
Hehehe
Gozi Gozi kaka, hatari sana
Mashallah Ngoma ya kishua❤❤
Kazi nzur ❤
Salute bro kazi nzuri
Gozi and the family big up #Vai.... hatari fire 🔥
Gozi nakuaminia
Gozi uko vizuri ❤story nzuri sana
Kutoka burundi nimecerewa kidogo
Nampenda sana Amiri Ana busara 🎉🎉🎉❤❤
Good job Tajiri ❤
Morning mnatakaga hela ❤❤❤
Na Huku Rwanda Tunaipenda hii. Kiufupi tume Enjoy Hongeleni Sana.
Karibu sana Tanzania 🇹🇿
@@abbasouko3143 Asanteni
Gozi Tenaaa❤🎉
gozi for life 🎉🎉🎉😅😅😢❤❤❤❤❤
Huyo kurya boy Kwan hana nguo zingine au
😂😂😂😂
Najiuliza hili swali siku nyingi sana😅
Mia mia mbele pamoja #gozi 🇰🇪🇰🇪
Iyi movie nikali nanusu🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂😂😂 ila Gozi bhna eti ni mzimu ,sidhani kama nizumu , acha nianglie
Mamb zenu uyo kurya heeee iyo nguo mhhh mzenj ap
Kazi nzuri mno watu wetu
Toka drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu
Tunaweka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Good job brother
Tarakea kenya watching
Wa kwanza apa twende sawaaaaa
Gozi Sasa ivi uko chap Mzee mpaka raha
Kosa alofanya kweli kukaa kimnya na angesema mapema km kabakwa
Nakufollow kutoka Mombasa kenya
Ila kurya 🤣🤣🤣
Twende nalo tujue tutafikia wapi lkn Gozi usimuache huyu mwanamke yote uliyafanya wewe
Kazi nzuri
❤ nilikuwa nausubiria kwa ham
Uhhhh kweli gozi amefanya siopoa
Mnipe like jamn nashida nazo mwenzenuuu
Nice namhurumia Lona😢
Viziri goz ila mdada aache hali yak huo awe na maamz
Bora angetembea na huyo kaka halafu akasema mimba yk kuliko kufanya uzembe kumnyima mwenye pesa akapewa mimba n mlinzi😂😂
Dem mshamba sana unyu bana 😅😅😅😅😅inaitwa kuficha siri😂😂😂
Wakwnz Leo like zanguu 😅😅
Samuri yupo vizur
❤❤❤
Next movie shoot na akina chado
Wanao mkubari black mamba mzee wa kwikwi wekaa likerr
Dada anajuwa hasa tena jitetemeshe hivo mana unatakiwa uwe nahofu sasa hof inatokwa wp kama hujajitemesh
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Gozi 🫡
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema wewe jamaa na kwikwi zako unazingua
Tuishi kama dada na kaka Kwa boss, Alafu huyu anaenda kumpea mlinzi mautam😢
😂
Ila bobu cheni hazitakuja kunyonga siku 1 izo
❤❤❤❤❤🎉
🤣🤣🤣nitimbwili
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wanao mkubari black mamba weka like hapa
Iwe nyambonto taha isenti yane
Duh amiri hapo hata uwape na kuramba mchaga cdhani kama utaaminika POLE zile D mbili ndo zifanyie kazi hapo
😂😂😂😂😂
Gozi umenikamata pabaya, yaani nimeanza kuangalia part 1 sasa nipo hii ya 5 mfululizo nonstop bila kuchoka. Yaani muvi ya kusikitisha sana😢, usiombe yakutokee kiuhalisia. Ingekuwa ni kweli, ungetakiwa kabisa kumwoa huyo dada aliyekubali kuacha biashara zake na maisha ya familia yake kwa ajili yako, ana upendo wa kweli, mitihani aliyopitia ni mingi na mikubwa sana tena wewe ukiwa ndiyo msababishaji wa yote.
Penye kubakwa hapo
Vai
Nimekuwa wakwanza nipeni like zangu
Ivi Gozi Kuna group ya WhatsApp 🙏🙏🙏?
Kumekucha
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉