Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tini white wew ni mkalii aisee haujawahi kutoa vibovu ❤🎉🎉
Oya hii movie inastahili tuzo kama zingekuwepo, big up sana wazee 👏🏽👐
Nangwa kumbe muoga ee sema ulitesa kweny muv ya ndoto za kisurisuri nawapenda sana 🔥🔥❤️
Jamila we mzuri 🥰
@@fourteen_kiid asante 🥰🥰
Jamila
@@nabosedward4836 niambie
Namba yako ilipotea ebunitumie tena lafkiyangu
Dah mke wa nagwa nimemkubali kinoma yani😍😍
Dah huyu Dada amevaa mavazi mazuri sana umependeza mke wa nagwaa
Nagwa bana umeua kakaa🤣🤣🤣mlingoti chuma bendela chumaaa 🤣🤣vitunguu saumu vya kumwagaaaaa!
Boka mi naogopa twende kwa mama haaaa🤣🤣🤣🤣🤣 bendela chuma mlingoti chuma kafikaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Munapiga kazi vizuri sana hii kweli kubwa kulikoo
Ebana eeeee niko nndani tiny white noma Sana nawakubali
Kubwa n nusu daah🤣🤣🤣🇰🇪👌huyu mzee w mali nomasana anatisha yani daa
Daaah this is best of all of your movies.... Mnajua sana wazeee.... Hiyo kazi ni ngumu sana aiseee
Uzuri wa hiii films ni kubwa kuliko kwa uzuri wake
Sooo Fantastic.Hongela tin,kilangaso naWengine.
Boka ametoka hme ameamsha na boss hio shiti imetoka wpi
Jaman mwenderezo saf sana🔥🔥🔥🔥
Mamb no.0623070361 nitafute nikuonganishe na tin na mkojan
Daaaaaa kweri hii kubwa kuriko daa watu wanacheza mziki nimecheka sana wallahi yani amjawai kukosea wallahi ten 👌🤣🤣🔥🔥🔥
Wooow hii film umekua Zaidi ya kubwa kuliko.
yaani Nagwa leo huruma eti twende kwa mama , tuondoke nyumbani hahahaaaaaa
Nagwa jamani eti leo mutu anakufa hapa namukubali kinoma🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💘💘💘
Hahaha isiwe kesi we si mjanja nagwa umekuja na vitunguu Thom Sasa jamaa wamekuletea vya kumwagaa😂😂😂😂😂😂
Kitu kitu saf sana kaz nzuri
Aliyesikia twende kwa Mama 😜😜
Hahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah nimeskia😂😂
Aliyesikia . Unacheka Like yako Hapoo
Ee Bwana eeee nipo ndani 😂😂😂😂😂
Wewe unakuja na kimoja sisi tumeleta banda zima
Sana tin twenzetu ya 3 ila nyie noma bongo movie ni ninyi
Duh
Hyo Tabia yakuumizana mbavu 😂😂😂😂😂
Duhh hii kubwa kuliko zote jamani kama unawakubali hawa jamaa kama mimi nime likes za wakenya😍😂
😍🤣💜⚘🍉❤💅😛🦄🦓🐈
Ebhan Eeeeee salut sanaa kwen wazee
🤣🤣🤣hi Kelli kubwa kuliko nawakubali Sana vipenz nagwa tinwht mkojani💪💪
Broo baba yakoo🤣🤣🤣
Mmetishaaaas wanao wakubali wadau lik plz
Hawa niwanoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇧🇮eti twende kwa mama
Nagwa kakoma ujanja ume isha akuna bendera chuma wala atu filimbi ulembe haaaaaaaàaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mkojani kiboko yao
Duh hapo kwenye mziki Noma sana kama Michael jackxon wazee
This one cracked my ribs 😂😂😂😂😂 nice one guys
Hahahahahah ila nagwa n muoga jaman eti twende kwa mama
😃😀😃😀
Wallah mnanifurahisha sanaa nawapenda sanaa
Part3 tia Ringo bro utaua sana
This is too much for me I can’t stop laughing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nami naomba like zangu
Hii movie noma sana hii ikiendereya hivii itakuwa 🔥 🔥
😂😂😂😂😂 mboka mboka mim naogopa twende kwamama 😆😆😆😆
Hatari na nusu walahi hii movie noma
Noma sana🤣🤣🤣🤣eti bro babako
Tumeyipenda mimNawatoto wngu plzTunasubria chengineCha moto.
Yani mnajua mpaka bc bongo move mumebakinayo baada Yakanumba Kufaliki
Nagwa miyayusho sana et twende kwa mama
Noma nawakubali
😆😆😆😆wakulungwa wanacheza dah nimecheka sana
Dah! movie kari sana,sana
Apo Kwa music nmecheka balaa aki nangwa😂😂😂
Hii ifanyeni Kama season ni Kali Sana mmeua
tini kashangaa kusikia unachokiomba kinakuja alitak kuchekelea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nacheka mwanzo mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯
Kama mimi hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jmn hii,,,,washa socket xong,,,Kaimba nan jmn
Yani tin na nagwa akuna wanacholinda zaidi ya kulinda kutesekaa😁😁😁😁😁
Yaanii jaman 😁😁😁😁😁nacheka had mume wangu kasogea tazama nahaelewi kitu wanacho ongea
Eee mbwanaaaeee kumbwa kuliko😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkojani ana mbwembwe
Aiseee hii kali ila xjaelewa kwa nn mmeachana na ringo
mamaaa... Wanakuja😂😂😂
Kaka tuletee season ya tatu nimeikubak xaa hii move
Twende kwa mamaa
E bwana eee
Etinagwa bro oo, bro baba ako🙉🙉🙉🙉
Nimecheka sana🤣🤣
Muvi nzur lakini kunasehemu baadhi mwatupa uzito wakusikiza maneno yani maneno mnayoongea niyakukufuru
Ebwanaeeeeeeee nipo ndani kama umeielewa hiii gonga like hapa
Kubwa kuliko kweli
Hahahaa et boka boka mi naogopa😅
Hii muv hatari kubwa kuliko nagwa anajiangalia anavyocheza
Na gwa kapatikana
Eeebwanaeeee!! Nipondani😂😂😂😂
Pendera muoga Sana bwana
Bro baba yako 😂😂😂 nilisha zoea kukesha na majini alafu kukesha na wanadamu ni raisi 😂 weeeeee
Nawapenda
Safi sana
Hahahahahaha jamani mbavu zangu mie jamani
Hi muv ni shida 😂😂🤣wanaplay mzik wanatokea mizimu
Duu inafurahisha sna
Jaman mimi nacheka aisee twende kwa mama
Twende KWA mama😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Majini noma yametoa shoo yakutosha🤣🤣🤣
Nagwa amewasha socket 🤣🤣🤣🤣
Hapa,kweede,Kwa mama❤❤❤❤
Nakubali san 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkojani tinny nagwa hakuna wa kuwazidi
Kuna ingine au ndo mwisho
Ahahhaahaha anapiga kelele wajika anakimbia
Hahahahhahaha jamn hawa mbavu zangu
TINI TUENDELEZEEEEE HIII MOVIE BLOOD
Brooo banaako hiyo kubwa kuliki😂😂😂
Kitunguu sio dawa daaaah
Nagwa twend kwa mana 😂😂😂
Dah Raha Sana etiii
Napenda sana
Mmetixha hatar💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Mumetisha san wajumbe
Daa mkn san mnajua muendelezee😂😂
Mmejua kuvunja mbavu zangu🤣🤣🤣🤣
Ni nyimbo ya kina nani katika ep 2 mwishoni ni nyimbo ya nani
Haa1aa hatar sana
Jaman nyie mnanivunja mbavu zangu bhn😂😂😂
Kuna fitna gan imeingia kati yenu na rngo??mbn mkiwa tim3 inanoga zaid ya sana??
😂😂😂😂😂😂
Tini white wew ni mkalii aisee haujawahi kutoa vibovu ❤🎉🎉
Oya hii movie inastahili tuzo kama zingekuwepo, big up sana wazee 👏🏽👐
Nangwa kumbe muoga ee sema ulitesa kweny muv ya ndoto za kisurisuri nawapenda sana 🔥🔥❤️
Jamila we mzuri 🥰
@@fourteen_kiid asante 🥰🥰
Jamila
@@nabosedward4836 niambie
Namba yako ilipotea ebunitumie tena lafkiyangu
Dah mke wa nagwa nimemkubali kinoma yani😍😍
Dah huyu Dada amevaa mavazi mazuri sana umependeza mke wa nagwaa
Nagwa bana umeua kakaa🤣🤣🤣mlingoti chuma bendela chumaaa 🤣🤣vitunguu saumu vya kumwagaaaaa!
Boka mi naogopa twende kwa mama haaaa🤣🤣🤣🤣🤣 bendela chuma mlingoti chuma kafikaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Munapiga kazi vizuri sana hii kweli kubwa kulikoo
Ebana eeeee niko nndani tiny white noma Sana nawakubali
Kubwa n nusu daah🤣🤣🤣🇰🇪👌huyu mzee w mali nomasana anatisha yani daa
Daaah this is best of all of your movies.... Mnajua sana wazeee.... Hiyo kazi ni ngumu sana aiseee
Uzuri wa hiii films ni kubwa kuliko kwa uzuri wake
Sooo Fantastic.
Hongela tin,kilangaso na
Wengine.
Boka ametoka hme ameamsha na boss hio shiti imetoka wpi
Jaman mwenderezo saf sana🔥🔥🔥🔥
Mamb no.0623070361 nitafute nikuonganishe na tin na mkojan
Daaaaaa kweri hii kubwa kuriko daa watu wanacheza mziki nimecheka sana wallahi yani amjawai kukosea wallahi ten 👌🤣🤣🔥🔥🔥
Wooow hii film umekua
Zaidi ya kubwa kuliko.
yaani Nagwa leo huruma eti twende kwa mama , tuondoke nyumbani hahahaaaaaa
Nagwa jamani eti leo mutu anakufa hapa namukubali kinoma🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💘💘💘
Hahaha isiwe kesi we si mjanja nagwa umekuja na vitunguu Thom Sasa jamaa wamekuletea vya kumwagaa
😂😂😂😂😂😂
Kitu kitu saf sana kaz nzuri
Aliyesikia twende kwa Mama 😜😜
Hahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah nimeskia😂😂
Aliyesikia . Unacheka Like yako Hapoo
Ee Bwana eeee nipo ndani 😂😂😂😂😂
Wewe unakuja na kimoja sisi tumeleta banda zima
Sana tin twenzetu ya 3 ila nyie noma bongo movie ni ninyi
Duh
Hyo Tabia yakuumizana mbavu 😂😂😂😂😂
Duhh hii kubwa kuliko zote jamani kama unawakubali hawa jamaa kama mimi nime likes za wakenya😍😂
😍🤣💜⚘🍉❤💅😛🦄🦓🐈
Ebhan Eeeeee salut sanaa kwen wazee
🤣🤣🤣hi Kelli kubwa kuliko nawakubali Sana vipenz nagwa tinwht mkojani💪💪
Broo baba yakoo🤣🤣🤣
Mmetishaaaas wanao wakubali wadau lik plz
Hawa niwanoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇧🇮eti twende kwa mama
Nagwa kakoma ujanja ume isha akuna bendera chuma wala atu filimbi ulembe haaaaaaaàaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mkojani kiboko yao
Duh hapo kwenye mziki
Noma sana kama Michael jackxon wazee
This one cracked my ribs 😂😂😂😂😂 nice one guys
Hahahahahah ila nagwa n muoga jaman eti twende kwa mama
😃😀😃😀
Wallah mnanifurahisha sanaa nawapenda sanaa
Part3 tia Ringo bro utaua sana
This is too much for me I can’t stop laughing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nami naomba like zangu
Hii movie noma sana hii ikiendereya hivii itakuwa 🔥 🔥
😂😂😂😂😂 mboka mboka mim naogopa twende kwamama 😆😆😆😆
Hatari na nusu walahi hii movie noma
Noma sana🤣🤣🤣🤣eti bro babako
Tumeyipenda mim
Nawatoto wngu plz
Tunasubria chengine
Cha moto.
Yani mnajua mpaka bc bongo move mumebakinayo baada Yakanumba Kufaliki
Nagwa miyayusho sana et twende kwa mama
Noma nawakubali
😆😆😆😆wakulungwa wanacheza dah nimecheka sana
Dah! movie kari sana,sana
Apo Kwa music nmecheka balaa aki nangwa😂😂😂
Hii ifanyeni Kama season ni Kali Sana mmeua
tini kashangaa kusikia unachokiomba kinakuja alitak kuchekelea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nacheka mwanzo mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯
Kama mimi hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jmn hii,,,,washa socket xong,,,
Kaimba nan jmn